Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Mwanariadha wa Kenya Afariki Dunia Akimalizia Mbio za Kilimanjaro Marathon

$
0
0

Mwanariadha Mkenya, Charles Maroa(36) amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla baada ya kumaliza mbio katika Mashindano ya riadha ya Kilimanjaro Marathon yaliyofanyika Jumapili tarehe 26 Februari.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa amesema mwanariadha huyo alipewa msaada wa kufikishwa Hospitali ya KCMC.

Mkenya huyo aliyekuwa akishiriki mbio za Kilomita 21 aliwahishwa Hospitali ya KCMC lakini alipofikishwa madaktari walibaini kuwa alishafariki.

Wezi Wamfanyia Dogo Janja Kitu Mbaya....Ashitaki Kwa Paul Makonda

$
0
0


Rapper Dogo Janja amekumbana na janga zito.

Hitmaker huyo wa ‘Kidebe’ usiku wa kuamkia leo ameibiwa baadhi ya vitu kwenye gari lake aina ya Porte ikiwemo taa, radio na power window. Baada ya kukutana na janga hilo Dogo Janja amemuandikia ujumbe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram unaosemeka:

Muheshimiwa makonda tunashkuru umelisimamia vizur swala la madawa ya kulevya na tumeona matunda yake..lakin bado kuna hili la hawa wezi wa vipuli vya magari km taa radio powerwindow naona km alijaongelewa ivi..awa jamaa wapo wengi sana mjini na wanajulikana..wanakuibia alafu wanakupigia cm wapi pakuvipata vitu vyako..mueshimiwa tuanzishe na kampeni hii tupunguze kutiana hasara..kigali changu chenyewe ndio hiki nataftia riziki jana ucku wamekuja wameiba kila kitu radio taa za mbele na nyuma..ntatokaje kujitaftia rizik? Cc: @paulmakonda.

Hii Ndio Kazi ya Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke Pamoja na Maana ya Rangi zake

$
0
0

Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa  ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati mwafaka.

Wanaume wengi wanaopenda wanawake wao wavae shanga ili kusisimuana tu .Je mnafahamu zinamaanisha nini?....Karibu  tujifunze  pamoja. 




Katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .  Jana  niliguswa  sana na simulizi la rafiki yangu juu  ya  shanga, hivyo nikaona  boraniandike  na wengne wajue.Hii ni sehem ndgo ya simulizi  lake. 

 ".........Nilikutana na boyfiriend wangu maeneo ya  Shycom …tukaelekea kwenye disko. Tulikuwa tunacheza madensi, halafu blues, ya Boyz to Men ikaanza kupigwa. Wenye disko walipunguza taa. Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana na kuanza kucheza Blues. 


Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa taratibu kufuatana na beats za muziki. Nilifurahi sana. Akateremsha mikono yake kwenye kiuno changu. 


Alivyogusa  shanga zangu akawa kama mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we! Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa ham yake ilikuwa juu....."


 Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani  muhimu kutokana na simulizi hilo.Sasa turudi kwenye mada yetu.Kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.

RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO KITANDANI  NA MPENZI WAKO

Nyekundu:  ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba mwanamke huyu yupo kwenye hedhi, kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio kutumbukia unless yeye mwenyewe amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu ambacho kiafya akishauriwi).

Nyeupe:  ukimkuta mwanamke amevaa shanga nyeupe hiihumaanisha hana tatizo lolote litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote unapata.

Nyeusi: ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi hii humaanisha ya kwamba yupo tayari kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo ni lako kama unataka kutumia siku nzima kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama kama huwezi yote basi mpe muda akate mwenyewe.

Kutana na Maalim Hussein Mtabibu wa Nyota za Binadamu Africa na Dunia Nzima,

$
0
0

Kutana na MAALIM HUSSEIN Mtabibu wa Nyota za Binadamu Mwenye uwezo wa Kurudisha Mahusiano ndani ya siku 4 tu.

MAALIM HUSSEIN Anaupeo wa Kubaini Tatizo lako Kupitia Wasaa Punde Utakapo Fanya Mawasiliano
Kwa wale wenye MATATIZO kupitia UWEZO na KUBRI Alionayo"INSHALLAH YATATUKUKA"

MAALIM HUSSEIN Anauzoefu wa Zaidi ya miaka 19 Katika kutoa huduma ya UTABIBU WA NYOTA NA TIBA ASILI KATIKA NCHI 37.

MAALIM HUSSEIN HUTIBU KUPITIA VITABU VYA QUR-AN, Dawa za Asili ya Africa, DAWA ZA KIARABU NA MAJINI... Kwa Matatizo Yafuatayo》》☆☆
☆Kutafsiri Ndoto
☆Mfarakano wa Ndoa
☆Kufungua Kizazi(kwa walifungwa kwa njia ya Kishirikina)
☆Nguvu za Kiume
☆Kusafisha NYOTA
☆BAHATI NASIBU(Kubashiri Timu za Kushinda)
☆Pete za Bahati
☆Kinga ya Mwili & Biashara
☆Zindiko ya Nyumba & Kiwanja
☆ Humaliza Kesi za muda mrefu
☆Hurudisha MALI ILIOPOTEA
☆Humaliza tatizo la CHUMA ULETE
Na DUAH MAALUM KWA WAHITAJI WOTE
  (Na Mengine Mengi ya Siri)
Kwa Ushauri na Tiba Whatsapp/Calls
      +255 674835107

Chadema yaweka ulinzi mkali nyumba ya mama Wema......Ni Baada ya Nyumba Hiyo Kupigwa Mawe Usiku

$
0
0

Nyumba ya mama Wema Sepetu, Mariam Sepetu, iliyopo Sinza Mori jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia jana imepigwa mawe juu ya bati kwa muda wa saa moja na nusu.

