Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live

Hili la JWTZ Kuanza Kupeleka Vifaru Mtwara Limekaa aje? Wanawake na Watoto Waanza Kuondoka Mtwara Wakihofia Vurugu

$
0
0
Wakuu nimeona Sauti ya Ujerumani DW wakiripoti kwamba Mtwara watu wamenza kuondoka mara baada ya kuona magari ya kijeshi pamoja na vifaru mtaani sasa inakuwaje kipindi hiki magari ya kijeshi mtaani?

Shirika  la  utangazaji  la  Ujererumani,DW  limeripoti  leo  mchana  kuwa idadi kubwa ya watu  wameanza kuondoka  mkoani Mtwara  wakihofia hali ya usalama wakati wa uchaguzi.

Kwa mujibu wa Dw,watu wengi  wanaoondoka  ni wanawake na watoto, hali ambayo inaelezewa inatokana na vurugu za gesi za mwaka 2013,  kuonekana kwa baadhi ya vifaa vya jeshi na wanajeshi wakiwa kwenye vifaru.

Mke wa Mtikila ataka iundwe Tume kuchunguza kifo cha mumewe

$
0
0

Mama Mtikila Ameongea Haya Mbele ya Waandishi wa Habari:


Ndugu Wana-Habari,

Kabla sijawaeleza kilichonilazimisha kuwaomba kuongea nanyinyi, kwanza niwarudishe nyuma kama miaka saba iliyopita, ndipo maisha ya Baba, Mchungaji, Mwenyekiti na mume wangu, Mchungaji Christopher Reuben Mtikila yalipoanzwa kuwindwa:-

MAUWAJI YA MHESHIMIWA CHACHA ZAKAYO WANGWE

Mara tu baada ya kifo cha mbunge huyo, mchungaji Mtikila alitoa ripoti maalumu juu ya mauaji yake ambayo ilimjengea uadui kati ya baadhi ya vyama vya siasa pamoja na wafanyabiashara wakubwa ambao hadi leo ni wapinzani wa serikali hapa nchini.--Mchungaji Mtikila hadi anafikwa na mauti aliendelea kupata upinzani wa aina hiyo hiyo kwa sababu mchungaji Mtikila aliendelea kudai haki ya marehemu Chacha Zakayo Wangwe.

MAUAJI YA BULIGI

Hii ilimwongezea uadui baada ya kusema/kuandika ukweli juu ya watutsi wa nchi jirani kuvamia nchi yetu kwa mtindo wa kujifanya wafugaji wasio hama. L.I.F. ilibaini uharamia huo kuwa hawakuwa wafugaji bali walikuwa askari wa Jeshi la Rwanda waliokuwa na mpango wa kutumika na Chama kimoja cha siasa hapa nchini ili kuleta mapigano yatakayo zaa mapinduzi. Jambo hili lilisababisha Rais wa Rwanda, Paulo Kagame kutamka hadharani kuwa angemkamata Mwenyekiti wa chama chetu cha DP--kwa lengo la kumuua na Serikali yetu inajua hilo. Mara baada ya ripoti hiyo kutolewa na Mchungaji Mtikila "operation Kimbunga" ilizaliwa na kuponya nchi yetu; lakini chuki na uadui uliendelea dhidi ya Mchungaji Mtikila.

MCHAKATO WA URAIS NDANI YA CCM

Ikumbukwe kuwa mara baada ya mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya CCM kuanza DP ilitoa ripoti iliyowahusu wagombea sita wa CCM waliotumia mapesa mengi na kuanza kampeni kabla ya muda na kusisitiza kuwa Lowasa ni mtu asiefaa kuwa Rais wa nchi yetu. Na baada ya kuhama CCM, Mwenyekiti wetu aliendelea kutoa tahadhari hadharani jinsi Lowasa asivyofaa kuwa Rais wa nchi yetu hivyo likaendeleza uadui wake na Chama.

VITISHO--KUANZA

Mchungaji Mtikila alipata nafasi ya kuongea katika kipindi kinachorushwa na STAR TV cha asubuhi "TUONGEE" ndipo alipoanza kupata vitisho toka kwa watu mbali mbali wengine kupitia kwenye simu wengine uso kwa uso. Kipindi cha kwanza kilirushwa tarehe 25/9/2015 na kufuatwa na cha tarehe 27/9/2015. Alipotoka studio hiyo asubuhi ya tarehe 27/9/2015 ndipo watu waliodai wametumwa na Mhe. Edward Ngoyai Lowasa na Mhe Frederick Sumaye walimuomba wampe nusu bilioni na apewe maovu ya mgombea urais wa CCM ili afunike-alivyowamaliza wao.

Mchungaji Mtikila aliwapuuzia mbali wale wajumbe waliyotumwa kwani aliawaambia kuwa yeye siyo malaya wa kuuza utu wake kwa tende na haluwa. Yakumbukwe kuwa mahojiano kwenye hivyo vipindi viwili kwenye STAR TV hayakuwa yanatetea mtu au chama yalikuwa yanatetea Taifa letu lipate Rais anayefaa.

Kwa hiyo basi wale waliochukizwa na mahojiano hayo ni wale amabo hawakubaliani na mawaidha ya Mchungaji Mikila aliyokuwa anawatahadharisha watanzania juu ya Mh. Lowasa kuwa hatari kwa usalama wa taifa letu kama atakuwa Rais wa nchi yetu. Hao watu ndiyo waliopanga mpango mzima wa mauaji ya Mh. Mtikila ambaye ni mume wangu.

Wakati yuko Bunda mjini watu wasiofahamika walimfuatafuata na tarehe 26/9/2015 gari lake lilifukuzwa na gari usiku wakati alipokuwa anatoka Bunda kwenda Mwanza kufanya mahojiano ya tarehe 27/9/2015 na Star Tv.

MPANGO WA MAUAJI HALISI

Mchungaji Mtikila alitafutiwa gari na Victor James Manyahi ambayo ilikuwa na madereva wawili. Mchungaji madereva hakuwajua. Hata mimi madereva hao sikuwajua wala sikuwaona. Walikodiwa kutoka wapi sijui, wala sijui wanafanana vipi. Na wala sijui Victor Manyahi alikodi gari hilo kwa nani na makubaliano yepi sijui.

