Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104808 articles
Browse latest View live

Man who claims to be Jay Z's son speaks out

$
0
0
For years, this man and his mum have been claiming that Jay Z is his father. 21-year-old Rymir Satterthwaite even went to court asking that Jay be forced to take a DNA test. Well, now that the case is stalling in court, Rymir is speaking out about his plight.

Rymir tells Radar Online
"There was a whole lot of running around. We didn’t have enough information to push the case, to keep the case going. I try not to get frustrated. I really try not to think about it and go on with my life — anything could happen but I still got to live for myself. At the end of the day I still gotta work and bring income in for me. I just take one day at time and plan my life.”

Real thirst! Kenyan Lady begs for S3X on phone but hear the man’s reaction (AUDIO)

$
0
0
Imagine a lady begging you for s3x at night! Well, many men will do everything possible to ensure that they honour her request but not this one.

A Kenyan guy decided to play diva tricks after a lady begged him for s3x via phone. The s3x hungry lady was even willing to pay a taxi for him back home after they were done with their “business”.

But the guy kept on playing diva tricks instead of doing what many men would do.

 Listen to the conversation below:

Baada ya Kuyaanika Makalio yake, Faiza Ally Aporomosha Matusi Mazito Kwa Wanaomponda

$
0
0
Faiza Ally amewajia juu Watu wanao mpiga majungu kuhusu kivazi chake alichovaa katika KTMA 2015 .
 
Faiza ambaye aliwahi kuwa mke wa mbunge  wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu', jana alipost ujumbe katika ukurasa wake wa Instagram na  kutoa ya moyoni jinsi anavyo keleka na watu wanavyo mfikilia tofauti .
 


==>Huu  ndo  ujumbe  Aliouandika Instagram
Nyie watu wapya humu ndani wengi wap**mbavu mmenijua kupitia hiyo nguo ambayo nimeshasema kamba zilishuka ilikua sio lengo kukaa uchi.

Nawaambia wote mnao nijaji wap**mbavu tena sana ! huwezi ukajifanya unanijua sana kwa kukosea mara moja ! we na yule na wengine wajinga! tako limekaa wazi ni sehemu ya mwili tu ! sio kila kitu kwenye maisha yangu zaidi kumuingiza mwanangu na baba mtoto wangu- muwakome!!!!!!!!

Nyinyi na nguo zenu ndefu mmefanya nm kwenye jamiii- nasaidia yatima, nasomesha watoto watatu,nasafisha mahospitalini kwa kujitolea,natoa misaada kwenye odi za watoto wa kansa,nimeshiriki kupinga mauaji ya albino,juzi nimetoa vyoo kwenye shule.

Mbona hamna hata hizo blog ushuzi zilizotangaza mema ! mmmeona tako tu ndio muhimu p**mbavu zenu nyie ????? nauliza ? wewe umefanya nn ktk jamii yako punda we!

Koma shika adamu yako! kama unaona mm chizi mwenda uchi unafanya nini hapa , pita �� nipishe ...... muonekano sio muhimu p**mbavu we! utu na ubinaadamu kwanza ! tako kitu gani ??? si tako tu ! ....

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe AHUKUMIWA Jela Mwaka Mmoja.

$
0
0
MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.

Akisoma hukumu hiyo iliyohudhuriwa na wabunge wengi wa Chadema, Hakimu Mkazi Mfawidhi, Denis Mpelembwa, alisema mahakama imemkuta Mbowe na hatia, hivyo kutakiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini kiasi cha Sh milioni moja.

Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai, katika kesi hiyo ya jinai namba 73 ya mwaka 2011, alidaiwa kumshambulia Nassir Yamin, katika Kijiji cha Nshara, kata ya Machame Kaskazini, Wilaya ya Hai, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.

Mpelembwa alisema mahakamani hapo kuwa hukumu iliyotolewa mahakamani hapo imezingatia ushahidi uliotolewa kwa upande wa mlalamikaji Nassir Yamini.

Kwa upande wake, Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizungumza mahakamani hapo, alisema hukumu iliyosomwa mahakamani hapo haijamtendea haki.

Alisema kesi yake hiyo haikustahili kuchukua muda mrefu kama mahakama ilivyofanya kwa kuchukua zaidi ya miaka mitano bila kusomewa hukumu.

