Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Ni kweli wadada wanaoonyesha makalio yao ndo wanaopenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

$
0
0
Kuna tetesi huku mitaani kuwa msichana akiwa anapenda kuvaa nguo za kuonesha makalio yake, na kupenda kuyatingisha ovyo, kuyakuza kwa kutumia dawa za Mchina etc, ina maana kwa asilimia kubwa anafanya mapenzi kinyume na maumbile, au anatamani kuja kufanya hivyo.

Kwa mfano niliangalia reality show ya Christina Milian (Christina Milian Turned Up) kwenye channel E! akiwa anajaribu kukuza makalio yake kwa kuvaa booty pants, ili yaonekane makubwa, Je kuna ukweli wowote juu ya hili?

Wadada wa humu na Wadau naomba mnijibu...

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi Mkuranga, Mkoani Pwani wamevamia tawi la Benki ya NMB na kuua Askari mmoja kisha kutokomea na fedha zote.

$
0
0
Majambazi wamevamia NMB Mkuranga, Wameua askari na kutokomea na fedha.

Update

Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafary Mohamed, ameithibitishia JamiiForums kutokea kwa tukio hilo na kwamba sasa anajiandaa kwenda katika eneo la tukio.

"Ni kweli nimepata taarifa zenye maelezo machache kama hayo unayonieleza lakini niko kwenye ziara (Hakutaja ni ziara gani), ninajiandaa kwenda katika eneo la tukio, nikifika au kupata taarifa zaidi muda wowote kuanzia sasa nitawajulisha kwa kina" alieleza Kamanda Mohamed.

Beach Life...Wolper shows off her goodies while having good time.....

$
0
0


Beach Life...Wolper shows off her goodies while having good time.....

AIBU Nyingine Kenya, Mzee wa Miaka 80 Akutwa Akifanya Mapenzi na KUKU

$
0
0

Sasa hii Imezidi nchini Kenya ..Yaani unaambiwa haipiti wiki bila kusikia tukio la Mtu kufanya mapenzi na wanyama wa kufungwa...
Siku ya Terehe 19 mzee mmoja wa miaka 80 amejikuta katika aibu ya mwaka baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Kuku laivu bila chenga , tukio hili limekuja baada ya siku kadhaa zilizopita mtu mwingine kukutwa akifanya mapenzi na Mbuzi ...

Babu huyo alipelekwa mahakamani na kukubali kosa na baadae kupata dhamani kwa Ksh 50,000 ..


WEMA SEPETU: Siwezi Kumsapoti Diamond Platnumz Kwenye Mtv Awards Kwasababu Nitaonekana Ninajipendekeza,,,

$
0
0

Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards  kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa..

Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost kwenye Account yake ya Instagram....

PHOTOs!! Nyeri Residents left in Shock After a Goat Bears a Kid with a Human Face

$
0
0

Residents of Mathira in Nyeri County are streaming to Hellen Wanjiku’s home after one of her goats bore a kid with a human face.

After VANESSA, here’s another young lady having S£X with rich wazees for money (PHOTOs)

$
0
0

Forget about popular socialite, Vanessa, who is known for sleeping with married men for money and other favours. There’s a new s3xy lady in town known as, Scarlet Salvator, who is sleeping with men old enough to be her grand-fathers for money.

Surprisingly, the 17 year old lady was one of Vanessa’s close friends and she is the one who snatched her 80 yr old mzungu. Scarlet is also a model but her strong appetite for s3x and money is messing up her modeling career.

She is dishing out her flesh to every Tom, Dick and Harry provided you have mullah.

See her photos below.


Vijimambo: Baba na Mama Cookie Wanauliza Swali Hili Kwako....

$
0
0
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ kupitia ukurasa wake mtandaoni, liweka picha hiyo hapo juu akiwa  Moses Iyobo  ambaye ni mzazi mwezie na kuwauliza hivi mashabiki zake

Dady na Mom wa 'Kabinti Spesho'Hebu Nambie unahisi Cookie atakuwa kafanana na Nani???kati ya hawa!”

