Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live

Msanii Bongo Movie"Rafiki Yangu Ndio Alinichomesha Nikafumaniwa na Boyfriend Wangu

$
0
0
Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita Amani ambae amecheza filamu ya Ngema na nyinginezo alisema" Maisha tu haya ila kiukweli rafiki yangu alinifanyia kitu kibaya kwa kunichoma kwa boyfriend wangu ambae ilibidi anioe naamini hakuna binadamu aliyekamilika" Alisema Amina
Source:Xdeejayz

Huwezi Kuamini Huyu Ndio Penny Kabla Hajawa Maarufu....Mweee

$
0
0
 Penny Enzi zake Kabla Hajawa Maarufu..Kweli Camera 360 kiboko ...Uwezi amini ni yeye

Huyu Ndio Shosti Mpya wa Wema Sepetu Baada ya Kumtema Kajala

$
0
0
Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza unapamba moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo, ushostito wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na Kajala.

BREAKING: Taarifa ya Polisi kuhusu bomu lililolipuka Mwanza.

$
0
0
Usiku wa April 13 2014 lililipuka bomu kwenye baa moja Mianzini Arusha na kujeruhi zaidi ya watu 15 wengi wao wakiwa wanatazama mpira ambapo mpaka sasa haijajulikana ni nani alihusika.
Usiku wa May 5 2014 yani jana saa mbili na dakika 20 umetokea mlipuko mwingine ndani ya kanisa la KKKT Makongoro wilayani Ilemela Mwanza  ambao umethibitishwa na Polisi.

Polisi imethibitisha kwamba uchunguzi wa awali umeonyesha bomu hilo ni la kienyeji na baada ya kulipuka limemuathiri mtu mmoja aitwae Bernadetha Alfred kabila Mnyaturu mwenye umri wa miaka 25 ambae kwa sasa anatibiwa kwenye hospitali ya Bugando.
Jeshi la polisi pamoja na vyombo vingine vya usalama bado wanaendelea kuchunguza hili tukio manake hata aliefanya shambulio hili pia bado hajajulikana.

Homa ya Dengue Yatikisa Jiji La Dar, Kuwa Makini

$
0
0
Ugonjwa wa homa ya dengue umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na sasa umeathiri wilaya zake tatu na kuzua hofu kwa wananchi.

Miongoni mwa walioathiriwa na homa hiyo ni mwanamuziki maarufu Rehema Chalamila (Ray C) ambaye amelazwa katika Wodi Namba Tano ya Hospitali ya Mwananyamala.

Mmoja wa madaktari wa hospitali hiyo, alithibitisha kulazwa kwa Ray C kutokana na ugonjwa huo jana.

“Tumethibitisha kwamba Ray C ana dalili zote za dengue, lakini kimaadili siruhusiwi kutoa taarifa za mgonjwa,” alisema daktari huyo ambaye hakutaka kutajwa jina lake.

Hata hivyo, waandishi wa gazeti hili walimwona mwanamuziki huyo hospitalini hapo akiwa katika usingizi mzito na madaktari walisema hakuwa katika hali mbaya bali alikuwa amelala kwa sababu ya uchovu wa dawa.

Mbali na Ray C, pia madaktari watatu na muuguzi mmoja wameripotiwa kuugua ugonjwa huo.

Tayari mamlaka zimetoa tahadhari kwa wananchi kuwataka wachukue hatua za haraka kuzuia maambukizi ya homa hiyo inayosababishwa na mbu anayejulikana kitaalamu kama aedes egyptiae.

Hadi sasa wagonjwa zaidi ya 100 wameripotiwa kuugua ugonjwa huo katika wilaya za Kinondoni, Ilala na Temeke na baadhi wakiripotiwa kupoteza maisha.

Takwimu kutoka Kitengo cha Utafiti wa Magonjwa cha Ifakara (IHI), kilichoweka kambi katika Hospitali ya Mwananyamala kutafiti aina za homa, zinaonyesha kuwa kwa miezi miwili ya Machi na Aprili pekee, wagonjwa 85 walibainika kuwa na homa hiyo.

Hata hivyo, idadi inaweza kuwa kubwa zaidi kutokana na kukosekana kwa takwimu, vipimo na watu kuufananisha ugonjwa huo na malaria.

Daktari kiongozi wa hospitali hiyo ambaye pia ni mtaalamu wa ugonjwa huo, Dk Mrisho Rupinda alisema kuwa kuna taarifa za wagonjwa wa dengue walioripotiwa katika maeneo yote ya Dar es Salaam.

