Rais Ruto atoa wito kufunguliwa mashtaka mhubiri aliyewataka waumini kufunga hadi kufa.
Bodaboda Jijini Dar es salaam Yafikiwa na Meridianbet
Bwana Matina Nkurlu ambaye ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko Meridianbet wameanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa ambayo kwa kushirikiana na polisi wa usalama barabarani wametokea reflectors zitakazowasaidia bodaboda wakiwa barabarani. Meridianbet inakupatia ODDS KUBWA kwa kila mchezo ambao unataka kubeti.
Meridianbet imepita maeneo ya jijini Dar es salaam kwa kushirikiana na jeshi la polisi la usalama barabarani kutokana na kuwa bodaboda pamoja na polisi wa usalama barabani ni watu ambao wamekuwa wakionana mara kwa mara hivyo Reflectors hizo zitawasaidia kwenye namna moja au nyingine wakiwa wanaendesha chombo hicho.
Akiongea na waandishi wa Habari mkuu wa kitengo hicho ndani ya Meridianbet Matina Nkurlu anbaye alikuwa ameongozana na timu yake nzima ya Meridianbet ndiye hasa aliyekuja na jina la “ Mtaa kwa Mtaa na Meridianbet” na amesema kuwa wameamua kushirikiana na jeshi la polisi la usalama barabarani kutoa elimu ya usalama barabani na kugawa reflectors kwa madereva wa bodaboda.
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajilikupitia link hii
Na sababu yakufanya hivyo haswa ni kwakuwa dereva bodaboda ndio wanaongoza kupata ajalisana hasa nyakati za usiku ndio maana wameona kuna haja ya kugawa refletors kwa madereva hao waliopo jijini Dar es salaam.
Na haya ni baadhidi ya maeneo ambayo wamepita na kutoa refletors hizo ni pamoja na Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge na Tangibovu, vilevile wameongeza kwa kusema kuwa wanapanga mkakati mzuri wa kuwafikia bodaboda wote wa jiji hili la Dar es salaam ili wanufaike na Meridianbet.
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Meridianbet kama kaulimbiu yao isemavyo Chagua Tukupe, wanazidi kujipambanua kila kona ya Tanzania wanazidi kuchanja mbuga na kuteka soka la kubetia wakiwa na michezo mingi ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Roullette, Sloti na mchezo wa Aviator ambao watu wengi hatakama hujui mpira unaweza kuucheza.
"Meridianbet tuna msemo wetu wa CHAGUA TUKUPE, huu ni maalum kwa wateja wetu wote kuwa tunawapatia kile wanachotaka, baada ya kusikia kilio cha madereva hawa wa Bodaboda tumeamua kuwapatia Reflectors hizi maalum kwaajili yao kujikinga na majanga ya barabarani kama ajali lakini pia ni kuimarisha usafi na utanashati wao binafsi" Alisema Martina Nkurlu.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE
Serikali yaagiza uchunguzi “Energy Drinks”
Vipo vyanzo vingi vya mvi lkn baadhi ni KUCHOKA KWA HOMONI, DAWA KALI, UMRI, KURITHI N.K
Wengi wanasumbuliwa na mvi na sasa tumeleta suruhisho. Dawa hii ni ya kupaka kwenye ngozi ya sehem zote zenye mvi na zinaondoka moja kwa moja.
BIGEN inasambazwa na NATURAL BEAUTY CO L.T.D kote duniani @240,000/= tu
KUMBUKA matokeo ni uhakika na GARANTII
PIA TUNATIBU:-
*Kukosa hamu ya TENDO
*Uume mdogo
*Kushindwa kurudia TENDO
*Kushindwa kutungisha mimba
*Uume kusimama legelege
>WENICK CAPSULES (270,000/=)
Vidonge vya kuongeza uume, nguvu, na kuimarisha misuri
>GIN SENG (240,000/=)
Hii huongeza ham ya tendo, nguvu na uwezo wa kurudia tendo la ndoa
>MAX MAN GEL (240,000/=)
Hii huongeza urefu na upana wa uume (wiki 2)
>VIGA SPRAY (180,000/=)
Hii huchelewesha kumaliza tendo
PIA TUNA:-
HYDROGEL INJECTION ni sindano maalum ya kuongeza HIPS na MAKALIO haraka na bila madhara. Ukitumia sindano hii ndani ya wiki 1 unakuwa na shepu ya kuvutia na unabaki ivo milele (HAKUNA KURUDIA)
FAIDA ZAKE:-
Kuongeza shepu haraka
*Unachoma mara moja
*Ulainisha ngozi
*Kuzuia michirizi
*Haizuii mtumiaji kuzaa
*Matokeo ni uhakika na GARANTII unapatiwa
HYDROGEN INJECTION inasambazwa kote duniani na kampuni ya NATURAL BEAUTY CO .T.D 470,000/=
Maelf ya watu duniani wameitumia hii sindano na wameona maajabu yake.
