Mke Wangu Alinipiga Kila Mara, Nilinyimwa Hata Lungula Wakati Mwingine
Haya Mambo Yafuatayo Huwafanya Wanawake Wengi Kushindwa Kuingia Katika Ndoa (Kuolewa)
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra awazo nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya shughuli za Ndoa na Harusi.
Hata hivyo, kwa wale wanawake wachache ambao husuasua kuolewa hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea kusuasua huko. (Izingatiwe hii ni kwa wanawake ambao hawajawahi kuolewa kabisa)
Vigezo vilivyopitiliza viwango (hasa kwa muonekano)
Wanawake wengi hasa wa umri mdogo (lakini unatosha kuolewa) hutumia muda mwingi katika kuchagua aina ya mwanaume ambaye angependa awe mume wake. Wanawake hawa hujiamini zaidi na kusimamia sifa zile ambazo huamini ni muhimu mwanaume wa kumuoa awe nazo. Vigezo hivyo huwa hata kwa misingi ya muonekano wa mwanaume huyo – kuna wale ambao hutaka mwanaume huyo wa kumuoa awe na sifa kama vile, mrefu, aliyejazia kifua, mtanashati, sauti nzuri n.k. Inaweza kuwa kama mzaha na ikaonekana ni kipengele kidogo sana lakini bado kuna wale ambao anaweza kuwa tayari kuolewa ila hataki sababu tu huyo mwanaume hafananii vile ambavyo yeye anataka mumewe awe.
Kutaka mwanaume tajiri
Kuna wanawake ambao tayari wameshajiwekea akilini kuwa hatakubali kuolewa na mwanaume yeyote yule ambaye hana pesa nyingi. Yupo tayari kuolewa ila si kwa mwanaume mwenye uwezo wa kawaida – hata ikitokea mwanaume ana uwezo kidogo wa kuweza kujitosheleza, yeye bado huona huyo mwanaume hamfai hadi pale tu atakapo pata yule ambaye anahisi ataishi maisha ya kifahari. Hivyo hukazana kusubiri na kujitahidi kuwinda aina ya mwanaume ambaye atakuwa na uwezo mkubwa, bila kujalisha kama huyo mwanaume kampita sana umri.
Kutompata Mwanaume Ampendae
Hili ni kama tu vile ilivyo kwa wanaume ambao huamini ndoa haiwezekani na haifai bali tu hadi pale umpatapo yule ambaye unampenda na unaamini anakupenda pia. Wengi katika kundi hili huamini kuwa mafanikio ya ndoa kigezo kikubwa ni kupendana tu na mengine hufuata kwenye sababu ya upendo. Kuna wanawake vigezo vya mwanamme awe vipi havina umuhimu kabisa katika kutaka kuamua kuolewa. Yeye kikubwa anataka ampate mume ambaye atampenda kwa dhati na huku akiwa na matumaini kuwa huyo mume atampenda na yeye pia kwa dhati. Huyu mwanamke anaamini msingi bora wa ndoa ni mapenzi ya dhati kati ya yeye na mmewe basi! Hana haraka hadi pale atakapompata mwanaume akampenda ndipo atakapokuwa tayari kuolewa.
Kuchagua mno Wanaume wa Kumuoa
Kuna wale wachache ambao akili hubadilika kama kinyonga; wasioridhika wala kujitambua ni nini wanataka ama mwanaume wa aina ipi wanataka. Akija wa mwenye uwezo atasema nataka wa kuchuma nae, akija asiye na uwezo atatoa sababu tu hata kama kumlaumu kuwa inaonyesha hajitumi kutafuta maendeleo. Akija wa kabila hii, atasema hapana hao wana tabia hii mimi siitaki! Yaani kwa ufupi ni mtu asiyeisha kutoa kasoro za wale ambao wanajitokeza kutaka kumuoa. Hatimaye inaweza tokea muda wa kuolewa ukapita na akaishia kupunguza uchunguzaji lakini ikiwa hata wanaume wa umri wa kufaa kumuoa kutokuwepo tena katika soko.
