Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

Diamond is a True Gentleman, Check Out How He is Taking Care of His Pregnant Zari...

$
0
0

REALMEN
Diamond is a True Gentleman, Check Out How He is Taking Care of His Pregnant Zari...
Any Comments?

Mume Amkata kata Visu Mke wake Mpaka Kufa Baada ya Mke Kulala na Mchepuko Usiku Mzima

$
0
0
Imetokea Tanga juzi Mwanaume kamuua mke wake baada ya mwanamke kwenda kulala na mchepuko na kurudi kesho yake mume wake alivyomuuliza mke kamjibu dry mbaya.. Mume hasira zikampanda na kufanya mauji... Baki njia kuu

John Mnyika Amshambulia Zitto Kabwe Mtandaoni, Vita yao Sasa ni zaidi ya Siasa...

$
0
0
Mkurugenzi wa habari na uenezi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amemshambulia kwa maneno makali hasimu wake na adui namba moja wa Chama chake Mhe Zitto Kabwe kwa kumuita muongo na kwamba amewatumia waandishi wa Habari kuandika taarifa za Uzushi kuhusu Mnyika.

Mnyika ametoa tuhuma hizo dhidi ya Zitto asubuhi hii kupitia akaunti yake ya Twitter na kumtahadharisha Zitto kuwa atamchukulia hatua Kali za kisheria kwa kupitosha mazungumzo ya Mnyika na familia ya Mwalimu Nyerere.

Sasa hivi imebainika kuwa ni vita kamili baina ya Zitto na Mnyika hasa baada ya kubainika tetesi kuwa Zitto anagombea jimbo la Ubungo ambalo liko chini ya Mnyika hivi sasa.

Ommy Dimpoz atoa sababu za kwanini hajawahi kumtambulisha hadharani mpenzi wake

$
0
0

'Sijapenda kuweka wazi sana swala la mahusiano kwasababu inatakiwa mimi niweze kuwa na uhakika kwamba huyu ambaye namtambulisha kwa wananchi ni kweli wakati umefika, kwasababu leo unaweza ukawatambulisha huyu baada ya siku tatu mambo hayaeleweki ukatambulisha mwingine, kwahiyo mwisho wa siku utaonekana kijana unatumia nafasi yako kuweza kuchezea watoto wa kike, kwahiyo najaribu kuwa makini kwa hilo lakini kipindi kitakapofika watu wataweza kufahamu kama Ommy ‘bae’ wake ni yupi' alimaliza

Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji Aonyesha Nyumba yake ya Kifahari

Walimu Watatu Wamchapa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili viboko Hadi Kufariki kwa Kufeli Mtihani wa Kiswahili huko KITETO

$
0
0

Mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Matui wilayani Kiteto, amefariki dunia darasani baada ya kudaiwa kuchapwa viboko na walimu watatu wa shule hiyo, kwa kile kilichodaiwa kufeli mtihani wa Kiswahili. 

 

Polisi wilayani na mkoani Manyara, wanamshikilia mwalimu mmoja baada ya wenzake kukimbia baada ya tukio.
 

Akizungumza jana, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Samwel Nzoka alimtaja mwanafunzi huyo aliyepoteza maisha kuwa ni Noel Bichima (15).
 

Kanali Nzoka alisema tukio hilo lilitokea juzi asubuhi wakiwa darasani, wakati mwalimu huyo anayeshikiliwa na polisi alipokuwa akiwafundisha. Inadaiwa mwanafunzi huyo alichapwa viboko vinane. Haikuelezwa kama alichapwa kiganjani ama sehemu nyingine.
 

Nzoka alidai kuwa mwalimu huyo alimchapa marehemu baada ya kupata alama 40 katika mtihani wa somo la Kiswahili kwani walipeana mkakati wa kutofeli na kwamba mwanafunzi atakayepata chini ya alama 40 atachapwa fimbo 12.
 

“Mwanafunzi huyo alifariki dunia papo hapo darasani baada ya kuanguka chini alipochapwa viboko na walimu hao na mwili wake umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kiteto ukisubiri uchunguzi,” alisema Kanali Nzoka.
 

“Natoa wito kwa walimu wa shule za msingi na sekondari, kuangalia namna ya kutoa adhabu kwa wanafunzi wanapokosea, baadhi ya watoto afya zao siyo nzuri,” alisema Kanali Nzoka.
 

