$ 0 0 Kiongozi wa kundi la weusi NIKKI WA PILI ametangaza rasmi kumwondoa msanii LORD EYEZ katika kampuni ya weusi kufuatiwa tuhuma za uharibifuwa gari na uporaji wa laptop.