Majambazi Wawili Wameuawa Jijini Dar es Dalaam na Wananchi Katika Tukio la...
Watuhumiwa wawili wa ujambazi wameuawa jijini Dar es Dalaam na wananchi katika jaribio la kufanya tukio la uporaji katika eneo la benki ya NMB Wilaya ya Ilala.Watuhumiwa hao wanadaiwa kuwa walikuwa...
View ArticleUmeipata Hii ya Shilole Kutapeli Hela ya Samir wa Kinyulinyuli? Kisa ni Hiki.
Stori za mastaa wetu wa Tanzania kila kukicha kunakuwa na vitu vipya ambavyo vinajitokeza mara kwa mara,kupitia You heard ya June 16 Soudy Brown ameamplify taarifa ambazo inasemekana Samir wa Kinyuli...
View ArticleFanya Haya! Unapotokea Kumpenda Mtu aliye na Mpenzi Wake
Tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametuwezesha kuonana tena wiki hii tukiwa wazima. Lakini pia tumshukuru kwa kutuletea kitu kinachoitwa mapenzi. Mapenzi yamekuwa yakichukua nafasi kubwa sana katika...
View ArticleUhuru Kenyatta: Shabaab Hawahusiki Mashambulizi ya Sasa, ni Mtandao wa...
Kenyatta: 'Al-Shabaab not to blame' for Kenyan attacksTwo terrorist attacks on the Kenyan coast was not orchestrated by the al Shabaab terrorist network, according to the country's president Uhuru...
View ArticleNasubiri Kumfumania Mke Wangu, Naombeni Ushauri
Waku habari za mchana,kama nilivyojieleza hapo juu,ni kwamba nilibahatika kuoa miaka 10 iliyopita iliyopita,tulipata sakrament ya ndoa takatifu tar.7/5/2011.pia katika ndoa yetu tumejaliwa kupata...
View ArticleLowasa Atangaza Neema Kwa Vijana
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema vijana 10,500 waliojitokeza hivi karibuni kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kufanya usaili wa nafasi 70 za kazi katika Idara ya Uhamiaji, ni ishara...
View ArticleBaada ya kuchapwa nne bila, Ureno yaendelea kumeguka vipande vipande
Beki wa pembeni wa klabu bingwa barani Ulaya Real Madrid, Fabio Coentrao ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ureno ambacho kwa sasa kipo nchini Brazil kikishiriki fainali za kombe la...
View ArticleJk Atumia Dakika 15 Kumfagilia Diamond
Rais Jakaya Kikwete alianza kwa kusema: “Watanzania hawapaswi kumbeza Diamond kwani pamoja na kukosa tuzo ya MTV lakini kuna juhudi kubwa alionyesha kwa kufanya shoo kubwa ya kwanza na ya kimataifa...
View ArticlePicha:Mwanamke Ajifungua Kiumbe cha Ajabu Mkoani Singida.
Mwanamke mmoja mkazi wa Kintinku, Wilayani Manyoni mkoani Singida amejikuta akimwaga machozi baada ya kujifungua mtoto mwenye kichwa cha ajabu ( tepe tepe).Tukio hilo limetokea...
View ArticleKingine kipya kutoka kwa mpenzi wa Ney wa Mitego Siwema kuhusu kufukuzwa kazi
Miongoni mwa mastaa ambao wanamake headline sana Tanzania ni pamoja na Ney wa Mitego ambaye siku chache zilizopita aliwaonyesha waandishi habari nyumba yake mpya aliyoinunua na kuimalizia ujenzi na...
View ArticleSerikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.
Uraibu huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshika kasi sana Tanzania hasa miongoni mwa vijana wadogo mjini Dar Es...
View ArticlePic of The Day:Mbunge Akwea Bado Bado Kuwahi Ndege Airport
Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe...
View ArticleFlora Lyimo 'Mtitu Ndio Nani Jamani? William Mtitu Mbulula wa Mwisho Tena...
Sio Maneno Yangu Bali ni Maneno ya Flora Lyimo Baada ya William Mtitu Kuandika Maneno ambayo yalionekana yanamponda Flora Mbasha Kuhusu Lile Sakata la Mume wake Kumbaka Mdogo wake Jisomeee hapo...
View ArticleKesi Tano za Mabilioni Uswisi Zachunguzwa Sakata la Mabilioni yaliyofichwa...
Tanzania imeomba msaada kwa taasisi iitwayo International Centre for Asset Recovery – ICAR (Kituo cha Kimataifa cha Urejeshaji Mali) ya Uswisi kuchunguza kesi tano zinazohusu watu na taasisi...
View ArticleHalima Mdee (CHADEMA), Amemtaka Mbunge Mwenzake, Leticia Nyerere, Aache...
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), amemtaka mbunge mwenzake, Leticia Nyerere, aache ubunge na akajiunge na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuliko kuendelea kukipigia debe chama hicho akiwa...
View ArticleDiva Loveness Aweka Hadharani Kuwa Penzi lake ni la Pesa kwa Mpenzi...
Jamaa kafunguka Balaaa baada ya post iliyowekwa Instagram na Diva LovenesssJisomee hapa Chini: Asante Instagram
View ArticleMchezaji wa World Cup Agundulika Kuwa ana Mguu wa Tatu, Can you See It ?
Jamani Nimeitoa hii Picha mahali eti watu wanasema huyo mchezaji ana mguu wa Tatu , Mbona mimi siuoni au macho yangu mabovu , Je wewe unauona huo mguu wa Tatu? Kama unauona embu Comment basi na sisi...
View ArticleMtoto Mchanga Chatupwa Shimoni…Mama Atiwa Mbaroni
MWILI wa kichanga umeokotwa eneo la Njiro jijini Arusha juzi baada ya kudaiwa kutupwa na mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja.Baada ya kichanga hicho kuokotwa, wananchi walitoa taarifa...
View ArticleBreaking News:Mume wa Flora Mbasha, Anayekabiliwa na kesi ya Ubakaji Amepewa...
MUME wa Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha (32) anayekabiliwa na kesi ya ubakaji amepewa dhamana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar baada ya kutimiza masharti.Mbasha amefikishwa mahakamani hapo...
View ArticleNdugu Aingia Mitini na Rambirambi za Msiba wa George Tyson
MAMBO yamezidi kuwa mambo! Kifo cha aliyekuwa mwongoza filamu za Bongo, George Otieno ‘Tyson’ kimezidi kuzua mapya, safari hii ikidaiwa ndugu mmoja (jina tunalo) ameingia mitini na pesa za rambirambi...
View Article