Diwani wa Kata ya Matui, Athumani Kidawa alisema baadhi ya wazazi wa eneo hilo waliopatwa na hasira baada ya kutokea tukio hilo, waliandamana hadi Kituo cha Polisi Matui kulalamikia kitendo hicho.

Aunt Ezekiel Atoboa Kuhusu Wasanii wa Bongo Movies Kujitengenezea ‘Skendo’

$
0
0
Staa mrembo wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘Mama Kijacho’ amesema baadhi ya wasanii wa bongo movies hawajitambui ndio maana kazi zao nyingi hazina mvuto  badala yake nguvu nyingi wameelekeza kubuni skendo wakitarajia ndio zitawatoa kisanaa.

Alisema wasanii wengi wanatumia muda mwingi kutafakari jinsi ya kutengeneza skendo ili watume kwenye mitandao na kuandikwa kwenye magazeti lakini hawana ubunifu  wa kutengeneza filamu zenye ushawishi kwenye jamii.

Aunt ambae kwenye filamu ya Chozi la Wanjaa amecheza kama mke wa Dude alisema kwamba endapo wasanii wanaofanya mchezo huo hawata badilika ni ukweli usiopingika  kwamba soko la filamu  inchni litaendelea kudumaa kama ilivyo sasa.

Ni ukweli kwamba baadhi ya wasanii wa filamu hawajitambui kwani akili yao wameelekeza kwenye kutengeneza skendo badala ya kubuni namna ya kuigiza filamu ambazo zinaweza kuwa na mvuto kwenye jamiiinayoziangalia kinyume na hapo tutaendelea kusaka wachawi wanaoua soko letu’- Aunt Ezekiel alilieza gazeti la Filamu

Mdau una maoni gani juu ya hoja hii ya wasanii kutengeneza skendo, je ni kweli? Msanii gani unahisi ndio kazi yake.

Baada ya Kupata Nafuu, Hili ndilo Neno la Shukrani Kutoka kwa Wastara

$
0
0
“Shukrani kwako uliyeniumba na ukanipa pumzi ya bule bila kukulipa chochote. Asante kwa wale wote wenye kuniombea mema na kunitakia mafanikio.  Asante pia kwa wale wenye kuniombea mabaya mnanipa changamoto ambayo inanifanya nikaze buti kusaka mafanikio kwa kujua sio wote wanaonipenda nasio wote watalia  leo nikianguka kimaisha au kufa asante kwa mnaonipa ushauri . Asante mnaonifariji naamini bila watu hakuna mtu mimi ni mtu nyinyi ni watu naendelea vyema na mtaendelea kupata huduma zangu za aina yeyote na nahitaji kuwapa mambo mazuri zaidi kisanaa na kibiashara kwa uwezo wa Mungu”- Wastara ameandika mtandaoni

Hivi majuzi Wastara alipata ajali ya gari aliyomsababishia majeraha madogo usoni.hivi sasa anaendelea vizuri zaidi.

Ndoa ya Shetta imevunjika…Mke Aondoka Nyumbani Week Sasa ..Sheta Amnunulia Gari ili Kumrudisha Lakini Mke Kakataa..Kisa Rose Ndauka

$
0
0
Wiki kadhaa sasa zimepita toka tuweke skendo ya Mwanamuziki Shetta Kulala Hotel na chumba Kimoja Huko Morogoro Walipokwenda Kwenye mazishi ya Abdul Bonge..

Sasa kilichofatia baada ya Skendo hiyo ni mke kuondoka nyumbani  baada ya skendo hiyo kuzagaa mitandaoni na magazetini na Baada ya baadhi ya watu kumzibitishia..

Shetta mwenyewe amekiri walilala Hotel moja lakini sio chumba kimoja kama watu wanavyosema ..
Shetta kwa sasa yupo katika harakati za kumrudisha mke wake nyumbani ili walee mtoto wao amemnunulia gari aina ya Toyota Mark X lakini mkewe bado amekataa kurudi nyumbani..
shettatz" Asante Mungu kwa hichi kidogo ulichonipa Mamake Qayllah na mwanangu @officialqayllah kidogo nao wajisikie raha #StriveForGreatness #ShikoroboTourLoading "

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Tarehe 23 April 2015

$
0
0






























Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Alhamisi  ya  Tarehe  23  April  2015

Watu 10 Wafariki Dunia Baada ya Basi la kampuni ya Unique Kugongana na Gari la Coca Cola

$
0
0
Habari  zilizotufikia  zinaarifu  kuwa  basi la Unique lenye namba za usajili T148 BKK likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora limegongana uso kwa uso na lori la kampuni la Cocacola katika kijiji cha Ibingo kata ya Samuye Shinyanga.

