Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Diamond Mpaka Sasa Anaongoza Kwa Kura BET Awards..Piga Kura Hapa Sasa Hivi

$
0
0
Ni siku chache tu zilizopita toka Diamond Platnumz ametangazwa kuwania tuzo za kituo cha Television cha Marekani BET akiwa ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo hiyo huku wengine wakitoka Nigeria, Ghana na Togo. (Best International Act: Africa )
Good news ni kwamba katika mchakato wa kura sasa hivi Diamond ameshika nafasi ya Kwanza katika list ya Wasanii wote sita ambapo kama Watanzania wataendelea kumpigia kura kwa kasi na kumzungumzia kwenye mitandao ya kijamii basi anaweza Kushinda Tuzo Hiyo..

Msimamo Upo Hivi Kwa Sasa 

Ukitaka Kumuongezea Kura Diamond Basi na wewe Piga Kura Hapa: Bonyeza <<BET>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>