Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 109519 articles
Browse latest View live

Sadaka ya mfungo yaleta maafa, 78 wafariki kwa kukanyagana

$
0
0

 


Takriban Watu 78 wameuawa kufuatia mkanyagano katika shule moja iliyopo mji mkuu wa Yemen Sanaa, wakati wa hafla ya kusambaza misaada kwa ajili ya ramadhani.

Tukio hilo limetokea  katika Jiji la Kale katikati mwa mji huo, wakati mamia ya watu masikini walipokusanyika katika hafla iliyoandaliwa na wafanyabiashara, ya kutoa msaada na waratibu wa mgao huo wanazuiliwa na Polisi kwa mahojiano.

Kwa mujibu wa msemaji wa wazara ya mambo ya ndani, tukio hilo lilisababishwa na ukosefu wa uratibu mwafaka kutoka kwa mamlaka za mitaa wakati wa kugawa nasimu za fedha ambapo majeruhi walipelekwa katika hospitali za karibu kupata huduma za matibabu.

Matukio ya fujo baada ya tukio hilo yalionekana katika picha za video katika eneo la Bab-al-Yemen mjini humo huku mamia ya watu wakisadikika kufika katika shule hiyo kupokea michango ambayo ilikuwa takriban $9 (£7) kwa kila mtu.


HAMISA MOBETTO atangaza kuacha muziki, sina siku nyingi, nilikuwa nafanya kujiburudisha tu"

$
0
0

 


HAMISA MOBETTO atangaza kuacha muziki, sina siku nyingi, nilikuwa nafanya kujiburudisha tu"

VIDEO:

Majibizano ya MANGE KIMAMBI na LULU ni mazito, kisa kupima VVU live hali yafikia hapa

$
0
0


 Majibizano ya MANGE KIMAMBI na LULU ni mazito, kisa kupima VVU live hali yafikia hapa

VIDEO:

Dawa Sahihi ya Shinikizo la Damu na Sukari

$
0
0



Dawa Sahihi ya Shinikizo la Damu na Sukari

Isingekuwa shida sisi kama familia tusingemjuwa daktari bingwa BAKONGWA aliyemtibia baba yetu ugonjwa wa sukari ya kupanda na shinikizo la damu ambalo kwa hakika hospitali walitu hakikishia kuwa baba yetu asingeweza kuishi zaidi ya miezi kumi kisha kufariki.

Familia yetu yenye kulelewa na baba aliyekuwa akifanya kazi huko Tanzania Revenue Authority (TRA) haikuzijuwa shida wala njaa kama wengi walivyopitia changamotohaswa kipini cha uongozi wa awamu ya tano ya uraisi.

Hali hii ilibadilika ghafla tulipo pata taarifa za baba kuanguka na kushindwa kufanya majukumu yake ya kila siku huko ofisini kwake mjini dar es salaam.Watoaji wa huduma za kwanza hapo kazini walimpeleka hospitali mara mmoja na kumpa huduma kisha vipimo vilifuata vilivyoonesha kuwa baba anashida ya sukari na shinikizo la damu la muda mrefu.

Haya yote baba aliyajuwa lakini aliyafanya siri akihofia kuwa tungeyajuwa mapema nguzo ya familia ingedondoka, alichokihofia sasa kilikuwa kimefika ugonjwa ule ulimsumbuwa baba kwa muda wa miaka nane bila ya kumfahamisha yeyote pale nyumbani.Madaktari bingwa wa muhimbili walisisitiza kuwa hakuna cha kufanya zadi ya mionzi ya chemo na vidonge baadhi vya kumpa nguvu akingoja miezi hiyo kumi na kufariki.

Tulihangaika sana kubadili madaktari kila kona kwa muda wa miezi saba ikiwa ni miezi mitatu tu imebaki baba atutoke kama walivyosema madaktari lakini bado hatukupata msaada.

Mtumishi mmoja wa serikalini bugando aliiona hofu ya familia yetu kumpoteza baba na kutuambia kuwa tujaribu njia nyingine kwa kuwa hizi za kiofisi tayari zimekuwa na kikomo cha muda.

Alitupatia nambari za whatsapp +243990627777 na tovuti zake pia https://bakongwadoctors.com na kusisitiza tumtafute.Tulifanya hilo mapema sana kwa kuhofia kumpoteza baba na mara tulipompata daktari akatuanzishia dawa iliyomtaka baba atumie siku mbili mfululizo.

Mara baada ya kutumia dawa jambo la ajabu sana tulishangaa kuona baba ameanza kutembea na kurejea kwenye shughuli zake za kila siku.Tunashukuru sana daktari kwa msaada wa kumponya baba yetu mpendwa.


