Mafuta ya Kuvuta Pesa za Majini au Jini wa Utajiri (Money Drawing Oil?)
Mahakama Yasema Haina Mamlaka ya Kuwalazimisha WAREMBO Kurudisha Nauli Wanazotumiwa na Wapenzi Wao na Kuzila
Katika siku za hivi karibuni, wanaume wamekuwa wakikimbia kortini kuwashtaki wanawake ambao wamekuwa wakiwakwepa baada ya kuwatumia nauli.
Hususan katika kaunti ya Uasin Gishu idadi ya wanaume waliokuwa wakilalamika wapenzi wao kula 'fare' imekuwa ikiongezeka. Lakini mahakama ni kama imechoshwa na kesi hizo.
Hata hivyo, Hakimu Mkuu Mkazi wa Mahakama ya Eldoret anayeshughulikia kesi ndogo mjini humo, Tabitha Wanjiku Mbugua alisema kuwa korti yake haina mamlaka ya kuwashurutisha wanawake wanaokula nauli za wapenzi wao kuzirejesha.
Akizungumza Jumapili, Februari 26, katika hafla ya kutoa shukrani iliyoandaliwa na idara ya polisi, aliwashauri wanaume kutowatumia wanawake nauli.
"Ninawahurumia wanaume wanapoteza pesa zao kwa wapenzi wao wa kike kwa kuwatumia nauli. Inashangaza kwamba wapenzi hao wanakula wanakula nauli lakini wanakosa kwenda."
"Baadhi ya wanaume wamefika katia korti yangu na kutaka usaidizi ila kwa bahati mbaya korti yangu haina uwezo wa kuwashurutisha wanawake kurejesha pesa hizo. Mahakama ya kushughulikia madai madogo madogo haina mamlaka ya kushughulikia kesi hizo," alisema hakimu huyo kama alivyonukuliwa na gazeti la Taifa Leo.
Hakimu Wanjiku pia aliwaonya Wakenya wenye mazoea ya kwenda kwa waganga ili kurejeshewa pesa zao akisema juhudi zao zitafeli. Wanjiku alieleza kuwa korti haiwatambui waganga hao.
Haya Mambo Yafuatayo Huwafanya Wanawake Wengi Kushindwa Kuingia Katika Ndoa (Kuolewa)
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra awazo nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya shughuli za Ndoa na Harusi.
Hata hivyo, kwa wale wanawake wachache ambao husuasua kuolewa hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea kusuasua huko. (Izingatiwe hii ni kwa wanawake ambao hawajawahi kuolewa kabisa)
Vigezo vilivyopitiliza viwango (hasa kwa muonekano)
Wanawake wengi hasa wa umri mdogo (lakini unatosha kuolewa) hutumia muda mwingi katika kuchagua aina ya mwanaume ambaye angependa awe mume wake. Wanawake hawa hujiamini zaidi na kusimamia sifa zile ambazo huamini ni muhimu mwanaume wa kumuoa awe nazo. Vigezo hivyo huwa hata kwa misingi ya muonekano wa mwanaume huyo – kuna wale ambao hutaka mwanaume huyo wa kumuoa awe na sifa kama vile, mrefu, aliyejazia kifua, mtanashati, sauti nzuri n.k. Inaweza kuwa kama mzaha na ikaonekana ni kipengele kidogo sana lakini bado kuna wale ambao anaweza kuwa tayari kuolewa ila hataki sababu tu huyo mwanaume hafananii vile ambavyo yeye anataka mumewe awe.
Kutaka mwanaume tajiri
Kuna wanawake ambao tayari wameshajiwekea akilini kuwa hatakubali kuolewa na mwanaume yeyote yule ambaye hana pesa nyingi. Yupo tayari kuolewa ila si kwa mwanaume mwenye uwezo wa kawaida – hata ikitokea mwanaume ana uwezo kidogo wa kuweza kujitosheleza, yeye bado huona huyo mwanaume hamfai hadi pale tu atakapo pata yule ambaye anahisi ataishi maisha ya kifahari. Hivyo hukazana kusubiri na kujitahidi kuwinda aina ya mwanaume ambaye atakuwa na uwezo mkubwa, bila kujalisha kama huyo mwanaume kampita sana umri.
Kutompata Mwanaume Ampendae
Hili ni kama tu vile ilivyo kwa wanaume ambao huamini ndoa haiwezekani na haifai bali tu hadi pale umpatapo yule ambaye unampenda na unaamini anakupenda pia. Wengi katika kundi hili huamini kuwa mafanikio ya ndoa kigezo kikubwa ni kupendana tu na mengine hufuata kwenye sababu ya upendo. Kuna wanawake vigezo vya mwanamme awe vipi havina umuhimu kabisa katika kutaka kuamua kuolewa. Yeye kikubwa anataka ampate mume ambaye atampenda kwa dhati na huku akiwa na matumaini kuwa huyo mume atampenda na yeye pia kwa dhati. Huyu mwanamke anaamini msingi bora wa ndoa ni mapenzi ya dhati kati ya yeye na mmewe basi! Hana haraka hadi pale atakapompata mwanaume akampenda ndipo atakapokuwa tayari kuolewa.
Kuchagua mno Wanaume wa Kumuoa
Kuna wale wachache ambao akili hubadilika kama kinyonga; wasioridhika wala kujitambua ni nini wanataka ama mwanaume wa aina ipi wanataka. Akija wa mwenye uwezo atasema nataka wa kuchuma nae, akija asiye na uwezo atatoa sababu tu hata kama kumlaumu kuwa inaonyesha hajitumi kutafuta maendeleo. Akija wa kabila hii, atasema hapana hao wana tabia hii mimi siitaki! Yaani kwa ufupi ni mtu asiyeisha kutoa kasoro za wale ambao wanajitokeza kutaka kumuoa. Hatimaye inaweza tokea muda wa kuolewa ukapita na akaishia kupunguza uchunguzaji lakini ikiwa hata wanaume wa umri wa kufaa kumuoa kutokuwepo tena katika soko.