Watu 10 wamefariki na  50 wamejeruhiwa.Majeruhi wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga.




Mpekuzi blog

My Husband Wants A Divorce Because I Slept With My Ex, What Can I Do?

$
0
0
Dear Udaku Readers,

I’m in a serious crisis in my home and I need help to get myself out of this mess otherwise I will be thrown out of my matrimonial home by my husband.

Please I beg you keep my name secret. Trouble started for me few weeks back when I was travelling to the university I passed out from to clear some documents and ‘sort’ one of my lecturers who whose course I didn’t really do wein.

I got to Abuja very late that night and I couldn’t get a bus to school due to the security situation, while trying to locate a small hotel where I can just spend the night I ran into my ex-guy who is now based in the city. He convinced me to pass the night in his place since he was single and lived in a two bedroom apartment, I accepted but when my husband called me I lied that I’ve gotten to school.


Later that night my ex came to my room and gave me a laptop as a gift, as if he knew I needed one badly. I was torched and one thing led to another and soon I was on top of him and we had great sex, I must admit. He dropped me at the park the next morning and on our way to Gwagwalada the bus was attacked and I lost the laptop and my bag with all my money.

I had to call my husband, not knowing that he had even confirmed that I didn’t get to school the previous night. He called me a Love Peddler and a liar. He said his friend saw me with a man leaving a hotel in Abuja city and that his friend even sent him a picture of us... I cried on the phone and begged him but he asked me to "go back to that man".

Now am back to Lagos but things are not ok at all, my friends have helped to beg him but he refused and I can’t involved my parents, I'm ashamed! Please I need readers to help me out.

What can I do to appease my husband?

This is How Kenyan Socialite Risper Faith Goes to Church!!

$
0
0
This is How Kenyan Socialite Risper Faith Goes to Church!! Ulala...Her Pastor must be a true man of God if he isn't tempted by this...See photos below



No Doubt ! DIAMOND’s Lover is the Real Definition of a s3x goddess…This Woman Has Killer Looks

$
0
0

Put aside those team Fulani and Fulani ,No Doubt ! DIAMOND’s Lover is the Real Definition of a s3x goddess…This Woman Has Killer Looks..Do u agree? See photos below



Ndoto za Aunty Ezekiel za Kwenda Kujifungulia Marekani zagonga Mwamba..Daktari Ampiga Stop

$
0
0
Ndoto ya Mwigizaji Maarufu na mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel ya kwenda kujifungulia nje ya nchi zimefikia ukingoni baada ya daktari wake kumwambia amechelewa kusafiri kwani kwa miezi aliyofikia w
akati huu hairuhusiwa kwa kusafiri kwa kutumia usafiri wa ndege kwani ni Hatari

Kitaalam mjamzito akishafikisha zaidi ya miezi saba ni hatari kusafiri kwa usafiri wa ndege kwani inaweza kusababisha presha ya mama kushuka kwa ajili ya kubadilika kwa hewa ndege ikiwa angani ..Hivyo masharika ya ndege yana utaratibu wao wa kuwakataza mama wajawazito wa miezi hiyo kusafiri kwa usafiri huo bila ruhusu ya daktari ..

Aunty alikuwa amepanga kujifungulia Marekani na alikuwa ameshajitayarisha kwa Safari hiyo..

Udaku Special Blog

Injinia wa Majengo Adai Nyumba ya Diamond imejengwa Chini ya Kiwango..Amshauri Diamond kufanya Haya

$
0
0
Kutokana na Kuanguka kwa upande mmoja wa ukuta wa uzio wa Nyumba ya Diamond Gazeti moja maarufu limeongea na injinia mmoja wa majengo aitwaye Injinia Stuart na kusema kuwa ukuta huo inaonekana umejengwa kwa ratio ndogo sana hivyo ni rahisi kuanguka..

