Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

Mama Mzazi wa Lulu Michael Amkataa Mchumba wa Lulu, Asema Hamtambui na Wala Hajawahi Muona

$
0
0
Stori: Imelda Mtema/Amani
Kufuatia kauli yake ya hivi karibuni kuwa nyumba anayomiliki ilitokana na mchango wa bwana’ke (hakumtaja jina), mama mzazi wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila ameibuka na kumkataa mwanaume huyo.

Kwa mujibu wa Lulu, nyumba hiyo iliyopo Kimara jijini Dar ameijenga kwa kusaidiana na bwana’ke kwa mtindo wa pasu kwa pasu (kuchangia nusu kwa nusu).Alisema kuwa anamshukuru Mungu kwani hadi hapo ilipofikia ikiwa inakaribia kumalizika ameijenga kwa nguvu zake na mwanaume wake huyo.

“Yeah! Nimejenga kwa msaada wa mwanaume wangu, tunasaidiana nusu kwa nusu,” alinukuliwa Lulu.
Pamoja na mbwembwe zote hizo za staa huyo kwa jamaa yake huyo, mama mzazi wa Lulu ameliambia Amani kwamba hamtambui mwanaume huyo kwani hajawahi kwenda kujitambulisha kwake pamoja na kwamba kahusika kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hiyo.

Alifunguka: “Sijawahi kutambulishwa na Lulu kama ana mchumba.
“Kwa hiyo awe amemsaidia au hajamsaidia, mimi simtambui.
“Ingekuwa Lulu amewahi kumtambulisha kwangu kuwa huyo ndiye mchumba wake hapo sawa lakini hakuna kitu kama hicho.

“Halafu naomba utambue kwamba Lulu hawezi kumtambulisha bwana’ke au boy friend wake kwangu, siyo heshima labda awe mchumba. Hapo kidogo afadhali lakini mtu tu mtu, hakuna kitu kama hicho.
Kabla ya Lulu kueleza ukweli juu ya ujenzi wa nyumba hiyo, awali kulikuwa na madai kwamba alihongwa na mheshimiwa mmoja (jina tunalo) huku wote wakikanusha kwa nyakati tofauti.
Hata hivyo, kitendo cha Lulu kumiliki mjengo huo kimempa heshima kubwa tofauti na mastaa wenzake wa kike ambao wamekuwa wakiishia kupangiwa nyumba na kuhongwa magari yasiyo na kadi kisha kunyang’anywa na kurudia maisha ya kawaida uswahilini.


Mwigizaji Batuli Aanika Mambo ya Chumbani Azugumzia Kufuli Anazopenda Kuvaa

$
0
0
Udaku Special Blog
STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefungukia mambo yake ya chumbani na kuanika kuwa anapenda kuvaa kufuli zenye rangi tofauti.
Akizungumza na mwanahabari wa...
GPL, Batuli ambaye anaendelea kufanya vizuri Bongo Movies kila kukicha, alisema kama binadamu wengine na yeye linapofika suala la viwalo hivyo vya ndani, anapenda kununua vingi vyenye rangi tofauti.

“Nanunua nyingi lakini sipendi ziwe za rangi moja hivyo siwezi kununua dazeni nzima ila nanunua  chachechache sehemu tofauti ili niweze kupata rangi tofauti,” alisema Batuli

Jionee Jinsi Mkorogo wa Kuchubua Ngozi ulivyomfanya Huyu Mwanaume

$
0
0
Udaku Special Blog
Mwanaume huyu anayeitwa  Pela Tonye Okiemute ni maarufu sana huku Nigeria kwa kazi yake anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya kujichubua ngozi hasa kwa wanawake , Wenyewe wanamwita "King of Beauty", Wateja wake wakubwa ni Wasanii wakubwa na Wanawake wanaojiita
Socialite kama kina Agness Masogange na Vera Sidika, yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa sasa uwezi kumtambua , Pale Ameshare picha zake alivyokuwa zamani ujionee jinsi mkorogo ulivyombadilisha:


Despite serious backlash online against skin bleaching and lightening, based on the comments and testimonials on his instagram page @pelsinternational, it is obvious that there is a long list of potential clients who want the same skin results.


Haya Wabongo Mpo ? Kwa wale wanaopenda kujichubua Mtaalam Huyo sasa

Huyu Ndio Mwanaume Anaye Pata Period Kila Mwenzi Kama Mwanamke, Madaktari Wasema Ana Kizazi

$
0
0
Udaku Special Blog
Mfanyabiashara mmoja huku Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya kila Mara Kupata Haja kubwa na Mkojo zikiwa zimechanganyika na Damu, lakini kumbe ana kizazi na hizo damu anazoona zikitoka kwa njia
ya haja kubwa na mkojo ni pale anapokuwa katika Siku zake za Mwezini Ama Period , Madaktari wamemwambia kwa hali hiyo hata kushika mimba anaweza kama akitokea akitaka, Kwa sasa anajiandaa kwa upasuaji ili kuondoa kizazi hicho..