Kwa hivyo basi, kwenye gari aliyosafiri nayo Mchungaji Mtikila kulikuwamo madereva wawili na Mgaya Patrick (tunayemfahamu). Wakati wanakwenda gari lilipata ajali Makambako. Wakati wanarudi wakapata “ajali” Msolwa Mchungaji akapatwa na mauti peke yake. Ajali ilikuwa mbaya sana-IKAUWA MTU MMOJA AMBAYE NI MCHUNGAJI MTIKILA NA HAKUKUWA MAJELUHI HATA MMOJA.-Cha ajabu kwangu ni kuwa mtu ambaye alikuwa ni mlinzi wa kujitolea (body guard) Mgaya Patrick sijawahi kumuona usoni mwangu kabla na hata baada ya mazishi kuja kuniambia kilichotokea eneo la ajali. Pamoja na juhudi zangu zote za kumpigia simu mara kadhaa aje anijuze Mgaya Patrick hajatokea hadi sasa ndugu zangu wanahabari ninapoongea nanyi. Lakini si kwamba huyu mtu hayupo, yupo lakini sijaonana naye, kwa nini sijui. Je ndugu zangu wanahabari nimuweke Mgaya Patrick kwenye fungu gani?

Ndugu Wana-Habari, baada ya kuwaelezea yote hapo juu nakuja kwenye suala nililowaomba nikutane nanyi ili niongee mbele yenu kuwa sikubaliani na uchunguzi kuwa Mchungaji Christopher Reuben Mtikila amekufa kwa ajali. Sikubaliani na kazi ya Polisi kuwa wamefunga file lao kutokana na Post-mortem report kuwa mauti yaliotokana na ajali. Nafuta kabisa taarifa--iliyotoka katika gazeti la Nipashe chini ya kichwa cha habari kuwa “FAMILIA YAFUNGUKA KIFO CHA MTIKILA”-ilitolewa mapema mno. Kila mwanafamilia alikuwa hajawa tayari kutoa kauli yoyote. Kwa niaba ya Chama na familia ya Mchungaji Christopher Reuben Mtikila naomba tusaidiwe yafuatayo kusudi haki ya mpendwa wetu-ionekane--inatendeka:-

Kwa sababu mtandao umeanza kuficha ukweli ili kulinda wauaji; tunaomba Mheshimiwa Rais aingilie utata wa kifo cha Mheshimiwa Mchungaji Christopher Reuben Mtikila kwa kuunda tume ya uchunguzi isiyohusisha polisi.

Tunaiomba mamlaka ya mawasiliano yaani Tanzania Communications Regulatory Authority, TCRA itusaidie yafuatayo:-

(a)----Mtu aliyeweka picha kwanza alfajiri kuonyesha mauti ya Mhe Mchungaji Mtikila alikuwa wapi? Kwenye tukio? Au ni hao wauaji walikuwa wanatoa taarifa kwa waajiri wao kuwa wamekamilisha kazi!

(b)----Mtu aliyeweka picha ya Dr. Jean-Bosco Ngendahimana kwenye mtandao kuwa ndiye anahusika na mauti ya Mhe. Mch. Mtikila na kumusingizia kuwa amekamatwa na polisi akiwa anajiandaa kukimbia;

(c)-----Wote wanaoendelea kumhusisha Dr. Jean-Bosco Ngendahimana na mauaji ya Mhe. Mchungaji Mtikila, tuwafahamu ili watueleze vizuri.

Ukweli na haki ni vya Mungu hakuna anayeweza kuviua au kuvizuia. Tunategemea Mungu atawatumia watendaji wa Serikali/nchi yetu wenye nia njema, na makusudi yaliyonyooka kwa ajili ya nchi yetu ili Mhe. Mchungaji Mtikila apewe haki dhidi ya wauaji wake.

Asanteni,

Georgia C . Mtikila,

-KM DP/Msemaji-Familia

Sababu Zinazopelekea Wasichana wa Kileo Mpigwe Chini na Wanaume Kimapenzi

$
0
0
Kumekuwa na ulalamishi sana miaka ya karibuni kuwa wanaume sijui tupoje,tunawaacha bila sababu ila kumbe sababu zipo tu ila wengi hawajazijuaga tu.Nimeona nibainishe sababu zangu kadhaa ambazo ni hizi hapa:

1. Hufanyi chaguo sahihi
Marazote unapenda mtu mwenye swaga,status ambaye kila msichana anamtaka bila kujali kuwa swaga si jambo la msingi katika mahusiano ila penzi la kweli na utu.80% ya wale mnaowadiss ndio wana mapenzi ya kweli na utu uliotukuka!Wenye swaga huwa hawana future wanasuuza rungu tu wakati wakiskilizia kali mara nyingi akitokea mkali zaidi ujue ushalia!

2. Kupenda ready made
Jaribuni kuanza mapenzi na mtu sahihi tokea akiwa chini ili mfurahie mafanikio badae.Mara nyingi mwanaume ulieanza nae kwenye msoto hana jeuri ya kukuacha.Unakurupuka kwa mtu mwenye life lake tayari hujui kahaso vipi kuupata mchomoko unaleta shobo za kujitia unamjua sana.Utaumia maana ukizingua kidogo anapita hivi!

3. Kuendekeza uzungu mwingi
Kina dada wengi siku hizi hampendi kuwa chini,hutaki kuishi uhalisia ila unaendekeza u-instagram na tamthilia nyingi kitu ambacho sio sahihi.Ni nani ambaye kila 24/7 kwake sikukuu na jua lilivyo kali hapa bongo.Kila siku shopping kweli? Niwape cheat,wanaume wengi wanalijua hilo so wana row with the tide.Mlume ndago hawezi kuwekeza kwenye bidhaa feki ndio maana mnaona tunaoa midemu mikauzu yenye full uhasilia na ina akili za maisha baada ya miaka miwili/mitatu ya huduma wanakuwa bomba ile mbaya watu wanabaki midomo wazi.Hivyo basi be real jameni...

4.Tamaa tamaa
Hii inaweza isiwe kwa mademu wote ila wengi siku hizi mnamaindisha mapene,mizinga mingi bila kujali kipato cha ME ili yasapoti pointi namba 3 apo juu.Hii itakufanya uwe na mibwana mingi kitu ambacho sio rahisi mwanaume mwenye akili timamu na anayejua thamani ya penzi kukivumilia.Ukimwi upo na unaua jamani! Hamna mwanaume atayependa umchanganyie kimaisha na akigundua tu anatoka baru.

5. Personal traits
Je una akili za maisha(mipango)? ni msafi,msikivu,mvumilivu,unajia mini,mwaminifu,mkweli,huna choyo,sio mswahili kwa sana,unapendeka n.k hivi ni baadhi vitu muhimu sana ambavyo inabidi mwanamke avibalansishe na mbele ya mwanaume sahihi atajitwalia upendo wa kweli.