“Katika kipindi cha wiki moja iliyopita tayari madaktari wawili kwenye hospitali hii wamebainika kuugua ugonjwa huo, tunahisi walipata maambukizi kwenye maeneo ya humuhumu ndani hospitali,” alisema Dk Rupinda.

Mahabusu Wavua Nguo Kupinga Wenzao Kuachiwa

$
0
0
Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na kugoma kushuka kwenye basi wakipinga kitendo cha watuhumiwa wawili wa dawa za kulevya kuachiwa kinyemela.

Watuhumiwa wanaolalamikiwa ambao mashtaka yao yalibadilishwa mara mbili ili wapewe dhamana ni Dharam Patel (26) na Nivan Patel (20) wanaodaiwa kukamatwa na kete 173 za heroini na misokoto 300 ya bangi, Aprili mwaka huu.

Mahabusu hao walikuwa wakipaza sauti kupinga madaraja kati ya wenye nacho na wasio nacho kwa wengine kuachiwa na wengine kubaki ndani kwa kisingizo cha ‘upelelezi haujakamilika’.

Huku wakipaza sauti zao kwa nguvu, mahabusu hao wa kesi za mihadarati ikiwamo mirungi na bangi, wizi wa kutumia silaha na mauaji, walisema wamekaa mahabusu kwa zaidi ya miaka miwili, lakini hawajawahi hata kusomewa maelezo ya awali na kuendelea kuteseka gerezani.

Sauti ilisikika kutoka ndani ya basi: “Wenzetu hata mwezi haujaisha wanafutiwa kesi, jamani sisi tumekosa nini? Tunataka haki itendeke kwa wote.”

Mahabusu hao walionekana wakiwa wamesimama ndani ya basi hilo bila nguo, huku umati wa watu waliofika mahakamani hapo ukitazama.

Baada ya kuona umati wa watu unazidi kuongezeka kuwashangaa mahabusu hao, askari wa magereza waliondoa basi hilo eneo la Mahakama.

Kuachiwa watuhumiwa

Taarifa za kuachiwa kwa watuhumiwa hao wa dawa za kulevya waliokuwa na kesi mbele ya Hakimu Mkazi Arusha, Mwakuga Gwanta zilidaiwa kuwa zilitokana na Ofisi ya DPP Arusha, kubadilisha hati ya mashtaka.

Ilidaiwa kuwa badala ya kudaiwa kuwa walikutwa wakisafirisha dawa za kulevya, iliandikwa kuwa walikutwa na dawa hizo mashtaka ambayo yana dhamana.

Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Kuzuia Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa alisema jana kuwa ofisi yake haina taarifa za watuhumiwa hao kupewa dhamana lakini alisema kulikuwa na jaribio hilo.

“Ninachojua kesi hii ilipangwa kutajwa Aprili 29, mwaka huu, lakini ikasogezwa mbele hadi Mei 2 na kilichofanyika hati ya mashtaka ilibadilishwa na kuandikwa wamepatikana na dawa za kulevya.

Sasa Nimeanza Kuwa na Shaka na Batuli..Mwenendo Wake Watia Hofu

$
0
0
KWAKO,

Msanii wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Pole na mihangaiko ya  kujitafutia mkate wa kila siku. Naamini mishemishe zako zipo poa. Kwa upande wangu mimi naendelea vizuri. Naamini sijawahi kukuandikia barua hata mara moja, lakini nimeona ni vyema tuwasiliane kwa njia hii.

Lengo la kukuandikia barua hii ni kwa ajili ya kukuweka sawa, maana naona kama njia unayoanza kupita siyo! Wenyewe wamekataza! Kwa muda mrefu nimekuwa nikivutika na uigizaji wako, kama mdau wa sinema nchini nilikuweka miongoni mwa wasanii wenye uwezo mkubwa sana wawapo nyuma ya kamera.

Niliishia kuamini kuwa wewe ni msanii mkali, ambaye pengine siku zijazo utakuwa nyota. Ni kweli, kwa sasa katika wasanii walio kwenye nafasi za juu kabisa kwenye soko la filamu Bongo ni pamoja na wewe.
Najua jambo hili wengine hawapendi kukubaliana nalo hasa wasanii wenzako, lakini nataka kukuhakikishia kuwa uko matawi ya juu kabisa.

