![]() |
Diamond At BET, Dressed by Sheria Ngowi |
Kwa nilivyotegemea kwa ukaribu aliyonao kwa Diamond kwa sasa Yeye ndio Angechukua Hiyo Fursa ya Kumtengenezea Nguo Mbongo Flava Huyo Hasa Kwenye Hizo Awards za MTV na BET lakini Katika Hizo Awards zote Mbili Amevalishwa na Sheria Ngowi ....Sikatai Sheria ni Mzuri Sana ila Najiuliza tu Kwa Huyu kaka naona Kama Umeneja Kwa Wema Umemuondolea Ndoto za Kuwa Designer Mkubwa..