Erling Haaland Awakosha Man City Kwa Huduma yake, Wamwandalia Mtakaba Mwingine Mnono

$
0
0


Erling Haaland Awakosha Man City Kwa Huduma yake, Wamwandalia Mtakaba Mwingine Mnono

Klabu Bingwa nchini England Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya Mshambuliaji Erling Haaland baada ya kuwakosha kwa huduma yake moto katika msimu huu wa kwanza kwenye Ligi Kuu England, imeelezwa.

Man City ilinasa saini ya Haaland kutoka Borussia Dortmund kwa ada ya Pauni 51.2 milioni kwenye dirisha lililopita la uhamisho wa majira ya kiangazi.

Baada ya kuonyesha kiwango bora huko Etihad Pep Guardiola anafikiria kumpa dili jipya, Mkataba wake wa awali ulikuwa na kipengele cha kuvunjika kwa Pauni 150 milioni itakapofika mwakani, lakini hicho kipengele kilifutika baada ya kocha Guardiola kusaini mkataba mpya, Novemba mwaka jana.

Bado haifahamiki kama kwenye dili jipya la Haaland kutakuwa na kipengele cha aina hiyo, lakini Man City wanataka kumpa mkataba mpya ili kuwakata ngebe Real Madrid wanaosumbuka kuhitaji huduma ya straika huyo wa kimataifa wa Norway.

Haaland, 22, ameanza maisha Man City kwa moto kwelikweli, ambapo katika mechi 40 alizocheza amefunga mabao 47.Usiku wa jana Jumatano alikuwa uwanjani Allianz Arena kuitumikia timu yake katika mechi ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Bayern Munich, huku ile ya kwanza Man City ilishinda 3-0, na straika huyo akiwa miongoni mwa waliotikisa nyavu katika mchezo huo uliofanyika uwanjani Etihad.

Atakayepenya katika mchezo huo atakutana na Real Madrid nusu fainali baada ya miamba hiyo ya Hispania kuitupa nje Chelsea kwa mabao 4-0 katika hatua ya Robo Fainali.

Gerald Hando "Nandy Amepunguza Ushawishi Kwa Vijana Baada ya Kuolewa"

$
0
0



Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy.

King Mende @gerladhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na kuzaa mtoto kunaweza kumpunguzia ushawishi kwa Vijana.

"Watumiaji wakubwa wa muziki ni Vijana,sasa pale kijana huyu anapotangaza kuwa anaingia katika ndoa, ana asilimia kubwa za kupunguza 'fanbase',hapa katika Ujana ndipo kuna ushawishi mkubwa sana wa kutengeneza wafuasi,Msanii huyu anapoingia katika ndoa basi Vijana hawa wana uwezekano mkubwa wa kumuona kama sio mwenzao tena" Amesema King Mende

Je hii ndio sababu ya baadhi ya Wasanii kuogopa kuoa Au Kuolewa mapema.

Nini Maoni Yako juu ya hili?

Ushindi Rahisi Ukicheza Kasino ya Mtandaoni

$
0
0


Kutoka nyumba ya mabingwa Meridianbet kasino ya mtandaoni yaja na promosheni nyingine, baada ya kutambulisha Drops &Wins sasa kuna hii ya Spring Mascot inakupa Mgao wa Tsh 2,500,000/= kwa dau la Tsh 500.


Shindano la Spring Mascot linafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27 Aprili kupitia kasino ya mtandaoni ambapo litakupa sababu halisi ya kwa nini Spring ni msimu mzuri zaidi.


Furahia michezo iliyochaguliwa na shindania mgao wako wa TZS 2,500,000. 

JUMLA YA ALAMA inahesabiwa kwa kujumlisha JUMLA YA MIZUNGUKO ILIYOCHEZWA na mchezaji kwenye michezo ifuatayo:


- Fruit Machine x25

- Fruit Vegas

- Fruit Disco: Mega Stacks

- Double-Triple Fruits

- Riot

- Trump Card: Queen

- Fairytale Coven

- Bamboo Bear

- Book of Amaterasu

- The Candy Crush


Wachezaji 10 waliofanikiwa zaidi watagawana TZS 2,500,000 kama ifuatavyo:


Nafasi ya 1 - TZS 750,000

Nafasi ya 2 - TZS 500,000

Nafasi ya 3 - TZS 375,000

Nafasi ya 4 mpaka 10 - TZS 125,000 kila mmoja


Anza safari yako ya kusisismua ya Spring na ufurahie ushindi wako kutoka kasino ya mtandaoni!


Vigezo na Masharti:


Promosheni itadumu kuanzia 21.04. hadi 27.04., jumla ya siku 7.


Promosheni itapatikana tu kwa wachezaji kwenye tovuti na programu ya meridianbet.me, meridianbet.rs, meridianbet.co.tz, meridianbet.pe.


Wakati wa promosheni hii ya kasino ya mtandaoni, wachezaji watashindana katika michezo ya sloti ifuatayo ya Mascot:

Fruit Machine x25, Fruit Vegas, Fruit Disco: Mega Stacks, Double-Triple Fruits, Riot, Trump Card: Queen, Fairytale Coven, Bamboo Bear, Book of Amaterasu & The Candy Crush.