Kujiona ni mzuri sana
Kuna wanawake ambao ni kweli Mwenyezi Mungu kawajaalia uzuri hasa (uzuri wa muonekano), anakuwa ni mzuri kiasi kwamba wake kwa waume wote wanamkubali kwa uzuri huo na hata wote kumtamani. Hata hivyo hapo hapo kuna wale ambao huwa ni wazuri kawaida – ila kwa mtazamo wake hujiona ni mzuri mno hakuna mfano kama yeye; kitendo ambacho kwa wachache kwenye kundi hili hufanya kujiona yeye ni yeye na kuwa kwa yeyote kuwa na yeye huyo mtu anatakiwa atambue kuwa ana bahati sana. Kitendo hiki hukuza nyodo za hali ya juu ya mwanamke mwenye mtazamo huu, kiasi kwamba wanapojitokeza wanaume kutaka kuoa – anaweza onyesha tabia kama maringo, dharau na kiburi.
Kujiona ana Umri mdogo
Binti yeyote wa miaka 18 na kuendelea anaruhusiwa kuolewa endapo tu karidhia kuolewa. Wanawake wametofautiana mipangilio yao ya kimaisha, kuna wale akiwa katika umri wa kuolewa hutamani sana kuolewa na kuna wale ambao hupenda kuolewa wakiwa wakubwa zaidi. Katika kundi hili umri kuwa mdogo hutegemeana, kuna mwingine anakuwa na umri wa miaka 25 na bado akajiona mdogo na hali kuna mwingine anakuwa na miaka 20 na akajiona ni mkubwa na anafaa kuolewa. Hii pia ni kwa wanawake wale ambao huwa na malengo ya kutotaka kuharakisha katika ndoa. Anapokuwa na umri ambao anaweza kuolewa lakini yeye hayupo tayari kwa muda huo, huwa ni kikwazo kwake kuingia katika ndoa.
Maradhi hasa UKIMWI
Hili kama lilivyo kwa wanaume - Pamoja na kuhamasishwa kwingi na wataalamu wa maradhi ya HIV/AIDS kuwa mtu hata ukiwa umeathirika unaweza kuwa na mahusiano na hata kuoa na kuwa na watoto; bado haisaidii sana kwa vijana wanaojitambua kuwa ni waathirika wakiwa bado ni wadogo, hawajaoa/olewa ama kuwahi kuwa na mtoto. Wengi sana hukata tamaa na huona ni kheri kubaki walivyo kuliko kuingia katika ndoa, hasa tokana na imani kuwa wanawake wakizaa wakati ni waathirika; afya hudhoofika zaidi.
Kutaka maisha ya Tamthilia (Ndoa za kuishi kwa furaha milele)
Kutokana na kukua kwa idadi ya tamthilia nyingi ambazo huonyesha maisha ya kimagharibi zaidi; kumekuwa na dhana kwa baadhi ya wanawake kutaka hayo maisha ya tamthilia yawe na kwao pia. Hilo linafanya vigezo ambavyo mwanamke huyo anatumia kuchagua ama kukubali mwanaume kumuoa kutotimiza yale ambayo yeye binafsi anatarajia. Wengi hushindwa kutambua kuwa hakuna maisha ya furaha milele, na hasa kuwa maisha ya maigizo yapaswa kuchanganya na zako kuweza kufanya maamuzi ya kipi kiigwe na kipi kiachwe kama kilivyo.
Kuona taasisi ya Ndoa kama Utumwa
Mtazamo huu kwa wanawake wenye msimamo huu, huchangiwa na baadhi kama haya:
- Usomi: Aina ya usomi ambao hupelekea kwa baadhi kuwa na tafsiri tofauti juu ya ndoa, haki, majukumu na mengine mengi.
- Kushuhudia ndoa mbovu: Hii inaweza kuwa ya wazazi/walezi wake wenyewe (pengine mama aliteswa sana), na hata ndugu wa karibu kama vile kushuhudia kila ndoa ya ndugu yake anayoijua mwanamke huishi kwa mateso, manyanyaso na maisha ya taabu na kuonewa.
- Kuwa na uwezo sana wa kujitosheleza ambao unaweza kumtimizia na kufanya lolote lile ambalo anataka katika maisha. Kwake kuwa na mwanaume kama mume kwake anaona kama ni utumwa.