Aidha injinia huyu wa majengo amesema japo nyumba inaonekana ina marembo mengi na nzuri lakini kama nayo ilijengwa kwa ratio hiyo iliyotumika kujenga ukuta basi kuna hatari ya nyumba yote kuanguka hapo baadae , Injinia huyo amemshauri Diamond Kuleta wataalamu na kuipima nyumba yote ili isije kuleta madhara makubwa

Diamond alifuatwa na kuambiwa lakini mwenyewe alisema kuwa fundi aliyejenga ukuta ni tofauti na aliyejenga nyumba hivyo anaamini nyumba ilijengwa katika ratio nzuri..

Udaku Special Blog

Picha: Bilionea Namba Moja Africa Dangote Akagua Ufukwe Atakao Jenga Bandari yake ya Kisasa Mtwara

$
0
0
Biionea Alhaji Aliko Dangote amekabidhiwa hekari 2,500, katika halmashauri ya Wilaya ya Mtwara ili ajenge bandari itakayotumika kusafirisha saruji kutoka kiwandani hapo kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.



Mfanyabiashara maarufu Afrika, ambaye ni Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Viwanda vya Dangote Group of Industries, Alhaji Aliko Dabgote akinyoosha mkono kuangalia eneo la ufukwe wa Bahari ya Hindi katika Kijiji cha Mgao, Kata ya Maumbu, Tarafa ya Mayanga, Mtwara Vijijini, ambapo atajenga bandari yake ya kisasa kwa ajili kusafirisha saruji itakayozalishwa kwenye kiwanda chake kikubwa kinachojengwa katika Kijiji cha Msijute.
Alhaji Dangote akishuka kwenye ndege na kulakiwa na Mwakilishi Mkazi wake hapa nchini, Esther Baruti

Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Shaa (kushoto) akimuonesha Dangote eneo la uwanja aliopewa na wanakijiji kwa ajili ya ujenzi wa mkazi yake. Kijiji nacho kitanufaika na Dangote ambaye atawajengea shule, hospitali pamoja na miradi mingine ya maendeleo


Msafara wa Dangote ukitumia magari kutembelea kiwanda cha saruji kinachojengwa

Zitto awajibu CHADEMA juu ya fedha za ziara za ACT- Wazalendo mikoani

$
0
0
Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwa anashangazwa na viongozi wa CHADEMA kuhoji anakotoa fedha za kugharamia mikutano na ziara za ACT-Wazalendo pamoja na kujinadi kwa wananchi.

Zitto amewajibu jibu jepesi kwa kusema “CHADEMA walianza bila ruzuku, waulizeni fedha za ziara zao za kuzunguka kwa helkopta nchi nzima walizitoa wapi? Kule walikopita ndiko na mimi ninakopita huku na huko” alisema huku akishangiliwa na maelfu ya wananchi jijini Mwanza katika viwanja vya Furahisha

Alifafanua kuwa fedha za chama chake wanazofanyia ziara zinatokana na michango mbalimbali ya watu wenye nia njema na chama hicho, Zitto pia aliwataka wananchi wa Mwanza kuchuja na kuchagua uzalendo. “Chujeni mtu mwenye hoja twendeni tukaijenge nchi”

Baada ya kuambiwa anatumia ARV, Amanda poshy aamua kuonesha majibu yake ya “ngoma"

$
0
0
Baada ya ile story iliyozagaa mitandaoni kuwa  mwanadada Amanda poshy anatumia ARV (Dawa ya kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI) hatimaye leo, mwanadada huyo ameamua kuudhihirishia umma kuwa yeye yuko safi, na habari hizo ni uzushi tu na yenye lengo la kumchafua kwenye jamii baada ya kuamua kupima na kuweka majibu yake ya vipimo vya “ngoma” hadharani  kwenye mtandao mmoja wa kijamii.

Katika picha hiyo mwanadada huyo aliandika kuwa ni vizuri kucheki afya yako mara kwa mara, picha iliyokuwa ikionesha kuwa majibu hayo ya ngoma yanaonesha kuwa mwandada huyo yuko HIV NEGATIVE.

Je wewe umepima? Majibu yanasemaje? Au ulikimbia majibu?

“Ukiingia Kichwakichwa Bongo Movies, Unaondoka na Ngoma”

$
0
0
Staa anayechipukia vizuri ndani ya Bongo Movies, Suzan  Odero  ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma).

Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima watoe rushwa ya ngono ndiyo hapo wanapokutana na tatizo hilo.

Jamani kama mtu siyo muangalifu utajikuta hupati nafasi ya kucheza filamu na ngoma umeibeba na kuhangaika nayo mitaani bila sababu yoyote,” alisema Taiya.
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images