-Dau la chini ni TZS 500.


-Promosheni hii ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet  itahusisha pesa halisi pekee.


-Wachezaji watashindana kwa JUMLA YA MIZUNGUKO ILIYOCHEZWA.


-Wachezaji wanaweza kuangalia nafasi zao kwenye jedwali ambalo litawekwa kila siku ifikapo saa 10:00 jioni.


-Orodha ya mwisho ya washindi itatangazwa tarehe 28.04 


Zawadi ya fedha itawekwa kwenye akaunti ya mchezaji tarehe 28.04. - siku baada ya kumalizika kwa promosheni. Washindi watapewa taarifa.


Meridianbet ina haki ya kubadili au kufuta promosheni hii wakati wowote.


Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.


Mange Kimambi Amfariji Nandy Baada ya Mtangazi wa Wasafi Kusema Hana Ushawishi Kwa Vijana Baada ya Kuolewa

$
0
0

Nandy don’t let them stress you, achana na wasafi, wewe toa hit after hit. Watu wanataka mziki mzuri they don’t care kuhusu kuolewa au kuwa na watoto. Beyoncé ana watoto watatu na mume na bado kabaki kuwa number 1 artist kwa wanawake. Concert za Beyonce zinajaaa young people only na wakati ako in her 40s na anawatoto na mume. Anjelina Jolie ana watoto msururu na kabaki kuwa number 1 actress.
.
Usingeolewa na usingezaaa ungesemwa pia kuwa unazeeka bila kuolewa na kuzaa. We toa hit after hit after hit, watakuelewa tu.
.
Ila ushauri mmoja tu, achana na hii path ya kiki na kujikweza, hii ndio inayokushushia brand kwa sasa. Go back to the African Princess we all used to love, sweet and humble bila mafake life. Watu wamem-miss Nandy yule… Tokea harusi i-trend it’s like unataka uendelee kutrend ndo unajikuta unafanya mambo yanayokushushia hadhi. We fanya mziki mzuri fake life waachie wasaniii wa wasafi. Muige Ali Kiba please, jamaa hajui kujikweza wala kufeki maisha ila yupo juu toka enzi za TANU.
.
We love you mpare. Mi naandika habari zako sababu ya njaa tu ila nakupenda mwaya.

H Baba Amchana Nandy "Ukweli Unauma Ukiolewa na Kuzaa Unapoteza Mvuto Kisanii, Mimi na Florah Mfano"

$
0
0

Pole Sana @officialnandy najua @mwijaku anakuchukia sawa ila @officialbabalevo nimshikaji wako mpaka show zako ulimuita awepo mkawa mnaninanga H.baba wa watu ila Mimi sikumaind nikawazoom tuu wee unamind nini kitu kidooogo unamind ila kunanga wenzio unapenda...

tatizo uamini kama ukizaa nakuolewa unapunguza utamu Kwa mashabiki njoo nikufundishe nakupa mfano hai Mimi na Frolah tulipoteana baada ya Ndoa au chunguza wasanii wanaoishi pamoja wamezaa na kuoana wengi wamepotea ila wanajitutumua tuu maajabu kushnei ...

kikubwa muombe Mungu toa magoma makali twende ila kubali kataa ubora kiutendaji unapungua... Mimi nakuombea mema ila acha ukweli ukae mahala pake... Thibitisha ubora wako Kwa Vitendo Acha Maneno unajua.. wajuze maadui zako Kwa Vitendo si Kwa maneno unajua unaweza WASAFI wanakupenda sio maadui zako ila ukweli unauma......

(Msemakweli) H.babababababababaaaa

Rais Samia Afanya Uteuzi Huu

$
0
0

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kwa kuwateua washauri wawili wa Rais katika masuala ya sheria na mabadiliko ya tabianchi na mazingira.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu leo Ijumaa, Rais Samia amemteua Jaji George Masaju kuwa mshauri wa Rais katika masuala ya sheria.

Jaji Masaju ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Uteuzi huu umeanza Aprili 20, 2023.

Pia Rais Samia amemteua Dk Richard Muyungi kuwa Mshauri wa Rais katika masuala ya mabadiliko ya tabianchi na mazingira.

Kabla ya uteuzi huo Dk Muyungi alikuwa Meneja wa Mazingira katika Shirika la Umeme (Tanesco). Uteuzi huu umeanza Aprili 19, 2023.

Aishi Manula Achafua Hali ya Hewa Simba, Ondolewa Mechi ya Leo

$
0
0


Rasmi Mlinda Lango chaguo la kwanza wa Simba SC, Aishi Manula ameondolewa katika mipango ya mechi za hatua ya Robo Fainali ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutokana na afya yake kutokuwa imara, imefahamika.