WEKA ODA KWA:-
Call/Whatsapp no (+255)
0759029968
0659618585
TAHADHARI:- Hakikisha unapatiwa risiti yenye mhuri na GARANTII ili kuepuka bidhaa feki mitandaoni
Follow us, IG, Y/TUBE ACC
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
@natural_beauty_prod
#ViRxTz
#NguvuZaKiumeTz
#BidhaaTz
#WenickTz
NATURAL BEAUTY CO
HOUSE OF BEAUTY
Majizzo Aanza Kurusha Mashambulisha Baada ya Watangazaji Kumkimbia, Masanja Ala Shavu la Nguvu
Majizzo Ameandika Haya :
Kifaa cha kipekee kilichosaidia uvumbuzi wa mengi, kifaa chenye matumizi ya thamani kubwa lakini kimetengezwa katika saizi tofauti kiweze kumilikiwa na wengi. Maisha yangu yemekuwa hivyo, nimekuwa nikimuomba Mungu niweze kuona mbali kama #Telscope, lakini nisiwe mwenye kujikweza ili Watanzania wenzangu wa kawaida kabisa, wale wa kule uswahilini na kwingine kugumu nilikotoka wajue mimi ni mwenzao. Asante Mungu, imeendelea kuwa hivyo.
#Telescope : Miaka 9 iliyopita tuliona thamani kwa Watangazaji, thamani ambayo kwa wengine ilipuuzwa sana. Tukakuza majina yao na kuyalinda, na sasa nina furaha sana kwamba thamani niliyotamani waipate wanaipata.
#Telescope: Muda umefika, redio zinahitaji ladha mpya, tunahitaji kutoa nafasi kwa vijana wapya, hatuwezi kuwa na sauti zilezile kila mahali. Kama ambavyo nimeongea mara nyingi, mimi nitatoa nafasi kwa vijana wapya. Lakini mtakubaliana nami kuwa hii ni biashara na inahusisha mchakato kama vitu vingine, lazima tuanzie mahali twende kwa hatua nzuri.
#Telescope: Tuanze na watu ambao tunawajua, lakini hatujui upande wa pili wa vipaji vyao. Masanja tunamjua kama mchekeshaji na kwenye ‘media’ yuko upande wa mahubiri tu. Hatujamuona akisoma magazeti.
#Telescope: Kama ambavyo tulitambulisha mtindo mpya wa kusoma magazeti ambao hivi sasa unaigwa sehemu nyingi, leo tunatambulisha msomaji mpya wa magazeti katika namna ya kuvutia. Namleta kwenu @mkandamizaji : #KunyamvuaKunyumbulishaNaKukandamiza.
Karibu #JotoLaAsubuhiEFM
Hivi Ndivyo Majizzo Alivyoicheza Karata yake Baada ya Wengi Kuzani Ndio Down fall yake
Baada ya wiki iliyopita kuonekana kuwa ni wiki mbaya kwa mkurugenzi wa TVE na EFM baada ya watangazaji wake wa kubwa wa kipindi cha asubuhi (Mauld Kitenge na Gerald Hando) kung’oka kwenye kipindi hicho (Joto La Asubuhi) na kuvuta na mkurugenzi wa Wasafi media Diamond Platnumz
Wengi walidhani yawezekana itakuwa ni Down fall kwenye kipindi hicho cha asubuhi baada ya kupoteza watu walikuwa na ladha ya kipekee kwenye kipindi, leo ni zamu ya Majizzo kuicheza karata yake, Mkurugenzi huyo wa Efm Na TVE leo amemtangaza Masanja Mkandamizaji kama moja ya timu mpya ya kipindi hicho cha asubuhi huku kazi yake ikiwa ni nyanmvua na kunyumbulisha magazeti
Hili ni karata nyingine Majizzo anaitupa kwa Masanja kama ambazo aliitupa kwa Mauld nA Hando, Kingwendu na wengine waliowahi kuburudisha masikio ya wasikilizaji wa EFM na TVE
Sasa vita ya Asubuhi NI kati Mauld wa Kitenge, Hando, Na MAsanja kwenye magazeti
Wanao Ongoza Kwa Magoli Kombe la Shirikisho Caf
Mshambulaiji wa Yanga, Fiston Mayele anaongoza kwa ufungaji magoli Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na magoli matano.