Wakati fulani nilipata kufanya mahojiano na wewe nikiwa na jopo la wahariri wenzangu.  Hapo ndipo nilipogundua kuwa kumbe una uwezo mwingine zaidi ya sanaa. Niligundua kuwa una uwezo mkubwa wa kufikiri tofauti na matarajio ya wengi.

Kusema kwamba, ulitakiwa kucheza Filamu ya O’prah katika nafasi iliyochukuliwa na msanii mwingine ili ushiriki kwenye vipande vya kimahaba (love scenes) – ukakataa kilidhihirisha ukomavu wa uelewa kichwani mwako!

Nilikusifu kwa hilo. Mpaka sasa naendelea kukusifia kwa hilo. Naamini hata mashabiki wako wanakusifia kwa hilo maana ni jambo kubwa na la maana sana.

Nikiwa nimekuweka kwenye nafasi hiyo, wiki iliyopita nikashangazwa na jambo lililotokea kuhusu wewe. Nikajiuliza: Hivi ni Batuli huyuhuyu ninayemjua au mwingine?

Batuli aliyekataa kucheza sinema yenye maudhui ya kimapenzi kwa hofu ya kuharibu jina lake, leo hii anaweza kusema yupo tayari kucheza sinema za aina hiyohiyo lakini nje ya nchi? Nikapigwa na butwaa. Batuli amechanganyikiwa? Nikawaza.

Naamini hata kama ungekuwa ni wewe ungechanganyikiwa kama mimi. Batuli, kwani hiyo sinema ukienda kucheza Nigeria na kuvaa mavazi ya hovyo, haitasambazwa hapa Bongo na hatimaye wadau wakaiona?

Umesema tamaduni za nchi nyingine ni tofauti na zetu, ndiyo maana unaweza kwenda kucheza, sawa lakini vipi kuhusu maadili yako kama Mtanzania? Ukionekana kwenye sinema hata kama ni ya Marekani, umevaa vivazi vya ajabu, itabadilisha jina lako la Yobnesh?

Sinema chafu hata ukicheza wapi, bado haiwezi kukubadilisha Batuli, haiwezi kukuondolea Utanzania wako. Haiwezi kubadili chochote. Kila kitu kitabaki katika uhalisi wake uleule!

Nadhani hukufikiri vizuri na kama mtazamo wako bado ni huo, nakuomba sana tafakari tena – hauko sahihi. Jamii inakuamini sana, una uwezo mkubwa wa kuwa staa zaidi ya ulivyo huku ukiendelea kuhifadhi maadili yetu.

Chondechonde Batuli, fikiri tofauti.
Yuleyule,
Mkweli daima,
......................
Joseph Shaluwa Via GPL

Tuzo za Diamond Zazua Balaa..Zapelekwa Kwa Wema, Familia Yacharuka

$
0
0
Habari zilizosambaa leo kutoka Kwenye Gazeti Moja zinasema Familia ya Diamond Pamoja Na marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema Sepetu Badala ya Kuzipeleka Nyumbani Kwake...Pia inasemekana Ule Ukaribu wa Diamond na Mama Yake Siku hizi Umepungua Hata Kwenye Tuzo za Kill Mama yake Hakuudhuria Kama Kawaida yake na Tulivyomzoea....Wengine Wameanza Kusema kuwa ni Kwasababu Mama yake Hamkubali Wema Sana So siku hizi Anajitenga...Pia Dada Yake wa Hiari Halima Kimwana Hakuonekana Ukumbini kwa Kile kinachosemekana aliogopa Team Wema Kumzodoa....
-Udaku Specially-

Linah Sanga "Jamani Nafunga Ndoa Soon na Mchuchu Wangu"

$
0
0
Baada ya Linah Sanga Siku hizi Kuonekana Kila kona Akiwa na Kijana Anayejulikana kwa jina la Nagari Kombo Amehabarisha na Kusema huyo ni mchumba yake kabisa na Nyumbani wameshajitambulisha kila kitu kiko sawa na Wanasubiria Ndoa tu Ambayo itakuwa hivi karibuni....Mara ya mwisho walionekana pamoja siku ya Tuzo za Kill Pale Mlimani City ...Mchumba wake Ni yule Kijana Aliyepata umaarufu Baada ya kuingia Uwanjani siku ya Taifa Stars na Brazil na kwenda Kumkubatia Ricardo Kaka huku Mpira Ukiendelea.
-Udaku Specially-

Maajabu:Mto Wenye Maji ya Damu Waishangaza Dunia

$
0
0
The River Lotzwil (Bern, Switzerland) has suddenly turned blood red.  Scientists say they have absolutely no explanation.  Others point to The Book of Revelation, 16:4 in the Holy Bible.  Picture of the River shown below

This is just the latest of a series of similar incidents wherein waterways – either fresh or salt — have “inexplicably” turned blood red. In January, 2014, a stream in Northhampshire, UK turned blood red. Initially, it was thought that Ink spilled in the river, but that was never confirmed and the source was never found.