6. Sex
Inakubidi uwe fresh pia hapa ili uweze kuwa mtamu zaidi.Kuna wanaume ambao wamefanikiwa kutulizwa tuli baada ya kukutana na mashine nzuri sana ukijumlisha na yaliomo kwenye point 5 apo juu wakaamua kuoa kabisa.Wapo! Kwahiyo nafikiri pia umahiri wa kitandani una nafasi kubwa zaidi ya kumtuliza mwanaume sahihi! Ukiwa legelege utaachwa tu maana hamna namna nyingine.

NB: HUU NI MTAZAMO TU WAKUU MSIJENGE CHUKI

Naomba na wengine muongeze sababu nyingine ili wapate majibu kwa nini wanaachwa bila sababu!

Mkuu wa Jeshi (IGP) Apiga Marufuku Mikusanyiko ya Watu siku ya Kupiga Kura

$
0
0
Jeshi la Polisi nchini, limepiga marufuku mikusanyiko ya watu siku ya  kupiga kura kwa madai kwamba imekuwa ndiyo chanzo cha uvunjifu wa amani.

Pia, Jeshi hilo limesema mikusanyiko ya aina yoyote haitakiwi baada kuhitimishwa kwa kampeni  Oktoba 24, mwaka huu badala yake wanaweza kukusanyika na kusherehekea baada ya matokeo kutangazwa.

Tamko hilo limetolewa leo na mkuu wa jeshi (IGP), Ernest Mangu  akiwa kwenye mazungumzo na wanahabari kuhusu Uchaguzi Mkuu utakaofanyika siku ya jumapili.

Amesema uzoefu wa jeshi hilo unaonyesha kuwa uwepo wa watu kwenye mikusanyiko baada kupiga kura una sababisha vitendo vya uvunjifu wa amani.

Alipoulizwa na wanahabari kuruhusiwa kwa mikusanyiko hiyo katika chaguzi zilizopita, Mangu alijibu: “Polisi inafanya kazi na kupanga mikakati yake kutokana na hali halisi ya mazingira ilivyo, uchaguzi huu ni tofauti na zilizopita.”

Mikusanyiko au vikundi hivi  vinachangia pia kuwatisha watu  wasiopiga kura .Ndiyo maana tunasema  kampeni zikiisha  na ukishapiga kura rudi nyumbani kwako. Kikundi au watu watakaokiuka sheria na taratibu za uchaguzi kwa kisingizio cha kulinda kura, jeshi halitawavumilia,” amesema.

Mangu amesema lengo la kupiga marufuku mikusanyiko hiyo ni kuhakikisha mchakato wa kupiga kura unamalizika katika hali ya amani na utulivu. Amesisitiza kuwa jeshi la polisi linaongozwa na falsafa ya kuelimisha, kushauri, kushawishi na kutumia nguvu inapobidi.

Tumejiandaa vizuri kukabiliana na watu wote watakaobanika kwenda kinyume na utaratibu. Wananchi wasiwe na wasiwasi siku hiyo, wajitokeze kwa wingi kupiga kura, ulinzi utaimarishwa,” amesema Mangu.

VERA SIDIKA is Heartless! Look At What She Is Doing While Her Family Is Busy Mourning For the Loss of Grandmother

$
0
0

Less than a week after her grandmother passed away, Vera Sidika could not miss the opportunity to service one of her sponsors in Nigeria and had to fly out to West Africa but before she jets in, she had to share this.

Check her out:


Zari And Diamond Is Over !......Angry Mama Diamond And Esma Platnumz Talk About It.

$
0
0
According to Globalpublishers Zari and Diamond Platnumz relationship is over !....a source close to Diamond's family says Zari who is now in S.Africa won't return back to Tanzania claiming Diamond's family is fed up by Zari's high profile lifestyle while Diamond's family live the so called Swahili life.
"Diamond's family is the one which is pissed off, you know Zari isn't in Swahili lifestyle, they have been in misunderstanding and now they don't want her anymore, they want Swahili daughter in-law" said the source

When Mama Diamond reached throw phone she was so furious and shouted "even if it is true, I and your Zari are in differences it is non of your business, I don't want interference in my family, what I know is she is not here(Tanzania) but life goes on" said mama Diamond leaving the phone on, after second the phone was picked up by a guy introduced himself as Uncle Salum and told the paparazzi to leave them saying it is more family issue

Then Diamond's sister Esma Platnum took the phone to say "Why are you doing all this?, who interferes your life, about Zari it is over, we have no problem to welcome anyone else, if you know any beautiful lady come with her, our house is very big, and we(Muslim) are allowed to marry even four wives, Zari has ended up there, and we never quarreled with her but we are tired of high profile lifestyle, this time we want our fellow Swahili, Zari is in S.Africa for her children and moving on, we wish her all the best but we never fought"

On the other side, Diamond was unreachable throw his phone, but last week Diamond was quoted as saying he is still with Zari but he can't force her to stay permanently in Dar es salaam as Zari has many businesses both in S.Africa and Uganda so it won't be good to hinder her success.

The two started dating late in 2014 and they have a daughter Latiffah "Princess Tiffah"

Do you believe the two have ended their love...?

LOWASSA Kuhutubia Taifa Leo Oktoba 23, 2015 Saa Tatu Usiku...Maelezo Kamili Yapo Hapa!

$
0
0
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kupitia taarifa hii kwa vyombo vya habari, tunapenda kuutaarifu umma wa Watanzania wote nchini kuwa Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mh. Edward Ngoyai Lowassa atahutubia taifa kupitia vituo mbalimbali vya televisheni, redio na njia zingine za upashanaji habari hususan mitandao ya kijamii (live streaming facebook, twitter, forums etc), siku ya Ijumaa, tarehe 23 Oktoba, 2015, saa 3 usiku. 

Kupitia hotuba hiyo kwa taifa, Mh. Lowassa atazungumza na Watanzania wote, ndani na nje ya nchi, na watu wa mataifa yote, kuhusu Tanzania mpya itakayotokana na MABADILIKO makubwa ya kimfumo, kiutawala na utendaji wa serikali atakayoiunda baada ya Watanzania kumpatia dhamana ya kuwa Mkuu wa Nchi, Amiri Jeshi Mkuu na Kiongozi Mkuu wa Serikali hapo Oktoba 25, 2015.
Aidha, Mhe. Lowassa atatumia muda huo kuwashukuru Watanzania wote kwa namna walivyomuunga mkono kwa upendo mkubwa yeye, mgombea mwenza wake, Juma Duni Haji, chama na UKAWA kwa ujumla katika uchaguzi huu wa MABADILIKO, ya kuhitimisha utawala wa nusu karne wa CCM kuliandaa taifa na uongozi mpya utakaotoa utumishi wa kuliondoa taifa hapa lilipokwama katika umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi unaowatafuna Watanzania. 