Kutokana na tukio hilo viongozi wa Chadema wamechukua hatua ya kuweka ulinzi mkali nyumbani hapo na kuzungumza kuwa wamegundua kitu ambacho hawatakiweka wazi kwa sasa.


Baada ya tukio hilo kutokea mama Sepetu aliwasiliana na mwanae Wema Sepetu pamoja na viongozi wa Chadema, ambapo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob alifika na kuangalia hali ya mama huyo na kuamua kuweka ulinzi.


”Tumeshaangalia mazingira yote tumegundua kitu ambacho hatuta kiweka wazi kwa sasa ila tutaweka ulinzi mkali na atakaye jaribu shauri yake hatuta kubali suala hili liendelee kumkuta kamanda wetu na mimi mara kwa mara nitafika kuangalia mazingira” amezungumza hayo Meya wa Ubungo, Boniface Jacob.


Meya alifafanua kuwa ulinzi huo hautaishia nyumbani kwa mama Wema bali hata nyumbani kwa Wema Sepetu ulinzi utaimarishwa kwani amegundua wanachama hao wapya wamekuwa wakiwindwa na watu wasiojulikana.


Wema alipohojiwa amesema, ” Mama yangu ameteseka usiku kucha kwa kukosa amani, amelia na kukosa hata hamu ya kula tumefika tumemkuta katika hali mbaya, najua yana mwisho ila tutazidi kufanya dua ya kumwomba Mungu atuepushie na mabaya yote,”.


Mama nae alihojiwa na kusema, ” sikuweza kutoka nje kwa kuwa najua mbaya wangu amekaa wapi na amekusudia kufanya nini,”.

Ridhiwani Aanika uhusiano wa Jakaya Kikwete na Lowassa, Asimulia Jinsi Aliyopigiwa Simu na Baba Yake Baada ya Kupiga Picha na Lowassa

$
0
0

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni mtoto wa rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete ameeleza uhusiano uliopo kati ya baba yake na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa bado ni maswahiba.


Ridhiwani ametoa ufafanuzi huo kutokana na imani iliyojengeka kuwa kuna uhasama kati ya Dkt. Kikwete na Lowassa ambao awali walikuwa maswahiba wakubwa kabla ya siasa kuingiza doa kwenye uhusiano huo.


 Uhasama huo uliaminika kuwepo na kuongezeka hasa baada ya Dkt. Kikwete kuongoza kamati ya maadili ya CCM iliyoliondoa jina la Lowassa katika orodha ya waliokuwa wakiwania nafasi ya kugombea urais, hali iliyopelekea mwanasiasa huyo kuhamia Chadema na kugombea nafasi hiyo.


Akizungumza wikendi hii na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo baada ya kuenea mitandaoni picha inayomuonesha akisalimiana na kuteta na Lowassa, Ridhiwani alieleza kuwa hakuna uhasama kati ya baba yake na mwanasiasa huyo mkongwe kama wengi wanavyoamini.


Aliongeza kuwa amewahi kuwashuhudia wakizungumza na kuwasiliana kama kawaida kwa njia ya simu mara kadhaa.


“Kwanza hakuna ugomvi kati ya watu hawa wawili. Unajua watu wanashindwa kuelewa kwamba hakuna urafiki katika masuala ya kazi. Kwa mfano suala lile la kumtafuta rais, jambo la kutafuta rais sio jambo la Jakaya peke yake,” alisema Ridhiwani.


“Ukweli wa mambo ni kwamba Bwana Lowassa na bwana Kikwete ni watu wanaosaidiana katika mambo mengi sana,” aliongeza.


Katika hatua nyingine, Ridhiwani alieleza kuwa baba yake alipoona picha yake na Lowassa wakisalimiana baada ya kukutana Jumamosi iliyopita Uwanja wa Taifa kwenye mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga alimpigia simu kutoka Ethiopia na kumtaka kuendelea na hali hiyo kwani siasa sio vita.


“Kwa mfano hata jana jioni alinipigia simu, of course alikuwa yuko Ethiopia, akaniambia ‘bwana nimeona kwenye picha uko na bwana Edward [Lowassa] ilikuwa wapi hapo?’, nikamwambia nimekutana nae uwanja wa Taifa tulikuwa tunaangalia mpira,” “[Akasema] ‘aah naye alikuja kuangalia mpira’ nikasema ndio. Akasema ‘okay hayo ndio mambo mnayotakiwa kufanya, msifike sehemu mkaona kama siasa ni vita’.


“Kwahiyo ndio maana mimi baada ya kuongea naye akaniambia siasa sio vita, na mimi niliposhika simu yangu Instagram yangu nikaandika kwamba ‘tunaendelea kujifunza…. Lakini basically najifunza kutoka kwa maneno ya mzee wangu ambaye ameniambia kwamba ‘siasa sio vita na kwamba na ninyi katika umri wenu inabidi muendelee kujifunza’ kwahiyo hata mimi comment yangu kwenye Instagram, actually sababu yake kubwa ni hiyo,” alifafanua.


