Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 109519 articles
Browse latest View live

Yanga Washindwe wao Mchezo wa Kesho, Kitakwimu Wapo Mbele

$
0
0

KESHO Jumapili Yanga watakuwa uwanjani nchini Nigeria kuhakikisha kuwa wanaendelea kuitetea heshima yao wakati watakapokuwa wakivaana na Rivers United kwenye mchezo mgumu.

Huu utakuwa mchezo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na utakuwa ni muhimu kwa ajili ya kuweka heshima kwa timu zote mbili ambazo hazina rekodi yoyote kubwa kwenye michuano hii.

Katika timu zote nane ambazo zimetinga kwenye hatua hii, Yanga pamoja na timu nyingine sita hazina rekodi kubwa ikiwa ni tofauti na Pyramids na FA Rabat ambao wamewahi kuchukua ubingwa huu mara moja.

Kwenye michuano ya msimu huu timu nyingi ambazo ni vigogo kwenye Kombe la Shirikisho aidha zilitolewa kwenye hatua ya awali au zipo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Vinara ambao wanaongoza kwa kutwaa ubingwa huu CS Sfaxien ambao wameshatwaa mara tatu, hawapo kwenye hatua hii, lakini pia mabingwa watetezi Berkane ambao wameshatwaa ubingwa huu mara mbili hawapo hapa.

Hali hii inafanya michuano hii msimu huu kuwa wazi na timu yoyote ambayo inaweza kuchanga karata zake vizuri inaweza kufanikiwa kutwaa ubingwa huo na kujishindia kitita cha shilingi bilioni 2 na zaidi.

Rivers vs Yanga

Huu ni mchezo ambao kwa mashabiki wa soka hapa nchini wanausubiri kwa hamu kubwa kutokana na mwenendo wa Yanga kwa sasa kwenye ligi na michuano ya kimataifa.

Yanga baada ya kupangwa na Rivers ya Nigeria ambayo ilifuzu ikiwa imeshika nafasi ya pili kwenye Kundi B chini ya Asec Mimosas.


Kitakwimu Yanga wanaonekana kuwazidi Rivers kwenye sehemu kadhaa kubwa, jambo ambalo linaongeza hali ya hamasa kwenye timu hiyo, katika michezo sita ya hatua ya makundi Yanga wakiongoza Kundi D mbele ya Monastir walifanikiwa kukusanya pointi 13 zikiwa ni tatu mbele ya Rivers lakini timu zote zikafunga mabao tisa.

Yanga walionekana kuwa juu ya Rivers kwenye safu yao ya ulinzi ambapo wao waliruhusu nyavu zao kutikiswa mara nne tu na Rivers wakifungwa mabao saba, tofauti hii inaonyesha kuwa Yanga wanaweza kupata mabao mengi kwenye mchezo huu lakini wakati huohuo wanaweza kuruhusu mabao machache tofauti na Rivers.

Katika michezo mitano ya mwisho iliyopita, Rivers wamefanikiwa kushinda mchezo mmoja tu, wakitoka sare miwili na kufungwa miwili lakini kwenye michezo hiyo wameruhusu mabao matano nao wamefunga mabao manne hali ambayo inaonyesha udhaifu wao kwenye maeneo yote mawili, ulinzi na ushambuliaji.


Kwa upande wa Yanga mambo yanaonekana kuwa tofauti huku takwimu zikiwabeba kwenye mchezo huu baada ya kufanikiwa kupata ushindi kwenye michezo yote mitano ya mwisho, wakiwa wamefanikiwa kufunga mabao 13 lakini kuonyesha kuwa wameendelea kuimarika kwenye eneo la ulinzi wameruhusu bao moja tu, kwa hapa nchini wakiweka rekodi ya kushinda michezo 12 mfululizo.

Hii inaonyesha utofauti mkubwa uliopo kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi kati ya Yanga na Rivers kwenye mchezo utakaopigwa Jumapili saa 1:00 kwenye Uwanja wa Yakubu Gowon nchini Nigeria.

Hata hivyo, bado pia kuna tofauti kubwa kwenye timu hizo kwenye upande wa thamani ya vikosi ambapo mtandao maarufu wa Transfer Market, unaonyesha kuwa kikosi cha Yanga kina thamani ya bilioni 5, lakini upande wa Rivers mambo ni tofauti ikionekana kuwa timu changa kwenye michuano ya kimataifa na ndiyo timu ambayo inatajwa na mtandao huo kuwa ina thamani ya chini zaidi kwenye hatua hii ikiwa na ukwasi wa milioni 580.

Kwenye upande wa chati ya wafungaji, wakati Yanga wakiwa na Fiston Mayele akiwa na mabao matatu kwenye michezo sita, wenyewe watakuwa na kazi ngumu ya kuhakikisha wanamzuia mshambuliaji wa Rivers, Paul Acquah ambaye ameshafunga mabao manne kwenye michuano hiyo hadi sasa.