Kujiona ni mzuri sana
Kuna wanawake ambao ni kweli Mwenyezi Mungu kawajaalia uzuri hasa (uzuri wa muonekano), anakuwa ni mzuri kiasi kwamba wake kwa waume wote wanamkubali kwa uzuri huo na hata wote kumtamani. Hata hivyo hapo hapo kuna wale ambao huwa ni wazuri kawaida – ila kwa mtazamo wake hujiona ni mzuri mno hakuna mfano kama yeye; kitendo ambacho kwa wachache kwenye kundi hili hufanya kujiona yeye ni yeye na kuwa kwa yeyote kuwa na yeye huyo mtu anatakiwa atambue kuwa ana bahati sana. Kitendo hiki hukuza nyodo za hali ya juu ya mwanamke mwenye mtazamo huu, kiasi kwamba wanapojitokeza wanaume kutaka kuoa – anaweza onyesha tabia kama maringo, dharau na kiburi.
Kujiona ana Umri mdogo
Binti yeyote wa miaka 18 na kuendelea anaruhusiwa kuolewa endapo tu karidhia kuolewa. Wanawake wametofautiana mipangilio yao ya kimaisha, kuna wale akiwa katika umri wa kuolewa hutamani sana kuolewa na kuna wale ambao hupenda kuolewa wakiwa wakubwa zaidi. Katika kundi hili umri kuwa mdogo hutegemeana, kuna mwingine anakuwa na umri wa miaka 25 na bado akajiona mdogo na hali kuna mwingine anakuwa na miaka 20 na akajiona ni mkubwa na anafaa kuolewa. Hii pia ni kwa wanawake wale ambao huwa na malengo ya kutotaka kuharakisha katika ndoa. Anapokuwa na umri ambao anaweza kuolewa lakini yeye hayupo tayari kwa muda huo, huwa ni kikwazo kwake kuingia katika ndoa.
Maradhi hasa UKIMWI
Hili kama lilivyo kwa wanaume - Pamoja na kuhamasishwa kwingi na wataalamu wa maradhi ya HIV/AIDS kuwa mtu hata ukiwa umeathirika unaweza kuwa na mahusiano na hata kuoa na kuwa na watoto; bado haisaidii sana kwa vijana wanaojitambua kuwa ni waathirika wakiwa bado ni wadogo, hawajaoa/olewa ama kuwahi kuwa na mtoto. Wengi sana hukata tamaa na huona ni kheri kubaki walivyo kuliko kuingia katika ndoa, hasa tokana na imani kuwa wanawake wakizaa wakati ni waathirika; afya hudhoofika zaidi.
Kutaka maisha ya Tamthilia (Ndoa za kuishi kwa furaha milele)
Kutokana na kukua kwa idadi ya tamthilia nyingi ambazo huonyesha maisha ya kimagharibi zaidi; kumekuwa na dhana kwa baadhi ya wanawake kutaka hayo maisha ya tamthilia yawe na kwao pia. Hilo linafanya vigezo ambavyo mwanamke huyo anatumia kuchagua ama kukubali mwanaume kumuoa kutotimiza yale ambayo yeye binafsi anatarajia. Wengi hushindwa kutambua kuwa hakuna maisha ya furaha milele, na hasa kuwa maisha ya maigizo yapaswa kuchanganya na zako kuweza kufanya maamuzi ya kipi kiigwe na kipi kiachwe kama kilivyo.
Kuona taasisi ya Ndoa kama Utumwa
Mtazamo huu kwa wanawake wenye msimamo huu, huchangiwa na baadhi kama haya:
- Usomi: Aina ya usomi ambao hupelekea kwa baadhi kuwa na tafsiri tofauti juu ya ndoa, haki, majukumu na mengine mengi.
- Kushuhudia ndoa mbovu: Hii inaweza kuwa ya wazazi/walezi wake wenyewe (pengine mama aliteswa sana), na hata ndugu wa karibu kama vile kushuhudia kila ndoa ya ndugu yake anayoijua mwanamke huishi kwa mateso, manyanyaso na maisha ya taabu na kuonewa.
- Kuwa na uwezo sana wa kujitosheleza ambao unaweza kumtimizia na kufanya lolote lile ambalo anataka katika maisha. Kwake kuwa na mwanaume kama mume kwake anaona kama ni utumwa.
Kutokuwa kabisa na mshipa wa hisia za kufanya mapenzi
Kuna wanawake wale wachache waliozaliwa hivyo. Hawana hisia yoyote ile ya kimwili ya kuweza kupata hisia za kuweza kujisikia ama kutamani kufanya mapenzi. Wengi wa aina hii ya wanawake huwa ni waoga sana wa kuwa karibu na mwanaume, na kwa wale ambao wamewahi hata jaribu baadhi huona kama kitendo cha ndoa ni kero, unyanyasaji na uchafu. Hivyo wazo la kuwa akiolewa anatarajia kufanya kitendo cha ndoa mara kwa mara kinamvunja kabisa hamu ya kutaka kuolewa.
Miss Rwanda afichua jinsi Thabo Bester, mpenzi wake walivyojaribu kumtapeli
Yanga Kiboko.. Yaitandika Rivers ya Nigeria Kichapo Kitakatifu...Kwa Mkapa Wakija Tunawamaliza
KLABU ya YAnga imefanikiwa kuondoka na ushindi mnono wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya timu ya Rivers United ya nchini Nigeria katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Miili ya Waumini 21 Waliofunga Mpaka Kufa Yafukuliwa na Polisi Kenya
Kocha NABI Mnyama Sana..Aanika Mbinu Aliyoitumia Kuwaua Rivers Nyumbani Kwao Nigeria
Kocha NABI Mnyama Sana..Aanika Mbinu Aliyoitumia Kuwaua Rivers Nyumbani Kwao Nigeria
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohamed Nabi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya wapinzani wao, Rivers United ya Nigeria haujamalizika kwani bado kuna dakika nyingine 90 kwenye Dimba la Mkapa.