Kutokuwa kabisa na mshipa wa hisia za kufanya mapenzi
Kuna wanawake wale wachache waliozaliwa hivyo. Hawana hisia yoyote ile ya kimwili ya kuweza kupata hisia za kuweza kujisikia ama kutamani kufanya mapenzi. Wengi wa aina hii ya wanawake huwa ni waoga sana wa kuwa karibu na mwanaume, na kwa wale ambao wamewahi hata jaribu baadhi huona kama kitendo cha ndoa ni kero, unyanyasaji na uchafu. Hivyo wazo la kuwa akiolewa anatarajia kufanya kitendo cha ndoa mara kwa mara kinamvunja kabisa hamu ya kutaka kuolewa.
Familia Wafunguka Kuhusu Picha Aliyopost Profesor Jay "Ilipostiwa Kwa Bahati Mbaya"
Saa chache zilizopita kwenye ukurasa wa Instagram wa Mkongwe wa Bongofleva Profesa Jay @professorjaytz upande wa Insta story kulipostiwa picha yake akionekana na Mke wake wakihojiwa kwenye red carpet, kitendo kilichoamsha furaha ya Mashabiki wengi kuona Mkali huyo ameimarika kiafya na wengine kuamini ameanza kuhudhuria matukio mbalimbali.
Mwimbaji Jay Melody Apanic Baada ya Kupewa Makavu na Shabiki Kisa Kuimba Amapiano
Umekuwa ni muendelezo wa mastaa wa Bongo siku hizi kuwa na majibu makali kwa watu wanaocomment kwenye post zao hata kama Comments hizo ziko positive kwenye upande wa kushauri. Jay Melody amejikuta anapaniki baada ya shabiki wa muziki wake kumpa ushauri kuhusu wimbo wake mpya alioutoa aina ya Amapiano unaoitwa #achawivu
Shabiki huyo amemtaka Jay Melody kustick kwenye aina ya muziki ambao amekuwa akiufanya siku zote ambao umempatia hadi hits kadhaa kuliko kufanya amapiano ambazo si aina yake ya muziki na uwenda ni Marioo ndiye msanii pekee anaye upatia zaidi muziki huo. Jay Melody ameishia kutukana kwamba Amapiano yake sio Amapiano ya bwana ake na shabiki (Marioo), na uwa hapangiwi nini cha kufanya.
“Hii ni experience mpya so usipagawe, Amapiano kafanya Burna Boy, Diamond, Mbosso, Nandy, Damian Sol so huu sio mziki wa huyo bwana ako kwahiyo kaa kwa kutulia, pia hakuna mtu ananipangia wimbo wa kutoa hivo” Jay
Ifike hatua mastaa wa Bongo waache utoto kuona ni sifa kuwajibu watu hovyo na kutaka sifa za kinafiki, usifiwe wimbo mzuri, nyuma yako watu wanadiss. mtu anafuatilia kazi zako na ndiye huyo huyo ukiwa kwenye media unamtaka hasiache kukusupport, ifike hatua mastaa waache kuziona zaidi roho mbaya kwenye mawazo ya watu kuliko kuuona wema kwenye hayo mawazo, shabiki kashauri vizuri tu,jamaa anapaniki na kinacho muuma zaidi ni kuona msanii mwenzie ndiye kapendekezwa kwenye hiyo midundo, lazima akubali hawawezi fanana.
Jay Melody sikiliza watu, ushauri sio lazima uuchukue, bora uachane nao kimya kimya kuliko kuonyesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo kwenye public, Hits Tatu zisikufanye ujione umeikamilisha safari, shabiki ana nia njema na wewe kuona unatengeneza utawala wako.🚮
Offer ya Viwanja, Bunju B na Mapinga, Bei Rahisi
UZA, inalipa! E-commerce company launches product to boost youth entrepreneurship
Inalipa (https://www.inalipainc.com) today launched a new innovative product that promises to be a much needed tool to reduce youth unemployment.
inalipa is a prominent e-commerce company based in Tanzania that has gained accolades across Africa for its mission to build a new route to market for consumer FMCG goods in Africa. inalipa is one of the few Tanzanian companies to attract international investment from renowned venture capital firms backing the most promising technology businesses.
The core vision of inalipa is to see an Africa where large consumer goods brands can easily access and supply the market, get valuable data and insight and have better visibility of their customers.
inalipa believes that MSMEs, small retailers and Dukas are critical stakeholders in the development of the retail sector.