Simba SC inatarajia kuikaribisha Wydad Casablanca kutoka Morocco katika mechi ya kwanza ya hatua ya Robo Fainali Afrika itakayochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es salaam.

Manula aliumia nyonga katika mechi ya Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ iliyochezwa juma lililopita dhidi ya Ihefu ya Mbeya na kupelekea mchezo uliofuata, timu hizo zikikutana tena kwenye Uwanja wa Highland Estates siku tatu baadaye, kipa chaguo la tatu, Ally Salim, alisimama langoni.

Taarifa zilizopatikana jijini zinasema Manula hayuko kambini na amepewa mapumziko ya muda wa wiki mbili ili kuuguza maumivu yake.

“Manula hayuko kambini, na kama maumivu yake yataendelea, basi atafanyiwa upasuaji, kwa sasa amepewa ruhusa ya wiki mbili,” kilisema chanzo chetu.

Chanzo hicho kiliongeza Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Olivieira Robertinho’ juzi jioni alifanya kikao na wachezaji wakongwe wa timu hiyo ili kuweka sawa sintofahamu iliyopo kuhusu nani atasimama langoni baada ya Beno Kakolanya ambaye inadaiwa haaminiki mbele ya mabosi wa klabu hiyo baada ya kubainika amesajiliwa na Singida Big Stars kwa ajili ya msimu ujao.

Chanzo chetu kilisema Kakolanya na Salim wameendelea kufanya mazoezi vizuri kwa ajili ya kuwakabili Waarabu hao nyumbani na ugenini baada ya wiki moja.

Hata hivyo Kakolanya amesema anaendelea vyema na mazoezi na siku zote amekuwa akiheshimu uamuzi wa benchi la ufundi ambalo huamua nani anaaanza katika kila mchezo.

“Mimi ninafanya mazoezi kama kawaida, ila mpaka muda huu (jana mchana), sijui nani atadaka hiyo Jumamosi, tusubiri wakubwa,” amesema Kakolanya

Naye Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu, amesema klabu yao inafahamu ubora wa Wydad Casablanca na ili kufikia malengo, watalazimika kuongeza umakini kuelekea mchezo huo.

Mangungu amesema ukaribu na urafiki waliokuwa nao na Raja Casablanca umewasaidia kuelekea mchezo huo muhimu na umewaongezea hali ya kujiamini.

“Viongozi kwa kushirikiana na benchi la ufundi tunahakikisha maandalizi yanakwenda vyema, kila idara inatakeleza majukumu hasa ya kimbinu na kiufundi, mipango yetu ni mizuri tangu mwanzo, tunaamini tutapata matokeo chanya, wachezaji wanautayari na wanauzoefu mkubwa kuelekea mashindnao haya, hatuna cha kuogopa,” amesema Mangungu.

Wakati huo huo, mshambuliaji wa Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Simon Msuva, amewaambia Simba wasicheze mpira wa kufanana na Wydad kama wanataka kupata ushindi.

“Simba wanatakiwa kuwa makini nyumbani na kutoingia katika mfumo wa Wydad Casablanca, hii timu imekuwa ikipoteza muda uwanjani na kutafuta sare hasa wakiwa ugenini. Najua kwa kiasi fulani tabia ya timu za Kiarabu ni wajanja, huwa hawatumii nguvu kubwa ugenini,” alisema Msuva.

Kikosi cha Wydad Casablanca kilishawasili nchini tangu juzi kwa ajili ya mchezo huo wa kwanza wa hatua ya Robo Fainali.

Msuva aliwahi kuichezea Wydad Casablanca katika msimu wa 2020/22 kabla ya kutofautiana na klabu hiyo na sasa anacheza soka la kulipwa Saudi Arabia.

Huu Mwaka Ndio Mwisho wa Dunia Ulivyotabiriwa na Isaac Newton

$
0
0

Mwanafizikia na mwanahisabati maarufu,Isaac Newton alitabiri kwamba ulimwengu ungefikia mwisho mwaka wa 2060, kulingana na hati iliyogunduliwa hivi karibuni iliyoandikwa mnamo mwaka 1704.

Maandishi yake hayo yamelenga mambo saba yanayoonyesha kama sababu ya dunia kufikia mwisho 2060, ikiwa ni pamoja na uwepo wa matukio fulani ya kinabii na urefu wa vipindi mbalimbali vya wakati vinavyotajwa katika Biblia.

Aliamini kwamba mwisho wa dunia ungetokea miaka ya 2060 baada ya kuanzishwa kwa Dola Takatifu ya Kirumi mwaka 800 AD, ndivyo alivyofikia hisabu zake mwaka wa 2060.