Ridhiwani alieleza kuwa alimuona Lowassa baada ya kipindi kirefu kupita hivyo aliamua kumfuata na kumsalimia ambapo pamoja na mambo mengine, Lowassa alimuuliza alipo Dkt. Kikwete na akampa salamu zake amfikishie na familia kwa ujumla.


Lowassa alilazimika kujiuzulu nafasi ya uwaziri mkuu mwaka 2008 katika Serikali ya Awamu ya Nne iliyokuwa inaongozwa na Dkt. Kikwete kutokana na sakata la Richmond.

Mwimbaji Billnass Amtetea Petit Man Issue ya Madawa ya Kulevya

$
0
0

Baada ya meneja wa label ya LFLG, Petit Man kuhusishwa na biashara haramu ya dawa za kulevya, masanii wa label hiyo Billnass amefunguka na kuzungumzia sakata hilo ambalo lilipelekea bosi wake huyo kukaa ndani zaidi ya wiki mbili kabla ya kuachiwa na mahakama.

Akizungumza na Bongo5 wiki hii, Billnass alidai yeye alikuwa anajua bosi wake huyo hajihusishi na biashara ya dawa za kulevya.

“Uzuri ni mtu ambaye namfahamu kwa hiyo nilikuwa naamini hausiki kwa namna yoyote na nilikuwa naamini siku yoyote anaweza kuachiwa,” alisema Billnass.

Aliongeza,”Kingine pia mimi nimekulia mtaani, ishu za kusikia mtu amekamatwa tumeshasikia sana mpaka ndugu zetu, kwahiyo ni vitu ambavyo vipo na vinatokea. Vingine vinatendeka kwa haki vingine ndio hivyo unaweza kusikia hata kesho Billnass amekamatwa kwa tuhuma fulani kwahiyo haya mambo yapo,”

Rapper huyo kwa sasa anafanya vizuri na wimbo ‘Mazoea’ ambao amemshirikisha Mwana FA.

Waziri Nape amtoa kasoro RC Makonda

$
0
0

Waziri wa Habari, Nape Nnauye amedai kuwa mbinu zilizotumiwa na RC Makonda kupambana na biashara ya dawa za kulevya zina kasoro kubwa.


Akizungumza jana katika mahojiano maalumu na kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na televisheni ya ITV Nape Amehoji kuwa inawezekanaje kumtaarifu muuza dawa za kulevya kuwa unataka kumkamata?


Aidha Waziri Nape amesema kuwa wazo la kupambana na dawa za kulevya alilianzisha yeye na alikuwa anapanga kulipeleka bungeni.


Chanzo;JamiiForum

Gwajima asema atamshitaki Makonda kwa Mungu

$
0
0


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ameendelea kuonyesha msimamo wake wa kumshtaki Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa Rais Magufuli huku akidai endapo ataona hakuna hatua inayochukuliwa atamshtaki kwa Mungu na majibu yatapatikana.

Askofu Gwajima aliyasema hayo Jumapili hii wakati akiongoza ibada ya Jumapili kanisani kwake Ubungo Maji. “Watu wananiuliza, nitamfungulia kesi. “Mimi nawaambia nitamwambia Rais Magufuli kama nilivyosema, kama hakuna kitu kitakachofanyika basi nitamwambia Mungu aliye juu na majibu yatapatikana,” alisema Askofu Gwajima.

Aidha Askofu huyo alisema yeye alipochokozwa haikuwa bahati mbaya ila alidai wanaomchokoza ni sawa na kufungulia koki ya maji yenye mgandamizo mkubwa au wamebusu transfoma ya umeme ambayo ni hatari kwa maisha ya binadamu kuisogelea kama huna utaalamu nayo kwa sababu husababisha kifo.

Hata hivyo Askofu huyo alitoa mstari uliopo kwenye biblia ambao ni Yeremia 22: 11 ambapo alisema kila jambo linatokea kwasababu maalum sio kwa bahati mbaya.

Mkuu wa shule Mkoani Singida ajinyonga hadi Kufa

$
0
0

Mkuu wa Shule ya Sekondari Tumuli katika Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, Richard Makala (58) amejinyonga kwa kamba kutokana na kile kinachodhaniwa ni upweke.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Debora Magiligimba, amesema mjini Singida kuwa Mkamala alikutwa amejinyonga kwa kutumia kamba iliyotengenezwa kwa vipande vya chandarua iliyofungwa juu ya mti umbali wa mita 130 kutoka nyumbani kwake.


Aidha kamanda huyo alisema chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na kwamba hakuna mtu au watu wanaoshikiliwa kutokana na tukio hilo na kuongeza kuwa polisi inaendelea na upelelezi kubaini kilichomsibu mwalimu huyo.


Kwa upande wake Mjumbe wa Bodi ya shule hiyo, Mabruki Ng’ui ameliambia gazeti la Habarileo Jumatatu hii kuwa mwalimu huyo alikuwa anaishi peke yake kwa muda mrefu baada ya mkewe ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Tanzania (KKKT) Kitusha wilayani Iramba kuamua kutengana naye kutokana na unywaji pombe.


“Huyu bwana amekuwa kwenye ndoa ya jina tu maana mke wake amekuwa akiishi mbali naye kwa kipindi kirefu sana, amekuwa mpweke kwa muda mrefu mno huenda hicho ndicho kilichosababisha ajitoe roho yake,” amesema Mjumbe huyo wa Bodi.