Hiyo ni dalili ya wazi kwamba serikali atakayoiunda itatokana na watu kwa ajili ya watu ambao ni umma wa Watanzania wote. 
Imetolewa Alhamis, Oktoba 22, 2015 na; 
Tumaini Makene 
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano

Hii Ndo Kauli ya Nape Baada Ya Kupata Ajali Mbaya Ya Gari

$
0
0
Mgombea ubunge wa jimbo la Mtama, Nape Nnauye ambaye pia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM amezungumzia ajali mbaya ya gari aliyoipata jana usiku alipokuwa njiani akitokea Dar es Salaam kuelekea Lindi.
Nape ameeleza kuwa yuko salama na alipata majeraha madogo ingawa ajali hiyo ilikuwa mbaya kwa kuwa gari lake lilipinduka na kueuka mara kadhaa baada ya tairi ya mbele ya gari lake aina ya Land Cruiser alilokuwa anaendesha kupasuka.

Gari alilopata nalo ajali, Nape Nnauye“Namshukuru Mungu nimetoka salama na nawaomba wananchi wasiwe na hofu japo ajali ilikuwa mbaya maana gari lilipinduka mara kadhaa, nimepata majeraha madogomadogo na michubuko ila ni mzima,” alisema Nape.
Mgombea huyo wa ubunge alikuwa peke yake kwenye gari hilo na ameeleza kuwa mkanda na ‘air bag’ zilimsaidia kupunguza makali ya ajali hiyo.
“Gari limeharibika vibaya ila ninachoshukuru nilikuwa nimefunga mkanda na ‘air bag’ nazo zimenisaidia,” alisema.


Kortini Kwa Kumtusi Rais Kikwete na Mwanawe Ridhiwan Kikwete

$
0
0
Mkazi wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), leo amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya  Kikwete.

Mbali na shitaka hilo, mshitakiwa huyo amesomewa shitaka lingine la kumtukana Ridhiwan Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze anayemaliza muda wake.

Mshitakiwa huyo amefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama ya mkoa Kilimanjaro, Joachim Tiganga na kusomewa mashitaka hayo na wakili wa Serikali Kanda ya Moshi, Agatha Pima.

Wakili Pima amedai mahakamani kuwa Oktoba 17 mwaka huu katika baa ya Harambee iliyopo katikati ya mji wa Moshi, mshitakiwa alitumia lugha ya matusi dhidi ya Rais Kikwete na mwanae Ridhiwan.

Ingawa matusi hayo hayakuandikwa kwenye hati ya mashitaka, lakini wakili Pima amedai kitendo hicho ni kinyume cha kifungu 89(1) (a) cha kanuni ya adhabu kama kilivyofanyiwa marejeo mwaka 2002.

Chini ya kifungu hicho, mtu yeyote anayetumia lugha ya matusi, kuudhi, au kudhalilisha dhidi ya mtu mwingine katika hali ambayo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani anatenda kosa la jinai.

Adhabu inayotolewa kwa mtu anayepatikana na hatia katika kosa hilo ni kifungo cha miezi sita jela.

Hata hivyo, mshitakiwa amekana shitaka hilo ambapo mahakama imesema dhamana ilikuwa wazi ikiwa mshitakiwa atakuwa na wadhamini wawili watakaosaini hati ya dhamana ya Sh1.5 milioni kila mmoja.
Source: Mwananchi



Kampuni ya Bia Serengeti SBL Yahitimisha Kampeni ya Serengeti Masta Kwa Kishindo Jijini Dar es Salaam

$
0
0

Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Kinondoni Frida Samson akionja ladha tofauti za chapa za bia mbalimbali kutoka Kampuni ya bia ya Serengeti ili kuweza kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti Premium Lager katika shindano la kumtafuta Serengeti Masta wa wa wilaya ya Kinondoni lililofanyika katika Baa ya Zambezi iliyopo Ubungo jijini Dar es salaam. Shindano la” Serengeti Masta” lilianzishwa mahususi kwa ajili ya kurudisha shukrani kwa wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager mara baada ya bia hiyo kushinda kinyang’anyiro cha bia ya kimataifa yenye viwango bora katika tuzo za “monde selection” za mwaka huu.


Mshiriki wa shindano la Serengeti Masta Dickson Kashani akionyesha zawadi ya fulana aliyopewa wakati wa shindano la kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti Premium Lager maarufu kama “Serengeti Masta” kwa wilaya ya Kinondoni ambalo lilifanyika katika baa ya Zambezi iliyopo Ubungo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki hii. Shindano hilo la miezi mitatu linalodhaminiwa na bia ya Serengeti Premium Lager limewakutanisha wapenzi mbalimbali wa bia hiyo huku likitoa elimu juu ya bia yake na zawadi mbalimbali kama fedha fulana na bia za bure katika kipindi chote kampeni.(Kulia) ni balozi wa bia hiyo Caroline Vincent.


Mshiriki wa shindano la mwisho la Serengeti Masta kwa wilaya ya Kinondoni Kanyika Nyuki akishiriki shindano hilo kwa kuonja chapa za bia mbalimbali za Kampuni ya bia ya Serengeti ili kuweza kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti Premium Lager katika shindano ambalo lilifanyika mwishoni mwa wiki hii katika baa ya Zambezi iliyopo Ubungo jijini Dar es salaam. Kampeni hiyo ya bia ya Serengeti Premium Lager inahitimisha zoezi la shindano hilo jijini Dar baada ya kuzunguka katika miji ya Arusha, Mwanza, Mbeya na Morogoro kuwasaka washindi mbalimbali wanaijua vizuri bia ya Serengeti Premium Lager.


Mmoja wa washiriki wa shindano la kumtafuta Serengeti Masta wa wilaya ya Kinondoni Dickson Kashani akijaribu ladha tofauti za vinywaji vya kampuni ya bia ya Serengeti katika baa ya Zambezi iliyopo Ubungo jijini Dar es salaam ambapo shindano la mwisho la kumtafuta mshindi wa jumla wa wilaya hiyo lilifanyika mwishoni mwa wiki. Shindano la Serengeti limezunguka katika baa mbalimbali jijini Dar es Salaam na mikoani kwa muda wa miezi mitatu sasa na kufanikiwa kutoa elimu ya utoaji huduma kwa wateja kwa wahudumu wa baa mbalimbali nchini katika kipindi chote cha kampeni.


Msimamizi wa mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo, Manzese na Kimara Christopher Maginga akikabidhi kiasi cha Tsh. 100,000/= kwa mshindi wa shindano la Serengeti Masta wilaya ya Kinondoni Hassan Mawazo aliyeibuka mshindi halali wa kutambua ladha halisi ya bia Serengeti Premium Lager kati ya bia tano zinazotengenezwa na kiwanda cha Serengeti katika shindano lilifanyika katika baa ya Zambezi iliyopo Ubungo jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki hii. Anayeshuhudia katikati ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin.