Kauli hiyo ya Nabi imekuja wakati akihojiwa na vyombo vya habari nchini Nigeria baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho jana Jumapili, Aprili 23, 2023, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa bao 2-0, katika Dimba la Godswill Akpabio, mabao yote yakifungwa na Fiston Mayele dakika ya 73 na 81.
"Sisi hatujaja hapa kujifurahisha, nazifahamu timu za Nigeria, kupata matokeo Nigeria ni vigumu sana, lakini tupo serious na mashindano haya. Siku zote nimekuwa nikiwaambia wachezaji wangu wajitahidi kupata matokeo mazuri ugenini kabla ya kuwaza matokeo ya uwanja wa nyumbani, ndicho hicho nilichokifanya.
"Rivers ni timu nzuri, mashindano ya Klabu Bingwa mwaka 2021/22, Rivers walituondoa katika hatua za awali, kulikuwa na sababu nyingi lakini zaidi timu yetu haikuwa kwenye ubora tulionqo sasa hivi. Sasa hivi kikosi kipo imara na tupo tayari kupambana.
"Sisi Waafrika tunajuana, mechi hii haijaisha, bado kuna mechi nyingine ya marudiano kwa Mkapa baada ya siku saba, kikao changu cha kwanza na wachezaji wangu itakuwa ni kuwasisitiza hilo. Nawaheshimu Rivers, kocha na wachezaji wao wote ni wazuri, lakini sisi tuna malengo ya kufika mbali zaidi kwenye mashindano haya," amesema Nabi.
Mziki wa Mchezaji MAYELE Unaogopesha..Yanga Njia Nyeupe Nusu Fainali
Mziki wa Mchezaji MAYELE Unaogopesha..Yanga Njia Nyeupe Nusu Fainali
Timu ya Yanga imeanza vyema hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabio.
Mchezo huo wa mkondo wa kwanza uliopigwa nchini Nigeria, shujaa wa Yanga aliyeipa furaha ni mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Fiston Mayele aliyefunga mabao yote mawili dakika ya 73 na 81.
Katika michezo 15 ya CAF ambayo Rivers imecheza ikiwa nyumbani huu unakuwa ni mchezo wa pili kwao kupoteza baada ya awali kufungwa bao 1-0 na Far Rabat ya Morocco ikishinda 12 na sare dhidi ya Disables Noirs.
Miongoni mwa timu ambazo Rivers imewahi kuzifunga ikiwa nyumbani ni Enyimba, Club Africain, Asec Mimosas, El Merrick, Wydad Casablanca na Bloemfontein.
Katika michezo 11 iliyopita ya mashindano ya Klabu Afrika ambayo Rivers United imecheza nyumbani imeshinda minane, sare miwili na kupoteza mmoja ikifunga jumla ya mabao 33 na kuruhusu manane.
Kwa upande wa Yanga katika michezo 11 ikicheza ugenini imeshinda mitano, sare mmoja na kupoteza mitano ikifunga mabao 11 na kuruhusu 10.
Yanga imejiweka katika mazingira mazuri ya kufuzu hatua ya nusu fainali kwani katika mchezo wa marudiano utakaopigwa Aprili 30 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam inahitaji sare tu.
Endapo Yanga itafuzu hatua hiyo itakutana na mshindi kati ya Pyramids (Misri) au Marumo Gallants ya Afrika Kusini.
Rivers United wakiwa nyumbani msimu huu kwenye mashindano ya CAF
1. ✅ Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca
2. ✅ Rivers 5 - 0 Al Nasr
3. ✅ Rivers 3 - 0 ASEC
4. ✅ Rivers 3 - 1 Motema pembe
5. ???? Rivers 2 - 2 Diables Noirs
6. ❎ Rivers 0 - 2 Yanga SC
VINARA WA MABAO CAFCC
5 — Fiston Mayele (Yanga)
4 — Paul Acquah (Rivers United)
3 — Malanga Mwaku (Marumo)
3 — Mostafa Fathi (Pyramids)
Mafuta ya Kuvuta Pesa za Majini au Jini wa Utajiri (Money Drawing Oil?)
Haya ni mafuta Mapya kutoka Katika Maktaba kuu inayoshughulika kutengeneza Vifaa mbalimbali vya Nguvu za Asili na Za Kimiujiza vyenye uwezo mkubwa wa kumsaidia Binadamu kufikia malengo yake yawe Hasi ama Chanya
Wanaitwa Lord's Divine wanapatikana Katika Maktaba Kuu ya Nguvu za Asili
Kazi ya mafuta haya ni Nyingi ila Nitaanisha baadhi kwa Uchache..
👉kuwa na uwezo wa kuvuta Pesa kwa wingi na hivyo kuweza kukupatia Utajiri kwa haraka
👉Kukufanya uwe MVUTO na BAHATI kubwa sana ktk kila jambo lako utakalofanya linafanikiwa
👉Kukufanya uwe na mvuto na heshima kubwa katika Kazi, Kwa Wachungaji, Wanasiasa, Wasanii, au Mtu yoyote Maarufu
Kwa wanayoyafahamu wanajua faida zake. Haya ni mafuta yanayotumiwa sana katika kuvuta pesa za majini ama kuita Jini wa Utajiri. Ni mafuta yenye kazi nyingi za umuhimu na kimaendeleo, shida ni kwamba hayapatikani kiurahisi sana kwa ajili ya umuhimu wake na mafanikio yake..