Kwa Kidhungu !!!
A UK businessman was given the greatest shock of his life when he visited the hospital. He was told that he was not suffering from cancer because of the blood in his urine, but he has a fully functioning womb in addition to the typical male genitalia and has been having periods since his teens. The 37-year-old said he has experienced strange symptoms for years, such as a dull ache after sex, but his concerns were always brushed aside by medics. Specialists have since discovered that, as well has having typical exterior male genitalia, he also has an interior uterus, cervix, fallopian tubes and ovaries. The man is suffering from a rare genetic disorder and may even be able to get pregnant. He is now preparing for surgery to remove the womb having lived his whole life as a 'red blooded'

Uzuri wa Zari wa Diamond Haukuanza Leo Angalia Picha zake Akiwa Bado Kasichana Kabichi

$
0
0
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her.
Besides her looks, she is also ambitious and rich.


Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.

She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.

She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Check her out:


Kama Ulikuwa Hujui Uzuri wa Lulu Michael Umetokea Kwa Huyu Mwanaume, Lulu Amwita Handsome

$
0
0
Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa
na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema na kujinasibu kuwa wanafanana.

"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy & I....!Mzee Michael, Mzaa Chema, My Twinnie"

Asante sana Lulu kwa kushea nasi picha hii, tume-enjoy, hakika hii ni ThrowBack nzuri zaidi ya leo, kweli huyu ni pacha wako.

Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah

$
0
0
Dully Sykes amedai kushangazwa kusikia watu wazima kama TID na Q Chillah wakilumbana kwa jambo la miaka mingi iliyopita na kwamba mambo kama hayo wanapaswa kuwaachia wadogo zao mathalan Alikiba na Diamond.
Dully ameiambia Bongo5 kuwa TID na Q wamemfedhehesha.

“Hawa ni watu wazima,” amesema Dully. “Mimi kama kuwazungumzia ninawazungumzia Diamond na Alikiba. Hawa ni vijana, kwanini Q Chillah na TID wasimalize masuala yao? Wanashindwa kuweka pembeni tofauti zao! Kwanini wanagombana wakati ni watu wazima tayari?

“Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond nashangaa ugomvi wa TID na Q Chillah kwasababu Diamond na Alikiba ni watoto! Mimi nitashangaa TID kugombana na Q Chillah kwasababu wao ni watu wazima. Wanatakiwa wapatane ili watoto kama Diamond na Alikiba wapatane. Mimi siwezi kuzungumza nao chochote waache wagombane.”

Ray C Amtibua Baba Mwenye Nyumba.....Ni baada ya mkataba wake Kuisha kisha kugoma kutoa Vitu Vyake

$
0
0
Inadaiwa kuwa kimenuka kati ya msanii Rehema Chalamila ‘Ray C’ na baba mwenye nyumba wake, Hussein Kassim baada ya mdada huyo kudaiwa kugoma kutoa vyombo vyake kwenye mgahawa aliopangishwa na mkataba kuisha.


Ray C aliyekuwa akitoa huduma ya chakula na vinywaji kwa wafanyakazi wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar kupitia mgahawa wake maarufu kwa jina la Ray C Restaurant, alifikia hatua hiyo baada ya kudai kuwa na yeye alipwe fidia ya shilingi laki moja kwa ajili ya ukarabati alioufanya.

Akizungumza na Ijumaa, baba mwenye nyumba hiyo alisema baada ya Ray C kugoma kutoa vitu vyake, aliamua kwenda kumshtaki kwa mabosi wao wa kitengo cha Methadone ambacho kinamtibu Ray C na yeye mwenyewe kwani wote ni waathirika wa madawa ya kulevya.

Baba mwenye nyumba huyo alidai baada ya kumshtaki katika kitengo hicho, Ray C aliahidi kwenda kuvunja ukuta ambao aliujenga na kuchukua vitu vyake hivyo baada ya siku mbili na angepeleka ufunguo kwa mkuu wa kitengo cha Methadone.

“Mkataba uliisha Januari 19, mwaka huu lakini akakaa kimya mpaka nilivyoenda kumwambia maana alikuwa ameshikilia ufunguo wangu huku mimi nimeshapata mteja mwingine.

“Kila nikimwambia aje kutoa vitu vyake anakataa na kusema mpaka nimlipe laki moja aliyofanyia ukarabati wakati mimi hakunishirikisha, sikutaka kufika huku maana Ray C ni mwenzangu tunakunywa naye dawa lakini ukorofi wake ndiyo umesababisha haya yote,” alisema Hussein.

Baada ya siku mbili kupita, mkuu wao alimtaka aende kisheria ambapo alienda kuripoti katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Minazini, Mwananyamala na Ray C akaandikiwa barua ya wito mara ya kwanza, hakwenda baada ya hapo akaandikiwa kwa mara ya pili, Jumanne iliyopita ambayo alifika akiwa amechelewa.
Ray C baada ya kuambiwa dhumuni la wito huo kwa afisa mtendaji, aliahidi kutoa vitu hivyo siku iliyofuata.Alipoulizwa Ray C kuhusiana na tukio hilo, alikiri kupelekwa serikali ya mtaa na kusema vitu vingi vinavyoongelewa dhidi yake havina ukweli.

“Hayo wanayozungumza ni mambo ya Kiswahili tu, mimi nimeshaachia fremu ila bado kuchukua vitu vyangu tu, nenda serikali ya mtaa utapata maelezo kamili maana hao wanataka kunichafulia jina tu,” alisema Ray C.


