Kimenuka Tena Bongo Movie, Steve Nyerere Adaiwa Kula Fedha za Club Hiyo
KIMENUKA! Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’...
View ArticleCCM Waitisha Kikao Cha 'Dharura' Leo Dodoma ili Kuvunja Bunge la Katiba Bila...
Nzi wetu aliye ndani ya sekretarieti ya ccm ametupasha kuwa CC ya CCM imeitisha kikao cha dharula leo pale Dodoma.Pamoja na mambo mengine agenda ni1) Kujadili aina ya uahirishaji/kuvunja bunge la...
View ArticleLipumba: Rais Kikwete Amepoteza Dira
Profesa Lipumba alisema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kusimamia ahadi zake, hali inayochangia kupwaya kwa utawala wake.Akifafanua hoja yake, mwanasiasa hiyo alisema, “Katika hotuba yake ya mwisho wa...
View ArticleMwigulu Nchemba: Nimeombwa Kugombea Urais 2015
Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na...
View ArticleMwanaume Akishakupata Baada ya Muda Mfupi Upendo Wote wa Awali Huisha
Hiyo ni kauli kutoka kwa baadhi ya wanawake.Je kauli hiyo ina ukweli kiasi gani?Kuna bahati mbaya moja, ambayo baadhi ya wanawake hawaijui. Hii ni ile yakudhani kwamba, mwanaume akishaanzisha uhusiano...
View ArticleWatu 4 Wafariki Kwa Kuangukiwa na Jiwe Wakiwa Wamelala
Watu wanne wa familia mbiili tofauti wakazi wa mtaa wa Nyerere A, eneo la Mabatini jijini Mwanza wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuangukiwa na mawe wakiwa wamelala.Tukio hilo limetokea...
View ArticleDiamond Hajavunja Ndoa Yangu-Irene Uwoya
Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka katika ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live na kusema kuwa yeye hajaachana na mumeo wa ndoa na wala msanii Diamond Platnum...
View ArticleLulu Wajibu Wanaosema Hawezi Kumpata Justin Bieber, Asema Ukichukia Ukale...
Muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu anaendelea kuonesha hisia zake kwa Justin Bieber na sasa ameeleza kuwa atakuwa anamuandikia ujumbe kila Jumatatu.Kupitia Instagram, Lulu amepost picha ya JB akiwa...
View ArticleMaulidi Kitenge Aacha Kazi Redio One, Ajiunga Radio EFM
MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika radio hiyo baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Kupitia Twitter,...
View ArticleUKATILI! Mwanamke Auawa, Achunwa Ngozi Mbeya
WATU wasiofahamika wamemuua mwanamke mkazi wa Kijiji cha Idiwili, Kata ya Iyula wilayani Mbozi na kumchuna ngozi ya shingo.Pamoja na kumchuna ngozi marehemu, wauaji hao pia walinyofoa macho, ulimi na...
View ArticleBaba Amuingilia Bintiye Kinyume Cha Maumbile
Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado vinaendelea Zanzibar baada ya watu wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma za kubaka.Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka huu Muhammed Khafidh Thabit...
View ArticleManyaunyau Awataka Wanasiasa Wakubwa Wanaomfuata Kwa Siri Waweke Wazi
Mganga wa jadi maarufu anaefahamika kama Dr. Manyaunyau amesema kinapofika kipindi cha uchaguzi, wanasiasa wengi wakubwa humfuata kwa lengo la kutaka awasaidie lakini siku zote wanafanya kwa kujificha...
View ArticleIRENE UWOYA Kumpeleka NDIKUMANA Yanga
BINTI aliyejaliwa uzuri wa sura anayeng’ara kwenye filamu za Kibongo, anamshawishi mumewe Hamad Ndikumana aje kucheza Yanga ya chini ya kocha, Marcio Maximo.Ndikumana ambaye kwa sasa anaichezea Vital’o...
View ArticleAli Kiba Amefunguka Kuhusu Mambo Yaliyomkwaza Kutoka kwa Diamond
Mwanamuziki wa Bongo Flava, Ali Kiba amefunguka kuhusu mambo yaliyomkwaza kutoka kwa Diamond miaka michache iliyopita baada ya mkali huyo kutoka na wimbo wa ‘Kamwambie’ uliogeuka kuwa wimbo wa taifa wa...
View ArticleHasheem Thabeet Afunguka, Awaomba Radhi Mashabiki Wake
NINGEPENDA KUANZA KWA KUSEMA ASANTENI SANA KWA KUSHOW LOVE KWENYE HILI PAGE LANGU. BINADAMU WOTE TUMEUMBWA TOFAUTI, NA TUMEBARIKIWA TOFAUTI.SOTE TUNA MAPUNGUFU NA SOTE TUNA MAMBO AMBAYO NDIYO...
View ArticleLulu Michael Apigwa Kibuti eti Kisa Kiserengeti Boy Alichopiga Nacho Picha
Udaku Special Kutoka Instagram leo unasema Etiiiiii....Jisomee Mwenyewe Hapa Chini:
View ArticlePicha Mpya za Penny ni Shidaaa...Diamond Anaweza Mrudia Akiziona
Mrembo Penny Katika Pozi , Unaonaje Picha hizi ..? I think She is Cute More Than ......
View ArticleManeno ya Diamond Kwa Wema Kuwa na Marefiki Wapenda Starehe Yamchoma Vikali...
Star wa filamu nchini Aunty Ezekiel anadaiwa kuchomwa vilivyo na maneno ya Diamond kwa Wema Sepetu yanayodaiwa kumgusa yeye pia moja kwa moja kama rafiki wa Wema…Diamond juzi alisema kuwa Wema...
View ArticleDudu Baya: Sijabahatika Kumpata Mwanamke Ninayemtaka, Nakutana na Machizi
Msanii wa Hip Hop kutokea Mwanza, Godfrey Tumaini aka Dudu Baya amesema kuwa majanga anayopata kwenye mahusiano yake yanatokana na kutompata mwanamke anayemhitaji.Akizungumza na Mkasi TV hivi karibuni,...
View ArticleUKATILI! Kijana amkata kichwa Mdogo wake ili apate UTAJIRI huko Morogoro
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamng’ang’ania mfanyabiashara maarufu wa Wilaya ya Mvomero, Johnson Damian Mkude (39) akituhumiwa kumkata kichwa mdogo wake...
View Article