Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Umeipata Hii ya Matonya Kunusurika Kushambuliwa Kisa ‘Mchepuko’ ?

$
0
0
You heard ni sehemu ya show ya XXL ya CloudsFM ambayo inahusu stori kadhaa za mastaa ambazo mara nyingi huwa ziko chinichini sana na huwa sio stori zinazoandikwa au kufikia sana vyombo vya habari ambapo hii ya leo ni kuhusu msanii Matonya aliekwenda kufanya show Turiani kunusurika kushambuliwa chanzo kikidaiwa kuwa Msichana wa mtu.

Sikiliza Hapa:

Viewing all articles
Browse latest Browse all 109519

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>