Today, inalipa launched uza, a novel sales app that allows anyone to register and be their own boss by selling consumer goods in wholesale. uza is an exciting product which provides instant rewards to its users, has a competitive leaderboard for sellers to earn prizes and more.
"We believe in the power of young people to drive Tanzania's development and lead us into the future. We have a million young people enter the job market every year. Smart, capable and entrepreneurial but not provided the right support to earn an income for themselves. uza is our answer to this and we believe that it can be transformational for the sector " says Hafiz Juma, CEO of inalipa.
inalipa adds uza to their existing product suite of inalipa JUMLA a wholesale e-commerce app and inalipa an e-commerce app for end consumers.
With the innovation of companies like inalipa, the future is bright for Tanzania's youth.
Kampuni ya biashara mtandaoni ya inalipa yazindua programu ya UZA kukuza ujasiriamali kwa vijana
Kampuni ya biashara mtandaoni ya Inalipa (https://www.inalipainc.com) leo imezindua programu mpya ya kibunifu ya uza ambayo inatazamiwa kuwa chombo kinachohitajika sana kupunguza ukosefu wa ajira kwa vijana.
Inalipa ni kampuni maarufu ya biashara mtandaoni iliyopo nchini Tanzania ambayo imefanikiwa kupata sifa toka pande zote Afrika kwa dhamira yake kujenga mfumo mpya na bora kufikia soko la bidhaa mbalimbali ndani ya Africa. Inalipa ni moja ya kampuni chache za kitanzania zilizoweza kuvutia uwekezaji wa kimataifa kutoka kampuni maarufu za uwekezaji wa ubia unaolenga kampuni zenye muelekeo chanya kiteknolojia.
Dira ya msingi ya inalipa ni kuona Afrika ambayo kampuni kubwa za bidhaa za walaji zinapata urahisi wa kusambaza bidhaa katika soko, kupata taarifa muhimu ambazo zitawasaidia kuwa na ufahamu mzuri wa wateja wao.
Inalipa inaamini wauzaji wa kati, wauzaji wadogo na maduka ni wadau muhimu katika maendeleo ya sekta ya rejareja.
Leo inalipa imezindua uza, ambayo ni programu (app) ya mauzo ambayo inaruhusu mtu yeyote kujiunga na kuwa bosi binafsi kwa kuuza bidhaa kwa jumla. Uza ni bidhaa yenye mfumo wa kusisimua ambao unatoa zawadi za papo hapo kwa watumiaji wake, ina ubao utakaoonyesha msimamo wa wanaoongoza wenye ushindani kwa wauzaji kupata zawadi na zaidi.
“Tunaamini katika nguvu ya vijana kuendesha maendeleo ya Tanzania na kutuongoza kwa siku za usoni. Tuna vijana milioni moja wanaohitimu na kuingia katika soko la ajira kila mwaka. Vijana hawa wana uwezo wa ujasiriamali ila hawana usaidizi unaofaa kujipatia kipato. Uza ni jibu letu katika hili na tunaamini italeta mapinduzi katika sekta” amesema Hafiz Juma, CEO wa inalipa.
Inalipa inaongeza uza katika kundi la bidhaa zao ambazo ni pamoja na inalipa JUMLA ambayo ni programu (app) inayohusika na mauzo ya bidhaa za jumla na inalipa ambayo ni programu (app) ya biashara ya mtandaoni ya bidhaa za rejareja kwa walaji.
Kwa ubunifu wa makampuni kama inalipa, kuna uelekeo mzuri wa mustakabali wa siku za usoni kwa vijana wa Tanzania.
Meneja wa Bidhaaa Bertha Shao na Mwenyeji Millard Ayo wakizungumza na wanahabari/Product Manager Bertha Shao and Host Millard Ayo speaking to the press
Mkurugenzi Mkuu Hafiz Juma akiongea na wageni/CEO Hafiz Juma speaking to guests
Meneja wa Bidhaa Bertha Shao akielezea jinsi aplikesheni ya uza inafanya kazi/Product Manager Bertha Shao presenting how uza works
Mweneyeji Frederick Bundala akiongea na wanahabari/Host Frederick Bundala speaking with the press
Zitto Kabwe: Hatujafunga ndoa na CCM
Dharau Yaiponza Yanga...Yachezea Kichapo Kutoka Timu ya IHEFU..Rekodi Yavunjwa
Ewe Mwanamke Hekima na Unyenyekevu Vitakayokusaidia Kuolewa Mapema, Kiburi na Ujuaji Utaishia Kuwa Nungayembe
Kama ndoto zako ni kuolewa na mwanaume wa ndoto zako basi unatakiwa kujifunza kuwa lugha nzuri kwa watu wanaokuzunguka.
