Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Kikwete: Wasanii wa Bongo Fleva wanatuliwaza kwa kuitangaza Tanzania pale tunapofanya madudu kwenye soka

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete amesema wasanii wa muziki wa Bongo Fleva wameipeleka Tanzania mbali kwa kazi nzuri wanayoifanya na hivyo kuwaliwaza watanzania kwakuwa nchi bado inaendelea kufanya ‘madudu’ kwenye soka la kimataifa.

Akihutubia bunge mjini Dodoma jioni hii, Kikwete amesema wasanii wanaliletea taifa heshima kubwa hivyo ni lazima wawezeshwe zaidi.

Rais Kikwete amedai kuwa kwa kutambua umuhimu wa sanaa nchini, aliamua kuwaleta watu mashuhuri katika muziki nchini Marekani akiwemo mtangazaji wa E! News, Terrence J, meneja wa Ludacris, Shaka Zulu na producer David Banner ili kuja kuwapa elimu wasanii wa nyumbani.

Ameahidi kuwa atafanya mpango wa kuwaleta tena kwaajili hiyo na pia kutumia muda aliosalia madarakani kufanya awezalo kuwasaidia zaidi.

Wasanii mbalimbali akiwemo Diamond Platnumz wametoa maoni yao kuhusiana na kauli huyo.


  • “Hakika Mh Rais @jmkikwete alitukuta kuleee…sasa anatuacha hapa palipo juu zaidi…Dah! Daima tutakukumbuka kwa mengi mema uliyotufanyia,” ameandika Diamond kwenye Twitter.


Naye Shilole ameandika kwenye Instagram: Wasanii wanatupa heshima! Wanatupunguzia hasira za soka! Nimekupenda bureee mh rais tishaaaaaaaaaaaa.”

Aunty Ezekiel Kayathibitisha Tena Mapenzi yake kwa Mose Iyobo na Mtoto Wao

$
0
0
Wengi sasa hivi tunafahamu ya kuwa Aunt Ezekiel ni mama wa mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Cookie, baba wa mtoto huyo ni moja ya dancers wa Diamond Platnumz, ambaye anaitwa Mose Iyobo.

Muda mfupi uliopita staa huyu wa Bongo Movie ameweka picha @Instagram, amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake.


  •  “Sababu ya kuishi, kupumua, kupambana na mafanikio, kupenda na kuumia, kusahau na kusamehe. Sababu ya mimi kuwepo ni wao. Eeehh Mungu! nibariki mimi na wapendwa wangu wawili. Na kwa haya nashukuru. HAPPY 40 DAYS MY WORLD…….@cookie_la_princessa_iyobo”<<<Baada ya maneno hayo ameweka picha hii.

Breaking News: Hatimaye 5 Bora ya CCM Imejulikana....Lowassa Kaenguliwa

$
0
0
Kikao cha Kamati Kuu ya chama cha mapinduzi (CC) kimemalizika hivi punde(saa saba usiku)  mjini Dodoma.

Tovuti ya CCM imeyatangaza majina matano yaliyopitishwa na Kamati ya CCM (CC) kuwa ni ;

1) Bernard Membe
2) John Magufuli
3) Asha Rose Migiro
4) January Makamba
5) Amina S. Ali

Mpasuko Mkubwa CCM: Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa Wapinga Jina la Edwarad Lowassa Kukatwa

$
0
0
Habari za Hivi punde kutoka makao makuu ya CCM mkoani Dodoma  ni kwamba wajumbe wa kamati kuu  watatu ambao ni  Dkt. Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba na Adam Kimbisa  wamepinga maamuzi ya kamati ya kumkata mmoja wa wagombea maarufu   na kumweka mgombea asiyekuwa maarufu.

Akizungumza usiku huu majira ya saa saba za usiku Dkt. Nchimbi amesema kwamba wao watatu hawajakubaliana na maamuzi ya kamati kuu iliyoketi usiku huu chini ya Mwenyekiti Dkt Jakaya Kikwete kumkata mgombea maarufu kwa manufaa ya mgombea asiye maarufu.