Akaendelea

Je Wapenz Eti Mnataman Kabint Spesho kapate Rangi kama ya Nani Mama au Baba?

Hata humu wapo mashabiki wa Aunt, Tafadhari mpeni majibu…

Mzee wa Ubuyu

Mchepuko Umeninyoa ikulu, Umenipiga Picha na Kumtumia Mke Wangu

$
0
0
Wiki iliyopita ilikuwa mbaya sana kwangu, nina mchepuko mpya niliempata kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu. Ni mazuri sana kwa sura na shepu.Tulikubaliana Jumamosi ndio tukapige mechi ya mchangani. Jumamosi niliona ni siku nzuri kwa kuwa wife angekuwa kazini night shift.

Nikakutana na mchepuko muda wa saa sita mchana kwa ajili ya lunch na bia kidogo.Tukala na kunywa hadi muda wa saa moja usiku ndipo tukachukua chuma kwa hali ya ulevi na hamu ya kitu kipya nikapiga non stop mabao mawili ndipo nikalala kama mfu mchepuko ulininyoa nywele za ikulu kisha ukanipiga picha kwa simu yake.

Akachukua simu yangu na kuisaka namba ya mke angu, kisha akaisevu kwake na kumtumia pia aliyonipiga kwa simu yake. Ujumbe ulitumwa kwa Whatsapp ukiwa na picha yangu nikiwa uchi kitandani na nimenyolewa nywele za chini. Ujumbe wa maneno ulikuwa unasomeka ndio ujue huyu wetu wote tuheshimiane. Akiwa kwako ni wako akiwa kwangu ni wangu tusiumbuane

Shangazi Yangu Ananibaka na Kunisaga Kila Mara toka Nikiwa Mdogo, Nifanye?

$
0
0
Mimi naitwa Nasra na nina mika 24, hilo nalileta kwenu jambo lango wana-jf naomba mnisaidie ushauri ili niwe kutatua tazizo hili linalonikabili hapa chini.

Baada ya mama yangu kufariki 2001 kuna shangazi yangu (ambaye ni mke wa mjomba wangu) alinichukua kwa minajil ya kunilea na kunisomesha ila amekuwa akinisaga tokea niko mdogo mpaka sasa! ambapo nikiwa mdogo wakati nimelala nilikuwa nashtuka yupo juu yangu na mimi nipo uchi huku ananinyonya matiti na sehemu nyingine za mwili na baadae alikuwa anapanda juu yangu na kunilalia huku akifanya vitu fulani mpaka ananimwagia vitu fulani katika sehemu zangu za siri na kuniambia ninyamaze nisimwambie mjomba "eti atanipa pesa ya kutumia shule na kunipeleka na gari, alipokuwa akimaliza baadae alikuwa akiniogesha na kuninunulia vitu vitamu vitamu. Nilinyamaza maana sikujua jambo lile ila aliendelea kila mara mchezo wake huo.


Baadae niliamua kumuomba mjomba wangu anipeleke Unguja nikaishi na mama yangu mdogo maana nilikuwa nachukia kitendo kile na niliogopa kumwambia mtu teyote maana shangazi yangu ndiye alikuwa kila kitu, pesa zote za shule na mahitaji muhimu alinipatia yeye maana mjomba alikuwa kasimamishwa kazi kwa kipindi kile. Shangazi alikataa mimi kwenda Zanzibar ila nililia sana mpaka akakubali, nikaenda unguja na kuendelea na masomo yangu tena kama kawaida tena kwa amani.

Nilimaliza elimu ya sekondari na baadae shangazi akaja kunifata tena na kusema anaomba akakae na mimi maana kuna mama yake ambaye ni mgonjwa yupo nae so ningemsaidia kumuudumia!

