Picha za Kilichotokea Baada ya Diamond Kupelekwa Kwenye Show Saa Kumi...
Mmiliki wa hit single ya ‘mdogo mdogo’ Diamond Platnumz anahusika tena kwenye zile habari zinazoongelewa sana ambapo time hii imetokea Stuttgart Ujerumani.Alitakiwa kufanya show weekend iliyoisha...
View ArticleLicha ya Skendo, Flora Aja na Jipya
Msanii wa muziki Florah Mbasha, Baada ya kufunguka mengi kuhusiana na matatizo katika ndoa yake wiki hii, ameweka wazi kuwa shughuli zake za muziki bado zinaendelea huku akiwa na albam mpya kabisa...
View ArticleMartin Kadinda: Wema Sepetu Hana Pesa Ya Kunilipa Mshahara
Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Wema Sepetu aliyekuwa akimwaga pesa vilivyo kwasasa hana pesa ya kumlipa bali yeye Martin anahangaika kwa issue zake binafsi ili...
View ArticleNdege ya Kenya Yaanguka Tanzania na Kuwateketeza Watu Wote Waliokuwa Katika...
Ndege ya Kampuni ya Safari Express Limited imeanguka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kuwateketeza watu watatu waliokuwamo ndani.Ndege hiyo yenye namba za usajili 5Y-SXP iliruka kutoka Uwanja wa...
View ArticleUkichukua Fedha Benki Bila Ulinzi Sasa ni Roho Mkononi
Ni roho mkononi. Hayo ndiyo maneno matatu yanayofaa kuelezea hali ilivyo jijini Dar es Salaam na maeneo kadhaa nchini kwa sasa, hasa pale mtu anapobeba fedha nyingi.Matukio ya ujambazi kwa kutumia...
View ArticleBabu Tale: Fujo Kwenye Show ya Diamond Ujerumani ilipangwa Itokee
Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale, anaamini kuwa fujo kwenye show ya msanii wake huyo jijini Stuttgart nchini Ujerumani ilipangwa itokee.“Sisi tumefanya kazi na promoter wa Nigeria, wao wenyewe...
View ArticleMakalio Fake Yamuumbua Live Staa Huyu Mjini Kweupe
Oops! wahenga walisema ajali haina kinga........ Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi kim kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo...
View ArticlePromoter Britts Events Wafunguka Juu ya Kashfa Nzito ya Kuharibu Shoo ya...
MY PEOPLE FIRST OF ALL, I WOULD LIKE TO EXPRESS MY HEART BY TELLING THE GENERAL PUBLIC AND THE FANS OF DIAMOND PLATNUMZ, THAT WE FROM BRITTS EVENTS MANAGEMENT IS VERY SORRY FOR WHAT HAPPENED LAST...
View ArticleYule Jamaa Alielawitiwa na Watu Sita Kwa kesi ya Kutoka na Mke wa Mtu Sasa...
Hatimaye yule mwanaume aliyedaiwa kufumaniwa na mke wa mtu na hatimaye kufanyiwa usodoma na watu sita, akiwemo mume wa mwanamke huyo amefungukia mchezo mzima.Hivi karibuni mwanaume huyo (jina tunalo)...
View ArticleFBI na Apple watoa tamko kuhusu picha za utupu za watu maarufu zilizovujishwa...
Kitengo maalum cha upelelezi cha Marekani FBI, na kampuni ya Apple wametoa tamko baada ya kuvujushwa kwa picha za utupu za wasanii maarufu wa kike akiwemo muigizaji maarufu Jennifer Lawrence, Kate...
View ArticleSikiliza na Download Wimbo Mpya Ambao Diamond Amerap Badala ya Kuimba-Diamond...
Kipaji ni Kipaji Tu , Uwezi Amini ila ndo Hivyo Mzee Mzima Diamond Platnumz Kumbe na Upande wa Kurap Ama Kuchana yupo Vizuri Sana , Kina Nay Wasipoangalia Wataondolewa Kwenye Game.....Sikiliza Wimbo...
View ArticleUtetezi wa Kitoto wa Promoters wa Disaster la Dimaond Platnumz Ujerumani
Wengi najua Mtakuwa Mmeusoma Utetezi wa Promota Ambaye aliandaa show ya Diamond Ujerumani , kwa Upande wangu ki ukweli Bado Huyo Promota Hajanishawishi Kitu kwa sababu utetezi wake umekaa Kitoto sana...
View ArticleUmeipata Hii ya Matonya Kunusurika Kushambuliwa Kisa ‘Mchepuko’ ?
You heard ni sehemu ya show ya XXL ya CloudsFM ambayo inahusu stori kadhaa za mastaa ambazo mara nyingi huwa ziko chinichini sana na huwa sio stori zinazoandikwa au kufikia sana vyombo vya habari...
View ArticleDiamond Marufuku Kufanya Show Ujerumani Ni Baada ya Show Iliyosababisha...
Kufuatia vurugu zilizoibuka ukumbini alfajiri ya Jumapili iliyopita baada ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kucheleweshwa kupanda stejini kwenye Ukumbi wa Sindelfingen uliopo Mji wa Stuttgart,...
View ArticleKajala Masanja Angalia Yasikukute ya Wema Sepetu, Kuonyesha Jeuri ya Pesa...
Kwako Kajala Masanja. Bila shaka ni mzima wa afya. Binafsi mimi niko poa na ninaendelea na majukumu yangu kama kawaida.Leo nimekukumbuka kupitia safu hii, nataka kuzungumza na wewe, na hasa katika...
View ArticleAibu:Waziri Lukuvi Azomewa Mbele ya Kikwete
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi amejikuta katika wakati mgumu mbele ya Rais Jakaya Kikwete baada ya kuzomewa hadi kukatisha hotuba yake akipingwa na...
View ArticleBreaking News: Fire Destroys Big Brother Africa House, Show Put On Hold
As you read this, the Big Brother Africa House at Sasani Studios in Johannesburg has been burnt to the ground. This unfortunate incident has forced organizers of the reality show to consequently...
View ArticleJinsi Jumba la Big Brother Africa Lilivyoungua Kwa Moto na Kuteketea Lote
JUMBA lililokuwa limeandaliwa kwa ajili ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014 limeteketea kwa moto jana eneo la Sesani Studios jijini Johannesburg nchini Afrika KusiniKuteketea kwa...
View ArticleBaba Amnyonga Mtoto Wake na Kumzika Mwenyewe Kwenye Kibanda Chake
Mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili , Regina Geofrey ameuawa kikatili kwa kunyongwa na baba yake mzazi Geofrey Kilngwa ‘Simbaiwe” (27) kwa kuwa alizaliwa akiwa ameatanguliza makalio...
View ArticleSheikh Ponda Aiomba itumie Busara Kusimamisha Kesi ya Uchochezi inayomkabili
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameiangukia Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa kuiomba itumie busara kusimamisha kesi ya uchochezi inayomkabili mkoani...
View Article