Huyu ndo Kiongozi wa Kikundi cha Kigaidi Kinachoua Polisi na Kuiba Silaha Kwenye Vituo Nchini.....Anaitwa Kaisi Bin Abdullah

$
0
0

HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!


Ijumaa liliunasa mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini huku akisema: “Una maneno ya hatari sana, naogopa kujianika, nitauawa.”

Hatimaye kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti la Ijumaa kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah akijitapa kufanya hivyo kwa lengo la kukusanya silaha ili kulipa kisasi siku si nyingi!

Gazeti  hilo linadai  kuunasa  mkanda huo kutoka kwa mtu mmoja aliyekataa kujitambulisha kwa jina wala kusema anakotokea hapa nchini.

Bin Abdullah ametumia dakika 11: 03 kuzungumzia mambo mbalimbali lakini kubwa kuliko yote ni kuliponda Jeshi la Polisi Tanzania kwa kuwakamata wenzao katika imani na harakati (zinazohifadhiwa kwa sasa) na kuwashikilia kwenye mahabusu mbalimbali nchini.

Alianza  kwa  Kusema:
Bin Abullah ambaye kwenye mkanda huo amevaa nguo nyeusi kama ninja na miwani ya giza, alizungumza kwa kirefu, akitoa wito lakini mbele akasema:

Tumeshaungana ili kupambana. Mkoa wa Mtwara zaidi ya wenzetu kumi na saba walikamatwa kwa makosa ya dhuluma, makosa ya kupanga, makosa ya ugaidi.

Ishirini na moja wamekamatwa Zanzibar wako katika Gereza la Segerea (Dar). Wenzetu wengine kumi na nane wamekamatwa Mwanza wako katika Gereza la Kisongo, Arusha. Ndugu zangu, wenzetu wengine kumi na saba wameuawa Mtwara kwa amri ya ...(anamtaja waziri).”

“Subira yetu imefika mwisho na tulichokuwa tunasubiri Mungu ameshatupa. Tunatoa ahadi kilichopo hivi sasa tunatoboa jahazi wote tuzame.

“Tunatoa rai, wenzetu waliopo Gereza la Kisongo waachiwe huru. Hapa hatumtishi mtu yeyote yule.”

“Pili, agizo la Ernest Mangu IGP, umetangaza uliwenguni kwamba umewakamata wote waliovamia vituo vya polisi na umezikamata silaha zote. Ukweli ni kwamba unatetea tumbo lako. Hakuna mtu hata mmoja aliyekamatwa na wala silaha hazijakamatwa.

“Mungu ametukubali. Katika Kituo cha Polisi Ushirombo (Kilimanjaro) tumeweza kuvamia kituo, tukaweza kutoa roho za polisi na tukaweza kuchukua silaha, tunazo.

“Tumevamia Kituo cha Polisi Ikwiriri (Pwani), tumeweza kuchukua silaha za kutosha, tumeweza kuchukua mabomu ya kutosha. Tunazo silaha tunasubiri muda zianze kufanya kazi.

“Ernest Mangu nakupa changamogto, hivi sasa tuna uwezo...(maneno yanahifadhiwa kwa usalama) wakati wowote ambao tunataka.

“Tumeweza kuchukua silaha bila kuwa na silaha yoyote. Ndugu zetu wa Tanga wameweza kuchukua silaha wakiwa hawana silaha yoyote. Ikwiriri tumechukua silaha tukiwa hatuna silaha yoyote, mpaka sasa tumeshachukua roho tano za polisi.

“Ndugu zangu, ...mlikuwa mkinisubiri nitoe tamko, natoa kauli rasmi...” alihitimisha Abdullah, huku vitisho vya jumla kwenye tamko lake vikiwahusu polisi, viongozi wa ngazi za juu serikalini pamoja na mikusanyiko ya ibada.


Tamko  la  IGP
Baada ya video hiyo,Gazeti  la Ijumaa  lilimtafuta  Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu na kuzungumza naye kuhusu mtu huyo na kumkabidhi video ambapo alisema:

“Nawashukuru sana kwa kuleta video hii, huu ndiyo ushirikiano unaotakiwa, nawaomba wananchi video za aina hii wazikatae kwa sababu ni kosa kuwa nazo na watu kadhaa wameshakamatwa kwa kuwa nazo.

“Sisi kama jeshi la polisi tunajua kuwa kuna watu wanadhani kufanya uhalifu kama huo kutawasaidia kutimiza matakwa yao, lakini ukweli ni kwamba polisi wapo imara na nina uhakika watuhumiwa watakamatwa kwa kushirikiana na raia wema.”

Shehe  Mkuu  Amkana
Baada ya kuzungumza na IGP, Gazeti lilimtafuta Shehe Mkuu Tanzania, Mufti Shaban Simba na kumsimulia kuhusu kuibuka kwa Bin Abullah na kutaka kujua pengine anamfahamu.

Kwanza hizo taarifa hizo ndiyo nazisikia kutoka kwako. Hilo jina ulilonitajia (Bin Abdullah) sijawahi kulisikia labda muangalie kwa wenzetu upande wa pili.”

Chanzo:GPL

Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

$
0
0
Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.