Imeandikwa na @fumo255

Vipo vyanzo vingi vya mvi lkn baadhi ni KUCHOKA KWA HOMONI, Dawa Kali, UMRI, KURITHI N.K

$
0
0

Vipo vyanzo vingi vya mvi lkn baadhi ni KUCHOKA KWA HOMONI, DAWA KALI, UMRI, KURITHI N.K

Wengi wanasumbuliwa na mvi na sasa tumeleta suruhisho. Dawa hii ni ya kupaka kwenye ngozi ya sehem zote zenye mvi na zinaondoka moja kwa moja.
BIGEN inasambazwa na NATURAL BEAUTY CO L.T.D kote duniani @240,000/= tu

KUMBUKA matokeo ni uhakika na GARANTII

PIA TUNATIBU:-

*Kukosa hamu ya TENDO
*Uume mdogo
*Kushindwa kurudia TENDO
*Kushindwa kutungisha mimba
*Uume kusimama legelege

>WENICK CAPSULES (270,000/=)
Vidonge vya kuongeza uume, nguvu, na kuimarisha misuri

>GIN SENG (240,000/=)
Hii huongeza ham ya tendo, nguvu na uwezo wa kurudia tendo la ndoa

>MAX MAN GEL (240,000/=)
Hii huongeza urefu na upana wa uume (wiki 2)

>VIGA SPRAY (180,000/=)
Hii huchelewesha kumaliza tendo

WEKA ODA KWA:-
Call/Whatsapp no (+255)

0759029968
0659618585

TAHADHARI:- Hakikisha unapatiwa risiti yenye mhuri na GARANTII ili kuepuka bidhaa feki mitandaoni

Follow us, IG, Y/TUBE ACC
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod

#ViRxTz
#NguvuZaKiumeTz
#BidhaaTz
#WenickTz

NATURAL BEAUTY CO
HOUSE OF BEAUTY

Kikosi cha Simba vs Wydad AC Mechi ya Leo 22 April Kwa Mkapa

$
0
0
Kikosi cha Simba vs Wydad AC Mechi ya Leo 22 April Kwa Mkapa


Kikosi cha Simba vs Wydad AC Mechi ya Leo 22 April Kwa Mkapa

Ally Salim

Shomari Kapombe

Mohammed Hussein

Joash Onyango

Hennock Inonga

Erasto Nyoni

Clatous Chama

Mzamiru Yassin

Jean Baleke

Saido Ntibanzokiza

Kibu Denis


Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, Ramadhani Mbwaduke amesema kuwa Simba SC wanayo nafasi ya kushinda katika mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad AC.

Mbwaduke amesema kuwa hayo yanawezekana iwapo kocha wa Simba SC, Robertinho atafanya homework yake vizuri kwa Wydad kwani mbinu wanayotumia ni kama anayotumia Kocha Nabi wa Yanga ambaye wikiendi iliyopita Simba walimfunga bao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

“Wydad ambao Simba wanakwenda kukutana nao, mfumo wao wa jumla ni 4-2-3-1, huu ndio mfumo anaopenda kuutumia hata Kocha Nabi wa Yanga hata kwenye dabi alipanga hivyo, kwa mfumo huo, kipa ndio anaanzia kujenga mashambulizi.

“Simba SC wanapokwenda kucheza na Wydad, asilimia kubwa wanakwenda kuboresha kile walichokifanya kwa Yanga. Simba wakabie juu, kuwanyima pumzi mabeki wao. Angalizo kwa Simba ni kwamba, wachezaji wengi wa Wydad ni wazoefu lakini umri umeenda kidogo lakini haimaanishi hawana uwezo.

“Viungo wa kati wa Wydad umri wao ni mkubwa, kwa hiyo Simba wanaweza kucheza na hilo eneo waka-press mipira kwa kasi, wanaweza kuambulia kitu.

“Wakichukua kopi ya walichokifanya kwa Yanga mfano Simba wakapata mabao mawili, wapaki basi kisha wanapiga counter attack mkienda kwao mnashikilia bomba. Simba wanaweza kutumia pia mchezo wa kwanza wa Wydad dhidi ya JS Karbilie ambapo Wydad alifungwa bao moja, kuna kitu watajifunza udhaifu wa hawa Waarabu wakiwa ugenini.

“Unapocheza na Wydad ambaye yupo nafasi ya pili kwenye ubora CAF, Simba nafasi ya nane, lazima Simba amheshimu Wydad, wale wanamzidi kila kitu kuanzia uwekezaji, mafanikio lakini kwenye soka lolote linaweza kutokea, uwezo huo wanao, wakichukulia poa itakuwa shida,” amesema Bwaduke.

Pesa Nyingi Kutolewa na Meridianbet Wikendi Hii

$
0
0

 

Ligi mbalimbali Duniani kuendelea wikendi hii huku kila timu ikihitaji kusaka pointi 3 muhimu ili kusalia kwenye ligi, wengine wakipambania Ubingwa na wengine wakipambani kusalia kwenye ligi. EPL, Bundesliga, NBC, Serie A, Laliga Ligue 1 hizo ni zile kubwa duniani lakini pia kuna zingine kutoka nchini mbalimbali zitapigwa.