Nilikubali ila nikajua kwa mara hii hatajaribu ule mchezo wake maana nimeshakuwa sasa, ila amekuwa akiendelea mpaka sasa kunifanyia hivyo na kuniambia nisimwambie mtu.

Sasa ndugu zangu naomba mnisaidie ushauri nifanyaje? Na tabia hiyo mimi siipendi na yeye ndiye ananiwezesha kwa kila kitu kuanzia ada, mavazi, chakula, hata mara nyingi ananipeleka beach mbalimbali ili niweze kuvumilia mchezo wake, ILA KIUKWELI SIPENDI MCHEZO WAKE NA TABIA ZAKE PIA ZISHANICHOSHA

Tanzania Hottest Celebrity Gossip New

Wema Sepetu Amtaja Mtu Anayemzuia Kupata Mimba

$
0
0
Ishu ya  Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutopata ujauzito imeshazungumzwa mara kadhaa na hata yeye mwenyewe alishawahi kujitokeza na kuizungumzia lakini safari hii amelizungumzia kwa njia tofauti.

Wema ambaye pia ni muigizaji wa filamu, awali alisema sababu kubwa ya kutopata ujauzito ni masuala ya kiafya lakini safari hii ametoa kauli tata ambayo inahusiana na imani za nguvu za giza.

Wema ambaye alifunguka hayo hivi karibuni, anadai kuwa yawezekana marehemu Steven Kanumba anahusika kwenye suala hilo.

Mizimu ya Kanumba
“Unajua hili suala la mtoto linanisumbua sana yaani na linaniuma kwa sababu napenda watoto sana na pia napenda kuitwa mama, nimehangaika sana katika kuhakikisha nafanikiwa katika hili lakini ndiyo hivyo imeshindikana.

“Serious! Ilifika kipindi yaani nilikuwa nachukia nilipokuwa nikiziona siku zangu, nilikuwa sipendi kukutana na hiyo hali kwa sababu naumia sana lakini ndiyo hivyo baada ya kuhangaika sana inabidi nimwachie Mungu tu. Nahisi kukata tamaa lakini bado sijakata tamaa.

“Watu wananiambia mimi bado mdogo kwa hiyo sitakiwi kuwa na wasiwasi sana ila muda unakwenda, sasa nina miaka 27. Niliwahi kupata mimba mwaka 2008, aliyenipa alikuwa marehemu Kanumba, lakini baadaye ilitoka na aliposikia hivyo (Kanumba) alikasirika kwa kweli.

“Lakini baadaye ikawa kawaida, hata nilipokuja kuachana naye, bado alikuwa rafiki yangu na tulikuwa tunaongea vizuri na kupigiana simu kama kawaida ila alikuwa ananiambia ‘unajua una deni, nakudai watoto wangu na nitafanya juu chini ili unilipe’.

“Basi ikawa kawaida yake kuniambia hivyo, wiki chache kabla ya kufariki aliniomba tuonane lakini haikuwezekana kutokana na ratiba zetu kutofautiana.

“Kuna muda huwa nafikiri au mizimu yake inahusika katika hii ishu! (anacheka sana).

“Unajua ile mimba ya Kanumba hata mimi sikuwa tayari kupata mtoto wakati ule, niliona ndiyo kwanza naingia kwenye mapenzi halafu ndiyo nimetoka kuwa miss tu, sasa itakuwaje, lakini huwezi jua labda pengine kwenye ‘abortion’ walivuruga baadhi ya vitu ndiyo maana mpaka leo imekuwa hivi.”

Ujauzito wa Zari
Wema ambaye pia aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi wa ‘on-off’ na msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, anafunguka juu ya ujauzito wa mpenzi wa sasa wa Diamond, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

“Unajua hiyo mimi hainisumbui, sababu nilishakubali kwamba sasa nimeachana na Nasibu kwa hiyo ishu nyingine zote ziko poa. Najua jinsi gani alivyokuwa anatafuta mtoto, namtakia kila la kheri.”

