Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live

Alie Msafi Kuliko WEMA SEPETU Awe wa Kwanza Kuokota JIWE na Kumpiga..Tunahitaji Mwakilisha wa Kutusemea Bungeni..WEMA Uwezo Huo Unao Sina Shaka

$
0
0
Marehemu AMINA CHIFUPA(Mungu mrehemu)
Alipoonyesha nia ya kutaka kuwawakilisha vijana bungeni wengi wambeza sn,walimtukana sn na majina yote akaitwa lkn mwisho wa cku kila mtu aliona umuhimu wake...
Mh JOSEPH MBILINYI(mr sugu)

Alitangaza nia ya kuwawakilisha watu wa mbeya walimbeza sn,walimtukana sn na majina yote aliitwa lkn leo anaitwa rais wa mbeya...

MH VICKY KAMATA alitangaza nia ya kuwawakilisha wanawake weng walimbeza,walimtukana sn na majina yote mabaya wakamwita lkn leo wamama wanajivunia uwepo wake...
Marehemu JOHN KOMBA(Mungu mrehemu) alipotangaza nia ya kuwawakilisha watu wa kwao,weng walibeza,walimtukana na majina mabaya yote walimwita lkn mwisho wa cku watu wake walifurahi kwa uwakilishi wake..

Mh mama yetu Mch GERTRUDE RWAKATALE alitangaza nia pamoja na kuwa na kofia ya utumishi wa Mungu lkn hakuna jina mbaya hajawahi kuitwa lkn leo wana moro huwaambii kitu kwa mama huyu....

NISEME NINI BASI UNIELEWE KILICHOMO NDANI YANGU...MUNGU AKUFUNULIE UELEWE NINI NATAKA KUMAANISHA @wemasepetu.
Bungeni sio nyumba ya ibada kuwa mwakilishi wake lzm asiwe na dhambi.Watz hatuhitaji asie na dhambi kutuwakilisha bungeni.....tunayo tayari makanisa/misikiti ya kuhitaji viongozi wasio na dhambi,Hatuhitaji Wema utuonyeshe njia ya kwenda mbinguni,tunahitaji mwakilishi wa kutusemea matatizo yetu.

HAKUNA ALIE MSAFI CHINI YA JUA,SIO KWASABABU DHAMBI ZAKO UFANYAZO HAZIJAJULIKA WAZI UKAJIHESABIA WEWE NI MWENY HAKI KIASI CHA UTHUBUTU WA KUHUKUMU WENGINE.

Hivi leo Mungu aweke screen ya matendo yetu ni nani miongoni mwetu ATASIMAMA!!!??? Je waliopo bungeni ni wasafi????je hawana dhambi ?je hiyo imewaondolea sifa ya uwakilishi???? @wemasepetu tunahitaji mwakilishi wa kutusemea wanawake,wewe uwezo huo UNAO sina shaka hata chembe ktk hilo.Tuko nyuma yko mama,begakwabega nawe hadi kuapishwa @wemasepetu

ALIE MSAFI KULIKO WEMA NA AWE WA KWANZA KUOKOTA JIWE KUMPIGA


Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'

$
0
0
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

Kweli ama si Kweli?

Huddah Monroe Shows Off The Love of Her Life (PHOTO)

$
0
0

Popular socialite Huddah Monroe is in love. Or at least that’s what she wants us to think..you can never trust these socialites especially Huddah, who was recently caught in a lie after she posted photos she stole from another profile and purported to be hers.

The lucky man or unlucky man, whichever way you deem fit, in Huddah’s life is apparently a self made millionaire. The socialite lifted the lid on the identity of the lad but only for a while before she took down his photos.

Contrary to popular belief, the lad is not an aging sponsor.

She posted: ‘The Love of My Life..’
Everything about this screams fake!

Wema Sepetu kathibitisha anagombea Ubunge !! kayazungumza hapa na ya boyfriend wa Linah.

$
0
0
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Abraham Sepetu leo June 16 kupitia kipindi cha Ala za Roho ya Clouds FM amefunguka kuhusiana na kuchukua fomu ya ubunge wa viti maalumu mkoani Singida pamoja na ishu ya kutoka na boyfriend wa msanii Linah.