Kwenye wastani wa umri kwa timu hizo zote ni miaka 26, zikionekana kuwa kwenye wakati sahihi wa mapambano huku Rivers wakiwa na wachezaji nane kutoka nje ya Nigeria na Yanga wakiwa na wachezaji 13 ambao wamesajiliwa kwenye michuano ya kimataifa kutoka nje ya Tanzania.

Ukiachana na mchezo huu wa River na Yanga, inaonekana kuwa kama Yanga wakipita kwenye hatua hii wanaweza kuwa na wakati mgumu kama watavaana na Pyramids au FAR Rabat ambazo zinaonekana kuwa na historia kubwa kwenye michuano hii.

Kwa timu zilizopo, Rabat wanaonekana kuwa kinara wakiwa walitwaa ubingwa huo mara moja mwaka 2005 na kufika fainali mara moja mwaka 2006 Wakiwa wanafuatiwa na Pyramids ambao walifanikiwa kufika fainali mara moja mwaka jana.

Timu zinazoongoza kuchukua Kombe la Shirikisho

CS Sfaxien 3

Étoile du Sahel 2

Berkane 2

TP Mazembe 2

Raja Casablanca 2

Nchi zinazoongoza kuchukua ubingwa

Morocco 7

Tunisia 5

Congo 2

Misri 2.

Mafuta ya Kuvuta Pesa za Majini au Jini wa Utajiri (Money Drawing Oil?)

$
0
0



Haya ni mafuta Mapya kutoka Katika Maktaba kuu inayoshughulika kutengeneza Vifaa mbalimbali vya Nguvu za Asili na Za Kimiujiza vyenye uwezo mkubwa wa kumsaidia Binadamu kufikia malengo yake yawe Hasi ama Chanya

Wanaitwa Lord's Divine wanapatikana Katika Maktaba Kuu ya Nguvu za Asili

Kazi ya mafuta haya ni Nyingi ila Nitaanisha baadhi kwa Uchache..

👉kuwa na uwezo wa kuvuta Pesa kwa wingi na hivyo kuweza kukupatia Utajiri kwa haraka

👉Kukufanya uwe MVUTO na BAHATI kubwa sana ktk kila jambo lako utakalofanya linafanikiwa

👉Kukufanya uwe na mvuto na heshima kubwa katika Kazi, Kwa Wachungaji, Wanasiasa, Wasanii, au Mtu yoyote Maarufu

Kwa wanayoyafahamu wanajua faida zake. Haya ni mafuta yanayotumiwa sana katika kuvuta pesa za majini ama kuita Jini wa Utajiri. Ni mafuta yenye kazi nyingi za umuhimu na kimaendeleo, shida ni kwamba hayapatikani kiurahisi sana kwa ajili ya umuhimu wake na mafanikio yake..

MATUMIZI YAKE KWA WALE WANAOTAKA PESA ZA MAJINI :

Andaa Chumba ( Kisiwe na Vitu Vingi)Tafuta kitambaa cheupe mita moja kitandike katikati ya sakafu ndani ya chumba, kisha nyunyuzia Poda katika kitambaa chote.
Chukua Noti ya Pesa ya nchi yoyote iweke katikati ya kitambaa hicho
Dondosha tone moja la mafuta ya Shantar
Washa mshumaa warangi ya njano mbele ya kitambaa hicho.
Nuwia ukitakacho takribani dakika 10 kisha Toka Nje Kisha Baada ya.... KWA MAELEKEZO YA ZAIDI TAFADHALI TUWASILIANE

Pia Dr Juma Ramadhani Anatoa LIMBWATA -- MRUDISHE MPENZI WAKO NDANI YA MASAA 6 TU
NGUVU ZA KIUME
Zindiko ya Nyumba/ Kinga ya Mwili
Hurudisha Mali zilizopotea au Kutapeliwa(Nyumba, Viwanja Gari Pesa nk.
Magonjwa Sugu, Kisukari, UTI sugu, Miguu Kufa Ganzi...
Njoo Umuone Dr Juma Ramadhani na Ujue yanayo Kusibu... Tiba Ni Kwa Dini na Imani Zote..
Kwa mahaitaji ya mafuta haya WhatsApp No +255 743 746 397

Haji Manara Amchana Nandy "Kama Hutaki Kusemwa Rudi Kijijini Ukalime Viazi"

$
0
0

Ameandika @hajismanara :

Nandy mdogo wangu,Shem wangu na Rafiki yangu jana Umeniangusha sana na Sitegemei urudie tena kulalamika na kulia kisa umesemwa!!

