MRISHO NGASA AMWAGIA SIFA KEDEKEDE MCHEZAJI WA SIMBA
Kwa mara nyingine tena katika kipindi cha wiki mbili, winga machachari wa klabu ya Yanga Mrisho Khalfan Ngassa amemsifia mshambuliaji wa timu mahasimu Simba Mburundi Amiss Tambwe.Akitumia akaunti yake...
View ArticleLUPITA NYONG'O MAKES HISTORY BY BECOMING THE FIRST AFRICAN TO WIN OSCAR!
Lupita Nyong'o Makes history By Becoming The First African To Win An Oscar!Lupita Amondi Nyong'o made history by becoming the first African woman to win an Academy Award. The rising starlet who has...
View ArticleTAZAMA PICHA YA MSANII LORD EYEZ AKIWA MBALONI KWA TUHUMA YA WIZI
Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika...
View ArticleBABA ANATAKA NIOLEWE ILI APATE NG'OMBE WAKATI MIMI NI MLEMAVU NA NINA UMRI...
Moshi Hussein ambaye ni mlemavu wa viungo anayeishi nyumbani kwa baba yake mzazi huko katika kijiji cha Magiri wilaya ya Uyui mkoani Tabora,binti huyu ana umri wa miaka 13 hajawahi kupelekwa Shule kwa...
View ArticleWEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA
STAA wa filamu mwenye jina kubwa nchini, Wema Sepetu hivi karibuni alimuharibia siku Emanuel Myamba maarufu kama Pastor Muyamba, kwa kushindwa kufika kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na chuo chake...
View ArticleKIONGOZI WA WEUSI AFUTA AIBU KWA KUMWENGUA LORD EYEZ KATIKA KUNDI BAADA YA...
Kiongozi wa kundi la weusi NIKKI WA PILI ametangaza rasmi kumwondoa msanii LORD EYEZ katika kampuni ya weusi kufuatiwa tuhuma za uharibifuwa gari na uporaji wa laptop.
View ArticleWEUSI HUU NI WAKATI WA KUWA BEGA KWA BEGA NA LORD EYEZ NA KUMSAIDIA NA SI...
Baada ya Weusi Kutangaza kumwondoa Lord Eyez kwenye kundi la Weusi kwa sababu ya tuhuma za uwizi wa laptop huko Arusha watu wengi walijitokeza kwenye instagram kuponda uamuzi huo baadhi ya message ni...
View ArticleWIMBI LA KUIBIWA PASSWORD ZA FACEBOOK ACCOUNTS NA KUTUMIKA KATIKA UTAPELI...
Jamani kuweni makini na Accounts zenu za Facebook kwani siku hizi kumeibuka mtindo wa wezi wa mitandao ambao wana iba passwords za Facebook za watu na kisha kuzitumia katika utapeli kwa kuandika status...
View ArticleKAHABA ANASWA AKIJIUZA NDANI YA GESTI HUKO SINZA..ADAIWA KUPANGA CHUMBA...
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. KABANG! Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni FichuaMaovu (OFM) ya GPL wamemnasa...
View ArticleLINAH: SIPENDI KUTUMIA KINGA
Stori: Gladness MallyaMSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi kutumia kinga.Linah alisema hayo...
View ArticleLAANA YA KANGA MOKO YAINGIA MPAKA KWA WACHEZA SHOW ZA JUKWAANI
Toka umeingia huu mtindo wa lile kundi la khanga moko siku hizi kamezuka kamtindo ka wacheza show za jukwaani nao kuvaa khanga na kuonesha sehemu kubwa za maongo yao ikiwemo kufuli walizo vaaa...Hii ni...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE ATAFUTA UBUNGE WA CHALINZE ASHINDA KURA ZA MAONI CCM
Matokeo:Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.Ridhiwani Kikwete kura 7582.Shaban Iman Madega kura 3353.Athuman Ramadhan Maneno kura 2064.Changwa Mohamed...
View ArticleHOUSE GIRL HUYU ANANILETEA DRAMA ZA KUNIHAMASISHA..SIJUI NIMFANYEJE?
Nina miaka 37 , nina mke wangu niliefunga nae ndoa kwa miaka mitano sasa na tumebahatika kupata watoto wawili. Recently, Nilitoa onyo hapa nyumbani kwangu kuwa hakuna mtu kuwasha taa kwenye chumba...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA JUX-NITASUBIRI
Namkubali sana huyu Mwanamuziki, naona katoa wimbo mpya embu ngoja niusikilize alafu nione kama ni hii itakuwa hit song.....Kama na wewe unataka kuusikiliza ama kudownload basi ndio huu hapa chini...
View ArticleRAY C AOMBA MPENZI WAKE WA ZAMANI LORD EYEZ ABADILIKE...AMKARIBISHA KWENYE...
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers.Kupitia...
View ArticleNAMPENDA SANA HUYU KAKA MPAKA NAONA NAJIPENDEKEZA
Habari wadau, mimi ni msichana mwenye umri wa 26yrs. Nina mpnzi wangu ambaye nampenda sana, kiasi kwamba tukitofautiana kauli huwa inanipa shida sana,najihisi hadi kuumwa, ila kwake yeye huwa naona...
View ArticleNIKO OUT NA MREMBO MMOJA KAVAA VIKUKU MIGUU YOTE MIWILI ETI INAMAANISHA NINI?
Wadau hapa niko out na mrembo mmoja tulikutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja amenivalia kimini na chini amevaa...
View ArticleUSIJIFICHE KAMA HUJARIDHIKA MWELEZE MPENZI WAKO AWAJIBIKE
Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika...
View ArticleT.B JOSHUA ALITABIRI VITA VINAVYOENDELEA HUKO URUSI (RUSSIA)
They say seeing is believing, but sometimes even having seen it with your own eyes still you might find it hard to believe. On the 29th of december 2013, the controversial Nigerian clergymann T.B...
View ArticleNIMEUPENDA WIMBO MPYA WA MAD ICE-FAITH -USIKILIZE HAPA
"Faith" is more of a gospel but without religious bounds. This song is a special dedication to all those going through hard times in their lives. Listen and get inspired!Composed, arranged and produced...
View Article