Ameongea hivyo baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kutokana na kusambazwa kwa picha ya mtoto ikimhusisha kufanana na mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima ndugu Gwajima.

My take: Ukiona mume anasema mke ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto ujue pana walakini juu ya mapenzi yao, anajua alikuwa anachapiwa.

Wanaume Masikini na Wasiojiamini Wanaongoza Kutongoza kwa Meseji Nyingi Halafu Ndefu

$
0
0
Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu "kareact", "mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.
Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu hujiamini".Dah, nilishtuka sana. Baada ya dakika kama 2 hivi..
nikamuuliza dada yangu mbona hasira sana, kwa nini.
Akanijibu "kuna jianaume linanijazia tu inbox, linatuma messages nyingi, ndefu halafu halieleweki, wiki ya pili sasa, mie ananiudhi!"

Nikamwuuliza "mbona unasema atakuwa masikini,akajibu "mtu mwenye hela zake na anayejiamini atahangaika kutuma mameseji kibao, marefu ambayo hata hayaeleweki."

Kwani huyo hawezi kuwa tajiri, lakini kumbe anafanya ufafanuzi kwa kuandika kwa kina,"ingawa simjui, atakuwa hana lolote, anafikiri akijieleza au kuandika sana nitamhurumia au nitamwelewa, akafie mbele huko, tena namblock, hii ni kawaida ya wanaume kapuku."

Kajala: Sasa Nahitaji Mdogo wa Paula Umri Unazidi Kusonga Mbele

$
0
0
Mrembo na muigizaji wa  filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta mtoto mwingine kwani yule wa kwanza, Paula ameshakua.

Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri
unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema akamtafutia mdogo wake fasta kabla ya kuamua kutulia.

“Kwa kweli nahitaji kumpata mdogo wake Paula haraka, umri unazidi kusonga mbele, siyo nakuja kuzaa tena Paula kishakuwa mdada mkubwa, itakuwa aibu,” alisema Kajala.

GPL

Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake na Mtangazi Gadner G Habash

$
0
0
SWALI: Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi?

JIBU :
Hatujaachana niliamua kumuacha

SWALI: Kwanini umeachana/umemuacha mume?

JIBU : Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa inatakiwa iwe na maelewano, furaha, amani na upendo, ila kwa bahati mbaya vyote hivyo havikuwepo, sikuwa tayari kuendelea kuishi kwa maumivu huku niki pretend ili kuiridhisha jamii.

SWALI: Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume?

JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshima zaidi kuishi na mume asie na heshima, anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi niko jukwaani naimba. Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini.

Ukiachilia mbali vipigo. Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao; niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. Bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso!

SWALI: Baada ya kuachana unategemea kuolewa tena?

JIBU : Ni mapema kujihakikishia uolewaji mwingine, ila haimaanishi kuwa sitopenda tena. Nahitaji kuwa makini zaidi Kuchagua mtu sahihi wa kumpa moyo wangu.

SWALI: Kwanini usirudiane na mumeo?

JIBU : Siwezi kurudi nyuma tena, huwa nina misimamo thabiti. Mpaka kuamua kuondoka na uvumilivu nilionao mjue ni maji ya shingo. When i say never, I mean Never.

SWALI: Uliwezaje kuishi na mume mlevi namna ile?

JIBU : Nilidhani angebadilika, so nilikuwa natoa nafasi. Iliposhindikana nikaona isiwe tabu, kila mtu na aubebe mzigo wake. Ukizingatia ananizidi umri miaka mingi, alitakiwa yeye anielekeze zaidi kuliko mimi kumuelekeza maisha mtu mzima.

SWALI: Uliwezaje kuondoka?

JIBU : Nilipoamua kuwa na iwe basi, Nilitoka bila kubeba kitu. Nikasafiri kwenda USA, nikakaa huko mwezi mzima ku refresh na kujipima kama kweli ntaweza ku move on? Niliporudi Tanzania sikukanyaga tena nyumbani, mpaka muda huu nnapo type na ku post haya majibu. Kwa ki fupi ni kuwa nili ondoka bila kuaga, sikuona sababu ya kuaga.

Asanteni jamani, nafikiri nimejibu yote.

Flora Mbasha Afunguka Mazito Mpaka Mengine Hayawezi Elezeka Kuhusu Mumewe Mbasha, Ni Hatari Sana

$
0
0
Nimefikia uamuzi wa kudai talaka kutokana na kuchoshwa na vitendo vya ukatili nilivyokuwa nafanyiwa na mume wangu, kwa zaidi ya miaka8 na hata sasa bado anaendeleaje, Kwani hata kuongea uongo kwenye media juu yangu ni ukatili pia.. nimekuwa nikinyanyaswa kijinsia na
mume wangu na sikuwahi kutoa taarifa mahala popote kutokana na vitisho alivyokuwa akinitisha.

Watu Wengi wanafikiri nilikuwa na ndoa nzuri sana lakini kumbe nilikuwa Nikivumilia tu Kwani niliamini ipo siku atabadilika maana nilimpenda sana mume wangu.Nilijaribu kuficha huzuni na maumivu yangu kila nilipotoka na mume wangu kwenda kwenye Huduma au mahala pengine penye mkusanyiko wa watu.