Utaachaje kusemwa Wakati wewe ni Super Star? Nani alikuwa anakusema ulipokuwa kwenu Upareni Sijui uchagani, unasemwa Kwa kuwa wewe ni Maarufu na Celebrity, unasemwa Kwa kuwa ni @officialnandy na sio Nandela.otherwise ungebaki kijijini uchemshe viazi kama unesemwa na Mtu

unasemwa kwa kuwa una kitu, ungetaka usisemwe ungebaki raia wa kawaida mtaani, us longer as umechagua maisha uliyonayo sasa lazma usemwe utake usitake, na Waja hawapangiwi la kusema, WAACHE ni haki yao Coz ww ni Nandy.

@diamondplatnumz kasemwe mangapi, kafa? Kaathirika na nini zaidi ya kukuza jina lake na kuendelea kuwa Star? Amesemwa hadi na aliowasaidia na kuwapa maisha, kimepungua nini kwake?

Wewe unasemwa kuliko mimi ? Lipo kundi likilala likiamka ni Haji tu, wamenipunguzia nini zaidi ya kuonyesha How HAJI is BIG ?

Yupo dada anajiita wa Taifa, ishapita wiki bila kuandika Jambo kuhusu mimi ? Mara nimechafua hali ya hewa mara nimempiga Mke wangu,mara mimi muhuni nakaza hovyo mademu,, kapata nini ? Nini kimeniathiri katika porojo zake za kutafuta Rizki? Sanasana anakuza my brand.

Unawezaje kuchukuia kusemwa au kuwapangia Walimwengu matumizi ya mdomo wao? Tumechagua wenyew life hz za umaarufu,hatuna haki ya kuwazuia midomo yao,,tena haifai kuwalazimisha watuseme kwa mazuri tu,,waacheni waseme na waseme na waseme,, c tumetaka wenyew kuwa brand?

Juzi ulisemwa kuhusu handbag yako , ukajbu vzuri kabisa nani alionekana mjinga baina yako na dada feki wa Taifa alikokimbia ?

Yes, Mengine yajibu lakini mengi potezea na hiyo ndio raha na karaha ya kuwa maarufu na star

Hope next time ukisemwa tena utafanya na Party ya kufurahia ukubwa wako,hapana kulia na usihuzunike, Ndegelec.

Matokeo ya Simba na Wydad Leo 22 April

$
0
0



KLABU ya Simba imefanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 mbele ya Wydad Cassablanca katika mchezo wa kwanza wa robo fainali Klabu Bingwa Afrika.

Mchezo huo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam tumeshuhudia kandanda safi kutoka kwa wenyeji Simba sc ambao walitawala mchezo na kufanikiwa kupata bao la kuongoza kupitia kwa mshambuliaji wao raia wa DR Congo Jean Baleke akipokea pasi kutoka kwa Kibu Dennis kipindi cha kwanza.

Mpaka mapumziko Simba Sc ilikuwa mbele kwa bao moja ambalo walililinda mpaka dakika 90 na mpira kumalizika waki mbele kwa 1-0 hivyo kusubiri mechi ya marudiano ambayo itapigwa kwenye mji wa Wydad juma lijalo nchini Morocco.

Simba Sc ilianza na wacheza ambao walianza katika mechi ya wikiendi iliyopita dhidi ya watani wao wa jadi Yanga na kufanikiwa kupata ushindi.

JE, Una Uume Mdogo, Unakosa Hamu ya Tendo au Unaupungufu wa Nguvu za Kiume?

$
0
0


IMEWASILIII!!.
Baada ya wengi kuiulizia kwa muda mrefu, sasa imewasili.

VigRX PLUS CAPSULES ni vidonge bora kabisa vya kuongeza UUME na NGUVU hata kwa walio na tatizo la kisukari, presha na walioathiriwa kwa kujichua. Dawa hii imeboreshwa zaidi na matokeo unaanza kuyaona siku unapoanza tu kutumia.

Vidonge hivi vimetengenezwa kwa mimea na matunda na havina madhara yoyote.

VINATIBU:-
*Kukosa hamu ya TENDO
*Uume mdogo
*Kushindwa kurudia TENDO
*Kushindwa kutungisha mimba
*Uume kusimama legelege

Dawa hii inatibu matatizo hayo hata kwa walioathiriwa na kisukari au kujichua kwa muda mrefu. Inapatikana @270,000/= tu

PIA TUNA:-

>GIN SENG (240,000/=)
Hii huongeza ham ya tendo, nguvu na uwezo wa kurudia tendo hata kwa wenye kisukari

>MAX MAN GEL (240,000/=)
Hii huongeza urefu na upana wa uume kwa 5'inch hadi 7'inch

>VIGA SPRAY (180,000/=)
Hii huchelewesha kumaliza tendo

WEKA ODA KWA:-
Call/Whatsapp no (+55)

0767447444
0714335378

TAHADHARI:- Hakikisha unapatiwa risiti yenye mhuri na GARANTII ili kuepuka bidhaa feki mitandaoni.