Hata hivyo, Mbowe amelipa kiasi cha fedha Sh milioni moja alichotakiwa kulipa kama hukumu ilivyoeleza, kwa kumtaka kulipa kiasi hicho cha fedha au kwenda jela mwaka mmoja.

Je, Unataka Kutengeneza Shepu, Kuondoa Chunusi, Mvi na Makovu?? Unataka Kuongeza Makalio na Nguvu za Kiume?? Bofya Hapa

$
0
0


Pendeza na James Cosmetics 
Ni dawa zisizo na Kemikali wala madhara yoyote kwa Binadamu, zimetengenezwa kwa Kiwandani kwa kutumia mimea na matunda mbali mbali kukupa matokeo ya Haraka.


1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=

2.Kutengeneza shepu (hips na makalio) @100,000/=.

3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=.

4.Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=.

5.Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-(1)Gely ya kupaka @80,000/=  (11)Vidonge maalum@90,000/=      (111)Mashine original ya Handsome up@200,000@/=

6.Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @90,000/=.

7.Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/=

8.Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=

9.Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:- (1)Dawa @80,000/=  (11)Mkanda wa kawaida @80,000/= (111)Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/=

10.Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=

11.Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=    
                        
12.Kubana Uke na Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa kwa Mwanamke @80,000/=


Wasiliana nasi kwa namba za Simu Hizi Hapa 
 0653074067,  0659404750 au 0752923461

NB: Hakikisha unapata Risiti yenye muhuri halisi wa James Cosmetics na Garantii ili kuhakikisha kufanikiwa Kwako.

Mrembo FAIZA ALLY Awaomba Radhi Watanzania......

$
0
0
Imelda Mtema
MZAZI mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Faiza Ally, hivi karibuni katika tuzo za KTMA aliwaacha watu midomo wazi baada ya kutinga na kivazi kilichoacha sehemu kubwa ya makalio yake nje na kuzua minong’ono katika mitandao ya kijamii.

Akizungumza na Amani kwa kuonekana kujutia kitendo kilichotokea, Faiza alisema kuwa ile nguo aliishona ikiwa imeziba sehemu yote ya nyuma japokuwa ilikuwa imechanwachanwa lakini hakuwa na nia ya kuacha sehemu ya makalio yake nje.

Akiendelea kuzungumza alisema kuwa, siku alipokuwa akienda kwenye tuzo alikuwa peke yake kwenye gari hivyo alivyoinuka ndiyo ile nguo ikapanda bila kufahamu.“Jamani siwezi hata siku moja kujiachia hivyo naomba Watanzania wanisamehe,” alisema.

Pete ya UCHUMBA ya Mrembo LULU MICHAEL Yawa Gumzo

$
0
0
MSHTUKO! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezua gumzo ukumbini baada ya kuonekana akiwa amevaa pete iliyoaminika kuwa ni ya uchumba na kusababisha minong’ono miongoni mwa mashabiki wake.

Mpango mzima ulijiri wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Sinema wa Mlimani City (Cinemax) kulipokuwa na uzinduzi wa sinema ya 10 Bora ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talent, mwaka jana ijulikanayo kama Mpango Mbaya.

Punde tu baada ya Lulu kuwasili ukumbini hapo mishale ya saa mbili usiku akiwa na mashosti zake, minong’ono iliibukia kwenye zulia jekundu wakati mrembo huyo alipokuwa akifotolewa picha na mapaparazi ndipo wapenda ubuyu walipoanza kusambaziana habari hali iliyosababisha watu wengi kutaka kumuona Lulu.


  • “Ile ni ya uchumba aise atakuwa amechumbiwa, afadhali Lulu achumbiwe na aolewe sasa japo bado anasoma lakini kwa kuwa ni chuo ni vyema na haki akaendelea na uchumba wake huku akimalizia masomo na kisha ndoa ikafuata,” alisikika mmoja wa mashabiki akiwaambia marafiki zake.


Baada ya watu kuanza kumzingira eneo hilo kutaka kuishuhudia pete hiyo, haraka sana Lulu aliondoka eneo hilo na kwenda kujibanza ukumbini kufuatilia sinema hiyo iliyokuwa imeshaanza kuoneshwa.