NBC Bank Job Vacancies, April 2023
NBC Bank Job Vacancies, April 2023
NBC Bank is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services.
The Bank traces its origins to 1967 when the Tanzanian Government nationalised all financial institutions, including banks. In 1991, the banking industry was amended and six years later. In 2000, South African financial services group Absa Group Limited acquired a majority stake in NBC. The Government of Tanzania retained a 30% shareholding and the International Finance Corporation (IFC), a member of the World Bank Group, took up 15% shareholding in the bank. The new entity became known as NBC Limited. Enjoy the convenience of our range of banking services.
With a network of more than 200 ATMs countrywide, as well as excellent internet and mobile banking services, you have the freedom to do your banking where and when you want. In 2000, South African financial services group Absa Group Limited acquired a majority stake in NBC. The bank is an equal opportunity employer.
NEW VACANCIES AT NBC BANK, APRIL 2023
The bank is looking to hire qualified and eligible individuals to fill new vacant positions.
READ FULL DETAILS BELOW:
Marketing Specialist : Products and Campaigns at NBC
DevOps Support Specialist Job Vacancy at NBC
Enterprise Middleware & Integrations Specialist at NBC
DevOps Support Specialist Job Vacancy at NBC
Enterprise Architecture Specialist Job Vacancy at NBC
Specialist: Money Transfer at NBC
Officer: Merchant Acquiring Job Vacancy at NBC
Servers & Microservices Specialist Job Vacancy at NBC
Ndege Iliyobeba Kikosi cha Timu ya Arsenal Yalipuka Engine
Ndege iliyokuwa imebeba kikosi cha timu ya wanawake ya klabu ya Arsenal iliyokuwa ikirejea kutoka Ujerumani ilipokuwa kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Wolfsburg iliwaka moto wakati ikianza kuondoka siku Jumapili jioni.
Mvua yakata mawasiliano ya usafiri Kilimanjaro na Arusha
Christian Ronaldo Aanza Kuwa Mdebwedo Saudi Arabia, Timu yake Yatupwa nje ya Mashindano
Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia anakochezea Mreno Cristiano Ronaldo imetupwa nje ya michuano ya kombe la mfalme kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Al Wehda FC kwenye nusu fainali huku Cristiano Ronaldo akishindwa kufunga bao kwenye mchezo wa tatu mfululizo.
Mochari ya Hospitali ya Malindi Yalemewa na Miili ya Mateka wa Pasta Mackenzie
Mke Ashindwa Kulinda Unyumba Kwa Hedhi Isiyokoma
Naitwa Aines kabla ya kuolewa niliishi kwa furaha sana na baada ya kuolewa siku za mwanzo wa ndoa yangu sikuzijuwa karaha nilizo hadithiwa na mashosti zangu kuhsu ndoa mpaka yaliponikuta, kwa kweli mwenye Niliolewa nikiwa binti mdogo sana wa miaka ishirini na mmoja tena sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote yale kabla ya mimi kuolewa kiufupi ni kwamba mume wangu ameniowa mimi nikiwa bado bikira simjuwi mwanaume yoyote tena kwa sheria za kwetu huko songea kwa wamwera nilifundwa na kukalisha kuyajuwa mambo ya ndoa.
Huyu Hapa Mualifu Aliyewatumia Picha Polisi ili Wabadilishe Picha Waliopost Akitafutwa..Adai Polisi Waliopost ni Mbaya
Huko Ohio, Marekani, mwaka 2016 Polisi waliripoti wametumiwa picha na muarifu waliyekuwa wanamtafuta.