Follow us, IG, Y/TUBE ACC
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr
@markson_beauty_pr




#VigRxTz
#NguvuZaKiumeTz
#BidhaaTz
#WenickTz

MARKSON BEAUTY CO
#house of beauty#

Sura ya Biblia iliyofichwa yagunduliwa tena baada ya miaka 1,750 iliyopita kwa mwanga wa UV

$
0
0



Sura hiyo iliyofichwa ya maandishi ya Biblia ambayo inasemekana kuwa ya zamani miaka 1,750 imefasiriwa na mwanasayansi wa Austria,  maandishi hayo yanashukiwa kuwa yalitokea katika karne ya 3 kabla ya kunakiliwa katika karne ya 6 kulingana na uchunguzi uliochapishwa mwezi uliopita katika jarida la New Testament Studies.

Grigory Kessel, mtaalamu wa enzi za kati kutoka Chuo cha Sayansi cha Austria, alitumia upigaji picha wa ultraviolet

 ili kuchanganua tafsiri ya Kisiria ya Mathayo sura ya 11 na 12 ya Biblia chini ya aya tatu za maandishi katika hati hiyo.

“Hadi hivi majuzi, ni hati mbili tu zilizojulikana kuwa na tafsiri ya Syria ya Kale ya injili.”Ilikuwa vigumu kupata ngozi katika Enzi za Kati, kwa hiyo hati-mkono zilipofutwa, karatasi hiyo ilitumiwa tena na watafiti wanasema wasomi walikuwa tayari wanafahamu hati hiyo mwaka wa 1953 na Iligunduliwa tena mwaka wa 2010 kabla ya kuwekwa kidijitali mwaka wa 2020. 


Kupitia mwangaza wa asili na picha za UV Phys.org ilisema kwamba ingawa Kigiriki cha awali cha Mathayo sura ya 12, mstari wa 1 husomeka hivi: “Wakati huo Yesu alipita katikati ya mashamba siku ya Sabato, wanafunzi wake wakawa na njaa, wakaanza kuchuma masuke, wakala,”       

     tafsiri mpya ya Kisiria yasema, “[…] wakaanza kuchuma masuke, wakayasugua mikononi mwao, na kuyala.”

Kati ya nyaraka mbili zinazojulikana kuwa na tafsiri ya Kisiria ya Kale ya injili, moja imehifadhiwa katika Maktaba ya Uingereza huko London na nyingine katika Monasteri ya St. Catherine kwenye Mlima Sinai, nyumba ya watawa kongwe zaidi ulimwenguni inayoendelea kufanya kazi na ya tatu ilitambuliwa hivi majuzi kupitia Mradi wa Sinai Palimpsests kutumia taswira kurejesha maandishi yaliyofutwa kutoka kwa maandishi katika maktaba ya St. Catherine.

Ewe Mwanamke Hekima na Unyenyekevu Vitakayokusaidia Kuolewa Mapema, Kiburi na Ujuaji Utaishia Kuwa Nungayembe

$
0
0

 


Kama ndoto zako ni kuolewa na mwanaume wa ndoto zako basi unatakiwa kujifunza kuwa lugha nzuri kwa watu wanaokuzunguka. 


Unatakiwa kuwa na lugha nzuri kwa sababu wapo baadhi ya watu humtasfiri mtu kutokana na kile amabacho unakizungumza. 


Wanaume wengi hushusha thamani ya mwanamke hususani suala la mwanamke huyu kutamka matusi mengi kwenye kinywa chake. 


Hivyo ikiwa una nia njema ya kutaka kuolewa unapaswa kuwa na heshima sana hususani kwenye suala la uzungumzaji. 


Ijenge thamani zaidi kwa kuzungumza lugha yenye kukujengenea taswira chanya kwa wale wanakusikiliza.  


Jifunze kuwa mnyenyekevu kwenye suala la kuzungumza, lugha yako nzuri ndiyo itakayowafanya watu wengine waone thamani yako. 

Hakika Kiburi na Ujuaji Utaishia Kuwa Nungayembe wakupigwa na kusepa

HARMONIZE athibitisha SAUTI ya kike inayosikika kwenye wimbo SAY YES ni ya ESMA PLATNUMZ

$
0
0


HARMONIZE athibitisha SAUTI ya kike inayosikika kwenye wimbo SAY YES ni ya ESMA PLATNUMZ

VIDEO:




Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

$
0
0



NI Mwigizaji Kajala Masanja ambae kwasasa yuko nchini Kenya amefanya mahojiano na Redio Citizen FM ameweka wazi sababu ya kuachana na Staa wa Bongo Fleva, Harmonize.