MATUMIZI YAKE KWA WALE WANAOTAKA PESA ZA MAJINI :
Andaa Chumba ( Kisiwe na Vitu Vingi)Tafuta kitambaa cheupe mita moja kitandike katikati ya sakafu ndani ya chumba, kisha nyunyuzia Poda katika kitambaa chote.
Chukua Noti ya Pesa ya nchi yoyote iweke katikati ya kitambaa hicho
Dondosha tone moja la mafuta ya Shantar
Washa mshumaa warangi ya njano mbele ya kitambaa hicho.
Nuwia ukitakacho takribani dakika 10 kisha Toka Nje Kisha Baada ya.... KWA MAELEKEZO YA ZAIDI TAFADHALI TUWASILIANE
Pia Dr Juma Ramadhani Anatoa LIMBWATA -- MRUDISHE MPENZI WAKO NDANI YA MASAA 6 TU
NGUVU ZA KIUME
Zindiko ya Nyumba/ Kinga ya Mwili
Hurudisha Mali zilizopotea au Kutapeliwa(Nyumba, Viwanja Gari Pesa nk.
Magonjwa Sugu, Kisukari, UTI sugu, Miguu Kufa Ganzi...
Njoo Umuone Dr Juma Ramadhani na Ujue yanayo Kusibu... Tiba Ni Kwa Dini na Imani Zote..
Kwa mahaitaji ya mafuta haya WhatsApp No +255 743 746 397
Kuna Hakimi wengi Paris, Madrid, Antwerp na kwingineko
Kuna Wamorocco 1,146,000 wanaishi Ufaransa. Kuna Wamorroco 766,000 wanaishi Hispania. Katika hawa wanaoishi Hispania yumo mtu anayeitwa Achraf Hakim. Pia yumo mama yake anayeitwa Saida. Wote wawili wamevuma wiki iliyopita katika mitandao mbalimbali duniani.
Kwamba Hakimi ameandikisha utajiri wake mkubwa kwa jina la mama yake hali iliyomzuia mke wake mrembo, Hiba Abouk kuchota nusu ya utajiri wake aliouchuma katika soka. Habari hii imeyumbisha dunia na imesababisha zogo kubwa.
Sina uhakika wa asilimia zote kama ni habari ya kweli lakini sishangazwi kama habari yenyewe itakuwa ya kweli. Kuna pande mbili hapa. Kwanza kabisa kuna wanaume ambao ni watoto wa mama. Huwa hawaruhusiwi kukua mbele ya mama.
Wengine ni kwa sababu ya maisha waliyopitia. Unakuta mwanamume analelewa na mama peke yake kwa muda mwingi wa maisha yake. Zaidi ya yote, katika historia ya Hakimi, ameishi maisha ya dhiki na mama yake. Sasa hivi ni muda wa kufurahia utajiri wake na mama yake.
Yeye sio wa kwanza kuwa katika hali hii, wapo wengi. Wasanii, wacheza filamu, wanasoka, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali. Wapo ambao walilelewa katika maisha ya mama mmoja ambaye anahaha kumtunza mwanae. Mambo yakibadilika mtoto anahakikisha mama anakula matunda.
Lakini subiri kwanza. Kuna hili la jambo la pili ambalo ni muhimu. Unajua kwa nini wanasoka wengi waliozaliwa Ulaya wenye asili ya Morocco, Algeria na Tunisia wanaamua kucheza nyumbani? Hawa ni kama Hakimi mwenyewe ambaye amezaliwa Madrid, Marouane Chamakh, Riyad Mahrez na mamia wengine.
Hawa wanacheza nyumbani kwa sababu ingawa wamezaliwa Ulaya lakini kule Ulaya wanaishi katika jamii zao. Wanalelewa na jamii zao, wapo Ulaya lakini wanaishi kama vile wapo Tunis, Casablanca, Rabat, Algiers na miji mingine ya kwao.
Hakimi asingeshindwa kucheza katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania. Nani angemweka benchi katika nyakati hizi? Dani Carjaval? Sidhani. Riyad Mahrez angeshindwa kukipiga katika kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa? Hapana.
Hawa waliamua mapema tu kukipiga katika timu za baba na babu zao. Kwa mfano, Hakimi ameanza kuichezea timu ya Morocco chini ya umri wa miaka 17. Akasogea zaidi na zaidi na mpaka sasa ni tegemeo katika kikosi cha Ufaransa. Ni kama ilivyo kwa Sofiane Amrabat na wachezaji wengi wa kikosi cha Morocco ambao wamezaliwa Ulaya.
Wengine huwa wanahisi kucheza katika timu za taifa za Ulaya ni kama usaliti hivi. Unaamka katika nyumba ambayo imejaa Wamorocco, majirani zao wote Wamorocco, halafu unaichezea timu ya taifa ya Ufaransa. Ni kitu ambacho kwao wanaona hakijakaa sawa.
Ni basi tu wanajikuta wapo Ulaya lakini wanakulia katika misingi ile ile ambayo wangeweza kukulia kama wangezaliwa katika miji yao ya nyumbani Afrika. Haishangazi kuona hawaingii katika uzungu sana na badala yake wanajikita katika misingi yao ya Kiarabu.
Wanaongea Kiarabu na Kifaransa ingawa lugha yao ya kwanza ilipaswa kuwa Kifaransa kwa sababu shuleni wanasoma na watoto wa Kizungu. Wanafundishwa kuswali swala tano kama kawaida. Ifikapo wakati wa mfungo huwa wanafunga kama kawaida.
Nimeshuhudia hili nikiwa katika miji kama Madrid, Barcelona, Paris, Antwerp na kwingineko. Nimeshuhudia pia kwa rafiki zangu wa pale Genk pindi nikimtembelea staa wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayecheza pale.
Rafiki yangu pale anaitwa Noureddine. Ni Mbelgiji ambaye ana asili ya Morocco. Anaishi kama vile yupo Casablanca. Haishi kama mtoto wa kizungu. Matokeo yake, heshima yake kwa wazazi wake inabakia pale pale na ameendelea kuwa mtoto wa mama.
