$ 0 0 Jamani Nimeitoa hii Picha mahali eti watu wanasema huyo mchezaji ana mguu wa Tatu , Mbona mimi siuoni au macho yangu mabovu , Je wewe unauona huo mguu wa Tatu? Kama unauona embu Comment basi na sisi tujue uko wapi