 

EPL itatimua vumbi viwanja mbalimbali, Newcastle baada ya kupokea kipondo mechi yake iliyopita anakutana na Tottenham Spurs huku timu zote mbili zikigombea nafasi ya 4 wacheze ligi ya Mabingwa. Tofauti ya pointi kati ya timu hizi mbili ni tatu japokuwa Spurs anaongoza mchezo mmoja.Naye Liverpool baada ya kutoa dozi nzito mchezo wake uliopita atakuwa Anfield kusaka pointi zingine tatu dhidi ya Nottingham Forest, sio hao tuu kuna mechi nyingine ya kukata na shoka Brentford dhidi ya Aston Villa tofauti ya pointi kati yao ni 7 pekee. Suka jamvi lako hapa Meridianbet sasa.


Laliga hapatapoa, Real Madrid atakuwa Santiago Bernabeu kukiwasha dhidi ya Celta vigo aliyepo nafasi ya 12. Nani unampa nafasi ya kuondoka na pointi 3? Kinara wa ligi FC Barcelona atakiwasha dhidi ya Atletico Madrid, huku Sevilla yeye akikipiga dhidi ya Villa real nani kuondoka na ubabe? Ingia Meridianbet na ubashiri mechi zako za kibabe hapa.

 

Kule Bundesliga nako mambo ni moto sana timu mbili zinachuana kuwania ubingwa, Dortmund na Bayern nani kuongoza ligi wiki hii? Dortmund atakuwa nyumbani kumwalika Eintracht Frankfurt, huku Bayern ambaye ametoka kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Mainza 05. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Bingwa mtetez akiwa na ODDS ya 1.57 wakati mwenyeji akiwa na ODDS ya 5.09 wewe pesa yako unaiweka wapi? Beti sasa na Mabingwa. 

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii hapa.

 

 

 

Serie A, Napoli baada ya kuaga mashindano makubwa barani Ulaya UCL watakipiga dhidi ya Juventus ambao wao wameingia hatua ya Nusu Fainali ya Europa Ligi. Je hasira zao wazimalizia hapo na ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho Bibi Kizee wa Turin alipasuka vibaya sana. Inter nao baada ya kupoteza mchezo wake wa mwisho wa ligi watakuwa ugenini dhidi ya Empoli. Meridianbet Chagua Tukupe.

 Ligue 1 vita itakuwa ni kati ya Auxerre ambaye atakuwa nyumbani kumkaribisha Lille akikumbukia mara ya mwisho walipokutana lichapika vibaya sana. Atafanya nini kupata pointi tatu?. Lens aliyepo nafasi ya 3 atacheza dhidi ya Monaco aliyepo nafasi ya 4, mwenyeji mechi ya mwisho amepoteza wakati mgeni akiwa ametoka kupata ushindi. ODDS KUBWA zipo Meridianbet ingia na ucheze sasa. Mechi ningine ya kibabe kabisa ligi kuu ya Ufaransa ni kati ya Lyon na Marseille nani kupasuka mechi hii? Bashiri sasa. Kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.

 

Haiishii hapo tu, Ile michuano ya Kombe la FA pale Uingereza itarindima wikendi hii Manchester City atamkaribisha Shieffield United nyumbani kwake huku vijana hao wa Pep Guardiola wakihitaji Kombe hili. Siku ya Jumapili Manchester United baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Europa atamenyana dhidi ya Brighton huku nae akihitaji zaidi Kombe hili. Meridianbet wana machaguo zaidi ya 1000.

 NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE



Simba: Wydad Wagumu, Lakini Hawatoki Kwa Mkapa Robo Fainali Ya Ligi Ya Mabingwa

$
0
0

 

Simba: Wydad Wagumu, Lakini Hawatoki Kwa Mkapa Robo Fainali Ya Ligi Ya Mabingwa

 Simba: Wydad Wagumu, Lakini Hawatoki Kwa Mkapa Robo Fainali Ya Ligi Ya Mabingwa


KUELEKEA mchezo wao wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa kesho Jumamosi dhidi ya Wydad Casablanca, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally umekiri watakutana na timu ngumi lakini amechimba mkwara mzito kuwa Simba itashinda mchezo huo.


Simba ambao ni wawakilishi wa Tanzania kweye Ligi ya Mabingwa Afrika, kesho Jumamosi wanatarajiwa kuwa wenyeji wa mabingwa watetezi wa mashindano hayo Wydad Casablanca kutokea Morocco, mchezo ambao unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.


Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na ari kubwa ya ushindi baada ya Jumapili iliyopita kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mtani wao Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa.


Akizungumza na Championi Ijumaa, Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally alisema: “Ni wazi tunatarajia mchezo mgumu sana kutokana na ubora wa wapinzani wetu, hii ni timu kubwa Afrika na ndio mabingwa watetezi hivyo ni wazi tunawaheshimu sana.


