Simba Imeamua Kumtimua Kocha wake kutokana na Matokeo Mabaya Toka alivyoanza kuifundisha Simba , Pia stori za chini ya Kapeti zinasema Mmoja wa wasanii wa kike maarufu wa Tasnia filamu ambaye jina lake lina fanana na moja ya sofa maharufu Duniani ametajwa akuwa ni chanzo cha kufukuzwa kwa kocha wa simba Zdravko Logarusic mara baada ya kumfungia mpaka saa saba za usiku mara baada ya kumalizika kwa mechi ya simba day.
Msanii huyo ambaye alishatajwa amara kwa mara katika baadhi ay mitandao ya kijamii kuwa namhusiano na loga na ni mmoja kati ya wasanii wajane ambao wapo katika tasnia ya filamu hapa nchini ameweza kumduwaza kocha huyo kiasi cha kusahau majukumu yake.