Sijawahi hata Mara moja kutoa taarifa hata kwa wazazi wangu juu ukatili niliokuwa nafanyiwa na mume wangu.Kwanza sikutaka kumvunjia heshima kwa ndugu zangu na pia alikuwa akinitishia kuniua na kuongeza kunifanyia ukatili huo.

Kutokana na historia yake ya nyuma alikuwa na uwezo wa kunifanya chochote na ndiyo maana nilikuwa nikimwogopa sana.

Siku zote nilikuwa akilala na panga kitandani ambalo ndilo alikuwa akinipiga nalo na kuapa kunichana chana Mwili Kabla ya kuniua.

Kipigo hicho nimekuwa nikikipata hata ninapokuwa kwenye Huduma bila kujali natakiwa kuwa kwenye mood nzuri ili ni perfome vizuri.

Nimevumilia muda mrefu lakini ndo mateso yakawa yanazidi na kufikia hatua ya kufukuzwa akidai yeye ana mwanamke mwingine wa dini yake ya zamani hivyo anataka amlete hapo nyumbani.

Nilikataa kuondoka na kumwambia amlete tu, tutaishi wote mimi nitakuwa nikilala chini maana nshazoea siku zote Amekuwa akinilaza chini ,alivyoona siku zinazidi kwenda na mimi nimegoma kuondoka basi akaamua sasa isiwe siri ya chumbani tena Akawa ananitoa ananipigia sebuleni na anasema nataka mtoto na wengine wote wajue kuwa huwa nakupiga humu ndani.Ikafika hatua anataka kunitoa nje ya geti ili majirani wajue kuwa huwa napigwa na anifukuze mbele yao.

Kwa Miaka yote alinizuia kufungua account bank na kudai kuwa yeye ndo mwanaume hivyo pesa zote ataweka yeye. So pesa zangu zote nilizokuwa naingiza alikuwa akichukuwa yeye na kuzihifadhi kwa account yake binafsi.

Sikuwa nikibaki hata na mia.Nilijaribu kufanya biashara lakini napo pesa zote akawa akichukuwa yeye ikabidi niache.. Nikitaka hata vocha ya mia tano Lazima nimwombe hela na niitolee maelezo ninampigia nani.

Mume wangu kwa kipindi chote hakuwahi kuwa na kazi yoyote zaidi ya kunifanya mimi ndo biashara yake. Lengo lake ilikuwa ni kunitumia mimi kwa maslahi yake na sio upendo kama mke wake.

Hakuwahi kunipenda hata yeye mwenyewe hukiri kuwa alinioa tu basi ili afanikiwe kwenda ulaya kwa kuwa mimi nilikuwa nikisafiri na babu yangu.

Na yeye kila akijaribu kwenda nje anashindwa. Kuna mambo mengi ya ukatili aliyokuwa akiyafanya ndani siwezi kuyasema kwa ajili ya maadili na pia bado Ninamheshimu kama mzazi mwenzangu. Alipoona siondoki pamoja na vipigo, matusi na kunifukuza kote.

Akasema nitahakikisha nakufanyia jambo ambalo utaondoka mwenyewe humu ndani bila kupenda sitaki kuzungumzia suala ambalo liko mahakani ingawa hilo nahisindilo alilokuwa kadhamiria ili tu niondoke.

Nilijaribu sana kumsihi tukae kikao na wazee ili watushauri na kutusaidia lakini nilikuwa nikiambulia matusi tu ya nguoni ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Siku niliyoondoka nyumbani alidhamiria kuniua alidai hata akiniuà hakuna atakaye amini kuwa ni yeye kaniua, na ni kweli maana sikuwahi kushtaki mahala popote.

Alichukuwa panga akanipiga nalo kisha akaniniga hadi nikaishiwa nguvu .Aliponiachia sielewi nilitokaje ndani. Ugomvi mkubwa ulitokana na mimi kukataa kufanya tenda la ndoa kinyume na maumbile.

Amekuwa Alinipiga na kunilazimisha kufanya tenda hilo kinyume na maumbike kwa miaka mingi lakini nikisema bora nife kuliko kutendewa ukatili huo.Amekuwa akidai kuwa wanawake tumeumbwa ili tufanyiwe tenda hilo la ndoa mbele na nyuma so ni haki yake.

Niliondoka kwake nikiwa na sh elfu mbili tu. Nilimwachia kila kitu nyumba gari na pesa zote zikiwa kwa account yake zaidi ya milioni 50.Sikuwa na uwezo wa kutoa pesa maana ni account yake binafsi.

Nimejitahidi sana kumwita kwenye vikao hata vya familia ili tu tujaribu kuzungum za lakini amekuwa akionesha dharau tu na kusema yeye haitaji ndoa tena anaoa mke mwingine hivyo hawezi kusuluhishwa.

Ingawa Amekuwa akidanganya sana kwenye media. Nilimwuliza Unapata faida gani unapodanganya watu kuhusu mimi?

Akasema yeye amechafuka kwa ubakaji so acha na mimi nichafuke na akasema atahakikisha sifanyi huduma sehemu yoyote labda nihame nchi.

Kama msg hizo angekuwa amezituma bila kuandika na matusi ningezikopi but zaidi kauli zake ni za matusi. Hivyo imefika mahali nimeona bora tuachane kisheria na pia nipate haki yangu maana mume wangu anajivunia mali ambazo hakuzitolea jasho yeye na huku anawatapeli watu kwa kudai kuwa hana pesa maana mimi nimeondoka nazo wakati ni uongo mtupu.