“Lakini ikumbukwe hapa wamekuja kwenye himaya yetu na kwenye kiwanja ambacho mengi ambayo yalikuwa yakioneaka hayawezekani yalifanikiwa, hivyo tumejipanga kuhakikisha Wydad hawatoki kwa Mkapa.”

Maambukizi Ugonjwa wa Malaria yapungua nchini

$
0
0

 


Kaimu Meneja wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti na Kutokomeza Malaria Dkt. Abdalah Losasi amesema kiwango cha maambukizi ya malaria kimepungua nchini na kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2022 ikilinganishwa na mwaka 2008 ilipokuwa asilimia 18.1.


Dkt. Losasi ameyasema hayo nakuongeza kuwa vifo vitokanavyo na malaria vimeshuka kwa asilimia 76 kutoka vifo 6,311 vya mwaka 2015 hadi vifo 1,502 kwa mwaka 2022 huku waliothibitishwa kuwa na malaria wakipungua kutoka watu milioni 7.7 kwa mwaka 2015 hadi watu milioni 3.5 kwa mwaka 2022.


Amesema, awali ni mikoa sita pekee iliyofanikisha kushusha kiwango cha malaria na kwasasa mikoa mitatu ya Dar es Salaam, Mwanza na Songwe imefanya idadi kufikia tisa huku maeneo ya Vijijini yakiwa na maambukizi kwa asilimia 10.7 ilikinganishwa na maeneo ya mjini yenye asilimia 0.7.


Hata hivyo, amebainisha kuwa watu wenye hali duni ya maisha wamekuwa wakikumbwa zaidi na ugonjwa wa malaria kwa asilimia 14.5 huku watu wanaoishi katika makazi bora wakiwa na maambukizi kwa asilimia 0.6.

Kuelekea Mechi ya Leo...Rungu la CAF Laipa Ahueni Simba SC...Mfungaji wa Wydad Azuiwa

$
0
0

 


HII ni habari njema kwa Simba SC kwamba wapinzani wao Wydad Casablanca ambao tayari wapo Dar es Salaam watakosa huduma ya mshambuliaji wao matata , Bouly Junior ambaye ana kadi tatu za njano. Atakuwa jukwaani tu akifuatilia mechi ya  leo Jumamosi jioni.

Kukosekana kwa Junior bila shaka ni habari njema kwao kwa sababu mshambuliaji huyo ndiye kinara wa kuweka wavuni katika kikosi chao akifunga mabao matatu hadi sasa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ingawa kiufundi timu hiyo ina mastaa wengi wazoefu wa michuano hiyo.

Wydad imefunga jumla ya mabao sita huku Junior akifunga mabao matatu peke yake kama mshambuliaji. Junior pengo lake ni kubwa kwenye kikosi cha Wydad kwa sababu mshambuliaji mwingine aliyefunga kwenye Ligi ya Mabingwa ni Zouhair El Moutaraj ambaye ana bao moja huku beki Arsene Zola na kiungo mkabaji Yahya Jabrane wakifunga bao moja moja .

Wydad ambayo inatumia mfumo wa 4-2-3-1 ni wazi kukosekana kwa Junior kutampa fursa Moutaraj nafasi ya kuanza katika mchezo wa Simba kwani alikuwa ni mchezaji wa kutokea benchi huku Junior akianza, ingawa staa wa Tanzania, Simon Msuva amesisitiza kwamba Simba wawe makini timu hiyo itacheza kwa kujilinda na kupoteza muda.

Junior ameonyesha ukali wa kutupia wavuni kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa kundi A akimaliza na mabao matatu huku kati yake mawili akifunga kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya JS Kabylie wakati timu yake ikishinda 3-0.

Moutaraj ambaye anapewa nafasi ya kuanza kwenye mchezo na Simba SC, aliingia akichukua nafasi ya Junior na dakika ya 87 alifunga bao huku timu yake ikishinda 3-0 na kwake likiwa ni bao la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wydad ikitumia mfumo wa mshambuliaji mmoja Junior anasimama mbele peke yake (mfumo wa 4-2-3-1) lakini wanapocheza mfumo wa 4-4-2 basi husimama na Ayman El Hassouni.

Wakati Junior akikosekana kwa Wydad, Simba SC kwao ni furaha kwani kinara wao wa mabao, Clatous Chama aliyefunga manne yupo fiti asilimia zote kwa ajili ya mchezo huo.

Simba inaingia katika mechi hiyo huku ikiwa na wachezaji wengi waliohusika na mabao tofauti na Wydad kwa sababu yupo Jean Baleke ambaye na yeye ana mabao manne.

