Kufuru:Bunge Lakodi Vipaza Sauti kwa Sh8.9 Milioni Kila Siku
Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge la Maalumu la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka Kituo cha Mikutano cha...
View ArticleAunt Ezekiel: Nitahakikisha Nampa Penzi Mume wa Mtu Mpaka Achanganyikiwe
Stori: Musa MatejaMakubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema...
View ArticleUndani Mtangazaji Kibonde Alivyotiwa Ndani Selo Baada ya Kugonga Gari na...
WIKIENDI iliyopita haikuwa njema kwa mtangazaji Ephraim Kibonde baada ya kutupwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay jijini Dar kwa msala wa kudaiwa kugonga gari na kutoa lugha ya...
View ArticleMrema Awatambia UKAWA, Amuonya Mbatia, Asema Atishwi Kabisa na Ukawa
Moshi. Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) amedai kitendo cha yeye kubaki kwenye Bunge Maalumu la Katiba kumetumiwa vibaya na wahasimu wake wa kisiasa jimboni kwake.“Ukawa na ubunge wa Vunjo...
View ArticleSimba Wamtimua Kocha Loga Sababu Matokeo Mabovu Pia Demu wa Bongo Movies...
Simba Imeamua Kumtimua Kocha wake kutokana na Matokeo Mabaya Toka alivyoanza kuifundisha Simba , Pia stori za chini ya Kapeti zinasema Mmoja wa wasanii wa kike maarufu wa Tasnia filamu ambaye jina...
View ArticleClouds FM ni Noma Imeingia Katika Oradha ya Radio Bora Kumi Barani Afrika
Kituo cha radio cha Tanzania, Clouds FM kimetajwa kuwa miongoni mwa Radio Bora za Afrika kwa kuingia kwenye orodha ya ‘Top 20 Best Radio Stations In Africa,’ iliyotolewa na mtandao wa Network Africa....
View ArticleVijana wa CHADEMA Wadaiwa Kumpiga Mjumbe Bunge la Katiba
Mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoka kundi la 201,Thomas Magnus Mgoli amelazwa katika hospital ya mkoa Dodoma baada ya kupigwa na wanaodaiwa kuwa 'vijana ambao mashabiki wa Chama cha Demokrasia na...
View ArticleWivu wa Mapenzi: Binti Muuza Duka Huko Singida Amwagiwa Uji wa Moto na Mke wa...
MSICHANA mmoja mkazi wa eneo la Minga katika Manispaa ya Singida (muuza duka), amenusurika kifo baada ya kumwagiwa uji wa moto na mke wa tajiri yake na kumsababishia maumivu makali kutokana na kile...
View ArticleMaskini:Mtoto wa Mwaka Mmoja Abakwa Jijini Arusha
Mtoto wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja tunayemtaja kwa jina moja la Devota wa Sokoni One jijini Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kufuatia kubakwa na njemba moja iitwayo Rajabu...
View ArticleWanawake Kaeni Mbali na Wanaume wa Kikongo Otherwise Utajuta
Kwa kipindi kirefu sana Mdakuzi Wako nimefanya uchunguzi wa kina juu ya mahusiano ya kimapenzi baina ya Watanzania (wanawake) na Wakongo (wanaume).Kiufupi hapa Africa hakuna wanaume na waongo zaidi ya...
View ArticleKwa Hili Wema Sepetu Unaishusha Hadhi yako ya Kuwa Mke wa Diamond Platnumz
Mara nyingi Wema amekuwa akimsupport mchumba wake kwa kupanda naye jukwaani na hivyo kusababisha shangwe kubwa.ushabiki wa Wema kwa Diamond kidogo umepitiliza na hata kama umekuwa ukishangiliwa,...
View ArticleHatimaye John Shibuda Ajifukuzisha Chadema Mwenye, Atoa Shutuma Kali Dhidi ya...
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kikijipanga wakuchukulia hatua wabunge wake waliosaliti msimamo wa Kamati Kuu na kuhudhuria vikao vya Bunge la Katiba, Mbunge wa Maswa Magharibi,...
View ArticleBob Junior Azungumzia Tetesi Za Kufanyiwa Fujo Na Mume Wa Msichana Aliyekuwa...
Siku mbili zilizopita kumekuwa na taarifa mitaani kuwa mwimbaji ambaye pia ni producer wa Sharobaro Records, Bob Junior alifanyiwa fujo na mwanaume mmoja anaedaiwa kuwa mume wa msichana aliyekuwa...
View ArticleTetesi: Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash Yavunjika
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa karibu...
View ArticleUshahidi Mwingine wa Chris Brown na Rihanna Wapo Karibu Kurudiana Ushahidi...
Baada ya siku moja tu Chris Brown ku-post poster la tour ya Rihanna na Eminem kwenye instagram, Chris Brown ameonekana kuendelea kuongeza ukaribu zaidi na Rihanna.Japokuwa picha haipo clear sana lakini...
View ArticleLil Wayne Ajitangaza Hadharani Kuwa Yeye ni Mwasiriki wa Virusi vya...
Lil Wayne Ataingia katika Orodha Ya Mastaa Wanaoishi na virusi vya Ukimwi Akiwemo Gwiji wa Mpira wa Kikapu Magic Johnson.Katika Ukurasa Wake wa Tweeter Ameandika Hivi:"Its Time to tell my Fans aka my...
View ArticleNjama za Kuuawa Kwa Dk. Slaa: IGP Adai CHADEMA Wanapiga Siasa
JESHI la Polisi nchini limesema hakuna mtu yeyote anayehojiwa au kushikiliwa na jeshi hilo akihusishwa na madai ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuwepo kwa njama za kutaka...
View ArticleMcheza Show wa Diamond Ampiga Chini Aunt Ezekiel, Ampigia Magoti Mkewe na...
Dancer wa Kundi La wasafi linalotumiwa na Diamond Platnumz ameamua kumwacha Aunty Ezekiel na kurudiana na mpenzi wake waliyezaa nae mtoto mmoja, kwa mujibu wa Baby Mama wa Moze Iyobo bibie Mwengi...
View ArticleEpuka Vitu Hivi Unapoamua Kuwa na Mchepuko ambao ni Mume wa Mtu ama Mke wa Mtu
Ku date mke wa mtu siyo jambo zuri, na ukiweza kuepuka ni vyema ukafanya hivyo. Hivi karibuni rafiki yangu wa karibu amekumbwa na balaa kubwa kutokana na kitendo hiki. Pamoja na kwamba si jambo zuri...
View ArticleKibonde wa Clouds FM Aachiwa Kwa Dhamana Oysterbay
Mwandishi wa habari, Ephraim Kibonde jana aliachiwa kutoka Kituo cha Polisi Oysterbay, Dar es Salaam alikokuwa akishikiliwa tangu mwishoni mwa wiki kwa tuhuma za kusababisha ajali ya gari na kutoa...
View Article