Jamaa anaitwa Donald Pugh (pichani), aliwatumia picha Polisi na kuwaomba wabadilishe picha waliyokuwa wameweka kwenye bango la tangazo la kutafutwa kwake kwasababu ilikua inaonekana vibaya, hivyo aliwatumia picha hiyo nzuri ili watu wasimuone kama ana sura mbaya.
Read More: 6 New Jobs From Startimes
Polisi walikubali ombi lake wakaweka picha aliyokua anataka na pia wakamshukuru kwa ushirikiano alioonesha na kumuomba kama ikiwezekana aende kituo cha Polisi wazungumze.
Ukweli Kuhusu Alama ya Mnyama Inayosemwa Kwenye Biblia na Namba 666
(NB: maneno “alama”, “muhuri”, “ishara” au “dalili” ni visawe).
Ufunuo 13:16-17 “Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa masikini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Kwanini alama hii ni ya muhimu kuelewa? Kama ukitaka kuthibitisha kwamba kitu flani ni chako, au ukitaka kuonyesha kuwa wewe ni mmiliki wa kitu flani, au ukitaka kutia alama kitu flani kuwa chako, siku zote kutakuwa na vitu vitatu tofauti.
*. Jina lako.
*. Cheo chako.
*. Mahali unapomiliki.
Hivyo, kama mtu akitaka kuthibitisha kwamba kitu flani kimetoka kwake lazima athibitishe kama hivi:
*. Jina = John S Samweli
*. Cheo = Raisi
*. Anapomiliki = Tanzania
Kuna serikali mbinguni (Isa. 9:6), na alama au muhuri wa Mungu ni sheria yake. Angalia katikati ya amri kumi na utaona muhuri wa Mungu, “Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba;…” Kut. 20:11
JINA LAKE = BWANA (“Mimi ni BWANA; ndilo jina langu…” Isa. 42:8).CHEO CHAKE = MUUMBA (…BWANA…yeye aliyeziumba mbingu, na…nchi…” Isa. 42:5).ANAPOMILIKI = MBINGU NA NCHI (“Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA…” Zab. 24:1).
Hivyo, BWANA alipoziumba mbingu na nchi kwa siku sita, siku ya saba alipumzika ili kuweka alama au muhuri kwamba yeye ndiye aliyeziumba mbingu na nchi, kwa hiyo Sabato ni muhuri unaothibitisha kwamba BWANA:
Aliziumba mbingu na nchi.Alituumba sisi pamoja na vitu vingine vyote.Anamiliki mbingu na nchi, pamoja na vitu vyote vilivyomo.
Kwanini shetani anafanya bidii sana kuwaongoza watu wasiitambue Sabato? Ni kwa sababu shetani anataka kujifanya yeye kuwa kama muumba wa mbingu na nchi, hivyo anainaingiza alama yake ambayo ni kinyume na alama ya kweli ya Mungu. Sabato ni alama au muhuri wa Mungu, kwa hakika Mungu mwenye anathibitisha ukweli huu kwa kusema, “…Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote;…” Kut. 31:13. (Kumbuka! maneno ishara, muhuri, alama ni visawe, na yanaweza kutumika kwa kuyachanganya-changanya).
Njia rahisi na nyepesi ya kugundua alama ya mnyama, ni kutafuta kujua kwanza alama ya Mungu., harafu utaona kwamba alama ya mnyama ni kinyume na alama ya Mungu.
Ufunuo 7:2-3 “Nikaona malaika mwingine, akipanda kutoka mawio ya jua, mwenye mhuri wa Mungu aliye hai; akawapigia kelele kwa sauti kuu wale malaika wanne waliopewa kuidhuru nchi na bahari, akisema, Msiidhuru nchi, wala bahari, wala miti, hata tutakapokwisha kuwatia muhuri watumwa wa Mungu wetu juu ya vipaji vya nyuso zao.”
Kama tulivyoona huko nyuma kwamba muhuri na alama ni visawe! Hivyo watumwa wa Mungu wanawekwa alama katika vipaji vyao vya nyuso, kipaji cha uso hapa humaanisha akili, mawazo, au nia.