Dar es Salaam, Kampeni ya “Serengeti Masta” iliyokua ikiendeshwa na Kampuni ya bia ya Serengeti chini ya udhamini wa bia yake namba moja ya Serengeti Premium Lager, imefikia kilele jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki baada ya kampeni hiyo kuzunguka kwa muda wa miezi mitatu katika miji ya Arusha, Mbeya, Mwanza na Morogoro.
Katika kufunga Kampeni hiyo kwa kishindo, kwa kushirikiana mameneja wa bia ya Serengeti Premium Lager,  walijipanga kuwafikia mashabiki wengi zaidi wa bia hiyo ambapo iliwalazimu kufanya shindano la “Serengeti Masta” katika baa tatu zilizopo jijini Dar es salaam kwa siku tofauti.
Sherehe hizo ambazo zilionekana kuwafurahisha mashabiki wengi wa bia ya Serengeti Premium Lager, ziliambatana na burudani ya mziki, zawadi za fedha taslim, fulana na bia za bure.
Baadhi ya baa za jijini Dar es Salaam, ambazo zilizochaguliwa kuimalizia promosheni hiyo ni pamoja na Kisuma iliyopo Temeke, Zambezi Ubungo na Havana Park ya Segerea.
Akiizungumzia promosheni hiyo mmoja wa wateja maarufu wa bia ya Serengeti Premium Lager aliyehudhuria shindano la “Serengeti Masta” katika baa ya  Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es Salaam, Bw. Salehe Kitwana,  aliipongeza Kampuni ya bia ya Serengeti na mameneja wa bia hiyo, kwa kuibua kampeni ambayo imeweza kuwahamasisha wahudumu wa baa mbalimbali jijini Dar es Salaam na mikoani katika utoaji huduma bora kwa wateja wa bia hiyo, sambamba na kuwazawadia fedha taslim washiriki mbalimbali walioweza kuitambua ladha halisi ya bia ya Serengeti baada ya bia hiyo kushindanishwa na bia nyingine tano zinazotengenezwa na Kampuni ya bia ya Serengeti (SBL).
“Promosheni kama hii inawaunganisha mashabiki na kuwafanya waipende bia yao zaidi na zaidi pia nadhani huu ni mfano wa kuigwa na bia nyingine zinaweza kujifunza mengi kutokana na promosheni kama hii”.alisema Bw. Salehe
Naye Meneja Masoko wa bia ya Serengeti Premium Lager Bi. Anitha Msangi alisema,”Kampeni hii imekuwa ikiendeshwa kwa muda wa miezi mitatu sasa na kuanza kupamba moto baada ya mashabiki kuipokea kwa mikono miwili na kuifanya kuwa maarufu.
Alisisitiza kuwa, shindano la “Serengeti Masta” ni moja kati ya kampeni kubwa ambazo zimeweza kufanikiwa kiutekelezaji kwa mwaka huu, ikiwa ni moja ya kazi kubwa zilizofanywa na Kampuni ya bia ya Serengeti.
Bi. Msangi pia alitumia nafasi hiyo kuwashukuru wateja wote wa bia ya Serengeti Premium Lager mameneja wa baa mbalimbali walioshiriki kwenye kampeni hii na wafanyakazi wote wa SBL nchi nzima kwa kuwaunga mkono na kushiriki kikamilifu katika kufanikisha zoezi zima la kampeni hiyo.
Aliongeza kuwa pamoja na ushiriki wa wateja kuwa mzuri lakini pia wamefanikiwa kuongeza mauzo ya bia ya Serengeti kufikia kiwango kikubwa kuliko hapo awali kwa mwaka huu.
Tafiti mbalimbali zilizofanywa na SBL katika kipindi cha miezi mitatu ya kampeni hii imedhihirisha kuwa kampeni hiyo haikufaidisha tu kampuni ya bia ya Serengeti bali pia baa zaidi ya 4000 zilizotembelewa na shindano hilo nchi nzima katika kipindi chote cha miezi mitatu.
Vilevile kampeni hiyo imeibua washindi mbalimbali waliopewa cheo cha Serengeti Masta ambao walijizolea fedha taslim na bia za bure, fulana na zawadi mbalimbali.
“Namshukuru Mungu na sisi pia tumebahatika kuweza kuwa sehemu ya kampeni hii kabla ya kufikia tamati na ninajiona kama mwenye bahati sana” alisema Meneja wa baa ya Kisuma Thomas Kimaro ambaye alihojiwa na waandishi wa habari wakati wa shindano la mwisho la Serengeti Masta lililofanyika kwenye baa yake.
Kimaro aliipongeza Kampuni ya bia ya Serengeti kwa kuwa mashuhuri wa kubuni mambo mapya kila kukicha na kuwasihi kuendelea kuleta promosheni kama hizi kwa kuwa zinaongeza mauzo ya bia hizo kwenye baa zao.                                                                                                            
Kampeni ya Serengeti Masta ilianzishwa mahususi kwa ajili ya kurudisha shukrani kwa wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager mara baada ya bia hiyo kushinda kinyang’anyiro cha bia ya kimataifa yenye viwango bora katika tuzo za “monde selection” za mwaka huu.

Hivi UKAWA Mnadhani Mama Maria Nyerere sio Mwanachama wa CCM?

$
0
0
Ukawa kwa nini mtegemee wana CCM wawaingize madarakani?

TANU iliwajibika na kupewa madaraka miaka 7 baada ya kuanzishwa .Sijapata historia inayosema TANU ilitumia rivals wake kuchukua madaraka.

Naamini hili ni somo dogo lisilohotaji PHD au gia za anga.

Mnaposhangaa mama Maria Nyerere kumkubali Magufuli mnanifanya niamini kuwa hamkujipanga!

Hebu jipangeni basi ndio mje kushindana na Heavy weight CCM.

YAANI UKONGWE WENU KWENYE SIASA KWA MIAKA 20 Mnaishia kuwategemea CCM wawaingize madarakani!!

Mliitegemea Mama Nyerere Amnadi Lowassa?

UKAWA TRY AGAIN IN 2020 BAADA YA KUJITAMBUA!


House Girl Kufua Boxer Zangu ni Sawa Kweli?

$
0
0
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza swali hili kutokana na utaratibu uliopo nyumbani kwangu. Juzi nilikuta kuna ugomvi kati ya wife na house maid wetu, ambapo yule binti alikua amefura kwa hasira, kasimama katika mlango wa Chumba chetu akidai apewe pesa zake asepe usiku huo huo na alikua tayari ana begi mkononi.