Marehemu Makala ni mzaliwa wa kijiji cha Ndago, wilayani Iramba na anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwake, ameacha mjane na watoto watano.

Batuli akanusha madai ya Wema Sepetu kuidai CCM

$
0
0

Muigizaji wa filamu nchini, Yobnesh Yussuf maarufu kama Batuli amekanusha taarifa iliyotolewa na Wema Sepetu kuwa CCM haijawalipa pesa za kampeni ya Mama Ongea na Mwanao kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.

Akizungumza na wanahabari kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Protea, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ akiwa na Ndumbangwe Misayo ‘Thea’,amesema madai aliyoyatoa Wema Sepetu hayana ukweli wowote kwa sababu wasanii wote walilipwa.

“Nikiwa kama makamu mwenyekiti wa group hili la Mama Ongea na Mwanao kwa muda ni kweli inasemekana kwenye mitandao kuwa tulifanya kampeni na hatukulipwa, mimi kama mwenyekiti msaidizi wa muda nakanusha taarifa hizo kuwa si za kweli. Ingawa kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani,wapo wanaoshawishiwa kulichafua kundi letu, kumchafua Makamu wa Rais Bi Samia Suluhu na kuichafua CCM, mimi nakataa, sote tumelipwa na mikataba ipo, haiwezekani we staa mkubwa unakaa kwenye media unaongea uongo kwamba wasanii hatujalipwa.”

Ameongeza, “Zipo simu za kutushawishi kuhama lakini hatutohama chama na kundi la Mama Ongea na Mwanao litaendelea kuwepo chini ya Usimamizi wa Bi Samia Suluhu.”

By: Emmy Mwaipopo

Steve Nyerere sio staa kwangu, ni panya – TID

$
0
0

Huu ni mwezi mbaya kwa mchekeshaji Steve Nyerere. Ni kwasababu kauli zake zimeendelea kumponza.

Hivi karibuni, kwenye mazungumzo yaliyovuja kati yake na mama yake na Wema Sepetu, alidai kuwa hitmaker wa Siamini, TID alipewa fedha na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili atoe hotuba kuhusu kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya.

Mnyama alimind mbaya na kutishia kumshtaki mchekeshaji huyo. Na sasa mkali huyo ameibuka na kumwelezea Steve kuwa si staa kwake, bali ni kama panya tu.

“Steve Nyerere sio staa kwangu, he is a mouse,” ameiambia E-News ya EATV.

“Ukimuangalia kwanza he is a mouse, to me, me I have been doing this talent na nimejijengea umaarufu kupitia kipaji changu, sio kupitia uongo uongo, udananda sijui umbea umbea, sijafanya hivyo,” ameongeza.

“I have been working very hard to make this name. Huwezi kuniambia mimi eti nimepewa milioni mbili sijui, unanidhalilisha, kwanza unanihatarishia maisha yangu mtaani mimi nionekane snitch, nimewasnitch wananchi, nimepewa milioni 3 kuconfess pale, why? Milioni mbili na maisha yangu?

TID amemtaka Steve afike mbele ya mahakama athibitishe kuwa alichukua shilingi milioni 2, lasivyo patachimbika

Wema Sepetu amchinjia baharini Batuli

$
0
0

Sasa Wema Sepetu na Batuli ni mbuzi na chui, urafiki ndio umefika mwisho. Tukio hilo limetokea baada ya Wema kukasirishwa na kitendo cha Batuli kusema kuwa yeye alishalipwa fedha zake za kampeni na CCM.

Kupitia mtandao wa Instagram, Wema Sepetu ameweka picha ya rafiki yake huyo wa zamani na kuandika ujumbe ambao umeashiria kuwa urafiki wao ndio basi tena.


“Neno Moja Kwake…! Temporary Post… Mimi naanza… Alikuwa Rafiki yangu na Tulipendana sana….,” ameandika Wema kwenye picha ya Batuli hiyo hapo juu aliyoiweka kwenye mtandao huo.

Baada ya ujumbe huo wa Wema, Nay wa Mitego amemchochea muigizaji huyo ambaye wote kwa sasa wanakisupport Chadema kwa kuandika, “ @wemasepetu #MudaWetu Wana Maneno Mengi Tatizo Hawa Action… Usi mwamini ndugu Ata Rafiki, wachukulie Wote wanafiki, ishi tu kivyako Binadamu awa aminiki..! 

Bongo5

Waziri Nape: Nipo Tayari Kujiuzulu

$
0
0

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amesema atajiuzulu uwaziri endapo mtu atampelekea ushahidi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii yeyote.


Kauli hiyo ya Nape inakuja ikiwa ni takriban wiki tatu tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, aseme watu wanaotetea wale aliowataja hadharani kwa kuhusika na dawa za kulevya wengine ni wapenzi wao.


“Wengine wanaumia tunagusa wapenzi wao, wawasaidie waache si kupiga kelele tu, ujumbe umefika,” alisema Makonda katika moja ya mikutano yake.


Ingawa katika mkutano huo Makonda hakumtaja mtu kwa jina, lakini aliitoa kauli hiyo siku chache baada ya Nape kupinga mfumo wake wa kutaja majina ya watu hadharani, hususani wasanii na kuwatuhumu kuhusika na dawa za kulevya.


Nape alisema kuwataja watu bila ushahidi ni kuwachafulia majina yao waliyoyatengeza kwa muda mrefu.


