Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilingi Mil 60 Kumaliza Mgogoro wa Flora Mbasha, Vikao Vyafanyika Siku Tatu,...

Stori: Haruni Sanchawa na Shakoor JongoHABARI zilizotua kwenye meza ya Uwazi juzi zinadai kuwa familia mbili, ya Emmanuel na Flora Mbasha zimeweka kikao kwa siku tatu mfululizo kutaka kuinusuru ndoa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umemuona mtoto wa Nakaaya? picha na alichomuimbia viko hapa

Ni longtime kidogo ulikua hujamsikia Nakaaya na hii ni kwa sababu alikua na break ya uzazi akiwa ndio amejifungua mtoto wake wa kwanza nyumbani kwao Arusha.Mwimbaji huyu ambae ujazo wa jina lake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Slaa: Wakorofi CHADEMA ni Wajinga

Ni kauli nzito iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W. Slaa baada ya kushutumiwa pamoja na Mwenyekiti wake juu ya uvujaji wa mamilioni ya chama hicho.Ametoa kauli hiyo na kusema wasome katiba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jirani zetu Kenya Wanazidiwa Nguvu na Alshaabab, Tanzania iko wapi?

Ni muda sasa jirani wetu Kenya wanapata mashambulizi kutoka kikundi cha magaidi wa alshaabab.Karibu kila siku mashambulizi ya mabomu ya kutegwa na risasi hutokea ktk miji ya Nairobi na Mombasa huku...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kitale Akanusha Kuwa na Mahusiano na Vj Penny

Msanii wa filamu za vichekesho, Kitale, ambae kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la ‘Mkude Simba’ amekanusha kuwa hajawai kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Vj Penny ambae aliwai kuwa mpenzi wa zamani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lulu akana kushirikishwa na Mapacha, ‘I swear sina idea na huku kushirikishwa’

Kundi la Mapacha jana (June 23) wametambulisha ngoma yao mpya baada ya ukimya wao wa muda mrefu, wimbo ambao wamedai wamemshirikisha muigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu. Lakini Lulu leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBS yakamata Shehena ya Nguo za Ndani za Mitumba

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limekamata shehena ya marobota ya nguo za ndani za mitumba ambazo thamani yake haijajulikana kwa kuwa zimechangaywa na nguo za watoto.Mkaguzi wa TBS, Donald Manyama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BATULI: Sijawahi Kula Hela ya Mume wa Mtu..Mwili Wangu Si Mtaji Kwangu

Staa  wa  kike  anayefanya  vizuri  katika  tasnia  ya  fillamu Yobnesh Yusuph ‘Batuli’   amefunguka  na  kudai  kuwa  hajawahi  kula  hela  ya  mume  wa  mtu  na  kama  watu  wanamhisi  hivyo  basi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baby Madaha : 'Wema Sepetu Tuachie Na Sisi Huyo Diamond Tumfaidi '

Star wa filamu na muziki wa Bongoflava Baby Madaha anadaiwa kuwewesekea penzi la Diamond Platnumz na kumtaka Wema Sepetu awaachie na wao Diamond a.k.a Sukari ya warembo ili wafaidi kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeipata Hii ? Kajala Kakimbia Nchini…Chanzo ni Bifu Kati Yake na Wema Sepetu

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa yuko Bongo kwa kuwa ndipo nyumbani kwao lakini hana hamu ya kuendelea kuishi nchini kutokana na kuzushiwa mambo kila kukicha.Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walio Muua Sista wa Kanisa la Roma Walipora Kiasi Hichi cha Fedha..Soma...

Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam imesema majambazi waliohusika na mauaji ya Sista wa Kanisa Katoliki, Clencensia Kapuli wamepora kiasi cha Sh20 milioni na nyaraka mbalimbali.Tukio la kupigwa risasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Je Kuna Ugonjwa wa Hamu ya Kufanya Mapenzi Au ni Kujiendekeza..Hawezi lala...

Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu.AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AVEVA: Nipeni Simba Niinyooshe Yanga

WANACHAMA wa klabu ya Simba Jumapili ya wiki hii watachagua viongozi wapya wa klabu hiyo katika ngazi ya urais, makamu wa rais na wajumbe wa kamati ya utendaji wa klabu hiyo watakaopewa dhamana ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baba Mbasha: Ni Ukweli Usio Pingika Kuwa Flora Alichoka Kuishi na Mwanangu...

Baba mzazi wa Emmanuel Mbasha, Mzee Maneno amefunguka kuwa mwimbaji wa Injili Flora Mbasha alichoka kukaa na mwanaye ndiyo maana mgogoro wao umefika hatua hii. Tazama Video Hapa:

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lupita Nyong’o Athibitisha Kuwa na Hhusiano wa Kimapenzi na Rapa Huyu.

Lupita amezidi kuchukua headlines za vyombo mbalimbali vya habari tangu afanikiwe kuchukua tuzo za Oscar na kutajwa kama mwanamke mrembo zaidi duniani, sasa amethibitisha kuhusu upande wake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ushahidi wa Suarez Kumng’ata Mchezaji Mwingine Mechi ya Italy vs Uruguay

Kwa mara nyingine katika kipindi cha maisha yake ya soka, Luis Suarez ameingia tena kwenye headlines kwa kumng’ata mchezaji mwenzie uwanjani.Kwenye mchezo wa mwisho wa makundi kati ya Uruguay vs Italy,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AGIZO: Mikutano ya Nape yapigwa ‘stop’

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashina ya chama hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Kama Lulu Akikubali Kuolewa Nitatulia Nae na Kuanzisha Familia…..Anajua...

Ammy Nando na Lulu walitengeneza vichwa vya habari mara kadhaa wakihisiwa kuwa na uhusiano wa mapenzi. Hata hivyo wawili hao kwa nyakati tofauti waliueleza uhusiano wao kuwa ni wa kirafiki.Lakini Nando...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha ya Lupita Yawanyamazisha Waliomkosoa Kuwa kisura wa Kampuni yenye...

Baada ya kutoka tangazo kuwa Lupita Nyong’o atakuwa kisura wa kwanza mweusi kwenye bidhaa ya Lancome, wengi walianza kumkosoa kwa uamuzi wake kwa kuwa kampuni hiyo ina bidhaa za kujichubua ngozi.Hata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mapacha Wamjibu Lulu Baada ya Kukana Kuimba Kwenye Wimbo wao, 'Ametudharau Sana'

Baada ya Elizabeth Michael kukana kushirikishwa na kundi la mapacha kwenye wimbo wao mpya ‘Time For The Money’. Kundi la Mapacha limeeleza jinsi lilivyoipokea taarifa hiyo.Akiongea na tovuti ya Times...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live