Unatakiwa kuwa na lugha nzuri kwa sababu wapo baadhi ya watu humtasfiri mtu kutokana na kile amabacho unakizungumza.
Wanaume wengi hushusha thamani ya mwanamke hususani suala la mwanamke huyu kutamka matusi mengi kwenye kinywa chake.
Hivyo ikiwa una nia njema ya kutaka kuolewa unapaswa kuwa na heshima sana hususani kwenye suala la uzungumzaji.
Ijenge thamani zaidi kwa kuzungumza lugha yenye kukujengenea taswira chanya kwa wale wanakusikiliza.
Jifunze kuwa mnyenyekevu kwenye suala la kuzungumza, lugha yako nzuri ndiyo itakayowafanya watu wengine waone thamani yako.
Hakika Kiburi na Ujuaji Utaishia Kuwa Nungayembe wakupigwa na kusepa
DIAMOND kumsaidia ANJELLA? BABA LEVO aahidi hili kutimia '''Lazima atamsaidia ANJELLA''
Idriss Sultan Hakumhonga WEMA Sepetu Pesa Alizoshinda Big Brother Africa..Zilipotea Hivi
Baada ya Idris Sultan kushinda Big Brother, alizawadiwa zaidi ya Million 600.
Wengi walitegemea Idris atafanya jambo la maana kupitia pesa hiyo, lakini ukweli ni kwamba hakufanya lolote la maana zaidi ya kununua Gari la Million 30.
Hela nyingine zilipotea kwenye mazingira ya kutatanisha, Alijaribu kifungua biashara lakini hazikuzaa matunda, hivyo ndani ya muda mfupi jamaa akaishiwa hela kabisa, akakosa mpaka hela ya kodi na akaanza kutangatanga hapa Dar.
Alipata ahueni baada ya Ruge kumpa Ajira, kisha akajiongeza akatafuta Kampuni moja ambayo alifanya nayo Patnership ya kufungua biashara ya viatu.
Note: Idris hakuishiwa hela kisa kumhonga Wema bali ziliisha alipokuwa akijaribu kuwekeza kwenye biashara ambazo hazikuzaa matunda.
By Hopetyga
CCM yachukizwa na udhalilishaji wa Heche
Shirikisho la Soka Nchini Ureno Kuwasilisha Ushahidi Ronaldo Ndio Aliyefunga Goli
Mwanaharakati Aliyevamia Uwanja Qatar na Bendera ya Ushoga Kufukuzwa Nchini Humo
Mafuta ya Kuvuta Pesa za Majini au Jini wa Utajiri (Money Drawing Oil)
Muigizaji Mzee wa Squid Game Ashtakiwa kwa Unyanyasaji wa Kingono
Muigizaji wa Squid Game, O Yeong-su amefunguliwa mashtaka ya unyanyasaji wa kingono kitendo alichofanya mwaka 2017.
Mwendesha mashtaka wa Korea Kusini amesema kuwa, O Yeong-su mwenye umri wa miaka 78 anatuhumiwa kwa kumgusa isivyofaa mwanamke mmoja mwaka 2017.
O Yeong-su mwezi Januari alitangazwa kama Mkorea Kusini wa kwanza kutwaa tuzo ya Golden Globe.
ODDS za Leo Meridianbet ziko kama Hivi
Jumatano 30 Novemba 2022
Unaweza kusema kwamba imeisha kwa Ufaransa ambayo ndio timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora, ila haijaisha kwa Tunisia ambaye anahitaji ushindi ili afuzu, hap ani patamu sana lolote linawezekana kwenye mpira wa miguu. Jambo ni moja nataka nikwambie sehemu salama na rahisi kubeti ni Meridian ambao wanakupa ODDS kubwa kabisa na machaguo special ya kila aina chungulia hapa.