Akizungumza na Diva Loveness wa Ala za Roho alisema..”Sasa hivi niko singida kwenye maandalizi ya kuchukua fomu kwasababu nagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida, kwa hiyo nimekuja huku kuja katika kuamasisha vijana wajitokeze kujiandikisha kwenye daktari la kupigia kura, nimekuja kujiandikisha huku kwa sababu mama yangu ni mtu wa singida so nimejiandikisha tayari tukutane 15 tena kuja kuchukua fomu, kwasababu fomu zinatoka tena tarehe 14 mwezi wa saba so inshallah tuombe uzima, kampeni zimeshaanza zile ndogo ndogo nashukuru Mungu naendelea vizuri nahitaji support kwa jamii

Diva:“…I Know about kampeni za chini chini ambazo ulikuwa unafanya kwa muda mrefu kwaajili ya kugombea Ubunge na umepiga picha kwa Raqay tayari ukiwa na mavazi ya CCM si ndio kampeni pale iko pale pale au??…”

Wema:“…. Yes nimefanya so ama nilikuwa nazungumza na mangement yangu ambayo yupo Martin kadinda na pia yuko Petiman  ambaye yupo katika suala zima la kampeni yangu so watanzania wajue tu yes  nitachukua fomu ya kugombea Ubunge wa viti maalumu ya mkoani Singida and tutaona uko mbele itakavyokuwa kwasababu hiki ni kinyang’anyiro naingia katika ni kama vile naingia kwenye mapambano yaani vitaani so kuna kupata na  kukosa lakini si fikiri kukosa kwasababu mtu ukifikiri kukosa unajiweka kwenye negative side sana lakini najua kwa nguvu za watanzania na kwa nguvu za wananchi wa Singida wataweza kuniamini na kunipa kura zao.

Katika mahojiano hayo Diva alimuuliza Wema Sepetu kuhusu ishu ya kuwa na mahusiano na boyfriend wa Lina alisema”...Huwezi amini hizo habari si za kweli kwasababu tulikuwa tunafanya project  zinakuja ila nimeshangashwa kuona kwanini Lina ameenda on air kwenye kipindi na kuzungumza hizo habari kuwa natembea na boyfriend wake naomba watu waelewe kwamba sikweli…”

Millardayo.com

Jaji Mkuu Mstaafu na sasa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Augustino Ramadhani amechukua Fomu kuwania Urais kupitia CCM

$
0
0
Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

Nahisi kama Jaji Ramdhani ndiye atakuwa mgombea kupitia CCM, na mgombea mwenza wake atakuwa Dr Asha Rose Migiro, turufu hii ikishindwa basi CCM watampitisha Dr Augustino Mahiga na mgombea mweza wake atakuwa mama Amina Salum Ally.

Chama tawala nchini Rwanda, RPF kimebariki Rais Kagame kugombea Urais kwa Muhula wa tatu, kinyume na Katiba ya Rwanda inayotoa mihula miwili tu

$
0
0
Rwanda President Paul Kagame's bid to run for a third term has been endorsed by senior members of the country's ruling party, paving the way for a constitutional amendment.

The ruling Rwanda Patriotic Front (RPF) approved the bid even though the country's constitution provides for two presidential term limits.

RPF issued a statement on Monday backing a constitutional change after about 600 high-ranking members held a two-day retreat in the capital Kigali.

"Based on the wishes of Rwandans and party members that have been recently expressed, we support that the [constitution]... should be amended," the RPF statement read.


Kagame is coming to the end of his second seven-year term and has argued that the constitution had been drawn up by the people and they can determine any changes to the charter.

Instead of an opposition, over 3.6 million people signed a petition urging parliament to change the constitution to allow Kagame to run.

In early April, he said he disagreed with initiatives to amend the constitution but was "open" to being convinced otherwise.

However, observers say most of the people who signed the petition did so under duress.

Kagame has since addressed the claims.

"If the allegations that some people have been forced are true, that's a concern and you should also have that concern," Kagame told RPF members.
Kagame's criicis say he tramples on media and political freedoms, and does not deserve a third term.

But supporters argue Rwanda has made significant progress since the 1994 genocide and Kagame would transform the country into a middle-income country by 2020.

While Rwanda has remained relatively peaceful under Kagame's leadership and the RPF's plan for a third term, neighbouring Burundi under similar circumstances has declined into civic unrest.

Burundi President Pierre Nkurunziza expressed interest in a third term bid on April 25 and the announcement triggered weeks of violent protests by opponents who said the move violated the constitution.