“Ni mazoea mtu akishakuzoea Sana, anakuchukulia poa. Simlaumu yeye ni kijana mdogo, pengine alihitaji ‘space’ manake kuwa na mimi muda tulikuwa pamoja tunafuatana" Alisema Kajala

Ahukumiwa miaka 60 jela kwa kumpa ujauzito shemeji yake

$
0
0


Siha. Mahakama ya Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro imemuhukumu Abedi Kingazi (36), mkulima mkazi wa Kijiji cha Matadi kwenda jela miaka 60 kwa makosa mawili ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa Shule ya Msingi Lemosho (17) wilayani humo ambaye ni shemeji yake.

Hukumu hiyo imetolewa Aprili 20 mwaka huu na Hakimu mkazi mfawidhi wa Mahakama hiyo Jasmin Abdul, baada ya kuridhika na ushahidi wa watu wanne akiwamo mwathirika mwenyewe na daktari.

Mwendesha Mashtaka wa Serikali, David Chishimba akisoma mashtaka mbele ya hakimu huyo amesema tukio hilo lilifanyika kwa tarehe tofauti tofauti mwaka 2022 huko Kijiji cha Matadi.

Amesema mshtakiwa alimdanganyi mwanafunzi huyo ambaye ni shemeji yake amuingilie ili apone ugonjwa uliokuwa unamsumbua wa kutokwa damu sehemu za siri na puani.


Ugonjwa huu uliomsumbua kwa muda mrefu ndipo mshitakiwa kuamua kwenda kwa waganga ili kupata tiba, na aliporudi alimwambia ili mwanafunzi huyo apone ugonjwa huo lazima amuingilie kimwili mara tatu kama mganga alivyosema ndipo apone bila kumwambia mtu.

Chishimba amesema mshtakiwa alifanikiwa kufanya unyama huo na kusababisha mwanafunzi huyo kupata ujauzito hivyo, mahakama kuamuru kwenda kutumikia kifungo cha miaka 60 jela kwa kuitumikia yote kwa pamoja

Kosa la kwanza miaka 30 ni kubaka kinyume na kifungu 130(1)(2)(e)na 131 cha sheria ya kanuni ya  adhabu sura ya 16 marejeo ya 2022, kosa la pili miaja 30 jela kumpa mwanafunzi mimba kinyume na kifungu 60 A (3)cha sheria ya elimu sura ya 353  hivyo kuitumikia yote kwa pamoja.


Mshtakiwa aliomba kupunguziwa adhAbu kuwa anafamilia inamtegemea, hata hivyo hakimu alisema ili iwefundisho kwa wengine akatumikie adhabu hiyo, kwani matukio ya ukatili yanazidi kuongezeka.

JKT Tanzania rasmi Ligi Kuu 2023/24

$
0
0



Matokeo ya sare ya 1-1 ya Pamba dhidi ya Mbuni leo Aprili 22 imeihakikishia JKT Tanzania kupanda Ligi kuu licha ya kupoteza mchezo wake ugenini mbele ya Kitayosce kwa mabao  3-2.

JKT inarudi rasmi Ligi Kuu ikiwa na michezo mitatu mkononi ambapo pointi 62 ilizonazo zinairuhusu kuungana na miamba ya soka nchini, Yanga na Simba msimu ujao.

Vita imebaki kwa Kitayosce na Pamba kusaka mmoja wapo wa kuungana na Maafande hao kupanda moja kwa moja.

Ushindi wa Kitayosce uneiweka nafasi ya pili kwa alama 53, huku Pamba wakishuka nafasi ya tatu kwa pointi 52 na timu zote zimebakiza mechi tatu kuamua hatima yao.

Jinsi Tabia ya Wizi Nilivyoikomesha

$
0
0


Jinsi Tabia ya Wizi Nilivyoikomesha

Kila kanisa lililosifiwa, kila mchungaji au mhubiri mpya aliyeibuka na kuwateka watu nilienda kwake kuombewa ili nifunguliwe lakini maombi yake yaligonga mwamba na kunirudia. Nimesafiri mpaka nje ya nchi kuwafuata manabii lakini bado sikuacha wizi. 

Nilikuwa nimechoka kuiba nikataka kuishi maisha ya kawaida kama wanadamu wenzangu. Siku moja tulienda Mwananyamala kuiba kwenye duka la Mpemba. Tulipokuwa tunatoka, suruali ya mwenzangu ikanasa kwenye misumari ya ukuta, akashikwa na kuchomwa moto. 

Kwa kuwa niliruka ukuta kabla yake, hakuna aliyenigundua kuwa nilikuwa mwenzake. Kuanzia siku hiyo rafiki yangu akawa ananijia ndotoni na kuniambia anaungua huko aliko. Akawa ananisisitizia niache wizi lakini hata nikiona majirani wameshau vijiko tu navipitia na kuvihamishia kwangu. 

Mjomba wangu anayeishi Congo aliniambia kuwa alikuwa akiishi na daktari BAKONGWA na aliahidi kunisaidia kama ningekiri kuwa sikutaka tena wizi. Nikamhakikishia, akaniunganisha na daktari na baada ya kutumia dawa yake kwa wiki tu wizi ukaondoka bila kufukuzwa. 