Gari alilopewa na Diamond
“Ile Murano niliiuza kwa kuwa ilikuwa mbovu na sikuwa naipenda kwa sababu ilikuwa inanisumbua, niliamua hivyo kwa kuwa lilikuwa langu.”

Chadema yaibwaga CCM Kesi za Uchaguzi

$
0
0
MAHAKAMA ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora juzi ilitupilia mbali kesi tano zilizokuwa zimefunguliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) dhidi  ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika  Desemba 14, mwaka jana.

Kesi hizo zilifunguliwa na CCM katika Mahakama ya Wilaya ya Igunga Aprili, mwaka huu, ambapo chama hicho kilikuwa kikipinga ushindi walioupata wenyeviti watano wa Serikali za Mtaa, ukiwemo wa Stoo, Kamando, Mwayunge, Nkokoto na Kijiji cha Simbo wilayani humo.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Igunga,  Leonadi Nkola, alisema madai yalitengenezwa na mtayarishaji  mmoja, hivyo kila neno na sentesi zilifanana na tofauti yake ni katika majina na katika makosa yaliyofanywa baada ya uchaguzi, mawakala wao waliweza kusaini na kukubaliana na matokeo kwa msimamizi mkuu wa Uchaguzi wa Wilaya na kwenda kinyume cha sheria.

Aidha Hakimu Nkolo alibainisha kuwa katika madai yao pia hawakuweza kuonyesha barua yoyote ambayo walimwandikia msimamizi wa uchaguzi wa wilaya inayopinga matokeo ya ushindi.

Akiendelea kusoma hukumu hiyo, Nkola alisema katika hati hiyo ya madai iliyoandaliwa haikuweza kutoa nukuu ya kifungu cha sheria kinachothibitisha ukiukwaji wa uchaguzi huru na haki kwa kuvunja sheria na kanuni za uchaguzi na kufanya madai yao kutokuwa ya msingi na sheria.

Kutokana  na kukosekana uthibitisho wa madai hayo, Mahakama ilitupilia mbali madai hayo na kusema kuwa hao ni viongozi haramu wa Serikali za Mitaa.

Viongozi wa CCM walioshindwa ni pamoja na Julius Mpuya Mtaa wa Kamando, Abeid Issa wa Mtaa wa Nkokoto, Majenga Mashauri Mtaa wa Stoo, Ally Isike Mtaa wa Mwayunge na Athuman Mohamed wa Kijiji cha Simbo,

Aidha viongozi walioshinda upande wa Chadema ni Joseph Njile wa Mtaa wa Stoo, Abel Shampinga Mtaa wa Mwayunge, Gerad Ndezi Mtaa wa Nkokoto, Julius Kitundu Mtaa wa Kamando na Yusuph Finyongolo  wa Kijiji cha Simbo.

Lol..Serena Williams Touches Kim K's Tummy..to Make Sure She's Really Pregnant

$
0
0
Kim K met her friend Serena Williams in front of Harrods, they said hi to each other, both hugged and Serena asked for permission to touch Kim K's tummy. Kim allowed Serena to touch her tummy while she had her hands on her hips. Two bootylicious women!

Graphic Photos From The Suicide Bombing which Killed 27 in Kuwait Mosque

$
0
0
 There were 3 terrorist attacks today. One in France, one in Tunisia and another in Kuwait. A suicide bomber attacked and killed at least 27 people at a Shiite mosque in Kuwait City today. Above are haunting images of the terrorist walking into the prayer room before blowing himself up. He killed them while they were praying. He is reportedly a Saudi man with ISIS Wahabi Takfiri ideology.

Photos: Ashanti Puts Her hot Bikini Body on Display

$
0
0
The singer is currently on holiday in Costa Rica and showed off her amazing bikini during a beach visit.