But analysts do not anticipate a similar eruption in Rwanda if Kagame runs again.


Source: Theafricareport.com

Dr Kessy Anakuletea Dawa za Kutengeneza Hips, Makalio, Nywele na Nguvu za Kiume Kwa Kutumia Dawa za Asili zisizo na Kemikali

$
0
0


Kifaa cha Kurefusha uume Kinachouzwa 160,000
Pendeza na Dr Kessy Products 
Ni dawa za Asili zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka

1.Refusha Nywele na zisikatike  45,000/
2.Ondoa Mvi Sugu kichwani  45,000/
3.Toa Michirizi Mapajani, Chunusi na Madoa mwilini 40,000/
4.Punguza tumbo na Manyama uzembe 45,000/
5.Mkanda wa Kufunga Kupunguza tumbo 70,000/
6.Tengeneza Shepu Hips na Makalio  45,000/ ,Vidonge 80,000/
7.Ongeza Nguvu za Kiume  Jelly 45,000/ , Vidonge 60,000/
8.Ongeza Ukubwa wa Maumbile ya kiume Jelly 80,000/ , Mashine 160,000/
9.Kuongeza Mwili Mzima 40,000/
10.Kupunguza Mwili 45,000/
11.Kupunguza Maziwa na Kuyasimamisha 40,000/
12.Ongeza Mguu uwe wa Kupendeza 45,000/
13.Rudisha usichana ama Bikira 55,000/
14.Ongeza Hamu ya Kula 40,000/
15.Ongeza Hamu ya Kufanya Mapenzi 55,000/
16. Fanya mwili Kuwa Soft 60,000/
17. Dawa ya kutoa Michububuko kwenye mapaja 45,000/
18. Dawa ya kutoa maji maji sehemu ya siri na kukuacha mkavu 55,000/

TUNAPATIKANA DAR NA MIKOA YOTE, HUDUMA ZINAFIKA POPOTE ULIPO , 
DAR TUPO KARIAKOO MSIMBAZI NA POSTA  MPYA

PIGA SIMU: 0719955528, 0756259180 au 0785371237

Post Nyingine ya Wema Sepetu… Marehemu Baba yake Alimsogeza Kwenye Siasa?

$
0
0
Jana Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu aliingia kwenye Headlines baada ya kutangaza kwamba anahitaji kuingia kwenye siasa rasmi kabisa.

Post nyingine ni hii aliyoweka saa chache tu kwenye ukurasa wake @Instagram, haya ni mengine kuhusu yeye na Ubunge>>>

Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri… Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa… Vitabu vya dini vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya… Pale Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu…. Maana nilikuwaga ni kipenzi cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa akiniita Miss World wake…. Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa ilikuwa ni kama uji na mgonjwa… And I remember nilimwambia ,”Daddy Sepetu NO sitoweza” … Alikuwa heart broken sana maana alihisi nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi wa kufanya International Business na sio hata Political science au chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo… But hakukata tamaa… Akazidi kuniambia naweza na nilizidi kukataa… Daddy Sepetu wangu This is for u…. Leo hii nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa kujiingiza kwenye Siasa na kuona wat it has in store for me… Najua you are looking down on me smiling… Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni my Darling Mother nae pia amechangia kiasi kikubwa sana… Nawapenda sana wazazi wangu maana wanajua Whats Best for me… Haya sasa naingia vitani… Na sitokubali Defeat… Tho kuna mengi yanaweza tokea… Namkabidhi Allah yote…. Na niko tayari kwa chochote… Penye nia siku zote njia haiwezi kukosekana

Ni kweli Irene Uwoya ana mimba? Msami kazungumza hapa na Soudy Brown…#Uheard (Audio)

$
0
0
Soudy Brown leo kasika akizungumza na msanii wa Bongo Fleva Msami baada ya kuwepo na uvumi kuwa msanii huyo amempa ujauzito msanii wa bongo movie Irene Uwoya.

Awali alikanusha taarifa lakini baadaye akadai kuwa hana uhakika na endapo ni kweli  basi ni ya kwake huku akimtaka Soudy amtafute mwenyewe ali ajue ukweli.

Isikilize hapa mtu wangu..

Hali si shwari ndani ya FIFA, kashfa zazidi kufichuliwa !!