“Katika kikao cha leo kamati haikupoea majina yote yaliyojadiliwa na maadili, suala ambalo ni kinyume na kanuni, pili katiba ya CCM inataka mtu anayekubalika  ndiye apewe nafasi ya kwanza, lakini kikao cha leo kimeonyesha kuminya wanaokubalika  kwa manufaa ya wachache wasiokubalika” Amesema Dkt. Nchimbi.

Hivyo basi kwa sababu hiyo wao watatu ambao ni wajumbe wa kamati kuu wamewataarifu wenzao  kwamba wamejitenga na maamuzi ya kikao hicho na kutangaza kuto kuyaunga mkono.

Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kisiasa nchini Tanzania zinaonesha kuwa mgombea anayekubalisa sana CCM ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akifuatiwa na Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa  Bernad Membe.

Hapo  chini  nimekuwekea  Video  ya  Emmanuel  Nchimbi  akiyapinga  maamuzi  hayo.

Fallout Within Tanzania’s Ruling Party as Former Prime Minister is Eliminated From Nomination Race

$
0
0
The central committee of the ruling party, CCM, finished its meeting at midnight and came up with five names that would be seconded to the national executive committee for voting today, Saturday.

Ideology and Publicity secretary Nape Nnauye told reporters soon after the meeting that the names of the five aspirants approved by the party would not be made public but will be taken directly to the NEC meeting scheduled to start at 10am today, Saturday.

“Because the nomination process is ongoing we will not disclose the names of five aspirants, which will be taken directly to the NEC meeting for voting to get three names. The three names will then be taken to the national congress later in the afternoon,” Mr Nnauye noted.

However sources privy to proceedings of the meeting said the names of five approved presidential aspirants include January Makamba, Asha Rose Migiro, Amina Salum Ali, John Magufuli and Bernard Membe.


This was later confirmed when CCM tweeted the five names in its official twitter handle (@ccm_tanzania ). The twitter was also reflected in the party’s website ww.ccm.org.tz.

The fallout

Immediately after Mr Nnauye’s media briefing three members of the central committee who attended the meeting- Dr Emmanuel Nchimbi, Adam Kimbisa and Sophia Simba- told journalists that they opposed the nomination procedures that were used to come up with the five names because the procedures were in violation of the party’s constitution.

The visibly agitated Nchimbi said the CCM constitution demands that the names of all aspirants who returned nomination forms be tabled in the central committee meeting, which then vets them and comes up with five names.

But it seems the Ethics and Security committee meeting which met in the afternoon on Friday did the vetting and came up with few names.

“We hereby declare that we do not agree on the decisions of the meetings because the party’s regulations and constitution, which say that the central committee is the first meeting to start vetting aspirants in the nomination process, have been violated,” Mr Nchimbi noted.

He added; “We informed the meeting that we do not agree with the decision reached because it also violates a section of the constitution that says the central committee would give special consideration to the front-runner or front runners in the nomination contest.”

The three central committee members are believed to be supporters of former Prime Minister Edward Lowassa, who has been the clear front runner from the beginning of the process. Mr Lowassa who resigned as Prime Minister in the wake of the Richmond scandal in February 2008 attracted huge crowds in his campaign events and collected hundreds of thousands of endorsements from party members instead of the 400 required to qualify for nomination.

However, he faced allegations of spending too much money in his campaigns and of bribing party members to support him. He has defended himself saying the money he spent on his bid for nomination is from his friends and that he has conducted a clean campaign.

“Anyone who has evidence that I bribed CCM members to support me let him come forward. I have conducted a clean campaign and I am innocent,” he told reporters on July 1 here in Dodoma after he had submitted nomination forms.

His seeming involvement in the Richmond, which led to his resignation from office, has continued to haunt him. It has given ammunition to his opponents who have portrayed him as a corrupt politician.

The Richmond scandal involved serious irregularities in the tendering process of emergence power supply following biting power shortages of 2006.

The company that was given the tender to supply the emergence electricity was the the US-based Richmond Development Company. But it soon proved to be unable to meet deadlines and was later found, after an investigation by a Parliamentary Select Committee, to be a briefcase company.