Ni kitu tofauti na watoto wa kizungu ambao mara nyingi wakishafikisha umri wa miaka 18 uhusiano wa karibu na wazazi unapungua kwa sababu jamii yao inampa mamlaka makubwa ya kuchukua maamuzi yake binafsi.
Ukichunguza zaidi kwa wachezaji wa kizungu utasikia stori nyingi za yeye na mpenzi wake na sio stori nyingi kuhusu yeye na mama yake au yeye na baba yake. Hawana Hakimi wanaishi Kiafrika hasa pale Ulaya na huwa hawakui kama ilivyo kwa wanasoka wazungu au wanasoka weusi ambao wamezaliwa Afrika au Ulaya.
Ndio maana haishangazi kuona stori za wachezaji weusi au wazungu kufilisiwa na wanawake zipo nyingi kuliko stori za wachezaji wa Kiarabu. Ni kwa sababu kama hii ya Hakimi. Wanakulia katika matunzo yenye maadili kutoka katika familia hadi katika jumuiya.
Tatizo kubwa la watoto hawa wa Kiarabu ni watundu sana. Ni kama ilivyo kwa watoto wa Kiarabu wa Kariakoo na kwingineko. Utundu mwingi na wakati mwingine wanapitiliza. Vurugu nyingi za usiku ambazo wakati mwingine zinasababisha kuharibu maisha yao ya soka.
Wengi ni masela tu ingawa wana maadili. Yuko wapi Samir Nasri? Vipi kuhusu Hatem Ben Arfa? Vipi kuhusu kile kichwa ambacho Zinedine Zidane alimpiga Marco Materrazzi katika kombe la dunia mwaka 2006? Ilikuwa mechi yake ya mwisho katika soka.
Ukorofi huu wa hawa ndugu zetu ndio ambao ulisababisha Wamorocco wanaoishi Ubelgiji kufanya vurugu baada ya Morocco kuifunga Ubelgiji katika kombe la dunia. Ilinishangaza sana. Wao ndio wameshinda halafu wao ndio wanafanya vurugu.
Ingekuwa wao ndio ambao wamedhulumiwa tungeweza kudai kulikuwa na hila dhidi ya Waarabu katika michuano yenyewe. Lakini hawakupoteza mechi na bado wakafanya vurugu dhidi ya wazawa. Inashangaza kidogo.
Watumiaji wa Twitter Warudishiwa "Blue Tick"
Baadhi ya akaunti za Twitter ambazo zina followers zaidi ya Milioni moja zimerudishiwa kitiki cha blue leo na Kampuni ya Twitter bila kulipia gharama za kitiki hicho, hatua hii inakuja baada ya baadhi ya Watu maarufu kusema hawatolipia blue tick zao.
Siku kadhaa zilizopita Kampuni ya Twitter iliondoa utambulisho huo katika Akaunti za Mastaa mbalimbali wakihitajika kuzilipia.
Kitendawili Cha Oscar Oscar na B Dozen Kutua Redio Gani Bado Pasua Kichwa
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mkurugenzi wa EFM na TVE Majizzo ameandika kuwa.
“Ilikuwa wakati mzuri sana kufanya kazi na ndugu zangu Maulid Kitenge, Gerald Hando, B Dozen na Oscar Oscar.
Nitaendelea kuwashukuru na kuwaheshimu sana kwa mchango walioweka hapa #EFM na TVE. Nawatakia mafanikio katika ajira zao mpya, mafanikio yao ni mafanikio ya tasnia na hiyo ni furaha yangu. . All the best ndugu zangu????????
Tayari inafahamika Kitenge na Hando wametua Wasafi FM, bado haijafahamika B 12 na Oscar Oscar wataibukia wapi.
Magomvi Ndani ya Ndoa Kisa Mtoto wa Kiume
Magomvi Ndani ya Ndoa Kisa Mtoto wa Kiume
Jina langu ninaitwa Witness, wanaonihusudu wananiita wit ni wengi niilibahatika nikaolewa na mtoto wa bosi wetu kwenye kampuni ninalofanya kazi huko meru.Ndoa ya kifahari ilifanyika ambayo wafanyakazi wenzetu walihudhuria na kutowa zawadi nyingi.
Nilikaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka tisa na kumzalia mume wangu watoto wa kike wanne, tamaa yetu ya kutaka tupate mtoto wa kiume ndiyo iliyotufanya tusizijuwe njia za uzazi wa mpango na kuwapandanisha watoto kama ngazi japokuwa hili halikuwa tatizo kwa kuwa familia ambayo nilikuwa nimeolewa ilikuwa yenye pesa na kumfanya kila binti yangu apewe dada wa kazi wa kumlea pekeyake.
Mara zote tulipojaribu hatukufanikiwa tuliiishia kupata mtoto wa kike na wakati mwingine mimba kadhaa kuharibika kabla ya kujifunguwa.Tukaamuwa kupata ushauri wa madaktari bingwa hapo meru wakatusisitiza kuwa kama tungetaka kupata mtoto wa kiume ilitubidi tufanye mapenzi siku ya kwanza ya hatari yangu, awamu hii tulipata binti tena tukawa na mabinti watano.
Aibu ikanishika kwa upande wa mume wangu huruma ikamzidi tukaanza kupunguza upendo kidogokidogo kwa kushindwa kumzalia mtoto wa kiume hata mmoja.
Mmoja wa wadada wa kazi aliyekuwako hapo nyumbani alinisihi nijaribu tiba mbadala na kunisisitiza nimtafute daktari BAKONGWA.Wakati huu sikusita kufanya lolote kwa kuwa sote tulihitaji mtoto wa kiume nilipomjulisha mume wangu hakupinga akakubaliana nalo wazo hili.