Kampeni za Uchaguzi Ziliniacha na Makovu

$
0
0


Mwaka 2020 ulinikuta nikiwa nimejiandaa kugombea udiwani katika kata yangu. Niliishi vizuri na watu na nilishiriki kwenye shughuli nyingi za kijamii hivyo nilishajua kuwa nisingekataliwa katika ombi langu. Watu wazima waliniunga mkono. Vijana walikuwa wakipita nyumbani wakawa wananiita mheshimiwa kabla hata ya uchaguzi wenyewe. 

Hailuwa ngumu tena kwangu kwa upendo ule nilioupokea kutoka kwa kila rika na kundi la watu hapo kwenye kata yetu.Kamati yangu ya kampeni haikuwa kubwa wala yenye gharama sana ilikuwa ni ya vijana kadhaa na wazee waliojitolea.

Wapinzani wenzangu hawakuwa na ushindani mkubwa kwangu kwakuwa hawakuwa wazawa na pia hawakuwa na jina kama vile mimi nilivyokuwa nimejitengenezea hapo awali.

Siku ya mwisho ya kujinadi, nilishtuka niliponyanyuka kitandani na kukuta nimevimba mdomo na  nilipojaribu kuushika nikakuta umeelemea upande wa kushoto. Kwa kuwa sikukaa kizembe nilimtafuta rafiki yangu wa kipindi kirefu daktari BAKONGWA ambaye nilisoma naye shule ya msingi na kumuandikia ujumbe mfupi wa WhatsApp. 

Hailkuwa ngumu sana kwangu kumpata aktari k, tayari nilikuwa nina mazoea naye ya muda mrefu sana sikuhitaji kumtafuta kupitia tovuit http://bakongwadoctors.com , nilinyanyua simu na kupiga nambari za whatsapp +243990627777.

Daktari hakushangazwa na hali ile lakini alinikanya na kunisisitiza kuwa nilikosea sana pale nilipoonesha nia ya mimi kugombea uongozi pasipo kumshirikisha na kuniambia kuwa haya ndiyo yake yaliyotengenezwa na wapinzani wangu katika kipindi hicho chote cha kampeni.  

Nilitumia dawa aliyonipatia na baada ya masaa arobaini na nane nikaamka nikiwa salama na kuendeleza kampeni zangu, asante sana daktari kwa msaada.


Sakata Mtoto Aliyezaliwa Kugeuka Kuwa Jiwe..Uchunguzi Wabainisha Haya

$
0
0

Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt.Khalfany Haule amesema taarifa ya uchunguzi iliyofanywa kuhusu sakata la Mtoto kugeuka jiwe Musoma imethibitisha bila shaka kuwa hakuna aliyezaa jiwe wala hakuna Mtoto aliyegeuka jiwe bali Amina Abdallah aliyemuahidi kumzalia Hamis Mtoto wa kiume kisha akamzalia wa kike aliamua kuokota jiwe na kulipeleka kwa Wakwe na kuzusha alizaa Mapacha lakini Mtoto wa kiume amegeuka jiwe huku akitaka lizikwe haraka kuondoa mikosi.

DC Haule amesema “Amina Mkazi wa Katoro Chato alihamia kijiji cha Mwabuki Bariadi akiuza pombe za kienyeji, kuhudumia vinywaji Bar na uhudumu wa Gesti, tarehe 27/3/2023 alijifungua Mtoto wa kike Zahanati ya Mwabuki akiwa ni Mtoto wake wa tatu aliozaa na wanaume tofauti (Kila Mtoto na Baba yake), Mtoto huyu alizaa na Hamisi mwenye Makazi yake Mungaranjabo, Buhare hapa Musoma, Amina alimuahidi kumzalia Mtoto wa kiume Hamisi lakini kwa bahati mbaya Mtoto aliyezaliwa alikuwa wa kike”

“Hamisi yupo Dar na alituma nauli ili Watoto wapelekwe kwa Bibi yao Buhare Musoma, Amina alianza safari April 13,2023 akapanda basi akiwa na jiwe alilolichukua kwenye mawe ya ujenzi wa nyumba ya Mzee Mirembe wa Mwabuki alikokuwa anaishi, alifika Musoma saa 3 usiku na kupokelewa na Wenyeji wake na kuzusha Mtoto wake pacha aitwaye Amiri ameguka jiwe na kutaka azikwe usiku huohuo ili kuondoa mikosi”

“Kamati imejiridhisha kuwa Amina alikuwa na makubaliano na Hamisi ya kumzalia Mtoto wa kiume tangu mwanzo wa mahusiano yao hivyo Hamisi akaendelea kulea mimba akitarajia Mtoto wa kiume, baada ya kujifungua Mtoto wa kike, Amina aliendelea kumwaminisha Hamisi kuwa amejifungua pacha wa kike na kiume, pia hali duni ya maisha ya Amina kuhudumia Familia ya Watoto watatu ilichangia kusema uongo huo, hakuna Mtoto aliyegeuka jiwe, Wananchi msiamini miujiza”
Viewing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>