Robert Lewandowsk atakuwa na jukumu la kuibakiza Poland kwenye kombe la dunia pale ambapo watakutana na Argentina ambao hakuna namna wanahitaji ushindi tu ili kufuzu, endapo Argentina atatoa sare na Saudi Arabia akishinda dhidi ya Mexico, itakuwa ni mwisho wa kumuona Messi kwenye michuano hiyo, unadhani Poland vs Argentina itakuaje, Beti na kitochi Meridianbet. Kuona odds kubwa na bomba kutoka machaguo special bofya hapa.
Machaguo special ya kombe la dunia yatakuwa na machaguo mengi Zaidi kwenye mechi zote, haswa pale ambapo Australia atakipiga na Denmark, unaweza kubeti idadi ya pasi, nani atatoa pasi ya goli, mchezaji gani atatangulia kufunga, kona zitakuwa ngapi kwenye mchezo. Ukiamua kubeti kipindi cha kwanza hakuna kadi yeyote ya njano itakayotolewa kwa timu yeyote, ina ODDS ya 3.52 na kama zitatoka kadi tatu ina 7.09, kufahamu zaidi mchanganuo wa machaguo special bonyeza hapa.
Alhamis 01 Desemba 2022
Ni Alhamis ya kwanza ya mwezi Desemba ni mwisho wa mwaka huu, hii ni siku yenye mechi kubwa kwa sababu inakutanisha miamba yenye rekodi nzuri kombe la dunia, ni Ubelgiji ambao mwaka 2018 waliishia nusu fainali, wanakutana na Croatia waliocheza fainali za WC mwaka 2018 na kupoteza dhidi ya Ufaransa.
Meridianbet wanakupa nafasi ya kuchagua ni timu gani kati ya hizi zitafika nusu fainali au hata fainali na kuchukua kabisa. Ukibeti kama Croatia watakuwa wa miwsho kupata goli ina ODDS ya 2.04 huku Ubelgiji akiwa na 2.03 wakati sare tu ina ODDS ya 10. Hii ni hela kabisa mtu wangu usikubali ikupite. Bonyeza hapa kubeti.
Hispania nao wenye damu changa, watakipiga na Japan ambao wapo moto sana, Hispania huenda wakaiona gemu hii ni daraja la kuwapatia alama 3 muhimu ambazo zitawafanya kuendelea kuwa sehemu salama Zaidi, Unahisi Japan atakubali kuwa daraja la kumpitisha Hispania? Majibu yaweke pale Meridianbet ni rahisi sanabofya hapa utafurahi na roho yako.
Ujerumani wana wakati mgumu sana, lakini timu kubwa hufanya mambo makubwa muda wowote, watashuka dimbani kukipiga na Costa Rica, ili Ujerumani afuzu hatua ya 16 bora atahitaji kushinda na si vinginevyo. Huu mchezo unaupa matokeo gani, meridianbet wana machaguo special ambayo yatakurahisishia kazi yako y kubeti, Tazama hapa, na kama huna bando unaweza kubeti na kitochi ni rahisi piga *149*10#
Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.
Senegal yafuzu 16 bora Kombe la Dunia
Mwanamuziki na Rekodi Hii Mpya...Aingiza Bilioni 3 Kwenye Show Moja
Hakika Burna Boy ni habari nyingine.. na hilo analithibitisha mwenyewe, hii ni baada ya #BloombergMarket kuitaja show yake aliyolifanya Jijini New York, nchini Marekani mwezi Aprili mwaka huu, katika ukumbi wa Madison Square Garden, unaoingiza takribani watu elfu 20,789 iliingiza zaidi ya Bilioni 3.7 za Kitanzania kupitia mauzo ya Tiketi.
Burna Boy ama “African giant” aliweka rekodi ya kuwa mwanamuziki wa kwanza toka Nigeria na Afrika kwa ujumla kuuza tiketi zote (sold out) za show hiyo aliyoiita ‘One Night In Space’ ambapo aliungana na wanamuziki wengine Duniani waliowahi kufanya hivyo katika ukumbi huo kama Michael Jackson, Elvis Presley, The Beatles, Adele, Rihanna, Jay-Z, Justin Bieber na Mariah Carey.
Fahamu, Burna Boy alitumia zaidi ya saa 3 akiwa jukwaani pamoja na band yake kwa kutoa burudani iliyokata kiu ya mashabiki waliokuwa wakiimba nae mwanzo mwisho kwenye show hiyo.