$ 0 0 Ni video ambayo imefanywa nchini Kenya ambapo Ney anasema ametumia zaidi ya dola za kimarekani elfu saba kuifanya. Video ameiachia rasmi December 31 2013 on AyoTV.