Wabrania 10:16 “Hili ni agano nitakaloagana nao baada ya siku zile, anena Bwana, Nitatia sheria zangu mioyoni mwao, Na katika nia zao nitaziandika…”
Pia Wanafisikolojia hutuambia kuwa ubongo wa mbele wa cerebrum [paji la uso] ndipo shughuri kama uamuzi, hukumu, na uhuru wa kutaka vinapofanyikia. Hivyo, Wakristo wanawekwa alama katika vipaji vya nyuso zao, pale tu wanapomkubali Yesu kuwa Mwokozi wao na kutunza amri kumi zote kwa kuhiari, au kutaka wao wenyewe bila kulazimishwa. Hii ndiyo maana muhuri au alama ya Mungu haiwekwi mkononi, kwa sababu Yesu hatawalazimisha watu kumwabudu na kuzitii amri zake. Mkono humaanisha kulazimishwa kufanya kitu furani kinyume na nia zetu.
Jeremia 38:23 “Na watawatoa wake zako, na watoto wako wote, na kuwachukua kwa Wakaldayo; wala wewe hutapona na mikono yao, bali utakamatwa kwa mkono wa mfalme wa Babeli, nawe utakuwa sababu ya kuteketezwa kwa mji huu.”
Yesu kamwe hatatulazimisha sisi kumwabudu, kwani anapendezwa kama tutamwabudu na kutunza sheria zake zote, kwa hiari yetu bila kulazimishwa.
Ufunuo 13:15-17 “Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe. Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Alama ya mnyama inawekwa katika kipaji cha uso na kwenye mkono. Hivyo wale wote wanaokubali kwa hiari yao wenyewe kumfuata mnyama na kutii amri zake, hawa wamewekwa alama kwenye paji la uso; maana wamehiari wao wenyewe bila kulazimishwa. Na wale wanaopokea alama kwenye mkono, ni wale watakaotii amri za mnyama kwa kulazimishwa bila ridhaa yao. Kwa hofu ya kifo na kushindwa kununua wala kuuza, wanaamua kumtii mnyama ili wasipoteze vitu walivyovifanyia juhudi nyingi katika maisha yao na hili ni bonge la kosa.
Kwa sababu tumeelewa kwamba kuamua kumkubali Yesu kama Mwokozi wetu na kutunza mafundisho na amri zake zote, ni sawa na kupokea alama au muhuri wa Mungu. Tunatakiwa pia tuelewe kuwa kukubali amri, mafundisho, au mapokeo ya kanisa la Romani Katoliki au kanisa lingine lolote linalofuata imani ile ile na kufundisha mapokeo yake, inamaanisha tumepokea alama ya mnyama. Pia elewa kuwa kutakuwa na wengine ambao sio Wakatoliki lakini wanafanya kila kitu ambacho mnyama anaamru kwa kuogopa kufa, au kupoteza mahitaji ya kawaida kwa kuzuiliwa kuuza wala kununua, kitu ambacho kitapelekea kukubali kufuata matakwa ya mnyama. Hawa watapokea alama ya mnyama kwenye mkono kwa sababu wamelazimishwa kinyume na matakwa yao. Wakatoliki na Wakristo wengine ambao hukubali haya “mafundisho ya wanadamu” watakuwa wamepokea alama ya mnyama kwenye vipaji vya nyuso zao kwa sababu wamekubali kwa hiari kuwa kanisa lao liko sawa kwa kubadili maandiko na kuingiza “mapokeo” au “mafundisho ya wanadamu.” Na hii ilionywa katika unabii.
Wakolosai 2:8 “Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.”
Hivyo, kama ukipokea “alama” kwa kuchagua mwenyewe, hii inamaanisha umewekwa alama kwenye kipaji cha uso. Na kama ukipokea “alama” kwa kulazimisha, hii inamaanisha umewekwa alama kenye mkono wa kulia. Lakini kumbuka.
Mathayo 16:25 “Kwa kuwa mtu atakaye kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na mtu atakayepoteza nafsi yake kwa ajili yangu, ataiona.”
Mathayo 10:39 “Wala mtu asiyechukua msalaba wake akanifuata, hanistahili. Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza; naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona.”
Yohana 12:25 “Yeye aipendaye nafsi yake ataiangamiza; naye aichukiaye nafsi yake katika ulimwengu huu ataisalimisha hata uzima wa milele.”
Tukirudi kwenye alama ya mnyama kanisa la Romani Katoliki bila ya kutambua linatimiza unabii huu kwa maelezo yafuatayo.