Paparazi wetu alifanya jitihada za kuzungumza na Lulu ili aweze kumsikia anazungumziaje pete hiyo iliyopamba kidole chake lakini hakutaka kuzungumzia lolote akidai hayupo tayari kufunguka lolote ukumbini hapo.

Hata baada ya muvi kuisha, paparazi wetu aliendelea kumfuatilia Lulu wakati anatoka ukumbini lakini pia hakutoa ushirikiano ambapo alionekana kukataa kupigwa picha pamoja na kujibu maswali ya waandishi wa habari.

Changamoto aliyonayo Wema katika siasa ni kuwabadilisha watu jinsi wanavyomfikiria -Meneja

$
0
0
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.

Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.


  • “Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie kwenye siasa,”amesema Martin.



  • “Lakini ana kazi kubwa ya kuweza kubadilisha watu jinsi wanavyomchukulia. Kwahiyo anachukulia positive kwa sababu watu aliokuwa nao wameweza kumsupport. Lakini kabla hatujafika huko sasa tutamuona kama kiongozi sioo kama msichana wa bongo movie. Tumuamini Wema kama anaweza kuonyesha tu nia hata asipopata tukumbuke kuonyesha nia tu ni kupata, kwa sababu ana ndoto kubwa sana anataka kuzifanya,” ameongeza.


Hivi karibuni Wema alitangaza nia ya kuwania ubunge wa viti maalum kwa tiketi cha chama cha mapinduzi mkoani Singida.

Kupitia Instagram aliandika:

Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri… Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua kujiingiza katika maswala ya sanaa.

Vitabu vya dini vimeandika inapaswa tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya… Pale Mungu alipoamua kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa nimeona kama maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze kuishi maisha ya No More Daddy Sepetu…. Maana nilikuwaga ni kipenzi cha Daddy wangu cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa akiniita Miss World wake…. Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi kuniambia kuwa nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa ilikuwa ni kama uji na mgonjwa… And I remember nilimwambia ,”Daddy Sepetu NO sitoweza” … Alikuwa heart broken sana maana alihisi nikijaribu ntaweza na kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi wa kufanya International Business na sio hata Political science au chochote kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo

But hakukata tamaa… Akazidi kuniambia naweza na nilizidi kukataa… Daddy Sepetu wangu This is for u…. Leo hii nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa kujiingiza kwenye Siasa na kuona wat it has in store for me… Najua you are looking down on me smiling… Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni my Darling Mother nae pia amechangia kiasi kikubwa sana… Nawapenda sana wazazi wangu maana wanajua Whats Best for me… Haya sasa naingia vitani… Na sitokubali Defeat… Tho kuna mengi yanaweza tokea… Namkabidhi Allah yote…. Na niko tayari kwa chochote… Penye nia siku zote njia haiwezi kukosekana.

Pata Bracelets za Kijanja na za Kisasa Kutoka Nje na Ndani ya Tanzania Kwa Kuwasiliana na Hawa Jamaa..Bracelets Tanzania

$
0
0
Bracelets tanzania ni wa uzaji wa bracelets za kisasa kutoka nje na ndani ya nchi pia ndio watengenezaji wa highlife bracelets vitu vyao ni original wanapatika kupitia
Contact 0653765078
instagram bracelets_stanbull
facebook page bracelets tanzania karbu

Mimi nikipata management kama ya Diamond nitakuwa mbali sana – Christian Bella

$
0
0
Christian Bella ni muimbaji anayeamini kuwa ili msanii afanikiwe zaidi anahitaji kuwa na management nzuri.

Muimbaji huyo wa ‘Nashindwa’ ameisifia management ya Diamond na kuongeza kuwa endapo angeweza kuwa na watu imara wa kumsimamia angekuwa mbali zaidi ya hapo alipo.


  • “Mi napenda kusema ukweli, Diamond yuko vizuri na management yake wanajitahidi vizuri, yeye msanii akiwa na management nzuri yaani Babu Tale na Fella nawapa bigup sana.”Alisema Bella kupitia 255 ya Clouds Fm. “Ndo tunataka watu kama wale wawepo, mimi nikipata watu kama wale wee! itakuwa mbali sana kwasababu mimi najua kwamba mimi ninauwezo wa kuimba nina vocal najua melody za kuimba, ila nakosa tu watu wa kukunyanyua, kwamba lala usingizi tunaenda kuongea na Fally Ipupa, we lala yaani zima simu wanakwambia we studio kesho, aah yaani naenda nauwa, ndo wasanii wa mbele wanaishi hivyo.” alimaliza.