Mbali na Nape, Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM), alizungumza mara kadhaa bungeni akimpinga Makonda kwa mfumo wake aliokuwa akitumia, kutaja majina ya watu wanaojihusisha na dawa za kulevya.


Akizungumza katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha luninga cha ITV juzi, Nape alieleza kushangazwa na kitendo cha kuhusishwa kuwa na mahusiano na wasanii.


“Ila kama mtu ana ushahidi alete hapa mezani aseme Nape hili unalofanya, unafanya kwa sababu una uhusiano, na mtu akileta najiuzulu uwaziri.


“Hii ni katika watu ambao wanakosa hoja halafu wanasingizia hoja ambazo hazina msingi, ningefurahi mtu akisema Nape hana sababu ya kutumia busara, twende na hoja hii nyingine ni upuuzi,” alisema Nape.


Akizungumzia kuhusu kutajwa kuhusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii nyota wa filamu, Wema Sepetu, Nape alisema wasanii wengi ni wadogo zake akiwamo Wema.


“‘Majority’ ya wasanii hawa ni wadogo zangu. Wamezungumza habari ya Wema, sasa nieleze ukweli kwamba baba yake, mzee Sepetu (Isack) na baba yangu (Moses Nnauye) ni mtu na kaka yake, kwa hiyo Wema ni mdogo wangu sana sana.


“Mama yake anatoka Singida, mama yangu naye anatoka Singida, ni mtoto mdogo lakini mtu akiamua apoteze ‘direction’ (mwelekeo) ya mjadala anaweza kuja na hoja nyingi sana.


“Mimi nimeanza kufanya kazi na wasanii, nimefanya nao kazi kwa miaka 16, hii ya uwaziri imekuja juzi tu. Pia msisahau hawa wasanii tuliwatumia kwenye kampemi ya CCM, mimi ndiyo nilikuwa Katibu wa Uenezi wa CCM.


“Ukizungumza burudani, hamasa na ‘publicity’ mimi ndio nashughulika nayo, hivyo kuwaingiza wasanii kwenye kampeni haikuwa kazi rahisi, sasa nikiwa nao karibu dhambi inatoka wapi, maana ndio nilipewa dhamana ya kuwasaidia. Hizi hoja zingine ni za kijinga kabisa,” alisema Nape.


Pamoja na mambo mengine, Nape alisema utaratibu uliokuwa ukitumiwa na Makonda kwa kutaja majina ya watu hadharani una madhara makubwa kwani unajenga chuki katika jamii.


Nape ambaye pia ni mbunge wa Mtama mkoani Lindi, alisema hakuna mahali popote duniani vita ya dawa za kulevya ilishinda kwa kupiganwa hadharani.


 “Tutajenga chuki kubwa sana kwenye jamii kama tukianzisha utaratibu wa kila mtu anasimama anamtaja mtu hadharani, ukishamtaja anaandikwa kwenye mitandao.


“Nchi itaingia kwenye vurugu kubwa bila sababu na wale wenye chuki zao watapitia hapo kuanza kutajana majina, tukitajana majina hadharani, hii vita hakuna mahali walipigana hadharani wakashinda popote duniani, haipo,” alisema.


Aidha alisema watu wasihukumiwe bila kosa bali haki itendeke na sheria na taratibu zifuatwe.


“Namshukuru Rais (Dk. Magufuli) ametumia busara namna ya kuli-handle (kulishughulikia) hili suala, amemteua kamishna na amemkumbusha waziri mkuu kwamba yeye ndie mwenyekiti wa hii kamati na mawaziri wako ndio wajumbe, sasa ameweka vita hii katika chombo salama.


“Pia namshukuru kamishna mwenyewe kasema tusitaje majina hadharani, lakini tufuate sheria na akasema hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe, tutahakikisha tunasimamia sheria,” alisema Nape.

Miujiza ya Shekh Sharifu Rashid Kutoka Bagamoyo, Anarudisha Mapenzi na Kusafisha Nyota

$
0
0

MIUJIZA YA SHEKH SHARIFU RASHID KUTOKA BAGAMOYO PWANI, (RUDISHA MAHUSIANO YAKO NDANI YA MASAA 48 TU) ASANTE KWA KUENDELEA KUMPIGIA SIMU SHEKH SHARIFU RASHID KWA WALE WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA SHUKRANI:

SHEKH SHARIFU RASHIDI ni mtaalamu wa tiba mbalimbali za asili, anatumia kitabu cha quran, dawa za asili, dawa za kiarabu na majini, anazo dawa za mapenzi, nguvu za kiume, chango, ngiri maji na n.k, anakuvutia mpenzi alie kuacha au alie mbali, pia anatoa pete za bahati zilizoambatanishwa na jini mali kulingana na nyota yako, anaouwezo mkubwa wa kutumia jina la muhusika kwa kutatua tatizo lako, anaouwezo wa kumrudisha mtu aliepotea kimiujiza, pia anatibu kwa njia ya simu popote ulipo,

WASILIANA NAE KWA SIMU NA WHATSAPP NO: 0718-668347. 0685-224047, 0767-204308 au follow@shekh_sharifu_rashid, Email:shekhsharifurashid@gmail.com

Kauli za Wabunge Waliotajwa na Steve 'Nyerere

$
0
0

Kauli za Wabunge waliotajwa na Steve 'Nyerere'

Baada ya mkutano huo, Uwazi liliwatafuta wabunge hao, kasoro Mbowe hakupokea simu, na waliopatikana walikuwa na haya ya kusema: SHABIBY: “Steve Nyerere namfahamu. Lakini sina ukaribu naye. Niliwahi kukutana naye muda mrefu kwenye hoteli yangu ya Moleno, Dodoma.