Tulimtafuta daktari kwenye nambari zake za whatsapp +243990627777 na kumtaka atutatulie tatizo letu alitupa maelekezo ya kufanya na tiba za kutumia kwa muda wa siku mbili tulipomaliza dawa tukakutana tena na mume wangu ujauzito niliubeba, miezi sitta ilipofika kwenda kuangalia jinsia ya mtoto ultrasound ilionyesha ni jinsia ya kiume.
Asante sana daktari kwa huduma zako ndoto zetu za kupata mtoto wa kiume zimekamilika kwa haraka na upeno wa mume wangu juu yangu umekuwa maradufu ya mwanzo.
Mawakili wa Thabo Bester Wabwaga Manyanga
Mawakili wanaosimamia kesi ya Thabo Bester wamemtaarifu mteja wao kujitoa katika kesi inayomkabili huku ikielezwa huenda akawatumia mawakili waliokuwa wanamtetea Dr Nandipha Magudumana.
Hatua hiyo inamfanya Thabo kuanza kutafuta mawakili wengine baada ya Mawakili hao wa Ishmail kumtaarifu kujitoa.
Mei 16, 2023 mtuhumiwa huyo anatarajiwa kurejeshwa mahakamani ambapo atalazimika kuwatumia mawakili wengine katika kesi inayomkabili.
Wiki iliyopita mahakamani hapo mtuhumiwa huyo alimwomba wakili wake waieleze mahakama kuhusu hofu yake ya kula chakula kwa madai ya kuwekewa sumu kwa ajili ya usalama wake kiafya huku akihoji uvunjwaji wa sheria walivyomrudisha kutoka Tanzania.
Chanzo kimoja kimeeleza kwamba huenda mawakili hao wameamua kujitoa kwa sababu ya ugumu wa kesi kwani mteja wao tayari alikuwa anatumikia adhabu ya kifungo na kinachoonekana huenda akakabiliwa na adhabu zaidi ya kifungo kutokana na kutoroka gerezani.
Ikumbukwe Thabo Bester na mpenzi wake Dk Nandipha Magudumana walikamatwa Aprili 7 na Polisi wa Tanzania kwa ushirikiano na Jeshi la Polisi la Afrika Kusini na Jeshi la Polisi la kimataifa (Interpol).
Pia, Serikali ya Afrika Kusini ilitumia kiasi cha Sh175 milioni (R1.4 milioni) ili kukodi ndege kwa ajili ya kuwarejesha Thabo Bester na mpenzi wake Dk Nandipha waliokamatwa jijini Arusha.
DALILI 7 Za Kuonyesha Anakucheat Na Mwingine..!!
Anyway mambo kama haya huwezi kuyazuia kwa sababu wenyewe ndio wanayaita mapenzi. Utaskia mtu akilalamika kuwa amemiss kugombana ama kuteteshana na mpenzi wake, jambo ambalo huwa ni la kawaida.
Ok. tukija katika mada yetu ni kuwa nataka nikuulize maswali yafuatayo. Je hivi karibuni umeona kama mpenzi wako amekuwa mtu tofauti na ilivyo kawaida? Je mpenzi wako imekuwa muda mrefu tangu mfanye mambo yenu ya kawaida ambayo mlikuwa mkifanya? Je unamshuku kama amepata mwingine?
Kama majibu yako ni NDIO basi hili chapisho nimeliandika spesheli kwako na nataka umakinike kwa kusoma dalili zetu tulizoziandika na kama yote yanawiana na dhana yako basi ni wakati wa kumfungukia mpenzi wako na umwambie kweupe kuwa umechoshwa na tabia yake ya 'kutoka nje', na umuulize kama amechoshwa nawe ili ukate minyororo ya kuwa naye ili uwe huru.
Zama nami!
Dalili #7: Muda mwingi anajaribu kujirembua kuoneka vizuri
Kuvalia vizuri kila wakati si jambo baya la kufanya katika mahusiano, mwanzo wapenzi hupenda sana kuhakikisha ya kuwa wanampendeza mwenza wao.
Lakini, ukiona ya kuwa anamakinika zaidi na upande wa kujifanya aonekane mrembo, basi itakuwa anajaribu kumridhisha mtu mwingine kando na wewe. Kama umemgundua kuwa anajaribu kuvalia vizuri wakati anatembelea hizi sehemu basi weka ? katika mawazo yako: Kazini, supermarket, mkahawa, na hata gym!
Makinika: Zile sehemu zake za kawaida anazozienda kama amezijeuza kuwa fashion show itakuwa ni ishara ya kuwa anakucheat.
Dalili #6: Anakuwa msiri na simu yake, pakatalishi yake nk
Kila mtu ana haki ya kuwa na faragha yake. Mwanzo, watu wengi hawapendi faragha yao ishambuliwe na hata wapendwa wao. But ishu itakuja wakati ambapo anakuwa msiri kuhusu vitu vyake zaidi kuliko awali.
Hii inaweza kumaanisha kuwa kunakuwa na migogoro isioisha wakati ambapo umechukua kuangalia simu yake hadi ule wakati anaudhika wakati umeingia kwa chumba chake akiwa anatumia kompyuta yake. Ukiona mtu akianza kuwa msiri zaidi ni kuwa atakuwa anawasiliana na mchumba mwingine ambaye ako naye.
Dalili #5: Anapunguza hamu ya kufanya tendo la ndoa hadi kukataa asilani
Hata watu waseme nini, kufanya mapenzi ni sehemu muhimu inayohitajika katika mahusiano. Kama hamfanyi mapenzi, utajihisi ya kuwa unabezwa na kukatalika na mpenzi wako.
Wakati umri unaposongea, utagundua ya kuwa kiasi cha mapenzi mnachofanya huwa kinapungua. Hio ni kawaida, lakini kuna hatua nyingine neno 'ni kawaida' linaondolewa.