Kuhusu wasanii ambao anatamani kuja kufanya nao collabo akipata nafasi, Bella amesema kwa Marekani anatamani kuja kufanya kazi na Chris Brown, na kwa Afrika anatamani kuja kufanya kazi na Fally Ipupa, P-Square na Wizkid.

Batuli Achezea Sharubu za Kajala Masanja......

$
0
0
Imelda Mtema
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ameonekana kuchezea ‘sharubu’ za Kajala baada kuweka picha ya kiazi kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kitu ambacho kimeonekana ni kumkejeli staa mwenzake huyo kutokana na Wema Sepetu kumuita kiazi.


Akichezesha taya na Amani baada ya kubanwa kwa nini aliweka picha hiyo kwenye Instagram yake, alisema kuwa yeye ana maamuzi ya kuweka kitu chochote kwenye ukurasa wake huo hivyo kama kuna mtu anajishtukia shauri yake.

Kwa upande wa Kajala alipoulizwa kama kuna tatizo lolote kati yake na Batuli alifunguka;
“Sijui kama mtu ana bifu na mimi basi ni yeye tu na kama mtu anaposti kitu kwa  ajili ya kuniumiza naona ni kazi bure tu kwa kuwa vitu hivyo vinapita na maisha yanaendelea siku zote.”

JACK PATRICK Aendeleza Mitindo Gerezani China

$
0
0
Mwanamitindo wa Kibongo, Jacqueline Patrick ameendeleza fani yake ya mitindo akiwa gerezani huko Macau nchini China na kuwa kivutio kikubwa kwa wafungwa wenzake.


Chanzo chetu ambacho kinadili na masuala ya urembo na mitindo kilisema kuwa, licha ya Jack kuwa gerezani amekuwa akifuatilia mitindo mipya iliyoingia mjini kisha kuwafanyia wenzake.

Chanzo hicho kilisema kazi hiyo imeufanya uongozi wa gereza hilo kummwagia sifa.
Jack anatumikia kifungo cha miaka sita baada ya kukutwa na hatia kutokana na kujihusisha na biashara haramu ya madawa za kulevya

Source: Global Publishers

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Tarehe 19 Juni 2015

$
0
0






















Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Ijumaa  Tarehe 19  Juni 2015

Sumaye: Upinzani wataingia Ikulu CCM Wakipitisha mtoa Rushwa

$
0
0
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amekionya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutopitisha mgombea  urais   kwa njia ya rushwa kwa vile  kufanya hiyo kutawaingiza wapinzani Ikulu.

Sumaye ambaye ni miongoni wa makada wanaowania   kuteuliwa  na CCM kugombea nafasi  hiyo,  aliyasema hayo juzi  mjini Bariadi  alipowashukuru  wana CCM  45 waliomdhamini mkoani hapa .

Akizungumza  na baadhi ya viongozi wa chama hicho  na wadhamini hao, aliwashukuru waliomdhamini na kueleza kuwa ikiwa CCM itapitisha wagombea kwa njia za rushwa utakuwa mwanzo wa vyama vya upinzani kuchukua nchi.

“Nyinyi  kama wajumbe wa NEC  mtambue kuwa Tanzania kwa sasa tunahitaji kiongozi atakayetuvusha,  tukichagua kwa rushwa tunawapatia wapinzani nafasi kuingia Ikulu  hivyo chama changu kinapaswa kisipitishe mtu kwa rushwa,”alisema.

Alisema sababu kubwa itakayofanya wapinzani kuongoza nchi ni rushwa ndani ya CCM aliyoeleza kuwa imekithiri kwa kiwango kikubwa hasa kwa sasa kuelekea  kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

“Sijatoa rushwa tangu nianze kutafuta wadhamini , watu wanajitolea tu kwa mapenzi yao kunidhamini sina haja ya kuwanunua watu ninaowapata nawashukuru kwa maana mapenzi yametoka kwao kunidhamini siyo kwa sababu fulani, ”alisema.