$
0
0
Wapelelezi wanaofatilia kashfa ya rushwa inayohusu shirikisho la soka ulimwenguni FIFA wameahidi kufichua makubwa zaidi baada ya kugundua siri nzito zilizojificha kwenye mchakato wa kuchagua mwenyeji wa kombe la dunia.

Wapepelezi hao wakiongozwa na Mwanasheria mkuu wa Uswisi, Michael Lauber wamesema kuwa kuna matukio karibu 53 ya uchakachuzi na utakatishaji haramu wa fedha ambayo yamegundulika kwenye michakato tofauti ya kumpata mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia na matukio haya yamehusishaa watu wazito ambao kama yatagundulika undani wake yatazua hofu na utata mkubwa.

Mwanasheria huyo ameonya kuwa hatajali kama upelelezi wake utasababisha hasara ya fedha  au kupokonywa uwenyeji kwa nchi za Urusi na Qatar na anachojali ni ufanisi wa kazi yake na si kitu kingine.

Imedaiwa kuwa upelelezi huu unahusisha kuhojiwa kwa viongozi wa juu wa FIFA akiwemo rais wa zamani Sepp Blatter ambaye hivi karibuni alitangaza kujiuzulu siku chache baada ya kuchaguliwa kwa kipindi cha tano.

Rais wa Fifa wakati akitangaza mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2018 .
Rais wa FIFA wakati akitangaza mwenyeji wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2018 .

Viongozi kadhaa wa zamani wa FIFA wakiwemo Mmarekani, Chuck Blazer na rais wa zamani wa chama cha soka cha Trinidad and Tobago, Jack Warner wameahidi kutoa ushirikiano kwa wapelelezi huku wakiahidi kuwa watazungumza bila kuficha.

Jerry Muro Afukuzwa Yanga !!! Ukweli Huu Hapa ..Mwenyewe Atoa Tamko Kuhusu Habari Hizo za Kufukuzwa

$
0
0

Mkuu wa Kitengo cha habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga,Jerry Muro amekanusha kutimuliwa kwenye klabu hiyo kwa utovu wa nidhamu.

Taarifa zilizoandikwa na gazeti la Uhuru zinasema kuwa habari kutoka kwa mmoja wa viongozi wa klabu hiyo,ambaye hakutaka kutajwa jina lake kwa kuwa si msemaji alisema kuwa Muro ametimuliwa baada ya kufanya kazi kinyume na maagizo ya uongozi wa klabu hiyo.

Kiongozi huyo alisema kikao cha dharura cha kumfuta kazi kilifanya juzi jioni kabla ya maazimio kupelekwa kwa mwenyekiti wa klabu hiyo.Yusuf Manji.

Baada ya taarifa hizo Jerry Muro alijibu tuhuma kwa kusema hivi… Ndugu zangu nimepigiwa Simu nyingi Sana na asubuhi hii nimeona Kwenye gazeti ka uhuru kuhusiana na taarifa zangu za kuondoka Yanga wakati natafakari hatua za kuchukua dhidi Ya upotoshaji huu wa Habari naomba niseme Jambo moja Muhimu mimi Bado Niko Yanga Kama Mkuu wa idara Ya Habari na Mawasiliano na mimi Bado mwanachama hai wa Yanga Mwenye kadi No 028508 Niko Yanga na nitaendelea kuwa Yanga Miaka mia,wasalamu jerry muro….

Ben Pol asimulia alivyonusurika kifo kwenye ajali ya boti kisiwani Mbudya

$
0
0
Ben Pol asimulia alivyonusurika kifo kwenye ajali ya boti kisiwani Mbudya
Msanii wa Bongo Fleva,Ben Pol amesimulia alivyonusurika kifo baada ya boti waliokuwa wakisafiria wakitokea visiwani Mbudya,jijini Dar kuzima ghafla katika ya bahari na kukaa kwa muda wa saa nzima bila kupata msaada.

Ben Pol alisema kuwa baada boti kuzima maji yalianza kuingia ndani  na engine ya boti ikazimika na boti hiyo ikaanza kuzama kilichowaokoa walikuwa wamevaa makoti ya kuogelea ‘life jackets’.

‘’Baada ya kukaa kwa saa nzima baharini kwa bahati nzuri ilipita boti ya wavuvi ikatuona ikatuokoa ila mmoja wetu hakuwepo kati ya tuliokolewa na hatujamuona ambao ni wanawake watatu, watoto hao walikuwa watatu, wanaume tulikuwa nane, lakini mmoja ndiye hatujui alipo.’alisema Ben Pol.