Nikambembeleza, nikamuomba asiondoke usiku huo asubiri asubuhi, wife akatoka chumbani kama mbogo na kunigeuzia kibao kwamba kwanini nambeleleza kwamba nimwache aende na hapati hata senti, ukawa ugomvi mkubwa sana, ambapo binti kwa hasira akamjibu wife kuwa "" kama wewe ni mke bora usingeshindwa kumfulia mmeo hata boxer hadi unaleta kwangu, hufai""" kwa kweli sikuwahi kujua huwa anampa maid afue boxer zangu.

Huwa naona zimeshafuliwa na kupigwa pasi mimi navaa tu, juzi ndio niligundua hili suala, anyway yule binti alingangania kuondoka usiku ule kwamba yeye ni mtu mzima anajua anakoenda, tukaenda kwa Mjumbe nikampa nusu ya pesa anazodai zingine atarudia kama laki tatu hivi, kumbe siku zote nikitoa mshahara wife hampi anadai anamtunzia kwamba ataharibikiwa akimpa monthly.

Jana nikawa namuuliza wife kuwa kumbe boxer pia huwa unampa afue? Badala ya kunijibu kajikasirisha uongo na kweli ili tuiache hiyo mada, kwamba inakuaje nina mtetea housegirl hadi kufikia hatua kumbembeleza asiondoke, anyway hayo yakaisha.

Ila tu nikajiuliza swali hivi ni jambo la kawaida kwa maid kufua boxer zangu? Mimi ndio sielewi inavyokua maana wakati mwingine pale mbele ya boxer huwa panatengeneza miduara ya mabaki ya mbegu mara baada ya tendo usiku, yale matone huwa yanaendelea usiku na kukaukia pale.

Sasa ni sawa kwa housegirl kuifua nguo hiyo?

Dakika za Lala Salama, Mwana Mabadiliko Umejipanga Vipi?

$
0
0
Ni muda umepita sasa tokea purukushani za kampeni zianze mnamo mwezi Agosti mwaka huu.
Mengi tumesikia,mengi tumeona na mengi yametokea.

Hapa tulipofikia sasa ni dakika za lala salama.
Nawauliza nyie mnaojiita wanamabadiliko mmejipanga vipi?

Binafsi pamoja na umasikini wangu hivi ninavyoandika hapa nimesafirisha jamaa zangu wawili kutoka mikoani huko warudi huku Dar walikojiandikishia.

Wengi tunataka mabadiliko,lakini tujiulize tunashiriki vipi kwenye kuyaleta hayo mabadiliko?
Nitamshangaa sana yule ambaye ushiriki wake kwenye mabadiliko ni kupiga kelele huku JF na kwenye mitandao mingine ya kijamii au vijiweni.

Wakati huu tuliofikia sasa sio wa kuangalia/kujadili porojo za nani kasema nini bali kuunda mikakati mizito ya ushindi.
Kila mmoja ajiulize hapo nyumbani unapoishi wote wapo kwenye maeneo/karibu na walipojiandikishia?

Kama kuna ndugu yako kajiandikishia kijijini arudi alikojiandikishia n.k

Tukumbuke kuna wengine hawana hata shida ya nauli,hawa tuwape elimu na hamasa ya kwenda kupiga kura.
KURA YAKO PEKEE HAITOSHI KULETA MABADILIKO.

Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM Awataka Wananchi Kutomchagua Lowassa Kwa Sababu ni GOIGOI

$
0
0
MGOMBEA Mwenza wa Urais wa CCM, Samia Hassan Suluhu amewaonya wananchi kutochagua upinzani kwani mgombea wao ni goigoi na anaweza kuunda serikali goigoi.

Nawaombeni wana Iringa msichague watu wa upinzani ni goigoi na rais goigoi ataunda serikali goigoi na serikali goigodi italeta maendeleo goigoi,” alisema Samia alipohutubia wananchi mkoani Iringa wiki hii.

Aliwahakikishia wananchi wa Iringa kuwa Serikali ijayo ya Dk John Magufuli endapo itaingia madarakani itatatua changamoto zinazowakabili kwani haitakuwa goigoi.

Pia, aliwahakikishia wananchi wa Mufindi Kusini kuwa waliokuwa wafanyakazi wa Kiwanda cha karatasi cha SPM Mgololo watalipwa fidia zao kwani tatizo hilo limekuwa la muda mrefu.

Akizungumza jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini hapa, aliwahakikishia kuwa Serikali ya Dk Magufuli ni ya kutumikia wananchi wote na kuwataka wananchi kujitokeza kupiga kura na baada ya kufanya hivyo warudi nyumbani.

Napenda kuwahakikishia Dk Magufuli yupo kutumikia kila Mtanzania, hivyo mkichagua Serikali goigoi haiwezi kuwaletea maendeleo,” alisema.

Samia Suluhu aliwahakikishia wananchi wa Iringa Mjini kuwa ataboresha hospitali, elimu pamoja na kutatua changamoto iliyopo kati ya wafanyabiashara na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Akiwa Mufindi Kusini, mgombea huyo mwenza alimhakikishia mgombea ubunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mendrad Kigola kuwa wafanyakazi wa kiwanda hicho watalipwa fidia ili waondokane na makali ya maisha.

Wafanyakazi 710 ambao waliachishwa kazi mwaka 2005 baada ya kiwanda cha karatasi cha SPM Mgololo kubinafsishwa, bado wanaidai serikali kiasi cha Sh bilioni 3.7. Samia alisema watahakikisha wanalifanyia kazi mapema suala hilo mapema iwezekanavyo ili kumaliza tatizo hilo.

“Tunafahamu hili tatizo la fidia ni la muda mrefu, tunaahidi kulipatia ufumbuzi,” alisema.

CCM Waja na Mpya Siku ya Kufunga Kampeni za Uchaguzi...Hakika Tanzania Yote Itasimama

$
0
0
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi wakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:
 
1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Mgombea Urais, na Ndugu Samia Hassan Suluhu, Mgombea Makamu wa Rais
2. Tanga – Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM
3. Mbeya – Ndugu Benjamin William Mkapa, Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
4. Mtwara – Ndugu Ali Hassan Mwinyi, Mwenyekiti wa CCM Mstaafu
5. Kigoma – Ndugu Philip Mangula, Makamu Mwenyekiti wa CCM
6. Kilimanjaro – Ndugu Yusuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu
7. Mara – Ndugu Joseph Warioba, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu Mstaafu

Kati ya leo na kesho, maeneo mengine yanaweza kuongezeka. Mikutano hii itaanza saa sita mchana na itarushwa, yote kwa pamoja, kwa matangazo ya moja kwa moja ya vituo vya televisheni vitano na vituoa vya redio 67. 
  