Kukataliwa katakata kufanya mapenzi ama kutoa visababu inaweza kumaanisha kwa njia rahisi kuwa hajiskii kufanya mapenzi na wewe. Wakati mtu anakucheat, huwa anapoteza ule muungano wa kihisia na wewe na atakuwa hana hamu ya kufanya mapenzi na wewe
Dalili 4: Kuna yule mtu kilinge (mysterious)
Wale watu kilinge ndio unaopaswa kuwaogopa zaidi. Wanaume na wanawake kwa kawaida watakuwa na marafiki wa jinsia ile nyingine, lakini kama utamwona mpenzi wako haachi kuongea kuhusu huyo mtu basi kuna tatizo.
Hata kama nia yake ni nzuri, anaweza kuwa na kitu ambacho ni zaidi ya kuwa marafiki. Kama hatakuruhusu ukutane na huyu mtu kilinge ambaye amekuwa akipoteza muda wake mwingi naye, basi kunaweza kuwa na kitu ambacho ni zaidi ya kuchat pekee.
Dalili #3: Anazozana na wewe zaidi ya kawaida
Kukefyakefya na kukufananisha na wengine ni jambo lisilokubalika katika usuhiano. Wakati ambapo hii itatoka kuanzia mzaha hadi kuwa serious, ni ishara ya kuwa anakucheat.
Mara nyingi, mpenzi akikosana na mwenziwe hujaribu kujitenga na majibizano. Lakini ukiona ya kuwa kila wakati anagombana na wewe kwa sababu ya mahusiano yenu basi ni ishara ya kuwa kuna mwingine ambaye anamwonyesha mapenzi ya dhati...na si wewe
Dalili #2: Anakutenga wewe na marafiki zako wa karibu
Wapenzi wawili ambao wamekuwa pamoja kwa muda mrefu huwa wanagawa marafiki pamoja. Hawa ni wale ambao nyinyi wawili mnawaingiza katika maisha yenu kadri miaka inavyosonga. Wakati umeona kuwa mpenzi wako anapunguza muda wa kuwa na wewe na anachofanya ni kuwatenga watu hawa, kawaida huwa kuna mtu anahusika.
Anaweza kuwa hana moyo wa kukabiliana na marafiki wa karibu na kuwadanganya kuhusu furaha anayopata katika mahusiano yenu. Hii inaweza kutokea baada ya muda mrefu ama akajitenga ghafla.
Dalili #1: Analijeuza neno ''tu'' hadi ''ni'' polepole
Neno ''tu'' katika mahusiano ni takatifu. Huu ni ule wakati ambao mwanaume na mwanamke wamewekeza shina la kuwa pamoja. Wakati mwingi, sana sana wanawake ndio huwa wa kwanza wa kubadilisha neno ''ni'' hadi ''tu'' halafu mwanaume akalizoea.
Hivyo katika mahusiano ukiona mpenzi wako ameanza kurudia kutumia neno ''ni'' itakuwa anajaribu kukutenga katika maisha yake, anajaribu kukufuta katika picha yake.
Mwisho ni kuwa kudanganya katika mahusiano ni swala zito ambalo linaibua hisia nzito, lakini dalili za kucheat zinaweza kutatiza zaidi.
Kukataa kufanya mapenzi ama kujaribu kujirembua inaweza kusababishwa na misongo ama kutojiskia shangwe yeye mwenyewe. Kabla ya kumlaumu kuwa anafanya mabaya, hakikisha ya kuwa kuna ishu inayoendelea, ama inaweza kuwa wewe ndiwe chanzo cha kufanya mahusiano yenu yavunjike
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo
BONYEZA HAPA KUSOMA NAFASI HIZO
AJIRA YAKO: Website Provides an Open and Easy Access to Job Applications, Great Resources for Career Advancement and Job Placement.
Tembelea Kila siku kwani Kwa siku tunaweza Nafasi Mpya za kazi zaidi ya 30 kutoka Makampuni tofauti , njia za kuapply ajira hizi ni tofauti , kuna makampuni wanataka utume email na viambatanishi kama CV, vyeti na Barua ya Maombi, Makampuni mengine yanataka ujiandikishe kaka Mfumo wao (Portal) Kisha ndio ufanye maombi
BONYEZA HAPA KUSOMA NAFASI HIZO
Ule Moshi Waiponza Wydad CAF...Washitakiwa na Simba, Kumbe Waliruka na Kuvamia VIP
Ule Moshi Waiponza Wydad CAF...Washitakiwa na Simba, Kumbe Waliruka na Kuvamia VIP
SIMBA inataka kurudia maajabu yake ya kumtupa nje bingwa mtetezi wa Ligi ya Mabingwa CAF ambao ni Wydad Athletic Club, lakini kabla ya mechi ya pili tayari imeandaa malalamiko juu ya mashabiki wa timu hiyo.
Simba juzi ilipata ushindi wa bao 1-0 na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kwa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa itafanya hivyo itakuwa mara yao ya pili kufika hatua hiyo.
Kabla ya kuondoka Simba leo itawasilisha rasmi malalamiko yao kwa Shirikisho la Soka Afrika Caf juu ya kutoa tahadhari za mashabiki wa Wydad kufuatia matukio waliyoyafanya kwenye Uwanja wa Mkapa dakika 10 za mwisho kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika.
Kama hukuona ni kwamba mashabiki hao maarufu kama Ultras ambao wanahesabika kuwa na vurugu nyingi, waliruka uzio wa jukwaa na kutua jukwaa moja la VIP B bila ruhusa.
Hawa wamekuwa wakiambatana na timu hiyo kila mahali wanapokwenda na wanatajwa kuwa na vurugu kubwa kwenye mechi za ugenini kuliko nyumbani kwao.
“Hawa wanaitwa Ultras wapo kama 300 hivi ingawa sidhani kama pale wapo wote, wanakwenda na timu yao popote na wanashangilia mwanzo mwisho, shida wanafujo sana,” alisema shabiki mmoja wa Wydad wakati mechi inaendelea.