Ray 'Chuchu Hans si Mpita Njia ..Ana Sifa zote za Kuwa Mke Wangu..Hapo Alipo Anasubiri Ndoa tu'

$
0
0
Imelda Mtema
NYOTA mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans, ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke.

Kwa sababu hiyo, alisema siyo jambo zuri kufikiri kila anapotoka katika mitoko yake ya usiku awe naye kwa kuwa mke hafai kuwa mtu wa kuzunguka naye usiku kama hakuna ulazima wa kufanya naye hivyo.

Kama hivi, mimi nimekuja hapa kwenye shughuli ya ZIFF, kitu hiki kinanihusu peke yangu, hakuna haja ya kumsumbua kuja naye, yule ni mke, siwezi kumtembeza pasipo ulazima wa kutufanya kuwa pamoja,” alisema.

Wema Sepetu afunguka sababu ya kutompigia ‘debe’ Diamond kwenye tuzo za Killi

$
0
0
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu ametajwa kuwa ndiye aliyechangia kwa kikubwa  ushindi wa tuzo tano za Killi za msanii wa Bongo Fleva,Ali Kiba kutokana na kumpigia debe mara nyingi kupitia akaunti yake ya Instagram.

Akifunguka kupitia 255 ya XXL,Wema alisema kuwa Ali Kiba alimuomba ampigie debe kwenye akaunti yake ya Instagram,kwani hata msanii huyo aliwahi kumpigia debe alipowania tuzo za Watu ndiyo maana alifanya hivyo.

Hata hivyo alipoulizwa mbona hakumpigia debe aliyekuwa mpenzi wake,Diamond Platinum ambaye ni hasimu wa msanii Ali Kiba,alisema kuwa Diamond hakuwahi kumuomba ampigie debe kama angemuomba angefanya hivyo kwani hana tatizo na msanii huyo.


  • ‘’Sina tatizo na Diamond kama angeniomba nimpigie debe Instagram ningefanya hivyo,’alisema Wema.

Sintah Amchana Mbaya FAIZA ALLY Amwita Mcharuko Kuliko Dagaa Kwenye Chungu

$
0
0

Lile vazi la Faiza Ally KTMA lamfanya Sintah kuropokwa haya kuhusu Faiza:

'Wakati mwingine lazima ujiulize hivi sie binaadam zimo kichwani ama, mtoto mwenye heshima aliyezaliwa na wazazi wake no matter what hawezi kufanya huu ujinga, huyu ndio maana sugu alimpiga chini maana aliona mbali, mtu anawakilisha jimbo anakuwa na demu mcharuko zaidi ya dagaaa katika  chungu? uvaaaji gani huu yarabi but somehow i blame kwa waliotoa kadi maana utapelekaje watu kama hawa katika awards? mnaacha kuwapa watu wa maana na shughuli zao mnawapa watu wanaokuja kutega mingo, maana kama sio kutega mingo hiki ni nini?? anyway Mh Sugu kaa na mzazi mwenzio umwambie maana tangu aachane na wewe naona zimemruka kichwani , hata kama hupo naye ila ana mtoto wako unakubalije mama wa mtoto wako akafanya haya maajabu ya kishetani  bora ajiuze kimya kimya kuliko kama hivi watu wanasema demu wa Sugu mptuuuu kwakweli Faiza unatia aibu  unajaribu so hard lakini wapi?? tatizoooo nyota ipo siku utakunya stand wewe kwa mwenendo huu wa kutaka umaarufu kiulazima

kwani hujawahi kuona watu wakienda sehemu kama zile wanatakiwa wavae nini?? halafu siku hizi wanaume wamejanjaruka hawataki cheap products kajipange upya

ila marafiki wabayaaa na ma snitch sasa mnamuachaje anatoka hivi ama ndio hasikii kupitiliza yaaani mie ndiye ningekuwa but haiwezi kutokea nikawa rafiki yake ningemchapa kwanza its so disgusting, nasty ptuuuuuuu' By Sintah


FAIZA ALLY Ajibu Mapigo Baada ya Kukerwa na Kauli ya SINTAH..Adai Sintah ni Mshenzi Mpaka Anaficha Mtoto Aliye Mzaa

$
0
0
Faiza Ally yamemfika mwisho na kuamua kufunguka haya hapa chini kuhusu Sintah...