Najuta Kuvaa Nguo iliyoonesha Makalio Yangu – Faiza

$
0
0

Nguo aliyoivaa usiku wa June 13 kwenye tuzo za muziki za Kilimanjaro kwa nia ya kutoka kitofauti, imegeuka kuwa zimwi linalomtesa kiasi cha kumfanya apokonywe mtoto wake kwa amri ya mahakama na mzazi mwenzake, mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu. Faiza Ally anajuta!

“Siwezi kurudia kosa, nitakuwa makini zaidi katika mavazi yangu,” Faiza aliliambia gazeti la Mwananchi ambalo alienda kwenye ofisi zake kuelezea anavyojutia uamuzi huo uliomgharimu.

“Wasanii wengi ni wabunifu na hufanya mambo kwa nia ya kufurahisha mashabiki kama ambavyo amekuwa akifanya Joti kuvaa nguo za kike na kupaka rangi ya mdomo, hivyo mavazi yangu yalikuwa na lengo la kutoka tofauti mbele za mashabiki wangu, lakini kwa yaliyonikuta hasa kwenye vazi la Kili niliomba msamaha kwa jamii na bado naomba wanisamehe,” alisema Faiza huku akidaiwa kububujikwa na machozi.

“Hakika nimejikuta kwenye wakati mgumu na sivyo ambavyo baadhi ya watu wanafikiri. Hali hiyo ilinitokea nikiwa kule kule kwenye Kilimanjaro Music Award tena baada ya kubaini picha zinazoonyesha makalio yangu zimewekwa kwenye mitandao. Niliamua kuondoka haraka katika eneo hilo, kabla ya muda niliyokusudia,” aliliambia Mwananchi.

“Ingawa nimezoea kuvaa nguo fupi lakini sikupanga kuonyesha makalio, bahati mbaya ni kwamba ile nguo nilipoivaa awali kabla ya kuondoka nyumbani ilikuwa imekaa vyema. Nafikiri baada ya kukaa kwenye gari ilifumuka bila mimi kujua, hadi nafika ukumbini na kuingia pale kwenye zulia jekundu natembea kumbe huko nyuma mapaparazi wanapiga picha. Hakuna hata aliyenishtua. Napenda kuweka wazi naumizwa na watu ambao wanaendelea kusambaza hizo picha za makalio, watambue tu leo imenifika mimi lakini siku nyingine itawafika na wao maana sisi sote ni binadamu, tunafanya makosa kwa nyakati tofauti.”

“Namshukuru Mungu nimeweza kuhimili hali hii kwa kiasi fulani, maana naamini mtu mwingine angeweza hata kuamua kuwa mlevi au kuwa mbaya lakini nashukuru nina uamuzi wa kubadilika, nampenda mwanangu sitaki kuwa mbali naye.”

Vodacom Katika Skendo ‘Millionaire’ Whose Dream Ended at Vodacom...

$
0
0

GBT Director General Tarimba Abbas 
Dar es Salaam. In what appears to mirror the biblical David and Goliath clash, a Dar es Salaam resident is readying to sue Vodacom Tanzania over an SMS that would have made him a millionaire overnight.

Mr Daniel Njau, 47, is accusing the telecommunication giant of taking him and his family for a ride over the recently concluded “Jay Millionaire” lottery promotion.

He says he participated in the promotion that Vodacom ran for several months and struck the jackpot. He reportedly won Sh100 million, the highest prize.

“It was one of the happiest days of our lives as a family,” he says. “It was in January when, through a Vodacom SMS, the number of my son Innocent was announced the day’s winner of the Sh100 million.”

The younger Njau is a student in Moshi and had left the telephone number to his father as he went to school. “The number was enrolled in the Jay Millionaire promotion and I continued to play, receiving the daily short messages as the days progressed,” the senior Njau explains.

As he went about his daily routine, Mr Njau received the SMS that would have turned the Njau family’s lives around. The younger Njau’s number had won the promotion of the day’s top prize of Sh100 million.

He told The Citizen in an interview: “My heart skipped as I read the message. I could not believe our luck. I slept over the news, not having the guts to tell anyone. I decided to wait for a call from Vodacom, as promised, before breaking the news to other members of the family.”