Vilevile, watakaohudhuria katika mikutano hii wataunganishwa moja kwa moja na mkutano wa Mwanza, alipo Mwenyekiti, Mgombea na Mgombea Mwenza, na wataweza kusikiliza hotuba ya Dkt. Magufuli moja kwa moja kupitia screens zitakazokuwa katika viwanjani vyote hivi saba.

Namna hii ya ufungaji wa kampeni itakuwa ni ya kihistoria, na inadhihirisha nguvu ya CCM inayoiwezesha kufanya mikutano mikubwa ya kampeni kwa siku moja katika maeneo mbalimbali nchini. Lakini pia tutafanya historia katika tasnia ya utangazaji wa televisheni hapa nchini kwa kutangaza na kuunganisha kwa pamoja matukio saba kwa wakati mmoja.

Kwa upande wa Dar es Salaam, tutafanya mkutano mkubwa wa ufungaji wa kampeni za Mkoa wa Dar es Salaam, katika Uwanja wa Jangwani, leo, Ijumaa, tarehe 23 Oktoba 2015. 
  
Siku ya Jumamosi, tarehe 24 Oktoba 2015, Wagombea Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Dar es Salaam watafunga kampeni katika maeneo ya majimbo yao kwa namna mahsusi.

Tathmini ya Kampeni
Kama Chama, tumeridhika na ubora na ukubwa wa kampeni tulizofanya licha ya changamoto za hapa na pale. Dkt. Magufuli na Ndugu Suluhu wamefanya kazi kubwa, na kwa bidii kubwa, na maarifa makubwa. 
  
Wamekuwa barabarani kwa siku 57 wakifanya mikutano kati ya 8 hadi 12 kwa siku. Imani yetu ya ushindi inatokana na kazi kubwa waliyofanya. Pia, CCM inawashukuru viongozi, wapenzi wa washabiki wake – wa makundi mbalimbali ya kijamii - kote nchini kwa kazi kwa kazi kubwa ya kampeni waliyoifanya.

Kutokana na kazi kubwa na nzuri iliyofanyika, na kutokana na mwenendo wa tafiti huru na tafiti zetu za ndani, CCM inategemea ushindi wa asilimia zisizopungua 69.

Uchaguzi wa Amani
CCM haitachoka kuendelea kusisitiza uchaguzi wa amani na utulivu. Sisi kama chama kikubwa cha siasa nchini, chenye wafuasi wengi zaidi, na chenye dhamana ya uongozi wa dola, tutatimiza wajibu wetu wa kuhimiza utulivu kwa wapenzi, washabiki na wanachama wetu. Tunawataka na wenzetu wafanye hivyo.

Kauli za wenzetu kwamba kura zitaibiwa ni kauli za kutojiamini na kujiandaa kufanya vurugu. Kauli za kwamba washabiki wa UKAWA wakishapiga kura wabaki vituoni kulinda kura si kauli za wanaotaka uchaguzi wa amani.

Kwa utaratibu wetu wa uchaguzi, utaratibu wa pekee kwa Chama kulinda kura zake ni kwa kupitia wakala wa vyama waliopo kwenye kila kituo cha kupiga kura na wenye nguvu na mamlaka ya kisheria ya kushuhudia zoezi zima, kuanzia kupiga kura, kuhesabu kura hadi kutangaza matokeo. Kura zinapigwa na kuhesabiwa vituoni mbele ya wasimamizi wa uchaguzi, mawakala wa vyama na waangalizi wa uchaguzi wa ndani na nje ya nchi.

Mawakala wa vyama na wasimamizi wa uchaguzi wanaweka sahihi kwenye fomu za matokeo, na matokeo hayo yanatangazwa na kubandikwa kwenye kituo. Kwenye kituo kikuu cha Tume cha kujumlisha matokeo, mawakala wa vyama pia huwepo na Tume hujumlisha matokeo kutoka kwenye fomu za matokeo za vituo vya nchi nzima zilizosainiwa na mawakala wa vyama kwenye kila kituo.

Kwa viongozi wa UKAWA kuwaambia watu waingie barabarani au kuvizunguka vituo vya kupigia kura eti ili kulinda kura hakuna maana yoyote zaidi ya kutafuta namna ya kuhalalisha vujo, vurugu na uporaji na kuwazuia watu wengine, hasa wanawake, kupiga kura. Tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama vizuie hili jambo kwasababu halina nia njema.

Mkakati wa UKAWA ni kufanya vurugu baada ya kushindwa na kutengeneza mazingira ya mgogoro wa kisiasa ili Jumuiya ya Kimataifa iingilie kati na kupendekeza kugawana madaraka. Mkakati huo hautafanikiwa. Tunaviomba vyombo ya ulinzi na usalama vihakikishe ulinzi na usalama wa watu wote na mali zao siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi.

CCM haitakubali hata kidogo ushindi wake kuhojiwa au kutiliwa shaka kwasababu tu ya vurugu zilizoanzishwa na watu wengine.
 
Siku ya Jumamosi, CCM itatangaza namba maalum za simu kwa Watanzania wote ili siku kabla ya uchaguzi, siku ya uchaguzi na mara baada ya uchaguzi, waweze kupiga simu au kutuma ujumbe pale watakapokuwa wanabaini au kushuhudia vitendo vya kuvuruga amani na kuvuruga utaratibu mzima wa uchaguzi.

Kupokea Matokeo
CCM imeweka utaratibu wa kupokea matokeo kwa kutumia mawakala wake moja kwa moja vituoni na kupitia mtandao wa Chama. CCM inategemea kuwa na matokeo ya uchaguzi nchi nzima ifikapo saa nne usiku, siku ya uchaguzi, tarehe 25 Oktoba 2015.

Imetolewa na:
January Makamba
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni
22 Oktoba 2015.

Wema Sepetu To Throw Biggest And Royal Birthday Bash....See This

$
0
0

Wema Sepetu's birthday was about two weeks ago but she had not any party or celebration because of her hectic schedule campaigning for Magufuli(CCM) to win presidential seat. However, the former Miss Tanzania and actress turned politician will have a Royal and big birthday bash on 1st November in Dar es salaam.
 Buzz is that fellow actor and best friend Ghanaian Van Vicker will be in Dar to surprise her. The two also have acted together in a new movie Day After Death which is likely to be launched this November.