Sikuamini sana yale aliyosema kwa kuwa nilikwisha zunguka na kutembea kila kona ya huko aliko kiongozi bora wa ibada kwa kusali toba lakini tabia hii haikukoma kwangu.

Niliandikiwa nambari za whatsapp za daktari +243990627777 na tovuti zake pia https://bakongwadoctors.com kusudi nimtafute.Sikusita nikafaya hivyo kwani tabia ile ilikuwa imenichosha na ni sugu iliyodumu kwa muda wa miaka kumi namoja.

Daktari alinijibu na kunipa maelekezo ya tiba ambayo ingeniondoa mara moja kwenye tabia hizo huko akisisitiza kuwa awa ile ni ya masaa ishirini na nne, baada ya kutumia tu sikuwahi kujisikia vile nilivyokuwa mara zote nilipoona mali ya mtu imezagaa bila ulinzi .Asante sana daktaei kwa tiba nzuri nay a muda mfupi.


SOMA Hii Story Unaweza Ukajifunza Kitu Katika Maisha

$
0
0

Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda. Aliweza kujenga ka-kibanda
kwa shida sana maana hakuwa na shoka wala
panga, hatimaye akaanza maisha mapya.

Aliishi muda mrefu kisiwani na tayari alishazoea
mazingira yale ya shida japo shida haizoeleki.
Mara zote nyakati za jioni aliwasha moto kwa
kupekecha vijiti. Siku moja kama kawaida yake
aliwasha moto nje karibu na kibanda chake, aliota
moto muda mrefu hatimaye akapitiwa na usingizi.

SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA UDAKU SPECIAL HAPA




Alilala hapo hapo hadi usiku wa manane
aliposhtushwa na joto kali lisilo la kawaida.
Kumbe moto ulishika nyasi za kibanda chake na
kibanda chote kikaungua moto.Alilia sana na
kumlaani sana Mungu kwa mateso hayo akisema
"Hivi Mungu nimekukosea nini mpaka unitese
hivi? Pamoja na shida zote hizi bado
unaniongezea shida nyingine, umeteketeza makazi
yangu ilhali nimejenga kwa shida, Hukuridhika
kunitenga mbali na familia yangu nilipoishi kwa
raha? Hukuridhika kuwaua rafiki zangu wote
baharini? Kwanini Mungu umekuwa mkatili hivi?
Bora nife tuu maana nimeshachoshwa na hizi
shida!" akaendelea kulalamika na kumlaani Mungu
hadi kukapambazuka.

Ilipofika asubuhi aliiona meli ikija kwa mbali
kuelekea alipo, alishangaa maana hakuna meli
yoyote inayoweza kwenda kisiwa kile labda kama
imepotea njia. Meli ilipofika ufukweni yule kijana
akaifuata, alienda moja kwa moja hadi kwa
kapteni.Kapteni akamwambia "tuliona moto mkali
sana usiku tukahisi ni meli inawaka moto
tukasema tuje ili tutoe msaada..kwa kweli
tumetembea masaa mengi sana hadi kufika hapa,
mshukuru Mungu maana ametumia moto kutuleta
hapa" yule kijana kusikia hivyo alilia sana,
akajilaumu kwa jinsi alivyo mnung'unikia Mungu.
Akaelewa kuwa Mungu ana njia nyingi za kuleta
msaada kwa mtu. Akapiga magoti akatubu huku
akimshukuru Mungu.

Kuelekea Mchezo wa Yanga na Rivers Leo..Benard Morrison Awekwa Chambo na Kocha Nabi..Azunguma

$
0
0

 




Kuelekea mchezo wa kesho wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, Kocha mkuu wa Yanga SC, Nasredinne Nabi na nyota Benard Morisson wamezungumza na waandishi wa habari hapa Nigeria.

Yanga SC itashuka dimbani kesho saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania kucheza na wenyeji wao Rivers United.

“Hongera kwa uwanja mzuri. Niwapongeze pia uongozi wa Yanga kwa kuhakikisha tumekuja mapema hapa Nigeria. Hali ya hewa ni nzuri na tumekuwa na maandalizi mazuri”, alisema kocha Nabi.

“Hatujioni wakubwa kwa sababu tumetoka kuongoza kundi. Tunawaheshimu sana wapinzani wetu lakini malengo yetu ni kuhakikisha tunasonga mbele.

“Tulipoteza mechi mwaka 2021 kwa sababu hatukuwa tayari. Ziko sababu nyingi nyuma zilizosababisha tukapoteza mchezo ule.

“Kwa sasa tuna timu tofauti na Rivers pia wamebadilika, hivyo tunategemea pia utakuwa mchezo Tofauti,” aliongeza Nabi.