+18 Only Video, Nairobi LADY does bad things in a Club’s toilet

$
0
0
Some ladies in Nairobi are really crazy and they have decided to take ratchetness to another level.  If some of the things they do in privacy are documented, they can make one shocking movie.

Below is a video of a lady in Nairobi misbehaving in a club’s toilet; is this the business that took her there? SMH.....


MARKSON BEAUTY PRODUCTS Inakuletea Dawa za Kurefusha Nywele, Kukuza Makalio, Kupunguza Tumbo, Kung'arisha Ngozi na Zingine Nyingi

$
0
0


MARKSON BEAUTY PRODUCTS 2015
Je Unapenda Kuongeza Hips, Makalio, Urefu na Unene wa uume na Nguvu za Kiume bila Madhara? Markson Beuty tunakupatia hizo na Zingine nyingi zenye matokeo ya haraka na uhakika zisizo na kemikali wala madhara ..Tuna uzoefu wa Miaka 15 na Bidhaa zetu ni za mimea na Matunda na zimethibitishwa

1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=
2.Kutengeneza shepu (hips na makalio) @100,000/=. 
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=. 
4.Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=. 
5.Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-(1)Gely ya kupaka @80,000/=  (11)Vidonge maalum@90,000/=      (111)Mashine original ya Handsome up@200,000@/=     
6.Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @90,000/=.  
7.Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/=   
8.Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=  
9.Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:- (1)Dawa @80,000/=  (11)Mkanda wa kawaida @80,000/= (111)Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/=   
10.Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=    
11.Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=                                
12.Kubana Uke na Kuongeza Hamu ya Tendo la Ndoa kwa Mwanamke @80,000/=

 

Wasiliana nasi kwa no (+255 ) 0767-447444 na 0714335378.


NB: Hakikisha unapata Risiti yenye muhuri halisi wa Markson Beauty na Garantii ili kuhakikisha kufanikiwa Kwako.


Mrembo JOKETI MWEGELO Akiri Kumkosesha Diamond Tuzo za Kill Music

$
0
0
Jokate
Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye  Tuzo za Kill Music Awards 2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi Mwegelo Kidoti alikiri kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine wampigia kupitia Instagram na kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond Platnumz..

Kitendo cha Jokate Kutangaza Hadharani kuwa yeye alikuwa miongoni mwa waliompigia kura Ali Kiba kimedhihirisha kuwa sio kwamba hapendwi na Team Kiba tu bali hata wepenzi wake wa zamani hawapendi kuona Diamond Akiendelea Kisaniiii....

Wanamuziki wa P-SQUARE Peter and Paul..Wajitetea Kwanini Hawahudhurii Ibada za Kanisani Toka Mwaka 2007

$
0
0
P-SQUARE
Imebainika ya kwamba Mastaa wa wa Music Toka Nigeria Peter and Paul Toka mwaka 2007 walipoanza kuwa maarufu hawahudhurii ibada za kanisani jumapili...Wakijitetea Baada ya Kuulizwa Swali hilo P-square wamesema :

Kila walivyokuwa wakienda kanisani watu huwatazama na kuwafatilia kuliko kufatilia ibada na sala kitu ambacho kinatufanya tujisikie kama tunaharibu ibada za watu ...watu wote tuko sawa mbele ya Mungu ndio maana sio sahihi kufanya watu waache sala sababu yetu

Ujumbe: Kama Wewe ni Kijana, Monalisa Ana Hili Kwa Ajili Yako

$
0
0
"Kijana,ichunge sana LEO yako.Hujui kESHO utafanya nini au utakuwa nani.KESHO itakapofika watu watakuhukumu kwa JANA yako ambayo ni LEO.Chunga sana LEO yako ndio inayokutengenezea KESHO yako." YVONNE CHERRIE
Roho yangu imenisukuma tu kukuandikia ujumbe huu..pengine nitaokoa LEO ya mtu fulani..Kila la kheri

Monalisa on Instagram

DIAMOND is lucky to have ZARI as his baby mama…. look at how she treats her sons

$
0
0
"God thank You for all our blessings and favor today..... movie.... night in Raphaels' room. Nyt africa"

Viewing all 104808 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>