In December, 2013, a river near a small village in Slovakia turned blood red. It was thought that a slaughterhouse upstream had leaked into the river but that was not true. No explanation was ever found.

A similar incident took place in September, 2012 in a section of the Yangtze River in Chongqing, China as shown below . . . Experts struggled to explain it:

In February, 2012, People in Lebanon’s capital woke up to the following scene of the Beirut river that runs at the edge of the city .

Even canals in Beirut turned red . . . . and the government had no explanation In Little Rock, AR, a stream turned blood red in 2012 with no explanation . . . In November, 2012, Australia’s most famous beach, Bondo Beach, turned blood red too . . . On Friday, August 10, 2012, the waters of a lake in The Camargue, a marshy area in the Rhone delta of southern France, turned “blood red.” The scene certainly baffled holiday makers. The strange thing about it is lakes on the left and right of the red lake are absolutely as you’d expect with them to be, with normal water. The color was never explained.

While governments and scientists are baffled by these events, the explanation is clear to those of us who participate in this web site:
 Almighty God is warning us to repent our sins. Of course, you may find such a belief ridiculous (which is part of the problem) but the Holy Bible, written two thousand or so years ago, foretold of this type of event.

In The Book of Revelations, Chapter 16, Verse 4, we were warned: And the third angel poured out his vial upon the rivers and fountains of waters; and they became blood. It isn’t hard to believe that humanity is being warned by God to repent its sins, or to see that humanity, in its arrogance, is ignoring these warnings, as was also foretold in the Bible. For us, we believe in YHVH which some pronounce “YAHWEH” and others pronounce “Jehovah” who is the one, true, almighty God. We believe and assert that he is the Creator of us and of all things. We believe and assert that he always was, always is and always shall be. We repent our sins, ask YHWH to forgive us, and pray that we be granted Salvation through Y’Shua, whom we are taught was called Jesus, the Christ, Messiah. We make no apology to anyone for our beliefs, or for worshiping Almighty God. We urge everyone to get right with the Lord because he is just and his judgments are righteous. He cannot be lied to, fooled, conned or snookered. We fear his just and righteous punishment for our sins, and suggest you should too.

Picha za Majeruhi wa Bomu Mwanza Akiwa Hospitalini Hoi Akipata Matibabu

$
0
0
Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana usiku.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, amesema mlipuko unaodaiwa kutokea jana, ulitokana na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana

Amesema tukio hilo limetokea jana Jumatatu Mei 5, 2014 saa mbili usiku, na kujeruhi mtu mmoja ambaye hadi sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini humo.
Taarifa za awali kuhusu tukio hilo, zinaonyesha kuna watu/mtu ambao waliweka bomu hilo katika hosteli hizo na kupelekea tukio hilo, ambapo hadi sasa Jeshi hilo linaendelea na upelelezi na hakuna mtu yeyote anayeshikiliwa kuhusiana na tukio hilo

Anti Lulu: "Najuta Kumvulia Nguo Amani, Sikujua Kama ana Wivu Mkubwa Kiasi Hiki"

$
0
0
MSANII   wa  filamu  Bongo,Lulu Semagongo  'Aunty Lulu' anadai  kuwa  anajuta  kumvulia  nguo  mwandani  wake  aliyemtaja  kwa  jina  la  Amani  ambaye  hivi  karibuni  alimshushia  kipigo  kikali  baada  ya  kutaka  kwenda  kujirusha  usiku  kwenye  kumbi  za  starehe....

Akizungumza  na  Mpekuzi  wetu,Aunty  Lulu  alisema  katika  siku  ya  tukio  ni  kweli  alitaka  kwenda  kupata  raha  mwenyewe  kwenye  moja  ya  klabu  za  starehe  usiku  na  alimpa  taarifa  jamaa  yake  huyo  lakini  akamgomea  kwenda  kwani  alihisi  angeenda  kumsaliti....


Msanii  huyo  aliendelea  kusema  kuwa jamaa  yake  huyo  ana  wivu  balaa  na  hilo  limekuwa  likimpa  shida  kwani  wakati  mwingine  anashindwa  kuongea  na  wanaume  ambao  mpenzi  wake  hawafahamu  maana  huwa  anahisi  ni  hawala  zake....