Though not directly implicated, Mr Lowassa resigned out of political responsibility.

What next for CCM

Opposing decisions taken by the powerful but secretive central committee is unprecedented and shows how stiff competition in this year’s nomination process is.

It also indicates that things are set to become worse and the the rift created by eliminating Mr Lowassa from the nomination process could intensify. Unconfirmed reports say members of NEC who support the former Premier plan to move a motion of no confidence with the chairman of CCM President Jakaya Kikwete and his central committee during the NEC meeting today Saturday. The CCM constitution gives NEC members powers to dismiss the chairman of the party and some members of NEC want to attempt to dissolve the central committee and appoint new members.

Today Saturday is perhaps going to be the most crucial day in the history of CCM as the party and the camp of the most powerful member battle it out.

It is left to Mr Kikwete to employ all his politician capital to manage the fallout and save the party.

The national executive committee (NEC) is the highest decision making organ which, according to Article 107(13)(f) selects 14 members of the central committee.  The rest of the members of the central committee qualify for the membership because of their positions in the party.

Baada ya JINA Kukatwa..LOWASSA Sasa Tunasuburi Maamuzi Yako Magumu

$
0
0

Sasa ni wazi kabisa Edward Lowassa hayumo tena kwenye mbio za urais ndani ya CCM baada ya jina lake kukatwa ndani ya kamati kuu kwa Zengwe kubwa na zito kutoka kwa mwenyekiti wa CCM Jakaya Kikwete.

Wagombea watano waliopitishwa ni Membe, Makamba, Magufuli, Migiro na Amina Salum.
Sote tunaamini hiyo ni njia ya kuhakikisha Membe anakuwa mshindi.

Ni wazi kabisa kwa sasa Lowassa huna cha kuficha wala kupoteza, kama ni vita ya kwenda Ikulu sasa kwako ndio imeanza au imekufa.

Jaribio lako la kwanza ni kwenda kwenye Halmashauri kuu na kupinga maamuzi hayo, unayo hoja na pia unao wajumbe wa kutosha ndani ya Halmashauri Kuu, uzoefu unaonyesha kuwa ni maajabu pekee ndio yanayoweza kukurudisha tena kwenye kinyang'anyiro hicho ndani ya CCM.

Kwa sasa wafuasi wa Lowassa hawataki tena kusikia kulalamika kuwa unaonewa wala porojo za kudai hamkukutana barabarani, kwa kuwa tayari Ugali umemwagwa na Mwenyekiti kupitia kamati kuu na wewe jipange kumwaga Mboga Halmashauri kuu na ikibidi vunja kabisa na Chungu.

Magoli ya Mkono Yameanzia Robo Fainali, Shikamoo NAPE

$
0
0

Niliposikia Nape anazungumzia ushindi lazima hata kwa goli la mkono, binafsi niliona kama ucheshi/comedy,lakini kwa yaliyotokea Dodoma tokea mwanzo wa mchakato wa kuteua 5 bora, tayar wao kwa wao wameanza kulalamikiana juu ya faulo wanazochezeana.Tayari Bw. Kimbisa,Nchimbi, Mama Simba washamfunga paka kengere.Watoto wa mijini wanasema WAMEKINUKISHA.Kutokana na kuendekeza dhambi ya ubaguzi kwa wenzao(Wananchi & Vyama pinzani),sasa CCM imegeuka MBWA MWITU wanatafunana wao kwa wao.Narudia tena Shikamoo NAPE..

Caught on Camera! What This WOMAN Did in Her Bedroom Will Blow Your Mind (VIDEO)

$
0
0

They say that an idle mind is the devil’s workshop and some of the things ladies do in their bedrooms are just crazy.

There’s this s3xy lady who was caught on camera getting n@ughty in her bed-room.
She was probably perfecting her skills before hitting the club and to all “team mafisi” out there, this hot video will blow up your mind. Click play and enjoy.


