Leo Diva Ameamka na Mpya Huko Instagram kwa Kupost Picha mbali mbali akijifananisha na Mwanamuziki wa Marekani Anayejulikana kama Tony Braxton , katika Picha Moja Ameandika
"Kipindi cha Slave Trade Kuna Babu au Bibi Alikuwa Tanga..Wewe ni ndugu yangu Nahisi lol"
Haya Jamani Watu Wawili Wawili ....Je wewe unafanana na nani?