"Najuta  kumpa  penzi  Amani  kwani  sikujua    ana  wivu    mkubwa  kiasi  hiki,hataki  kunipa  uhuru  wa  kwenda  kujirusha kama  ilivyokuwa  siku  za  awali.Si  kweli  kwaba  nikienda  kwenye  kumbi  za  starehe  naweza  kumsaliti  kwani  binafsi  huwa  sipendi  kuchanganya  wanaume"Alisema  msanii huyo.

Ray C Apata Nafuu, Aruhusiwa Kutoka Hospitali

$
0
0
Mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoka katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.

Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya hospitalini hapo, alifikishwa hapo juzi Jumatatu asubuhi na baadhi ya madaktari walibainisha kuwa Ray C alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa dengue ambao umelipuka katika maeneo mengi jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
 
Akizungumza kwa simu jana, Ray C alisema ameondoka hospitalini na yuko nyumbani baada ya kuruhusiwa na madaktari.

Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk Sophinias Ngonyani alisema mwanamuziki huyo aliruhusiwa baada ya kupata nafuu na hali yake kuonekana nzuri.

Ronaldo"Neymar Anaweza Kuwa Mchezaji Bora wa Dunia"

$
0
0
CRISTIANO Ronaldo anaamini kuwa nyota wa Barcelona, Mbrazil, Neymar atakuwa mchezaji bora wa dunia.
Wakatalunya walimsajili kinda huyo mwenye miaka 22 kutoka klabu ya Santos ya Brazil kwa dau linalokadiriwa kuwa paundi million 87.2 na amefunga mabao 9 katika mechi za ligi na kutoa pasi za mwisho 8 katika mechi zake 25 alizocheza.
Licha ya Rea Madrid kuwa wapinzani wakubwa kutafuta ubingwa wa La Liga kuliko Barcelona, Ronaldo anadhani kuwa nyota huyo wa Brazil atakuwa moja ya wachezaji nyota zaidi duniani.
“Namtazama Neymara kama mchezaji mkubwa,” aliwaambia SportsTVnews. “ Nadhani kwa kipindi cha sasa ameonesha kuwa atakuwa mchezaji mkubwa kwa baadaye”.
“Alichelewa kufiti katika mfumo wa Barcelona kiuchezaji, alikuwa na matatizo mwanzoni, lakini sina wasiwasi juu ya yeye kuwa mchezaji bora wa dunia au bora zaidi na zaidi”.
Ronaldo mwenye miaka ya 29 alipoulizwa hatima ya timu ya taifa ya Ureno kwenye fainali za kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil alikiri kuwa nchi yake imepangwa kundi ngumu zaidi na timu za Ujerumani, Ghana na Marekani.
“Sisi hatupewi nafasi kubwa,” alisema. “Lakini tutajitahidi kulifurahia. Tunajua tupo kundi gumu, kwa maoni yangu ni kundi lenye mataifa makubwa zaidi duniani”. 
“Tunatakiwa kwenda hatua kwa hatua. Tutakuwa na mchezo mgumu wa kwanza dhidi ya Ujerumani, halafu tutacheza na Ghana na kumalizia na Marekani. Baada ya hapo tutaona”.

Mrema Ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli

$
0
0
Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili 

Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani 

Kuniita kibaraka Wa ccm ni kunipaka matope kibaraka Wa ccm ni seifu Wa Zanzibar anayelipwa na ccm mpaka sasa

Chanzo TBC

Dk. Kitila Mkumbo Ajitambulisha Rasmi ACT

$
0
0
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

==============

JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
Source:Jamii Forums

Sirudii Tena Mautundu Haya Niliyomfanyia Huyu Demu

$
0
0
Huyu demu cjawah ku do naye,jana akakubali akaja kwangu mida kama ya saa mbili ucku!alipofka akaingia bafuni kuoga.

Alipotoka tukapga stor kdog tukaanza mambo yetu!ishu ilikua hv alipo kaa tu ktandan nkamlaza kitandan,nkachukua mto mmoja nkamuwekea chini ya mgongo wake jiran na kifua chake,saa sita zake zkakaa kama mabomu ya Russia yanayotaka kulipua Ukrain.