Kwa upande wa Morisson alisema, “Malengo yetu ni kuiwakilisha Yanga na Tanzania kwa ujumla. Hatuko hapa kwa sababu ya kujifurahisha, tuko hapa kwa ajili ya kupata matokeo mazuri.

Vipo vyanzo vingi vya mvi lkn baadhi ni KUCHOKA KWA HOMONI, DAWA KALI, UMRI, KURITHI N.K

$
0
0



  Wengi wanasumbuliwa na mvi na sasa tumeleta suruhisho. Dawa hii ni ya kupaka kwenye ngozi ya sehem zote zenye mvi na zinaondoka moja kwa moja.
          BIGEN inasambazwa na NATURAL BEAUTY CO L.T.D kote duniani @240,000/= tu

KUMBUKA matokeo ni uhakika na GARANTII

PIA TUNATIBU:-

*Kukosa hamu ya TENDO
*Uume mdogo
*Kushindwa kurudia TENDO
*Kushindwa kutungisha mimba
*Uume kusimama legelege

>WENICK CAPSULES (270,000/=)
Vidonge vya kuongeza uume, nguvu, na kuimarisha misuri

>GIN SENG (240,000/=)
Hii huongeza ham ya tendo, nguvu na uwezo wa kurudia tendo la ndoa

>MAX MAN GEL (240,000/=)
Hii huongeza urefu na upana wa uume (wiki 2)

>VIGA SPRAY (180,000/=)
Hii huchelewesha kumaliza tendo


PIA TUNA:-  

HYDROGEL INJECTION ni sindano maalum ya kuongeza HIPS na MAKALIO haraka na bila madhara. Ukitumia sindano hii ndani ya wiki 1 unakuwa na shepu ya kuvutia na unabaki ivo milele (HAKUNA KURUDIA)

   FAIDA ZAKE:-
*Kuongeza shepu haraka
*Unachoma mara moja
*Ulainisha ngozi
*Kuzuia michirizi 
*Haizuii mtumiaji kuzaa
*Matokeo ni uhakika na GARANTII unapatiwa
 
  HYDROGEN INJECTION inasambazwa kote duniani na kampuni ya NATURAL BEAUTY CO L.T.D 470,000/=
Maelf ya watu duniani wameitumia hii sindano na wameona maajabu yake.

WEKA ODA KWA:-
Call/Whatsapp no (+255)

0759029968
0659618585

 TAHADHARI:- Hakikisha unapatiwa risiti yenye mhuri na GARANTII ili kuepuka bidhaa feki mitandaoni 

 Follow us, IG, Y/TUBE ACC
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod 

#ViRxTz
#NguvuZaKiumeTz
#BidhaaTz
#WenickTz

 NATURAL BEAUTY CO 
   HOUSE OF BEAUTY


Miili ya waliojiua kwa njaa kukutana na Yesu yafikia 14.

$
0
0




Miili 14 zaidi imefukuliwa katika makaburi ya watu wanaoaminika kufariki kwa kufunga kutokana na mafundisho yanayofanana na ya kiibada ya kasisi wa Malindi, Paul Mackenzie katika eneo la Shakahola, Magarini.

Hii inafikisha 21 idadi ya miili ambayo imefukuliwa na kitengo cha mauaji, wapelelezi wa DCI na maafisa wengine wa usalama.

Miili mitano, inayoaminika kuwa ya watu wa familia moja ilipatikana katika kaburi moja.

Katika kaburi jingine, miili mitatu ilipatikana juu ya kila mmoja.

“Tulimpata, mwanamume, mwanamke na watoto watatu kwenye kaburi moja,” mpelelezi alisema

Kati ya miili iliyofukuliwa, watoto walikuwa wengi ikilinganishwa na watu wazima.

Kufikia Ijumaa makaburi 58 yalikuwa yametambuliwa.

Timu ya maafisa wapatao 100 wakiongozwa na Mkurugenzi wa kitengo cha Mauaji pamoja na mwanapatholojia, maafisa kutoka DCI, Idara ya uchunguzi, na polisi wa kawaida wanaongoza operesheni hiyo.

Wananchi hawakuruhusiwa katika eneo la tukio na waandishi wa habari pia walipewa maelekezo ya jinsi ya kujiendesha katika eneo la tukio.

Baada ya takribani masaa mawili ya kuchimba, kulikuwa na dalili kwamba kulikuwa na miili na kwa uangalifu mkubwa mwili mmoja wa mtu mzima ulipatikana ukifuatiwa na miili miwili iliyokuwa imezikwa kwenye kaburi moja.

Shambulio la kujitoa mhanga laua na kujeruhi zaidi ya watu 70 Mali.

$
0
0



Watu wasiopungua 10 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa katika shambulio la bomu karibu na kambi ya kijeshi na uwanja wa ndege katikati mwa Mali.