IMEFICHUKA: ‪Team AliKiba‬ wataipenda hii... Huu ndio ukweli kuhusu ile Gari ya Mil. 700 ilayodaiwa Zari amemnunulia Diamond Platnumz

$
0
0
Zari: Many thanks to ma bro Katsha the king of rides, for making it happen, Ma boo couldn’t stop thanking me I guess it’s always good to have a gal who’s got ya back…. thanks once again. Watch the space # NewVideoTingz!!!!!

Kama hujaelewa ni kwamba hii Gari ni ya Shemeji yake Diamond na aliiazima kwa ajili ya kushuti Video

Wema Sepetu Akiri Kutoa Mimba, Sheria za Nchi Zinasemaje?

$
0
0
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akifanya mahojiano kwenye kipindi cha Take One hapo jana amekiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba

Kanumba alikuwa akimwambia kuwa nitakudai watoto wangu, kauli hii inamaanisha kuwa alitoa mimba zaidi ya moja.

Akizungumzia kuhusu kupata mtoto amesema anatamani sana kuwa na mtoto lakini ndio hivyo tena kahangaika sana lakini hajafanikiwa.Anadai labda wakati anatoa kuna vitu viliguswa ndio maana hafanikiwi kupata mtoto.

Anasema anajuta/hajuti kukosa mtoto.

Pia amekiri alihongwa BMW,kuhusu MURANO anasema lilikuwa na matatizo ya shockup na halikuwa katika hali nzuri.

Sheria za Tanzania haziruhusu suala la Utoaji wa mimba katika Criminal Procdure Act ,1985 .
Katika sheria hio hio suala hili limejumuishwa katika makosa ya "Murder" ambayo makosa yake yanaweza kwenda kifungo cha maisha au kifo

Katika jedwali la Adhabu inaonesha adhabu zifuatazo kwa watu wanaotoa au kushiriki kutoa Mimba


150.Attempt to procure abortion. -Imprisonment for fourteen years.
151.Woman attempting to procure her own abortion. -Imprisonment for seven years.
152.Supplying drugs or instruments to procure abortion. -Imprisonment for three years
Katika jamii yetu kuna watu ambao aidha kwa mazuri au mabaya yao wamekuwa wakiangaliwa na watu wengi.Vyombo vya habari pia vimekuwa vikiuza kwa kuwataja kutokana na scandals zao.

Hapa namwongelea Wema Sepetu ambaye yeye pia anaandikwa sana hasa na Magazeti ya "Udaku"

Magazeti haya yanasomwa sana na jamii kubwa ya watanzania hasa kutokana na hali zetu za elimu na "mazingira"

Huyu Binti amefikia hatua ya Kusema "Proudly" kuwa alitoa mimba kwa sababu hakuwa tayari,hili amelisema wakati akihojiwa na mtangazaji Zamaradi mketema wa Clouds TV;

Implication yake ni nini?


Kwa wale wasio na uelewa mpana wataona kwamba ni sawa tu kutoa mimba kwa sababu wema ameongea proudly NA hakuna kilichofanyika
Serikali inadhalilishwa wazi kuwa watu wanapigia kampeni suala la utoaji wa mimba kuwa ni halali tu
Taasisi za Haki za binadamu hazifanyi kazi ipasavyo kiasi cha watu kama hawa kuachwa bila kukemewa.Huyu binti ameua na amekiri kwa mdomo wake kuua.
Vyombo vya haki ya mama na Mtoto vinashindwa kuchukua hatua stahiki hata katika mazingira yaliyo wazi


Wito wangu;

Wahusika niliowataja hapo juu wachukue hatua ili kuiepusha jamii yetu na mambo kama haya.

By Chachu Ombara and Gracious on JF

Nairobi LADIES can be heartless….. Read this man’s SUICIDE NOTE in detail

$
0
0
Hello everyone,

My name is Alex and I have never been suicidal but these last 3 weeks have changed me. I have gone from being engaged to being suicidal. I have NEVER had anything in my life depress me, I mean, I have two pending court cases lots of other stuff that really stresses me but not to the point of being suicidal. Why you ask? Not love. Lies, betrayal, more lies and lastly regret. Here’s my story.

I have been in a serious relationship for 6 years now. Doing everything together … shopping … finances…etc until March 2015 just after we got engaged. After that weekend, I got cheated on the next week Tue. I believe in dialogue. I asked why. Quite frankly she said she doesn’t know why. And since she’s slept with 4 other guys, I said enough is enough. I ended that. Moved on.