Mimi ninapanda daladala siku hizi sababu sina uwezo wa kuwa na gari hadi niazime kwa marafiki zangu. Mume wangu amekataa hata kumsomesha mtoto sasa hivi nahangaika kutafuta ada ili mtoto arudi shule lakini pesa yote anayo anayo Mbasha.

Sasa sijui hapo ananikomesha mimi au mwanaye.!maana urithi wa mtoto ni elimu bora na mzazi anayempenda mwanaye atapambana ili kuhakikisha mtoto anapata elimu bora.

Nilikaa kimya muda mrefu sikutaka kuzungumza lakini imefika mahali Nimechoka maana huyu bwana hajiheshimu. Tukikutana anasema sio yeye anayepeleka habari mitandaoni.

Ninaomba wanaume wenyewe Mfano wake waache kuwafanyia ukatili wake zao majumbani.Najua wako Wengi sana wanao nyanyasika kama ilivyo kuwa kwangu lakini Hawana sehemu za kukimbilia Hivyo wanavumilia tu na mwisho wa siku wanakufa na kuacha watoto wakiteseka.

Mimi Nilivumilia zaidi ya Miaka 8 lakini imefika mahali enough is enough. Maandiko matakatifu yanasema, ndoa haivunjwi isipokuwa kwa uasherati.

Acha nife kwa mapenzi ya Mungu na sio kwa mapenzi ya mtu..Na ni naamini sitakufa mpaka ndoto zangu zitimie.

Mume wangu ameapa kuwa atahakikisha sifanyi Huduma tena lakini ninasema katika Jina la YESU, kama Bwana aishivyo, mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu Hivyo mmalizaji wa Huduma yangu ni Mungu mwenyewe.

Na sasa ninajipanga kumwimbia Mungu kama sitaimba tena.Wakati mwingine usipokuwa mwangalifu ndoa inaweza kukukosesha ufalme wa mbinguni hasa Ukiingia kwenye ndoa isiyo sahihi. Ninampenda sana mume wangu lakini ninampenda Mungu wangu zaidi. Ahsante.

Nimeamua kuandika Maana Nimechoka kuficha maovu aliyokuwa akinitendea.Nimemtunzia heshima muda wote maana sikutaka jamii imjue ni mtu wa aina gani but yeye anatumia ukimya wangu kama udhaifu so naona bora niweze wazi ili jamii imtambue mimi yamenikuta najua Wapo Wengi tu wanapitia mateso niliyoyapitia mimi.

Kutokana na vitisho wanaendelea kunyanyaswa. That is not fair kwa kweli.Mimi ningekufa Kabla ya wakati wangu lakini namshukuru Mungu niko hao hata sasa na pia ili kuwaonya wanaume wanaume wenyewe tabia kama yake.

Kama umemshoka mwanamke achaneni kwa amani sio kumnyanyasa mwanamke kama alivyokuwa anafanya Mbasha kwangu.

Ninapinga vikali unyanyasaji wa wanawake na watoto majumbani.

Staili Mpya ya Nywele Aliyoweka Zari Yazua Vimaneno Instagram Wengi Wadai Anamuiga Wema Sepetu

$
0
0
Udaku Special Blog
Baada ya Mrembo Zari The Lady Boss kuweka Picha Instagram akiwa na mtindo mpya wa nywele Team Wema Wameibuka na jambo na kusema Anamuiga boss wao Wema Sepetu ..Embu Soma Team Wema Walivyochachamaa..

malkia_wa_insta
Nasikia umemuona madame kashonea nn kapendeza ona sasa unachekwa nywele wamekubundka umekua Kama kibanda cha makuti
Kuiga IGA kubaya Leo tunakucheka ad wenye streess zetu pyeeeeee mama mkubwa tafuta fassion yako

dougiemasta16
zari zari bosslady banange hiv nyie watanzania mnamatatizo gani bibi kaenda zake saloon mwenye kashonea nywele zake vizur zimekaa utasema fagio la nyasi kapendeeza sijapata kuona...mnamcheka wakt mwenyewe kamuonesha mwenye saloon picha ya wema kamwambia anataka style kama hii....sasa nyie kwann mnamcheka...mm mnanikela kwel mala mumwambie nywele kama kofia la boda boda mala kama uyoga wengine mnamwambia kama ganda la chungwa kawakoseeni nini lakin haahhahahah mbona wakorofi nyie watanzania leo nitakuja na bakora nitawachapa mmoja badala ya mwengine haswa wewe @wemaselfies na @shoga_akeeeeee nyie sinimewaambia muwe na adabu kwa bibi yenu eeh kwann hamsikii au mpaka awaachie radhi shauri yenu mtablockiwa ahhajajaahha shauri yenu mwacheni UN summit kasuka amuoneshe baby sasa mpunguze wivu wenu wabongo mnamuonea wivu bibi matende mwenyewe anataka kushindana nanyie aonekane kijana nyie mnamcheka afuu nyie vitoto vya form 1 kwann hamna adabu kwanza shule inagunguliwa lini muondoke tushawachoka ahahhahaha mwacheni mama wa watoto 5

dorahmugendi
Hahahahaaaa rafik.yng nimecheka sana mpaka nimepunguza stress...hii style hapana hata bure sishoni muachie bibi tu....@hunphakarigo

wemasepetu.ommydimpoz
Hhihiiihiii zaituni buanaaa nini sasa icho alichoek kumkichwa heheheheheeh jaman hhh kma ganda la chungwa yan khaaa wemq kapendeza hatar mweee zaitun sjui tuite makuti style


Je Wewe unaionaje Hiyo Staili?