“Bila shaka kanisa la katoliki hudai kuwa badiliko, (la Sabato Jumamosi kwenda Jumapili) ilikuwa ni kitendo chake…na kitendo hicho ni ALAMA ya mamlaka yake katika mambo ya kidini.” –-H.F. Thomas, Chancellor of Cardinal Gibbons
“Jumapili ni ALAMA yetu ya mamlaka…kanisa liko juu ya Biblia, na uhamishaji huu wa utunzaji wa Sabato ni ushahidi wa jambo hilo la ukweli.” -–Catholic Record of London, Ontario Sept 1, 1923.
Kama unabii uko sawa unaposema jumapili ni alama ya mnyama, na Mungu anasema wazi wazi.
Kutoka 31:13 “…Hakika mtazishika Sabato zangu, kwa kuwa ni ishara kati ya mimi na ninyi katika vizazi vyenu vyote; ili mpate kujua mimi ndimi BWANA niwatakasaye ninyi.”
Ezekieli 20:12, 20 “Tena naliwapa sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi na wao, wapate kujua yakuwa mimi, BWANA, ndimi niwatakasaye…zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua yakuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.”
Maneno ishara, muhuri, na alama ni visawe, na yanaweza kutumika popote kwa kuyabadilisha-badilisha.
Hivyo, tuna uhakika wa ukweli wa Biblia kwamba Sabato ni ishara, muhuri, au alama ya Mungu. Na jumapili ni ishara, muhuri, au alama ya mnyama.
Imeandikwa na Aroon/JF
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? Jibu Lake Hili Hapa Hakika Litakushangaza
Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa yale waliyofundishwa darasani, vichwa vyao vinabaki vitupu. Kitu pekee walichojaza kichwani ni yale waliyofundishwa darasani. Hawa ndio hujisifia vyeti, au idadi ya "digrii" walizonazo. Hawana akili, japo wana elimu.
SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA UDAKU SPECIAL HAPA
Einstein alisema hakuna uhusiano kati ya elimu na akili. Kuna watu wana elimu lakini hawana akili, na wengine wana akili lakini hawana elimu. Ni bora uwe na akili ukose elimu, kuliko uwe na elimu ukose akili.
Icons wa Sayansi kama Isaac Newton, Galileo Galilei na Archimedes of Syracuse hawakuwa na elimu yoyote ya cheti, diploma wala degree, lakini walikua na AKILI. Ugunduzi wao mpaka leo unaiongoza dunia.
Akili siku zote ni "superior" kuliko elimu kwa sababu akili ndio ilibuni elimu. Yani watu wenye akili walikaa wakakubaliana waanzishe utaratibu ambao utamuwezesha mtu kukaa darasani na kujifunza kwa kipindi fulani, kisha apimwe kwa mitihani na atunukiwe cheti. Ubunifu huo ulifanywa na wenye akili. Jiulize mtu wa kwanza kutunukiwa degree duniani alifundishwa na nani?
So mtu mwenye akili lakini akakosa elimu, ni msaada kwa jamii kuliko mtu mwenye elimu lakini akakosa akili. Mark Zukerberg hakumaliza shule lakini kwa kutumia akili amebuni mifumo rahisi ya mawasiliano kupitia mtandao.
Yeye ndiye mmiliki wa Facebook, Whatsapp na Instagram. Wale maprofesa waliomuona "kilaza" darasani leo wanatumia ubunifu wake kuendesha maisha yao. Kama sio FB basi wanatumia Instagram au Whatsapp. Maprofesa wenye elimu kubwa wamezidiwa ujanja na "kilaza" mwenye Akili.
Usijidharau kwa uchache wa madarasa ulionayo, unaweza kuwa na akili nyingi kuliko mwenye degree 4.
Kumbuka Einstein alisema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Jiulize ukiondoa yale uliyofundishwa darasani unabaki na nini? Yani ukiondoa hiyo diploma, degree au PhD unayojivunia, kichwa chako kinabaki na nini?
Kama kuna kitu kinabakia basi hicho kinachobakia kinaitwa "AKILI". Na kama hamna kinachobakia basi hicho kichwa hakina
tofauti na mtungi wa gesi ambao umetumika na gesi kwisha.