Now what really got me is that since our engagement was in Mombasa Southern Palms, we bought some gifts for friends and all that. So she said, “Swirie, I want you to buy a hand beaded bracelet for my friend Martin” which I did. It’s like the one attached.

Now after I have come to learn that Martin is this guy, I have never been able to let that slide. Walai nimejaribu but f*ck! I bought a present for the same guy who WAS/IS f*ucking her! That really messed me up. It crushed me. It’s one thing to sleep with her but it’s another for me to fund it and buy a gift for him. Think about it. That has broken me up psychologically.

Now while still trying to deal with that, this is what happened today. When we broke up, we were mature. No need for the tantrums and all that. And since we used to live together [We were supposed to get married this year], she had to move out so I said okay fine, I will help you move out. Buy new house stuff and all. So she looked for a house, I paid the rent [12,500] and today was the moving in. So I bought a bed, mattress, cooker, gas etc… All that stuff. Rem, I am doing this to help her.

So there is me and some hired guys with Mkokotenis and running up and doing TRM. By 7 pm, she had everything. Now here is the part that has just landed the last blow. She had forgotten her one handbag at my place so we agreed I bring it as the last item. I drove to Roysambu and when I got back, here is Martin at the gate!

I mean after doing everything for her, and when the house is ready, that f*cker appears! Man I just felt like crap! Up to now I still do feel that. I know the love is not there but I felt so disrespected. Couldn’t even wait I drop the hand bag and go. It felt to me like the ni madharau. After everything I just did.

What has really driven me down…

That guy is not like Usher Raymond/CB/…etc. I mean I know for sure I am more handsome. Doesn’t the general rule say that we only f*ck upwards not downwards?! That has really perplexed me. Makes me wonder nina shida gani!

 I have done everything for this girl…paid her school fees…applied jobs for her [even did the aptitude tests] till she got one…bought her a car…gave her money [In tunes of millions] but yet she isn’t satisfied. I have even asked her and she has no answer!

Yea cheating I can live with that. But all this? Disrespect afterwards…even after all my sacrifice? No.

Lessons to everyone else. Don’t end up like me.

A whore is a whore…No matter what.

Never invest in a relationship – Moneywise.

Family first, always.

To my family,

I love you guys. I will always do. I’m sorry. Hope you understand. And please try to forgive me. Delvine murdered me. Not by her cheating. That I could live with [I have lived with it]. It’s what she did after that I can’t bear. I wish I had lessons on how to handle this. Maybe it would be different. My will is on the table.


Alex

Mwanamuziki AY Alikana Penzi la Siti Mtemvu, Azungumzia Beef ya Diamond na Ali Kiba na Mipango ya Ndoa

$
0
0
Msanii Ambwene Yesaya alimaarufu kama AY amekana kutoka kimapenzi na mrembo aliyevua taji la Miss Tanzania mwaka 2014 Siti Mtemvu, Ay amekana hayo leo alipokuwa katika kipengele cha KIKAANGONI ambacho huwa kinafanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka saa Kumi alasiri.


Msanii Ambwene Yesaya alimaarufu kama AY amekana kutoka kimapenzi na mrembo aliyevua taji la Miss Tanzania mwaka 2014 Siti Mtemvu, Ay amekana hayo leo alipokuwa katika kipengele cha KIKAANGONI ambacho huwa kinafanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mchana mpaka saa Kumi alasiri.

Mtaanii kulikuwa na tetesi kuwa msanii huyo alishawahi kufaidi penzi la mlimbwende huyo ambae mwaka jana alilivua taji la Miss Tanzania kutokana na kashfa ya kudanganya umri jambo ambalo lilipelekea kuvuliwa taji hilo, moja ya shabiki wa ukurasa wa facebook wa EATV alitaka kujua kama ni kweli AY alikuwa akifaidi penzi la mlimbwende huyo na ndipo hapo aliposema kuwa suala hilo halina ukweli wowote.