Baada ya kuruka uzio huo wakati timu yao ikishambuliwa kwa nguvu na Simba waliwasha fataki za moshi ambao uliwazuia mashabiki wengine kuona pamoja na wachezaji na waamuzi kuona giza hali iliyomfanya mwamuzi kusimamisha mchezo.
Msimu uliopita Simba iliwahi kukutana na kasheshe la mashabiki kama hao wa RS Berkane ya hapohapo Morocco kwa kuwasha fataki kama hizo na waliripoti kwa CAF kisha Berkane kupunguziwa idadi ya mashabiki kwenye mechi zao.
Mara baada ya mchezo wa juzi mabosi wa Simba tayari walishaanza hesabu hizo wakikusanya vielelezo vya picha za mnato na zile za video kwa lengo la kuziwakilisha CAF kwa idara ya mashindano hayo.
Simba inataka kujiweka katika mazingira salama kuelekea mchezo wao wa marudiano dhidi ya Wydad ambao utachezwa nchini Morocco Aprili 28, saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
Meneja wa Habari wa Simba Ahmed Ally amelithibitishia Mwanaspoti kuwa watawasilisha barua rasmi kwa CAF leo katika kuweka tahadhari ya mashabiki hao ili wasiiharibu saikolojia ya wachezaji wao.
“Simba ina mashabiki Morocco ambao tutawakuta kule,t uliwakuta pia tulipocheza dhidi ya Raja kama walifanya vitendo hivi ugenini hawatashindwa kufanya wakiwa kwao tahadhari yetu ipo hapo,”alisema Ahmed.
“Tutakutana Jumatatu kumalizia hilo nadhani kwa waliokuwa uwanjani jana (juzi), waliona kilichofanyika ilikuwa huwezi kuona mbele na mbaya zaidi walifanya yale wakati tunatafuta bao la pili, tutawaambia Caf kila kitu ingawa tunafahamu nao viongozi wao walikuwa hapa wameona.”
Hatua mbaya kwa Wydad ni kwamba mratibu wa mchezo huo Joshua Knipp raia wa Afrika Kusini ndiye aliyesimamia mchezo wa Berkane dhidi ya Simba ambapo juzi alikuwa tena kazini kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
ROBERTINHO ANAJIPANGA
Wakati mabosi wakijipanga hivyo kocha wao naye Robert Oliveira ‘Robertinho’ anapasua kichwa jinsi ya kuwavamia wapinzani wao katika safari yao ambayo huenda ikaanza kesho Aprili 25, kuwafuata Wydad.
Robertinho ameliambia SOKA LA BONGO kuwa kwa sasa anataka kufanya maamuzi ya mifumo miwili migumu itakayokwenda kuwapa nguvu kwenye mchezo wa ugenini huku akichimba mkwara kwamba Simba iheshimiwe sasa.
“Tunataka kuhakikisha tunawaweka katika wakati mgumu licha ya kucheza kwao,nawaamini wachezaji wangu sitaki turudie makosa haya ambayo kwetu yalishapita,” alisema Robertinho raia wa Brazil.
“Sisi sio timu nyepesi tena watu watuheshimu tunaweza kwenda ugenini na tukafanya kitu, tunawaheshimu Wydad lakini hatutakwenda kinyonge pale Casablanca tutakwenda kupigania heshima ya klabu hii kubwa.”
Timu Anayochezea MSUVA Saudi Arabia Hali ni Tete Kushuka Daraja, Mwenyewe Aonesha nia ya Kucheza Ligi Kuu na Christiano Ronaldo
Timu Anayochezea MSUVA Saudi Arabia Hali ni Tete Kushuka Daraja, Mwenyewe Aonesha nia ya Kucheza Ligi Kuu na Christiano Ronaldo
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye anaichezea Al-Qadsiah amesema anaamini kuwa msimu ujao wa soka huko Saudi Arabia unaweza kuwa na neema zaidi kwake kuliko huu unaomalizika.
Msuva ambaye huu ni msimu wake wa kwanza kucheza soka la kulipwa nchini humo, amejikuta na chama lake wakiwa kwenye mapambano ya kuhakikisha wanasalia kwenye ligi hiyo badala ya kuwa kwenye vita ya kupanda ligi kuu.
Nyota huyo wa zamani wa Wydad Casablanca na Difaa El Jadida za Morocco alisema idadi kubwa ya wachezaji ambao wameingia kwa wakati mmoja kwenye kikosi hicho pengine ni sababu ambayo imechangia.
“Tunaweza kubakia kwenye ligi, tupo nafasi moja juu ya hatari ya kushuka daraja, Jumatano tutacheza na maandalizi ya mchezo yapo sawa, ligi ni ngumu sana na kila mmoja wetu hasa ambao ni wageni tumekuwa tukihakikisha tunaizoea na kucheza kwenye viwango vyetu,” alisema.
Aliongeza kwa kusema,”Natamani kwenye uchezaji wangu soka hapa nicheze ligi kuu, najua hilo linawezekana, timu yetu ni nzuri, inaweza kupandambana na kupanda daraja, ni suala la muda, kilichotokea msimu huu haikuwa matarajio yetu lakini tutapambana na kujaribu tena bahati yetu msimu ujao.”
Katika Ligi hiyo ya daraja la Kwanza Saudi Arabia, Msuva licha ya ugeni wake ameweka kambani mabao manane na anatarajiwa tena, Jumatano kuongoza mashambulizi ya timu hiyo dhidi ya Al Qaisumah wakiwa ugenini.
Al-Qadsiah anayoichezea Msuva ipo nafasi ya 15 wakiwa na pointi 28 kwenye msimamo wa ligi hiyo huku wakipishana mabao tu na Najran ambao wapo kwenye mstari wa kushuka daraja