Mwanaume Mwenye Uume Mrefu Afanyiwa Operation ya Kuupunguza, Adai Una Mnyima Mengi

$
0
0
Udaku Special Blog 
Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa kwanza wa kupunguza uume wake. Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la
ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.
Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi 10.
Daktari wa upasuaji Surgeon Rafael kutoka chuo kikuu cha Florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la mail online kwamba ''kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalokuwacha kinywa wazi.
''Swali hilo ni Je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa mdogo''?.
Kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao haui mkubwa wakati unapodinda bali huwa mgumu.
Daktari huyo alisema kwamba wengu hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.
Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo yake.

Amboni Tanga: Askari Polisi wapambana na Majambazi wenye silaha za moto; JWTZ walazimika kusaidia

$
0
0
Picha Aihusiani na Tukio 
Kuna taarifa nimezipata muda sio mrefu zinasema polisi wanarushiana risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi....


Inasemekana walienda kumkomboa mwenzao aliyekamatwa na polisi. Polisi watatu wamejeruhiwa na wameomba msaada toka JWTZ...

Mwenye taarifa zaidi atujuze...

Hatimaye Waziri Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja Kota Wafunguka Kuhusu Ishu Ya Aunty Ezekiel

$
0
0
Hatimaye Waziri wa MaliAsili na Utalii, Lazaro Nyalandu na mke wake Faraja Kotta wamejibu tetesi zilizowahi kuandikwa kwenye magazeti ya udaku kuwa waziri huyo alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel.


Magazeti hayo yaliandikwa kuwa Nyalandu na Aunty walikutana nchini Marekani kwenye hafla ya ubalozi wa Tanzania nchini humo.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Ijumaa hii, Nyalandu amedai kuwa hilo ni jambo ambalo alipenda mno kulitolea ufafanuzi kwakuwa lilipoandikwa watu wake wa karibu walimuuliza pia kutaka kufahamu kama kuna ukweli wowote.

“Unajua mpaka nikaanza kucheka,” alisema Nyalandu.
“Unajua watu wana midomo, watu wanaweza wakachonga lakini michongo mingine inaweza ikawa haina deal kabisa.
Pili hata kwa anayechonga pia anajua anasababisha zogo ambalo anataka lizae matunda na wanajaribu kuliendeleza, unaona wanaliamplify, story ambayo haipo wanaipeleka,” aliongeza.
“Mimi nilifika kama mgeni rasmi kwenye tukio ukiwa mwaliko wa ubalozi na tukio lile lilichukua saa moja na huyo dada anayeitwa Aunty Ezekiel katika maisha yangu nimemuona siku moja, ndo hiyo hiyo siku nimemuona, nilikuwa sijawahi kumuona tangu nizaliwe.

Tumekutana naye yeye akiwa mwalikwa pamoja na madj wengine wa Bongo Flava katika tukio lenye watu wengi watanzania katika nchi ya America.

Mimi nikiwa mgeni rasmi nikatoa vyeti, nikatoa hotuba wakanisindikiza nikaondoka. Kwahiyo kwanza katika hiyo situation ya kuwa America atakuwa aliniona kwa saa moja katika ule mkutano lakini pia nilikuwa sijawahi kumuona katika maisha yangu na sijawahi kumuona tena, yaani ni mtu ambaye sifahamiani naye.

Kuna wasichana wengi sana ambao nilishakula nao dinner, tunakutana nao kwenye chai, yaani hao tu ndio ingebidi waseme. Lakini huyu binti hata namba yake ya simu sijawahi kuwa nayo hata hapa ninapozungumza,” alisisitiza.“Kwanza waliandika kwenye gazeti moja nafikiri ni Jamhuri – lile gazeti ambalo limeniandika mpaka wino umewaishia, yaani wamekosa cha kuandika. Wakasema kwamba ‘Waziri Nyalandu atumia mamilioni ya fedha za serikali na Aunty Ezekiel akiwa Marekani’.

Ikaja kama sensational story. Tukarijibu kiserikali kwamba sio kweli kwasababu yeye alikuwa na safari yake, mimi na safari yangu na haikuwa na uhusiano, ubalozi wa Marekani wakatoa statement.

Lakini baada ya wiki tatu hasa baada ya kutangaza nia ya kwamba itakapofika saa nategemea kuchukua fomu ya chama cha mapinduzi kugombea uongozi wa nchi yetu, nina matumaini makubwa kwamba saa ya kufanya mabadiliko ya aina fulani ya kiuongozi imefika, saa ya kuiongoza nchi hii kwa wakati tulionao imefika na nina matumaini makubwa tutaungana na watanzania wenzangu kufanya jambo la mbele, sasa ile ndio ikaibua vitu vingine.”
“Wakasema ‘huyo Nyalandu sasa huyo dada Aunty Ezekiel ana mimba’ kwahiyo wakasema ana mimba ya mheshimiwa Nyalandu.