Nkatumbukza mdomon saa sita yake moja,meno yangu yakawa yana fanya teeth rub,nkaona mtu anaanza kujkunjakunja nkahamia ktk saasita yake ya pili nkafanya teeth rub tena,akaanza kupata moto,nkashusha mdomo wangu ktk ya feet zake nkamfanyia tongue rub,kama dakika 15 hivi nkaona misuli imeanza kumbana.

Nkanyoosha mikona yangu yote miwili,nkaanza kuzisugua saa sita zake zlzo iva kwa vganja vyangu kwa stail ya helcopter,wakat huo tongue rub inaendelea,nikahisi ameanza kutetemeka kama kanaswa na umeme,sikumwachia nkaendelea,alipozidi kujitikisa,nkaona muda umefka nkachukua barafu haraka nkaiweka mdomoni mwangu,huku bado namfanyia helcopter rubbing stlye tena kwa wakati huu kwa speed kidogo,hadi mishipa ya damu ikawa inaonekana imevimba ktk saa sita zake,n mbishi kupiga kelele,ghafla nkasikia aahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....nil iposikia hivyo nkajua sasa anakuja nikatema barafu harafu mdomo wangu wa baridi balaa nikaupeleka moja kwa moja kwenye clitoris yake nikaihold kwa kutumia midomo yangu....!

Kilichofata nikasikikia kasema Mungu wangu weeeeeeeee!akanbana roba ya miguu kama sekunde kumi hv baada ya hapo akalegea kabsa bila hata kujitikisa,haongei,haitiki anahema tu,toka jana saa nne usiku ndo anastuka leo sa tatu asubuhi,nilikua najua nimeua,da sirudii tena kuaply mautundu haya kwa huyu mdada maana nlkua naiona segelea ileee,alafu ukizngatia hata vyombo sijala gemu imeishia kwenye romance tu du!

Kujichua Ama Kupiga Punyeto kwa Mwanamke

$
0
0
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia…….wakati mwingine mtu unashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mapaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Kujichua au kujichezea ni njia pekee ya kujifunza kufika kileleni, kuujua na kuuelewa mwili wako na kujua utamu wa ngono ukoje(incase hujui utamu huo ukoje). Kwa kujichua utajua jinsi kutoa na kupokea raha ya kufanya mapenzi na mpenzi wako, utasaidia ngozi yako kuwa nzuri na laini (mambo ya Urembo hayo) na vilevile utajua jinsi ya kuzuia (kuchelewa kwa makusudi kufikia mshindo) au kumsubiri mwenzio ili mfike pamoja, hakuna raha ya kufanya mapenzi kama kufika kwa wakati mmoja.

Faida za kujichua/chezea:-
1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)
2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanyamapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.
3)Kujua “vipele vyako viliko”.
4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.
5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengine.

*Kama kuna faida nyingine unaijua basi si mbaya kama utachangia hapa.

Madhara ya kujichua/chezea:-
1)Sijawahi kushuhudia wala kusikia tatizo lolote kutokana na kujichaua kiasili.

2)Kujichua kwa kutumia sanamu a.k.a Dildos ni kusamburuka kwa nyama za nyeti zako(inategemea na aina ya sanamu), kupoteza hisia za uume halisi kutokana na kuzoea “dubwana” hizo, kifo kutokana na “shock” ikiwa unatumia ya umeme, vilevile saratani ikiwa unatumia vilainishio ili kurahisisha “dubwana a.k.a toy a.k.a Dildo” kuingia.

Ikiwa kuna madhara mengine unayajua kuhusiana basi ni vema ukachangia hapa

Nampenda Kwasababu Ananigusa Penyewe Kwenye Kipele..

$
0
0
Nimepatikana mwenzenu, nimekutana na kijana hana adabu hata kidogo, amechukua moyo wangu mzima mzima. Kijana anasura mbaya yani hana hata mvuto ila uwanjani usipime, mambo anayo ni fanyia naogopa hata kusimulia ila kiufupi ni kwamba anaweza ndio mana niko nae siambiwi wala sitazami makunyanzi ananigusa Kipele...na Umri wangu wote huu sikuwahi kuguswa kipele nilikuwa nasikia tu kwa watu na kwenye Internet ila sasa na mimi yamenikuta Nakuswa Kipele..Simwachi Ng'oooo....Nimezama penzini

Profesa J na Jose Chameleon Waingia Studio Kufanya Wimbo Mpya

$
0
0
Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja

Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: Ndani ya Mwanalizombe Studio usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED, Dar East African HEAVY WEIGHTS, Stay Tuned,mpaka waombe poooh !!!!”

Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za Kili ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki.
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live




Latest Images