UNCONFIRMED: Lowasa Kuondoka na Kundi Lake na Kugombea Uraisi Kupitia ACT

$
0
0
Habari katika kambi ya Lowasa wakishirikiana na Zitto wanamshawishi ndugu Edward Lowasa kuhamia ACT na kundi lake na kugombea urais kupitia chama hicho.

wanaamini kuwa anawafuasi wengi na akikosa mwaka huu hatopata nafasi nyingine tena maiashani mwake kwa ushawishi alionao ndani ya jamii

More updates will follow

Rais Kikwete Kathibitisha haya Majina Matano ya Wagombea Urais Waliopitishwa CCM

$
0
0
Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.

Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa @Twitter wa Rais JK kathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.

“Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @jmkikwete


Hili Ndilo KOSA Kubwa Alilofanya LOWASSA Mpaka Jina Lake KUKATWA Tano Bora...

$
0
0
Kwa Mtazamo wangu Lowassa amefanya kosa kubwa sana kutowekeza Mtaji wake kwa Wakataji wa Majina ndani ya CCM , Lowassa Aliwekeza sana kwa Watu wa Nje na mashabiki wake kiasi cha kupendwa kila kona na kusahau kuwa Wakataji wa Majina si Hao Wananchi wanaomshangilia kwa nguvu huko nje kila anapopita....Kwangu hilo ndio kosa kubwa kwa Lowassa...JE wewe Unaona ?

This is what exactly happens to MPESA money when one dies - SAFARICOM explains

$
0
0

Many Kenyans have been asking what happens to somebody’s MPesa balance when he dies without revealing his pin to his/ her spouse or close family members.

Safaricom now says the funds held in an M-Pesa account can be passed on to a customer’s next of kin once claims from the beneficiary are validated.

“We require that the next of kin should visit any Safaricom Shop and provide certain documents for inspection and approval before any funds can be released,” the Safaricom website directs.

The documents to be presented include copies of the death certificate, ID of the next of kin and grant of probate.

The above conditions are mandatory for accounts with more than Sh30, 000.

For accounts with less than Sh 30,000, you will need an affidavit administered by a Commissioner of Oaths and sworn by the claimant, a death certificate (not burial permit), a letter from the provincial administration of the deceased’s area of residence or letters of administration and the next of kin’s ID and copy to be retained.

To avoid this time consuming process, it is good to share your pin with your spouse or a family member to avoid your money being taken by strangers while your children are suffering.

Akamatwa na Mamilioni Akitaka kuwa Onga Wajumbe wa Halmashauru Kuu Dodoma

$
0
0
Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi..nani kamtuma???
Updates Kutoka Jamii Forums:

Hapa St. Gasper Hotel ambapo ilikuwa ni kambi ya Edward Lowassa sasa hivi zimekamatwa fedha zinazodaiwa kuandaliwa kugawiwa kwa wajumbe wa NEC.

Aliyekamatwa kageuka, anasema katumwa na Membe

ZITTO KABWE Kayasema Haya Kuhusu Chama Chake Kuteua Mgombea au Kuunga Mkono Mgombea wa Chama Kingine

$
0
0
Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.

Sasa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe leo amefunguka kuhusu chama chake kumteua mgombea au kuunga mkono mgombea cha chama kingine.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewahabarisha wananchi kwa kusema…’Chama chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine kwa maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama Kiongozi wa chama sina mamlaka yeyote yale kutangaza mtu kuwa mgombea wetu’ – @zittokabwe

Hivi sasa Uongozi mzima wa Chama upo kwenye retreat ili kujipanga na uchaguzi. Hatuna mazungumzo wala makubaliano na mtu yeyote kutoka chama kingine kuhusu nafasi ya Urais. Mgombea wetu atapatikana kwa kupitia vikao vya chama chetu…’  -@zittokabwe

Kukatwa kwa Lowassa, ni Mwisho wa ile Safari, Au ni Mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

$
0
0
Wanabodi,

CC ya CCM, imefanya kazi yake, imelikata jina la kipenzi cha wengi, Edward Ngoyai Lowassa!.

Jee kukatwa huku ndio mwisho wa ile safari ya matumaini, au ndio mwanzo wa safari ya kweli ya matumaini, kwa kipenzi cha watu, kuanza rasmi safari ya ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, kwa kuipeleka rasmi CCM kaburini?

Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliwahi kusema, upinzani wa kweli, utatoka CCM. Jee hiki ndio kipindi cha upinzani huu?

Kwa miaka 50 sasa, Watanzania tumelogwa na jinamizi la CCM kiasi cha kuamini mgombea wa CCM ndie automatically atakuwa rais wa Tanzania!. Wanaopiga kura sio CCM bali ni Watanzania!. Kama Lowassa ndie chaguo la watu, CCM wakaamua kumkata, jee sisi ambao ndio watu, tumchukue Lowassa, kupitia chama kingine chochote tumuingize ikulu?

Jee Lowassa tuliombatiza jina la mwamba, ataliishi hilo jina la mwamba kwa kuonyesha umwamba wake kwa kutokubali kuchinjwa na kufanywa mbuzi wa shughuli, au lile jina la mwamba, tulimpachika tuu, ila in reality kumbe sii mwamba lolote wala chochote, bali ni kichuguu tuu?

Mimi bado ni muumini wa andiko hili lisemalo "Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni!", jee Watanzania tuendelee kuwatumainia hawa waashi wa CCM kuamua hatma yetu na taifa letu, au tumchukue mtu wetu na kusindikiza ikulu nje ya CCM?

Nauliza tena, jee huu ndio mwisho wa safari, au mwanzo wa safari ya kweli ya matumaini kwanza kwa kuingoa CCM na kuikomboa Tanzania?

Pasco!

Maneno 36 ya Waziri Membe Kuhusu Mtu Aliyekamatwa na Mabilioni ya Wajumbe Dodoma..

$
0
0
Kuna stori zimeenea mitandaoni kwamba kuna mtu ambae amekamatwa na mabilioni ya pesa Dodoma, kingine ni kwamba amekamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ameandika ujumbe @Twitter kukanusha kuhusika na mtu huyo

  • “Kuna taarifa za uongo zinazoenezwa kwamba kuna “Mtu wa Membe” amekamatwa na pesa Dodoma“


Kwenye Tweet nyingine Waziri Membe ameandika hivi

  • ”siasa hizi ni za hovyo kwani hazitajenga Taifa letu. Naomba msihadaike na watu wanaotaka kututia doa baada ya kukosa uchafu dhidi yetu”  @BernardMembe

Mpasuko CCM: Wajumbe Waanzisha Varangati........Rais Kikwete Apokelewa Kwa Wimbo Wa Tuna Imani Na Lowassa.....!!!!.....Tuna Imani na Lowassa

$
0
0
Mambo yamezua jambo ambapo wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu inayokutana hivisasa chini Rais Dkt Jakaya Kikwete wameonesha wazi kupinga uamuzi wa mbunge wa Monduli Edward Lowassa jina lake kukatwa.

Hayo yamedhihirika hivisasa wakati Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt Jakaya Kikwete akiingia kufungua mkutano huo ambapo imezoeleka wajumbe huimba kuwa na imani na Mwenyekiti ambaye ni Rais Dkt Jakaya Kikwete lakini leo hali imekuwa tofauti.  Wajumbe walipaza sauti zao wakiimba wimbo wa kuwa na imani na Edward Lowassa.(  Tuna  Imani  na  Lowassa...!!!  Tuna  Imani  na  Lowassa!!)

Mkutano huo  wenye wajumbe  324 kati ya 374 umehudhuriwa na wajumbe mbalimbali wakiwemo baadhi ya wanasiasa walio omba ridhaa ya kuteuliwa kugombea urais ndani ya chama hicho.

Kwa upande  mwingine  mtia nia aliyechujwa Prof. Mark Mwandosya yeye kwa upande wake amewashukuru wananchi kwa ushirikiano walio mpa na kusisitiza kuwa hatogombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.

Polisi Wenye Mbwa Waongezwa Dodoma Kudhibiti Waandamanaji........Wafuasi wa Lowasa Waamua KUTAMBAA Kupinga Jina Lake Kukatwa

$
0
0


Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jinalake kukwatwa kamati kuu.
  

Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM.
  

Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM.
  

Baadhi ya waaandamaji wakipinga Edward Lowassa kukatwa.

Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM.