Ukweli ni kwamba siku hizi suala la mimba ilikuwa ni zamani unaweza ukasingiziwa. Siku hizi mimba kuna kitu kinaitwa DNA, hata ukichukua tu damu ya kwako na ya kwake sasa hivi unaweza ukaonesha ni kweli au sio kweli. Hakunaga uongo kama huo siku hizi.”

Nyalandu alilisitiza kuhusu kujenga jamii inayosema ukweli na sio kutunga uongo kitu ambacho ni dhambi itakayokufuata mwenyewe.
Awali mke wake, Faraja alidai kuwa habari hiyo haikumsumbua kwakuwa anamwamini mume wake na kwamba sio habari ya kwanza ya aina hiyo kuisikia.

Faraja aliyewahi kuwa Miss Tanzania alidai kuwa ndoa yao haikutetereka kwa kiasi chochote kufuatia uzushi huo.
“Hazikuleta utofauti wowote,” alisema Faraja. “Uzuri sijui niseme nimekuwa sugu. Maneno mengi yameshasemwa kuhusu uhusiano wetu, kuhusu ndoa yetu, kuhusu mapenzi yetu. Lakini katika huo muda wote tukajifunza kwamba uaminifu na upendo ni kitu muhimu sana.

Mkipendana, mkiaminiana maisha hayatoweza kuwatatiza. Na hata kama nikisikia neno kwa mfano leo hii au hata kesho kwangu mimi kwanza natambua kwamba yeye ni kiongozi wa kitaifa, kiongozi wa nchi yetu na ni kiongozi wa familia yangu kwahiyo jambo likisemwa, mara nyingi sana narudi nyuma na kumwangalia yeye kwa mimi ninavyomfahamu , mimi kama mke wake na naamini kwamba mimi namfahamu vilivyo pengine labda katika wanawake ukiacha mama yake mzazi, mimi hapa ndio ninamfahamu sana kuliko wanawake wote.”

“Kwahiyo yaani hainisumbui na ninamfahamu, ninamuamini, ninamheshimu na ninampenda sana.”

JIDE:Gadner Alitembea na Wahudumu wa Restaurant Yangu na Kuwashika Mapaja Wanawake Mbele Yangu

$
0
0
Moja ya Majibu ya Lady Jay Dee Alipoulizwa Swali hili na Shabiki wake: Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume?
JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshma zaidi kuishi na mume asie na heshma, anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi
niko jukwaani naimba.

Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini . Ukiachilia mbali vipigo.
Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.

Majibu ya Ommy Dimpoz kuhusiana na picha zilizoenea akiwa na Ex wa Diamond Platnumz

$
0
0
Miongoni mwa stori zilizochukua headline mitandaoni hata kwenye magazeti ni kuhusu picha ya hitmaker wa ‘Ndangushima’ Ommy Dimpoz akiwa na ex wa Diamond Platnumz ,Wema Sepetu kitandani wamelala pamoja na picha zingine zilizozua mjadala mkubwa


Sasa Juzi Ommy Dimpoz ame amplify kwenye Amplifaya ya Clouds FM na  kusema ;

Ni picha tu mimi naona kama ni picha zingine tu za kawaida,  sasa nimeshindwa kuelewa kwanini labda zimetengeneza sana stori  kwasababu mimi naona sio mara yangu kwanza kupiga picha na Wema hata uki google utaona tunapicha nyingi sana kwa hiyo sijaelewa kwanini zimeleta stori
May be nafikikiri zilizotengeneza stori zaidi ni hizi ambazo zinaonesha tuko chumbani kwasababu mimi nilikuwa nimelala kiukweli  na tulikuwa tunakaa kwenye apartment moja nilikua nimeshtukia picha zipo kwenye mitandao unajua unavyokaa kwenye apartment kwasababu tulienda kwenye matembezi binafsi na washikaji wengine tulikua wengi wengi kidogo tulienda South Africa unajua mnavyokaa kama familia kunakuwa na mambo ya utani utani nimeshtukia tu picha zimeenea kwahiyo hata watu wakiniuliza ninawambia wamuuliza aliyepiga picha hizo'

Millardayo ; “…Wengi wanafahamu kuwa wewe ni mshikaji wa Diamond Platnumz imekuaje sasa hivi kuonekana kwenye picha na Ex wa Diamond Platnumz,Wema Sepetu…?”

Ommy Dimpoz ; “…Sidhani kama kuna tatizo kwasababu hawa wote ni watu wangu nimefahamia nao siku nyingi nimekuwa nao karibu katika kipindi tofauti kabla hawajakuwa kwenye uhusiano mimi tayari ni watu wangu sidhani mimi nianze kuelezea sijui ooh nilikuwa labda na Wema sehemu, Wema ni mshikaji wangu tangia  siku nyingi kwa hiyo  hata kama alikuwa katika  uhusiano na Diamond yakatokea mahusiano yao pengine hayapo sasa  hivi hayawezi kunifanya mimi kuharibu ushikaji wangu kwasababu hivyo ni vitu vyao  personal…“Alisema.

Millard Ayo
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images