“Nakumbuka alikuja na mwanamuziki Ray C (Rehema Chalamila), lakini baada ya hapo sijawahi kuonana naye popote maana hata baada ya kukutana naye sikuwahi kuwasiliana naye. “Kuhusu kunihusisha mimi katika sakata la Wema, yale mazungumzo nimeyasikia vizuri. Si kweli alichokisema eti alikuja kukutana na Musukuma kwenye hoteli yangu na mimi nikiwepo. Ni uongo mtupu.


“Sijaonana na Steve Nyerere katika siku za hivi karibuni na sijazungumza naye lolote lile hata kwa njia ya simu,” alisema Shabiby.


MILLI NGA: “Ninafahamu kila kitu kinachoendelea, maana Steve Nyerere ni mtu ambaye tunakutana mara kwa mara, ukizingatia ni kada mwenzangu kwenye Chama Cha Mapinduzi. Kuhusu yeye kunishawishi mimi kumtetea Wema bungeni, jambo kama hilo halipo maana sikuwahi kukutana naye kabla ya mimi kuzungumza bungeni. “Ila baada ya bunge, jioni nilikutana naye, akaniambia kuwa, nilichokiongea ni kama nilitazama kilichokuwa moyoni mwake.

Hata hivyo, nimemsamehe maana ameomba radhi kwenye mkutano na waandishi wa habari!”


ZITTO: “Mimi siwezi kusemea jambo hilo maana mimi kwangu halina maana yoyote.”


MUSUKUMA: “Nisikilize vizuri mwandishi, mimi Steve Nyerere hana mchango wowote kwenye maisha yangu. Mimi ni Mbunge wa Geita Vijijini na sifanyi kazi yangu ya ubunge kwa kushawishiwa na mtu. “Steve Nyerere anaweza kunishawishi mimi kwa kipi? Ngoja nikwambie kitu, kinachoendelea ni kiki ya Steve Nyerere na watu wake maana kama umesikia ile ‘place’ na waandishi aliyoitisha, anasema Makonda ni rafiki yake, sasa unaweza kupima kinachoendelea hapo.”


MUSUKUMA AKATAA RADHI YA STEVE


Alipoulizwa kuhusu radhi aliyoiomba Steve Nyerere kwa wote aliowataja yeye ameipokeaje, alisema: “Kama ameomba radhi basi amewaomba wananchi

wangu wa Geita waliyoniweka kwenye nafasi yangu kwa lengo la kuwatetea wananchi na si kufanya kazi kwa ushawishi wa mtu.”

Alikiba afunguka haya kuhusu rapper M.I

$
0
0


Timu ya Alikiba ilikata tiketi za ndege kwa awamu mbili kwaajili ya rapper M.I Abaga kusafiri kutoka Nigeria kwenda Afrika Kusini ili kuungana na staa huyo kushoot video ya wimbo aliomshirikisha, Aje.

Hata hivyo pamoja na hivyo, M.I hakuweza kutokea na hivyo ikamlazimu Alikiba kushoot kwa mara nyingine video bila kuwa na rapper huyo na CEO wa label ya Chocolate City.

Akiongea kwenye dinner maalum iliyoandaliwa kwenye hoteli ya Double Tree jijini Dar baada ya mapokezi yake ya Jumanne hii, Kiba alisema M.I alionesha kuwa ni mtu anayejali zaidi biashara zake.

“Hatukutaka kuingilia ratiba zake kwahiyo sisi tuliweza kufanya ile ya Kifaransa tukamaliza video. Lakini hii ya sasa hivi vile vile tulijitahidi kwa nguvu zetu zote kuhakikisha M.I atakuwepo lakini kuna sababu ambazo sisi wenyewe, management yangu ziko nje ya uwezo wetu,” alisema Kiba.

“Sababu tuliweza kukata tiketi mara mbili, namaanisha siku mbili tofauti, licha ya kutumiwa tiketi kwa mara ya kwanza bahati mbaya akakosa ndege na siku ya pili tena ikakosekana ndege. Kwahiyo kibinadamu tu haipendezi, sio kwamba kuonesha tuna hela ama nini kwamba tumtumie tena tiketi ya tatu, tukaona haina shida, we can do this,” aliongeza.

Alikiba amesema hiyo ndio sababu aliamua kuifanya video ya Aje Remix kwa utofauti zaidi ili kuziba pengo hilo.

Aaahhh Kwa Hili...Nimekubali Steve Nyerere Anaishi Kisanii!....!!!!

$
0
0

WATU wengi walipigwa na butwaa na kubaki midomo wazi baada ya kuvuja kwa sauti inayodaiwa kuwa ni ya mchekeshaji Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ na mama mzazi wa muigizaji Wema Sepetu.

Audio ilikuwa ya kawaida tu, lakini kilichofanya ionekane ishu, ni kule kuwahusisha watu wazito kwenye nchi hii na sakata la kukamatwa na baadaye kushtakiwa kwa matumizi ya bangi, kwa Wema. Kama ilivyotarajiwa, Steve Nyerere alitumia uungwana, akatoka mbele ya jamii na kuomba radhi.