Yacouba Maiga, msemaji wa Gavana wa mkoa wa Mopti amesema, zaidi ya watu 60 walijeruhiwa pia katika shambulio hilo lililotokea kwenye mji wa Sevare ulioko katika mkoa huo mapema jana.

Kwa mujibu wa Maiga, mripuko huo uliharibu takribani nyumba 20 katika mji huo. Ameongeza kuwa, kuna jumla ya watu tisa waliofariki na takriban 60 wamejeruhiwa, wote wakiwa raia.

Kanali Souleymane Dembele, msemaji wa jeshi la Mali, ameliambia shirika la habari la Associated Press kwamba takriban watu 10 waliuawa katika hujuma hiyo.

Wakati huohuo, taarifa iliyotolewa na serikali ya Bamako, jana hiyohiyo Jeshi la Mali liliteketeza ngome ya magaidi huko Mourdiah na kuwaangamiza magaidi 60 katika mji wa Boni, ambao nao pia uko katika mkoa wa Mopti.

Tangu mwaka 2012, Mali imekabiliwa na machafuko kufuatia kuenea kwa makundi yenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini humo.

Hakukuwa na yeyote aliyedai kuhusika na shambulio hilo mpaka sasa

Bangala aifunika Rivers, thamani yake inanunua kikosi kizima

$
0
0



ACHANA na maisha ya kifahari ambayo Yanga inaishi jijini Uyo ambako leo itacheza dhidi ya Rivers United, wawakilishi hao wa Tanzania wameonyesha jeuri nyingine mbele ya wapinzani wao kwa kuwa na mchezaji ambaye thamani yake inaweza kununua kikosi chote cha Rivers United.
Nyota huyo wa Yanga ambaye thamani yake inazidi kikosi chote cha Rivers ni kiungo wa ulinzi kutoka DR Congo ambaye thamani yake sokoni kwa sasa inazidi ile ya wapinzani wao na chenji ikabakia.
Kwa mujibu wa mtandao wa www.transfermarkt.com, thamani ya kikosi chote cha Rivers United kwa sasa ni Euro 225,000 (Sh 587 milioni), kiasi ambacho ni pungufu ya thamani ya Bangala kwa sasa kwa kiasi cha Sh 391 milioni.
Thamani ya Bangala kwa mujibu wa mtandao huo ni kiasi cha Euro 375,000 (Sh 978 milioni) ingawa inaweza kupanda au kushuka muda wowote kutokana na kiwango cha mchezaji husika kwa wakati huo pamoja na urefu na thamani ya mkataba wake.
Kufuru zaidi ipo kwa thamani ya kikosi kizima cha Yanga ambayo kwa mujibu wa mtandao huo unaofanya uchambuzi wa thamani za wachezaji, kinaweza kuwa mara 10 zaidi ya kile cha Rivers United kwa maana hiyo, kikosi kimoja cha wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika inaweza kununua vikosi takribani 10 vya Rivers United.
Yanga kwa mujibu wa www.transfermarkt.com kikosi chake cha sasa kina thamani ya Euro 2.15 milioni ambazo ni sawa na Sh 5.6 bilioni.
Nyuma ya Yannick Bangala, yupo Joyce Lomalisa ambaye mtandao huo umeonyesha kuwa anashika nafasi ya pili kwa kuwa na thamani kubwa kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa ambayo ni ya Euro 300,000 (Sh 782 milioni), kiasi ambacho bado pia kinazidi thamani ya kikosi kizima cha Rivers United inayovaana na Yanga leo jioni.

Hiki hapa kikosi Cha Yanga kitakacho Anza Leo dhidi ya Rivers United

$
0
0



1:Djugui Diarra
2:Djuma Shaban
3:Joyce Lomalisa
4:Dickson Job
5:Bakari Mwamnyeto (C)
6:Ibrahim Abdallah
7:Farid Mussa
8:Yanick Bangala
9:Fiston Mayele
10:Mudathir Yahya
11:Stephen Aziz Ki


Wachezaji wa Akiba
12:Metacha Mnata
13:Kibwana Shomari
14:Khalid Aucho
15:Zawadi Mauya
16:Mudathir Yahya
17:Salum Abubakar
18:Clement Mzize
19:Kennedy Musonda
20:Tuisila Kisinda

EFM Radio Yazidi Kukimbiwa na Watangazaji, B Dozen na Oscar Oscar nao Wamesepa

$
0
0


Ameandika Majizzo:

Ilikuwa wakati mzuri sana kufanya kazi na ndugu zangu Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscar.

Nitaendelea kuwashukuru na kuwaheshimu sana kwa mchango walioweka hapa #EFMnaTVE. Nawatakia mafanikio katika ajira zao mpya, mafanikio yao ni mafanikio ya tasnia na hiyo ni furaha yangu.
.
All the best ndugu zangu🙏🏻
Viewing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>