Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Manyaunyau Awataka Wanasiasa Wakubwa Wanaomfuata Kwa Siri Waweke Wazi

$
0
0
Mganga wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema kinapofika kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa lengo la kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha sana.

Akiongea na  Times Fm, Manyaunyau amewataka wanasiasa hao kutofanya kwa siri kwa kuwa anachokifanya yeye ni ufundi wa jadi ambao nchi nyingine unajulikana mwanasiasa huweka wazi benchi lake la ufundi kwa kujigamba.

“Viongozi kwa kweli wanatufuata inapofika wakati wa uchaguzi. Si unajua wasiwasi, wanasema wasiwasi ndio akili. Kwa hiyo wanakuja lakini katika njia ya kuangalia. 

“Mambo hayo hapa Tanzania ndio watu wanayaona mageni kiongozi kwenda kwa mganga wa kienyeji, wengine wanakuja kwa kujificha. 

Mganga huyo anaeleza kuwa wapo wanasiasa wengi waliomfuata ameweza kuwasaidia na wakafanikiwa kuzikusanya kura za wananchi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>