Breaking News: Mahakama Kuu Imesema Haya Kuhusu Mikusanyiko Kwenye Vituo vya Kupigia Kura Nje ya Mita 200

$
0
0
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA DAR ES SALAAM, IMEPIGA MARUFUKU MIKUSANYIKO KWENYE VITUO VYA KUPIGA KURA HATA NJE YA MITA 200 KWA KUWA SHERIA HAIRUHUSU

Orders From IGP "You’ll Vote And Go Home"

$
0
0

Inspector of General of Police (IGP) Ernest Mangu yesterday gave the order that on Sunday, voters will be obliged to immediately leave the polling stations soon after casting their ballots to avert any possible breach of peace.

The IGP added his voice to the raging debate over whether or not voters are allowed to stay within the radius of 200 metres from a polling centre after voting, by stressing that the force will squarely deal with any crowd that would assemble close to a polling centre.

The directive comes just a week after the opposition Chadema Special Seat aspirant Ammy Kibatala filed a constitution petition in the High Court seeking it to declare that voters are allowed to say within the radius of 200 metres from a polling station.

She wants the court to give a proper interpretation of Section 104 (1) of the National Elections Act, on the rights of voters to stay beyond a distance of 200 metres from where voting is taking place.

The petitioner argues that the prohibition affects her right to fully participate in the electoral process which was declared to be transparent, amongst other characteristics. A panel of three judges is today expected to give a decision on the matter.

Yesterday, the IGP said during a news conference at police headquarters that the directive takes effect on Saturday evening after the official closing of election campaigns and will remain in force until presidential results are announced.

He said the order was specifically directed to political parties and their supporters. “The police force will not tolerate any gatherings that are likely to intimidate people and impede their voting,” he said.

According to the IGP, security would be beefed up on October 25, when 23.7 million eligible voters are expected to participate in electing civic, parliamentary and presidential elections. In the Isles, voters will also elect Zanzibar President as well Members of House of Representatives.

“Police in collaboration with other security organs will ensure that the country is peaceful during voting, tallying of votes and announcement of results. We will ensure that people’s homes are secure during the time they will be away at polling stations and that they will get back home safely,” he noted.

This is the first time that the IGP is breaking silence on the “200 metres” controversy since it started.

He spoke barely a day after Internal Affairs minister Mathias Chikawe told reporters that any person who wished to assemble after casting their vote should apply for the prerequisite police permit as stipulated by the law.

The main opposition, Chadema, which is member to the four-party coalition, Ukawa, has been calling on their supporters to vote and then retreat to 200 metres from polling stations and stay put to “guard their votes” against any possible “vote theft”.

The Ukawa has claimed it has uncovered plots by the ruling CCM to rig the election.

But, according to the IGP, experience shows that where there is any assembly of people with different political orientations, there was a very high likelihood of chaos.

“We will not hesitate to take appropriate legal action against anyone who will violate the laws, regulations and election rules under the pretext of vote guarding,” he emphasised, adding:

“We will ensure that justice prevails, and we will neither favour nor discriminate anybody. We will work professionally on the philosophy of educating, lobbying and if we opt for use of excessive force, that will only be after all other ways to maintain peace have failed, said Mr Mangu.

     


Young Dee aeleza kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani MDB

$
0
0
Young Dee ameelezea kwa uchungu kitu kilichosababisha akaachana na label yake ya zamani, Millian Dollar Boys (MDB) baada ya bosi wa kampuni hiyo, Max Rioba kudai amezingua.

Akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM jana, Young Dee alisema hakutaka kuzungumzia suala la Max kwakuwa anaheshimu mchango wake katika muziki wake.

Kama uliona nimekukosea, call me, I will apologize sio kwenda kuzungumzia Instagram,” alisema Young Dee.

Kwahiyo kilichotokea mimi sitaki kumjudge labda alikuwa na hasira. Lakini mimi najua mtu wa karibu ni rahisi kukuathiri kuliko mtu wa mbali. Hayo yote mimi namshukuru kwa mabaya aliyoona kwangu. Wewe unavyotaka mabadiliko sio kila mtu anataka mabadiliko kila kitu ni wewe kama wewe. Mimi namshukuru kama alikuwa kondakta ndio amefanya mabadiliko ya kwenda kumiliki daladala,” alisema Young Dee huku akilia.

Aliongeza, “Mimi sikutaka kusema nimeondoka, sikutaka iwe hivi kwa sababu miaka mingi mimi nimeshatoka kwenye label. Mimi hadi ngoma saa nyingine nalipia mwenyewe, video nyingine tofauti, kuanzia Sio Mchoyo, Fununu. Nagonga beat tu pale halafu najilipia kila kitu. Nyimbo nyingi nataja jina la MDB lakini sio wamelipia wao. Hata ngoma yangu mpya natarajia kuiachia inaitwa ‘Ujanja Ujanja’ nimewataja lakini hawajalipia.”

Tekno Anajua Kitu Gani Kilichomuuma Ndio Maana Anajishtukia na Kusema Ajatembea Nami Kimapenzi – Agnes Masogange Ajibu

$
0
0
Video vixen wa Bongo, Agnes Masogange ameonesha kupingana na kauli ya msanii wa Nigeria, Tekno Miles ambaye amekanusha kuwahi kuwa na uhusiano naye.
masogange
Drama ya Agnes mshepu na hit maker wa ‘Duro’ imeibuka baada ya Tekno kufanyiwa mahojiano na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kupitia kipindi cha ‘Ala Za Roho’, ambapo alikanusha kabisa kuwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na video vixen huyo.
Baada ya Tekno kukanusha, Masogange amesema kuwa Tekno anajua sababu zilizomfanya afiche ukweli kwa Diva, akimaanisha kuwa amedanganya.
Masogange ameyasema hayo kupitia post ya Instagram ambayo baadae aliifuta, aliyokuwa akimjibu shabiki mmoja mwenye jina la Instagram @diva wolfgang aliyekuwa kama akimshushua kuwa Tekno amekanusha kuwa hajawahi kudate naye.
maso
Masogange aliandika;
“Niko busy Na maisha yangu cna muda wa drama so plz hizo drama zenu hukohuko na why asiongee yote hayo b4 anajua kitu gani kilichomuuma that’s way anajishtukia ryt now niko next level “
Pia mrembo huyo alipost picha za Tbt ambazo aliwahi kuzipost kipindi alipoenda Nigeria, moja akiwa kwenye studio ya Tekno.
tekno maso-2
na nyingine akiwa kwenye kitanda kinachofanana na kile kilichoko kwenye moja ya picha za Tekno mwenyewe alizoziweka Instagram.
tekno maso
tekno room-2
Tekno pia alipost picha ya chumba chake na kuandika, “#homealone”

Inawezekana Masogange hapa anajaribu kuthibitisha kuwa wamewahi kukutana faragha, ila yaliyofanyika kwenye kitanda hicho hayatuhusu…! 
Source:Bongo5
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live




Latest Images