Hicho ndicho kitu pekee ambacho alipaswa kukifanya, vinginevyo angekuwa mtu wa ajabu ‘kukausha’ ili kuacha upepo upite kama pepo zingine zinavyopita. Na niseme ukweli, utetezi wake pia nimeupenda, maana amesema kweli kuwa ilibidi atumie sanaa ili kumuweka vizuri mama ambaye aliishi naye vizuri kama mwanaye.

Ni vile tu mama Wema aliwahi kusema, lakini hata mimi nilikuwa najiuliza kwa kutomuona Steve akienda kumsabahi dada yake pale Central au hata kumsindikiza mahakamani. Historia inanionyesha huyu mchekeshaji huwa hakosi katika matukio yanayomhusisha Wema Sepetu na mara kadhaa, ameonekana akiwa karibu na mama Wema. Yes, ilibidi atumie sanaa ili kumuweka sawa na alifanikiwa.

Kwa hiyo, alichojaribu kusema ni kuwa yote aliyoongea ndani ya sauti ile, ni uongo. Kwamba hakwenda Dodoma, hakuongea na mawaziri waliotajwa wala wabunge na kwamba kilichotokea hakihusiani kwa namna yoyote na yeye. Lakini katika uhalisia wake, kuna uhusiano mkubwa wa kilichosikika na kilichotokea, ingawa siyo hoja ya leo hapa.

Ninachotaka tuwekane sawa, ni namna gani Steve Nyerere anapata mkate wake wa kila siku. Ukimsikiliza wakati akizungumza na waandishi wa habari, alisema yeye anaishi kwa sababu ya jina lake, alilotumia miaka mingi kulitengeneza. Steve ni muigizaji wa filamu na mchekeshaji. Huku kwenye filamu hajawahi kuwa staa wa kuuza sana kiasi cha kusema anaishi maisha tunayomuona kwa sababu hiyo.

Lakini pia kwenye uchekeshaji, siku hizi kuna kitu kinaitwa Stand Up Comedy, ile ambayo msanii anawajaza watu ukumbini na yeye kuanza kuwachekesha. Wanafanya hivi pia waigizaji wengine ambao kwa Afrika Mashariki, kinara wao ni Eric Omondi wa Kenya, Anna Kasiime wa Uganda na hapa nyumbani, MC Pilipili pia hufanya. Siku hizi Steve Nyerere naye anafanya Stand Up Comedy.

Ni kwa kiasi gani Stand Up Comedy ya Steve inamuingizia hela ni jambo la kujadili. Steve anaishi sababu ya jina lake kwa kufanya kazi za sanaa au anaishi kisanii? Kuna uwezekano mkubwa pia kwamba licha ya sanaa, Steve anaishi kisanii, ndiyo maana sanaa aliyosema aliitumia katika kumuweka sawa mama Wema, inafanana sana na maisha yake halisi.

Steve anafika sehemu ambazo wengi hawawezi kufika na anazungumza na watu ambao siyo kila msanii anaweza kuwafikia. Watu wote waliotajwa katika ile sauti wanaweza kufikiwa na huyu msanii bila matatizo yoyote, ingawa zipo pia chumvi za kutosha katika hilo.

Unashangaa kumuona Steve Nyerere akipanda katika jukwaa la muziki na kuanza kumtunza mwimbaji manoti mengi mithili ya wale mapedeshee tuliowazoea, kina Chief Kiumbe, Papaa Msofe, Muzamir Katunzi, Jack Pemba, Ndama Mutoto ya Ng’ombe na wengine wa aina hiyo.

Kutoa ni moyo na si utajiri, lakini ni kweli kijana wa Kitanzania anayepata hela kwa jasho lake kihalali, anaweza kugawa fedha nyingi kwenye starehe kama Steve anavyofanya? Ingawa siungi mkono hata kidogo kitendo kilichofanywa na Mama Wema, ni vyema nikamtahadharisha Steve kwamba kilichotokea halikuwa jambo la bahati mbaya. Yale ndiyo maisha yake, ya kutumia sanaa yake.

Na huenda siyo kwa mama Wema pekee, sanaa hiyo yaweza kuwa imetumika ‘kuwaweka’ sawa pia watu kibao ambao hatuwafahamu!

Ukweli Juu ya Freemason na Illuminati Walivyofanikisha Kifo cha Michael Jackson Baada ya Kukiuka Masharti Yao, Sehemu ya Kwanza (1)...!!!

$
0
0

Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’

Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi.

Katika wimbo huo Michael Jackson anaonekana akitakaswa na maji matakatifu, sauti ya shetani akiwa amekasirika inasikika, Michael Jackson anazaliwa mara tatu kama alama ya ‘kuzaliwa upya, kuwa mtu mpya na kuachana na mambo ya kale, kisha najipongeza mwenyewe kwa hilo, anapiga magoti mbele ya Mungu na kuwa huru kutoka kwenye mikono ya illuminati. 

Kisha kachukua maji matakatifu na kuyamwagia kwenye alama ya ‘ROYAL ARMS’ na ‘Royal’ ikiwa na maana ya ‘Royal Bloodline’ ambazo nazo zipo 13. Mwishowe Michael anabadilika na kuwa ‘panther’. Lakini kabla ya hapo alivunja kioo cha gari kilicho andikwa ‘NIGGER GO HOME’ na na ndani ya maneno hayo nambari ‘666’ ikiwa imefichwa ndani yake. 