The call did not come within the 48 hours Vodacom had reportedly said. As the clock ticked without any communication, Mr Njau became apprehensive. “Anxiety grew with each passing day and all I could do was hope the call that would make me a millionaire was a few seconds away.

That SMS remained permanently on display,” he said of the message that read: “Hongera! Wewe ni mshindi wa leo was TZS MILIONI 100. Utapigiwa simu na wafanyakazi wa Vodacom kwa maelezo zaidi ndani ya masaa 48.”

The message announces that the subscriber’s number was the winner of Sh100 million for a particular day’s draw. It says the lottery winner would be contacted by Vodacom employees within 48 hours. But that all-important call did not come and Mr Njau, a Dar es Salaam-based businessman, took it upon himself to visit Vodacom offices and those of the Betting Control Board to find out what was happening.

It has been five months of criss-crossing between the company and the board, according to Mr Njau. Vodacom now says that message was wrongly sent to his son’s registered number and reportedly appears reluctant to pay up. But Mr Njau is staying on the case. “I am shocked and disappointed but I have not given up on the matter,” he says. “We have decided to pursue justice in court and have already instructed our lawyer to file a case against Vodacom and the Betting Board.”

He has written several letters to the Board and details numerous meetings between himself, the board and Vodacom to no avail. The older Njau is acting on behalf of his son through the power of attorney.

Tazama Video Mpya Kutoka Kwa Bayo..Wimbo Unaitwa NIELEWE..Video Imefanywa na Nick Dizzo

$
0
0
Tazama Video Mpya Kutoka Kwa Bayo..Wimbo Unaitwa NIELEWE..Video Imefanywa na Director Nick Dizzo wa Focus Film..

Morogoro: Watu watatu wafariki katika mapambano na Polisi, wawili wanasadikiwa kuwa Al Shabaab..Wengine 50 wanasakwa

$
0
0
Watu watatu wamefariki wawili kati yao wanasadikiwa kuwa ni wafuasi wa Al Shabaab katika mapigano baina yao na jeshi la Polisi.

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro amesema tukio hilo limetokea eneo la mpakani mwa mkoa wa Morogoro wilaya ya Mvomero na mkoa wa Tanga ambapo watu hao walikuwa wamejificha msituni.

Amesema jeshi hilo linawashikilia watu sita kwa kuhusika na tukio hilo, na kwamba uchunguzi zaidi unafanyika ikiwa ni pamoja na msako mkali katika eneo hilo.

Taarifa kutoka katika hospitali ya mission ya Turian mkoani Morogoro zinasema kuwa maiti tatu zimehifadhiwa hapo ambapo kati ya hizo,maiti mbili zinaonekana kuwa ni za watu wasio raia wa Tanzania huku moja ikiwa ni ya mtu ambaye alijeruhiwa vibaya na badaye kufariki akiwa hospitalini hapo.

MYTAKE: Hivi hawa ni alshabab kweli au kutishana tu au jeshi letu linataka sifa?

NEC yaahirisha uandikishaji kwa BVR Dar es salaam

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji jijini Dar es salaa pamoja na mkoa wa Pwani kwa kutumia mashine za BVR lililokuwa linategemewa kuanza rasmi tarehe 4.7.2015 jijini Dar es salaam na  25.06.205 kwa mkoa wa Pwani.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo Habari, NEC imesema imeahirisha zoezi hilo kutokana na kuchelewa vifa vya uboreshaji kutoka mikoani ambako zoezi  hilo linaendelea pamoja na vifaa  vilivyokuwa vinakusudiwa kuanza kutumia Dar es salaam kupelekwa katika mikoa ambayo wananchi wamejitokeza kwa idadi kubwa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

Hata hivyo tume hiyo imewataka wananchi kuwa watulivu wakati vifaa vikisubiriwa kutoka mikoani.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images