Wengi najua Mtakuwa Mmeusoma Utetezi wa Promota Ambaye aliandaa show ya Diamond Ujerumani , kwa Upande wangu ki ukweli Bado Huyo Promota Hajanishawishi Kitu kwa sababu utetezi wake umekaa Kitoto sana anachojaribu ni kushfti blame to others ili kujisafisha, Kama hujasoma utetezi wake Bonyeza :
Promoter Britts Events Wafunguka Juu ya Kashfa Nzito ya Kuharibu Shoo ya Diamond Nchini Ujerumani
Pia Mzee Mzima William Malecela aka Lemutuz Ameandika Haya:
Yaani this is the waste excuse nimewahikusikia toka niaze kushiriki entertainment industry simply