Akavunja bango la ‘KKK’ ambapo ‘K’ ni herufi 11 kwenye alfabeti,hivyo 11x3=33, lakini pia ‘KKK’ inasimama badala ya jina la Ku Klas Klan, ambalo ni jina la kikundi cha Illuminanti, kilicho undwa na Albert Pike mwana masonia wa daraja la 33, kikundi hichi ni cha kibaguzi na kinahusishwa na kila aina ya uchafu unao fanywa na Illuminanti dhidi ya watoto, wanawake na watu wa matabaka mengine.

Mwishoni Michael Jackson alipogeuka ‘Panther’ ambapo panther inawakilisha, nguvu, uhuru, kuzaliwa upya baada ya mateso, yaani kuwa mtu mpya. Miaka 3 baada ya wimbo huo hadithi ya Michael Jackson kwenye vyombo vya habari ikabadilika.

Miaka 17 iliyo fuata Illuminanti walikuwa kwenye vita kali na Michael Jackson, kwa miaka yote hiyo walifanya kazi kubwa ya kuibomoa taswira yake kwenye vyombo vya habari na kwenye macho ya walimwengu.

Hawakutaka kumuua kipindi hicho kwa sababu hilo lingezindua watu, walimwengu wangeona kuna ambacho hakipo sawa, hivyo ilihitaji mpaka muda maalum, wakati muafaka.

Ingawa Michael Jackson hakung’ara na kupanda chati kwa sababu ya ‘ku-sale his soul to the devil’ lakini kwa sababu ya kipaji chake, lakini hata hivyo Illuminati hawakupoteza malengo yao, walimtumia Michael Jackson kwenye kazi zake kutukuza na kutangaza ushetani.

Wimbo kama ule wa ‘Thriller’ na ‘Beat it’ utakuta kwenye mashairi yake kumebeba vionjo vya kishetani.

Kwa Illuminati ‘mtu mweusi’ ni sawa na mnyama, yaani thamani yake ni ndogo, yaani siyo binaadam kamili, hili linahitaji mtiririko wa post kadhaa iliuweze kuelewa, lakini unapotizama filamu za Hollywood, unapotizama sera za nchi za Ulaya dhidi ya nchi za kiafrika, unapotizama matukio ya ubaguzi kote duniani, hutachelewa kuona kuna tatizo la makusudi la kutengenezwa dhidi ya matabaka na rangi za watu.

Hivyo Michael Jackson naye ‘weusi’ wake ulikuwa ni shida kwenye kipaji chake, ‘baniani mbaya kiatu chake dawa.’

Vipi basi mtu mweusi awe ‘KING OF POP’ na abakie kama kama mtu mweusi, na akumbukwe kama mtu mweusi, hapana hili hata kidogo haliwezekani, hata kidogo haifai mtu mweusi kuwa ‘king of pop’ kazi ya ziada ikafanyika na Michael Jackson akaambukizwa au akatiwa ugonjwa wa ngozi unao fahamika kama ‘VITILIGO.’

Kwenye mahojiano ya mwaka 1993, Michael akasema kuwa ‘Baba aliniambia kuwa ugonjwa wa ngozi wa Vitiligo upo kwenye damu ya familia yetu”

Lakini ajabu ugonjwa ulimpata Michael Jackson peke yake ambaye ametokea kuwa ni King of Pop.

Kabla ya ‘Thriller’ MTV, walikataa kuonesha kwa watazamaji wake wimbo wowote wa Michael Jackson.

Kwanini?

Michael Jackson ni MWEUSI.

Kesho Usikose Kusoma na kufuatilia Sehemu ya Pili na ya mwisho kujua kwa kina ..!!!!

Imefichukaaah...!!!Kumbe Bibi Kizee Alimsaidia Mavugo Kuifunga Yanga...!!!

$
0
0

MSHAMBULIAJI wa Simba, Laudit Mavugo ameibuka na kusema kuwa siri ya mafanikio ya kufumania nyavu hivi karibuni na kwenye mechi ya Yanga kunatokana na bibi yake aliyekuwa Bujumbura, Burundi kumsapoti na kumuombea kila siku.

Mavugo amekuwa na wakati mgumu wa kufumania nyavu tangu alipotua katika kikosi hicho cha Msimbazi, lakini siku za hivi karibuni ameonekana kuamka upya. Katika mchezo wa wikiendi iliyopita kati ya Yanga na Simba, Mavugo alifanikiwa kufunga bao lake la saba kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu wakati alipoiongoza Simba kupata ushindi wa mabao 2-1.

 Akizungumza , Mavugo alisema amekuwa katika wakati mgumu wa kuweza kufunga lakini bibi yake aliyekuwa Burundi amekuwa akimuombea kwa muda mrefu hasa katika mechi ya Simba na Yanga ili aweze kufunga hivyo bao alilofunga anamzawadia yeye.

 “Nimefurahi sana kuona nimefanikiwa kufunga, bao langu dhidi ya Yanga namzawadia  bibi yangu aliyeko Bujumbura kwani amekuwa akiniombea nifunge hasa katika mechi hii dhidi ya Yanga.

“Mechi yetu na Yanga ilikuwa ngumu kwani kila upande ulikuwa ukihitaji kuibuka na ushindi, nakumbuka kabla ya mchezo bibi aliniambia ananiombea nifunge, hivyo bao hili yeye amehusika kwa kiasi kikubwa,” alisema Mavugo.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images