Mbali na kukana kufaidi penzi la Siti Mtemvu mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Zigo amefunguka na kuweka wazi utata juu ya Tuzo mbalimbali zilizotolewa wiki iliyopita na kusema kuwa kama msanii unashindanishwa unapaswa kukubaliaina na ukweli.
"Tunzo naziona zina ubora na upungufu wake,ila kama ukikubali kushindanishwa unatakiwa ukubali matokeo, cha msingi nachoona kura za majaji iwe 70% na watu 30% unajua kwenye tunzo watu hawawezi kukubaliana matokeo asilimia mia, ila nachoona mimi iwe kama tunzo zingine kuwa 70% majaji na 30% watu kuepusha kuchakachua kura na kuchagua kilicho bora maana kuna wakati nguvu ya ushabiki inaharibu ukweli wa matokeo"

Inafahamika wazi kuwa AY alikuwa katika kundi la muziki la EAST COAST TEAM ambalo masikani yake upanga hivyo watu walitaka kujua kama anatofauti yoyote na kiongozi wa kundi hilo King Crazy GK na ndipo hapo AY alipofunguka na kusema kuwa hawana tofauti yoyote ile na sasa wanaishi kama brothers na kusema kuwa wanampango wa kufanya kazi na kundi hilo.
"ECT bado ipo na kina GK na mpango wa kufanya nao kazi upo pale pale ila tunafanya kazi pamoja kama brothers, GK tuko nae sana tu, collabo nitawastukiza mwaka huu ila jua kuwa nitafanya kazi na artist mkubwa sana"
"
Lakini pia AY aliweza kutoa sababu kadhaa ambazo zimemfanya mpaka leo kuendelea kufanya poa kunako soko la muziki wa Tanzania na kusema kuwa moja sababu kubwa ni kutokana na kipaji chake na kujituma pia aelezea umuhimu wa kazi zake za kushirikiana na wasanii wa nje na kusema kuwa kazi hizo ndizo zimefungua njia kwa wasanii mbalimbali sasa kuweza kufanikiwa na hata kwa muziki wetu kupiga hatua zaidi.
"Kukaa muda mrefu kwenye muziki kunatokana na kipaji changu/Utendaji kazi tukija kwenye Collaco na artists wa nje zina matokeo mazuri kwangu na kwa game letu zima la kibongo na napata faraja kwani ndio niliyeanzisha kufanya hivyo kwa wasanii wengine kwa hapa nyumbani."
Swahiba wa AY ambae ni Mwana FA alinukuliwa siku za karibuni na kusema kuwa haoni faida ya yeye kufanya collabo na wasanii kutoka nje labda itokee wasanii hao wahitaji kufanya nao wao kazi lakini si yeye kuhitaji kufanya nao kazi kutokana na aina ya muziki anaofanya lakini AY leo amesema hata kama swahiba wake hataki kufanya collabo hizo ila atafanya tu kwa lazima.
TEAM DIAMOND VS TEAM KIBA USHABIKI USIO NA FAIDA
Ay amefunguka na kusema kuwa ushabiki unaoendelea sasa hivi kati ya wasanii wakubwa wa bongo fleva kati ya mashabiki wa Diamond na Ali Kiba ni jambo lisilo na faida kwani amefananisha ushabiki huo na kutoa kuwa na faida, adai kuwa ushindani unaopaswa kuwepo ni ule wa kusaidiana kuinuana na siyo ushindani wa kushushana chini hauna faida kabisa katika muziki wetu wa bongo.
"Ushindani wa kusaidiana kuinuana ndio mzuri zaidi kuliko wa kushushana"
Mbali na hilo AY amewataka wasanii mbalimbali ambao wanakuwa wakikimbilia katika siasa na kutaka kuingia bungeni kama sehemu ya kutokea bali wanapaswa kuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia wananchi.
"A.Y wasione ubunge ni sehemu ya kutokea kimaisha, wawe na nia ya dhati kusaidia wananchi"
MAHUSIANO YAKE NA MIPANGO YA NDOA
Mashabiki wamekuwa wakitaka kujua ni kwanini Ay aliachana na Amani na kutaka kujua ni lini haswa mkali huyo atakuja kuoa ndipo0 hapo aliposema kuwa alichana na Amani sababu ya umbali na kusema kuwa suala la ndoa ni mipango ya Mungu.
"Amani bado ni dada na rafiki yangu sana na tuliacha kwa wema kabisa si ubaya,umbali ulitushinda, Kuoa ni Majaaliwa ndugu yangu so akitokea anayestahili nitaoa ,ZIGO ni mwanamke mwenye mvuto ambaye huwezi kumuangallia mara moja"
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live




Latest Images