Naomba Ushauri: Nimezaa na Dada Yangu wa Damu
Moja kwa moja niende kwenye maada. Mkasa huu umenikumba nikiwa nafanya kazi mkoa flani kanda ya kati. Katika eneo ambalo nilikuwa naishi ni karibu na sehemu ambayo baba yangu alikuwa anafanyia kazi...
View ArticleKwanini Wanawake Mkijifungua Mnakimbili kwa Wazazi Badala ya Kukaa na Waume...
Kuna kitu huwa kinanishinda kuelewa kusema ukweli kinachotokea kati ya wanaume na wanawake wa kisasa, hivi inakuaje mke umutie mimba wewe mwanaume then mimba alelee kwako nyumbani lakini ikifika...
View ArticleBaada ya Matokeo ya Kidato cha Sita Kutoka na Wanafunzi Wengi Kufaulu, Wadau...
Wadau wa elimu nchini wameonyesha kushtushwa na matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kuonyesha kuwa asilimia 95.98 ya watahiniwa wamefaulu mtihani huo bila kuwapo na mikakati inayoonekana ya kuboresha...
View ArticleLulu Michael Afunguka 'Mimi Sipo Facebook Mnaibiwa Bure Tu na Anayejifanya Mimi'
STAA wa filamu Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema hajawahi kufungua akaunti kwenye Mtandao wa Kijamii wa Facebook ‘FB’ na kwamba aliyefungua kwa jina lake ana nia ya kuwaibia mashabiki...
View ArticleMakalio ya Mwigizaji Koleta Yadatisha Watu Mlimani City
Msanii wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua gumzo maeneo ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa amevaa huku makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi...
View ArticleTrafiki 27 Watimuliwa Kazi kwa Shutuma za Rushwa Barabarani
Askari 27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana na kujihusisha na makosa ya rushwa.Kikosi hicho ambacho kimeonya dhidi ya unyanyasaji...
View ArticleKajala Nalitaka Kumlipia Mume wa Florah Mbasha Hela ya Dhamana Mahakamani
Kama ulikuwa hujui basi chukua hii, staa wa filamu za kibongo, Kajala Masanja alitaka kumlipia dhamana mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Florah Mbasha aitwaye Emmanuel Mbasha shillingi za...
View ArticleHalima Mdee'Nikiwa single Sina Bei-Mnao Ogopa Kumtokea Kisa ni Mbunge Wala...
Mbunge wa jimbo la kawe jijini Dar es Salaama katika tiketi ya Chadema Mh. Halima Mdee amefunguka na kuweka wazi kuwa huwa hana bei pindi awapo Single,Mdee amesema hayo kupitia ukurasa wa Facebook wa...
View ArticleYATISHA: Kijana afyatuka, Amuua mtoto wa Miaka 9 na ‘Kutafuna Ubongo’ Kisha...
Moshi. Mkazi mmoja wa Moshi amemuua mwanafunzi wa darasa la 3 kule Samanga leo na kisha 'kula ubongo' wa mtoto huyo katika tukio la kutisha lililostua wakazi wa mji huu.Kijana huyu aliyefahamika kwa...
View ArticleFlora Lyimo 'Jamani Huyo Mange Nikiona Anavyotukana Wenzake na Kuwadharau...
Mbuta Nanga Aka Flora Lyimo Uvumilivu umemshinda baada ya leo Mange Kuweka post Akimponda Dada mmoja ambae inasemekana ndo alipeleka umbea kwa Mmiliki wa Bidhaa ambazo Mange amekuwa kiziuza bila...
View ArticleWataalam 100 wa Ukimwi wafa Kwenye Ndege ya Malaysia iliyotunguliwa
Karibu watu 108 kati ya wahanga 298 wa ndege ya Malaysia iliyotunguliwa Ukraine Alhamisi walikuwa ni watafiti wa Ukimwi waliokuwa wakielekea Melbourne kuhudhuria Kongamano la 20 la Kimataifa la Ukimwi...
View ArticleTaarifa ya Kuungua kwa Jengo la Naura Springs Hotel Arusha.
Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa umekutana na picha ambayo inaonyesha hotel ya Naura ikiungua moto huku nyingi zikionyesha moto wake umeshika kasi kwenye kuwaka.Baada ya...
View ArticleSamatta Aaga Team ya Mazembe, Sasa Kucheza Ulaya
ANAONDOKA! Ndiyo, unaweza kusema hivyo kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, anayechezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, aliyemuaga tajiri wa timu hiyo, Moisse...
View ArticleTudd Thomas ataja kiasi alicholipwa na Diamond na Ommy Dimpoz kufanya...
Mtayarishaji wa muziki Tanzania Tudd Thomas ndiye aliyetayarisha wimbo wa Diamond ‘MdogoMdogo’ ambao unafanya vizuri sana pamoja na wimbo wa Ommy Dimpoz ‘Ndagushima’ ambazo zote zimepata nafasi kubwa...
View ArticleWema Sepetu Amlipua Tena Kajala Baada ya Kumwita Mnafaki
Shakoor jongo na MUSA MATEJABEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25), amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki.Habari hiyo ya kuitwa mnafiki...
View ArticleMume wa Dida Edzen Ataja Sifa za Mwanamke Anaye Tarajia Kumuoa
Stori: Deogratius MongelaBAADA ya kuachana na mkewe ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Redio Times, Hadija Shaibu ‘Dida,’ mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha...
View ArticleDiamond Kununua Hummer ya Gwajima Kwa Mil 400
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya...
View ArticleShilole 'Nafunga Ndoa na Nuhu Mziwanda Kuwafunga Midomo Wachonga Ng'ebe'
Shilole Amekanusha uvumi ulioenea kuwa amekatalaliwa Ukweni kwa Wazazi wa Mpenzi wake Nuhu kwa Vile ni Mkubwa Kimri, Shi shi Baby Amesema Alipokelewa vizuri sana na wala hakuna shida yoyote na...
View ArticleJoyce Kiria 'Chid Benz, Edzen, Dudubaya na TID Mwanamke Hapigwi Ngumi,...
Ukatili wa kijinsia haukubaliki hata kidogo, wengine tunapambana usiku na mchana kutokomeza vitendo hivi vya Ukatili na Udhalilishaji, cha ajabu watu maarufu sasaivi wamechachamaa kuendekeza vutendo...
View ArticleRayuu Akimbilia Sambawanga Kusafisha Nyota ya Ustaa Bongo
Msanii anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu nchini, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema amekuwa akisikia maneno ya chinichini kwamba ameenda Sumbawanga Kuroga….Tetesi hizo za Rayuu...
View Article