Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109439 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sakata la House Girl Aliyefungiwa Ndani na Bosi Wake Jijini Dar kwa Miaka...

Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makahaba wa Kinyarwanda Wanaswa Dodoma Wakinyemelea Wabunge

Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba.Watuhumiwa  watatu kati ya hao, Saidat  Umotoni (28), Asha Abimana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BRAZIL 2014: Messi amfunika Ronaldo vibaya

Lionel Messi ni mchezaji mwenye thamani kubwa duniani kutokana na kulipwa karibu mara mbili zaidi ya Cristiano Ronaldo anayemfuatia.Hiyo ni kwa sababu umri wa Messi ni miaka 26 wakati Ronaldo ana miaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umbea Wa Insta..!! Unaambiwa Huyu Ndiye Msanii Mdogo Wa Bongo Movies Ambaye...

Mie nawasilisha tu kwa Umbea Mwingi zaidi Ingia Instagram Mwenyewe ujioneee umbea wa mjini

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kenya locks out TZ tour operators, cars

Dar es Salaam. Kenya’s Tourism Regulatory Authority (TRA) has banned Tanzania’s tour operators and vehicles from taking visitors to Kenya’s game reserves and parks.According to the Kenya News agency,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Single Mothers Tunashida Sana Katika Mahusiano

Watu wengi wanachukulia single momz kama hawana umuhimu tena na hawafai katika mahusiano. Siku hizi wanaume wengi ambao hawajakuwa na watoto utasikia wakisema "Mimi mwanamke wenye mtoto simtaki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa

Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo 6 kutoka hapa Durban South Africa kuhusu Diamond Platnumz na tuzo za MTV

Wote mpaka sasa tunafahamu toka siku nyingi kwamba Diamond Platnumz ni mwimbaji pekee kutoka Tanzania aliechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za MTV BASE ambazo zinatolewa leo June 7 2014 hapa Durban...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Akosa Tuzo ya MTV Award, Mwenzake Davido Aibuka na Tuzo

Jana Usiku Ndio ilikuwa Mwisho wa Kinyanganyiro cha Tuzo za MTV Awards Ambapo wasanii Mbali Mbali waliochaguliwa kushindania tuzo hizo walijumuika South Africa akiwemo Diamond aliyekuwa anagombani Tuzo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Hapa List ya Wasanii Walio Shinda Tuzo za MTV Base, Sad Own Diamond Name...

THE WINNERS OF THE 2014 MTV AFRICA MUSIC AWARDSBest Male: Davido (Nigeria)Best Female: Tiwa Savage (Nigeria)Best Group: Mafikizolo (South Africa)Best New Act: Stanley Enow (Cameroon)Best Live Act:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ki Ukweli Davido Alistahili Kupata ile Tuzo na Kumbwaga Diamond

Kwa Mahesabu ya Haraka haraka Ukiangalia nani alistahili kushinda tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume lazima ungempa Davido badala ya Diamond no matter What ....Kwa haya Mawili tu utakubali kuwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Kukosa Tuzo ya MTV Music, Diamond Afunguka na Kusema Haya

"Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV...Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo... pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bibi Harusi Mtarajiwa Afumwa Geto Kwa Njemba Akiliwa Uroda

Dada huyu ameharibu ndoa yake mwenyewe na kujikuta anajuta, zikiwa zimebakia wiki mbili tu kufanya kufanya harusi  mpango ulivurugika baada ya picha za uchi ya huyu dada kunaswa akiwa getoni kwa jamaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C Ashawishiwa Kugombea Ubunge 2015 ili Kupigana na Vigogo Wanaoingiza...

Makundi  mengi  ya  vijana  ndani  ya  mtandao  wa  facebook  yamekuwa  na  imani  kuwa  msanii  Rehema  Chamila  anaweza  kuwa  mtetezi  wao  mkubwa  endapo  ataamua  kuingia  kwenye  siasa...Vijana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majanga Mengine Bongo Movies-Mzee Small Afariki Dunia

Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOHARI: Baada ya Vifo Mfululizo Wasanii Tumenyooka

MKONGWE kwenye sanaa za Kibongo, Blandina Chegula ‘Johari’ amesema kufuatia vifo vya mfululizo vya wasanii, kwa kiasi kikubwa wasanii wamebadilika kitabiaAkipiga stori na paparazi wetu alisema, wasanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbowe na Viongozi CHADEMA Wahudhuria Warusi ya Nassari, Wakwepa Msiba wa...

Kweli Dunia ina mambo. Hivi karibuni kulitokea msiba wa Mama yake Zitto Kabwe huko Kigoma lakini jambo la kushangaza viongozi wa juu wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe hawakuweza kuhudhuria lakini la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Kukosa Tuzo MTV, Je Kwa Maoni Yako Ameonewa?

Wakuu, nimekuta taarifa za kusikitisha kwa Watanzania wengi na mashabiki wengine wa msanii nguli wa mziki wa kizazi kipya Diamond. Je kukosa kwake tuzo hizi ni kutotendewa haki kwa msanii huyu? Je...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shamsa Ford Aongelea Picha Fake Zinazosambaa Mtandaoni Akiwa Kitandani na Mbunge

Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu jana,. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: Msanii Nazizi Aki KISS na Mpenzi Wake Mpya!!!

The First lady of rap Nazizi kutoka Kenya ametupeleka kwenye maisha yake ya Mahusiano..Baada ya kuachana na  mume wake toka hapa 255.. kwa sasa yupo kwenye mahusiano ya KIMAPENZI na jamaa...

View Article
Browsing all 109439 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>