Live Dodoma: Polisi Watumia Mabomu Kuwatawanya Wafuasi wa Lowassa Waliokuwa Wakiandamana

$
0
0

Wapambe wa Mbunge  wa Monduli Edward Lowassa  hivisasa wanafanya maandamano makubwa nje ya ofisi za CCM hapa makao makuu ya CCM wakipinga Mbunge huyo kuchujwa katika tano bora.

Wapambe hao wanaimba nyimbo mbalimbali za kukiponda chama cha Mapinduzi kwa madai kuwa chama hichosio cha kindugu na  pia sio cha kifalme.

Kwa namna nyingine  hali si shwari hapa mkoani Dodoma ambapo sintofahamu imetawala kuhusiana na Edward Lowassa kukatwa.

Bado haijulikana nini hatma ya kikao kinachoendelea hivisasa kwa kuwa wa wajumbe wengi wa napinga Lowassa kuchujwa.

Baishara zasimama,makao makuu Dodoma.

Baadhi ya wapambe wa Lowassa wakipinga Kamati kuu kumchuja Lowassa.

Barabara zafungwa Polisi watanda kila kona kudhibiti usalama dhidi ya waandamanaji.

Wapambe wa Loawssa wakipinga kukatwa tano bora.

Kingunge Atabiri Anguko la CCM Iwapo Chama Hicho Hakitapitisha Mgombea Anayekubalika Kwa Wananchi Wengi

$
0
0


Kingunge Ngombare Mwiru, ambaye ni kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametabiri anguko na mpasuko mkubwa ndani   chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, endapo chama hicho  kitaacha kumpitisha mgombea urais anayekubalika kwa wananchi wengi.

Kauli hiyo imekuja mara baada ya jina la Edward Lowasa kuenguliwa kutoka majina matano  yaliyopendekezwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC- NEC).

Kutajwa kwa majina ya Bernard Membe, Dk. John Magufuli, Amina Salum Ali, January Makamba na Dk. Asha-Rose Migiro na Kamati kuu kwamba ndio watajadiliwa na Halmashauri Kuu (NEC), kumemfedhehesha Kingunge hata kusema, “…hatua ya kwanza itakuwa kumweka mgombea ambaye hakubaliki ndani ya chama na hakubaliki nje ya chama. Itakuwa ni kura ya hasira.”

Kingunge ametoa kauli hiyo kwa kusitasita huku akionekana kuwa na huzuni wakati akifanya mahojiano na kituo cha Azam Tv  leo mchana.

 

Japo Kingunge hakutaja jina la Lowassa lakini ni muungwa mkono katika mbio zake za kuusaka urais  hata wakati wa mkutano wa kutangaza nia mjini Arusha Kingunge alisema, “…Lowassa ndiye pekee anasifa za kuwa rais wa Tanzania.”

 

“Utaratibu wa mwaka huu una matatizo. Kilichotokea ni mazingira yanayotia shaka. Kwa sababu ya muda hakuna atakae kata rufaa. Inaonesha kwamba uongozi umeshakuwa na msimamo juu ya mgombea wanaemtaka,” amesema Kingunge.

 

Amesema kazi ya CC-NEC ni kuyapitia, kuangalia sifa, kuwapima, kuyalinganisha na kisha kutoa mapendekezo. "Hawana madaraka ya kuamua."

 

Kuhusu kukubalika kwa majina hayo na NEC, Kingunge amesema, “…wajumbe wa NEC wanaweza kukubaliana nayo, wanaweza kusema hapana, wanaweza kusema wote waliopendekezwa hawafai na wanaweza kutoa mapendekezo waletewe majina mengine.”

 

Amesema kuwa yanayotokea sasa na yatakayotokea baadae ni mazingira ambayo yamekuwa yakijengwa kwa muda mrefu na viongozi wakuu  wa  chama.

 

Kuhusu sifa za mgombea anayemtaka, Kingunge amesema ni lazima: Aweze kupambana na nguvu ya upinzani; anayekijua chama; awe na uzoefu wa masuala ya ulinzi na usalama na mtu atakae watoa watanzani  kwenye umasikini.


Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images