Gazeti la Tanzania Daima Ladai Lowassa Ndiye Mfadhili Mkuu na Mpanga Mikakati...
IMEGUNDULIKA kwamba Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM) ndiye mfadhili mkuu na mpanga mikakati mkuu wa kundi linalomfuata Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), ambalo limeanzisha chama...
View ArticleLady Jay Dee: Tuzo Yangu ya 30, Nimeipokea na Ninarudi Nayo Nyumbani....
Kwenye Ukarasa wa Facebook Mwanamuziki Lady Jay Dee Ameandika Hivi Baada ya Kupata Tuzo ya AFRIMA:"Lady Jay Dee: Tuzo Yangu ya 30, Nimeipokea na Ninarudi Nayo Nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya"
View ArticleAjali mbaya Pandambili ya basi la Morobest linalofanya safari za Mpwapwa - Dar
Kuna habari ya kusikitisha kwamba zaidi ya watu 20 wamepoteza maisha baada ya basi kutoka Dodoma kugongana na lori.
View ArticleUfafanuzi Kuhusu ACT-Tanzania Kusaidiwa Kwa Karibu sana na Wanasiasa Wakongwe...
Ndugu watanzania, wapenzi na wanachama wa chama cha ACT-Tanzania, tunapenda kuwasalimu kwa salamu inayoashiria mabadiliko na uwazi!Ndugu watanzania, kumekuwa na mfululizo wa watu mmoja mmoja, makundi...
View ArticleLowassa Akanusha Uzushi wa Gazeti la Tanzania Daima
Katika gazeti la Tanzania Daima toleo na.3536 la tarehe 30 Julai, kuna habari inayosema Lowassa aibukia ACT na kumuhusisha na Mbunge wa Kigoma Kaskazini(CHADEMA) Zitto Kabwe katika kile gazeti hilo...
View ArticleDiamond:Japokuwa nina show Canada Tarehe 2 Lakini ilinibidi Kwanza Nilete...
Diamond Platnumz akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya...
View ArticleJua Kuhusu Viungo vya Binadamu Ambayo Hutumika Kufundishia Madaktari.
Wakati sakata la kuokotwa kwa viungo vya binadamu likiendelea kutikisa nchi, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kimesema kuwa hutumia maiti 25 kwa kuwafundishia wanafunzi kila...
View ArticleAngalia Video ya Harusi ya Producer Lucci na Lissa
Wedding Ceremony took place at D.P.C on 7th June,2014 and Reception was held at Akemi Revolving Restaurant Dar es Salaam, Tanzania
View ArticleHaya Mambo Kumi Yanayomweka Juu Zaidi Mchezaji Neymar Wa Brazil.
1] Kabla ya Barcelona, Neymar ameichezea klabu moja tu ambayo ni Santos. Hii ilikuwa baada tu ya kutoka kwenye shule ya soka ya Santos aliyojiunga nayo mwaka 2003 akiwa na miaka 11.2] Alifunga goli...
View ArticleUtajiri wa Irene Uwoya Waanza Kuwa Gumzo, Watu Wahoji Amepata Wapi Mali Zote...
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi...
View ArticleWema Akiwa na SHEMEJI yake ndani ya pozi matata
Picha 4 Kimahaba za Wema Sepetu na Ommy Dimpoz mtu na Shemeji Yake wa Ukweli ....
View ArticleMAJANGA! Misukule ya Gwajima Yatinga Polisi…Ndugu kuitwa ili kuthibitisha...
Baada ya hivi karibuni kutoa waraka mzito unaowalenga watumishi wa mungu kwa kile alichodai kuwa ni ukiukwaji wa sheria za mungu, Nabii Hosea Chamungu ametangaza rasmi...
View ArticleZitto Atoa Msimamo wake, Adai Hajawahi Kuwa UKAWA Wala Kundi Lolote Lile...
Jana tarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha PowerBreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu...
View ArticleKingwendu Atoa Kauli Baada ya Habari Kuzagaa Mtandaoni Kuwa Mke Wake Kabakwa...
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baad aya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa pombe. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa alizipata habari...
View ArticleDr. Bingwa Maradhi ya Ebola huko Sierra Leone, Ameambukizwa Virusi vya...
Sheik Umar Khan, 39, was leading the fight to control an outbreak that has killed 206 people in the West African countryDr. bingwa wa kupambana na maradhi ya Ebola huko Sierra Leone, Dr. Sheikh Umar...
View ArticleSikiliza na Download Wimbo Mpya wa Profesa Jay Feat. Jay Hustle & Nigga...
Profesa Jay ameachia wimbo wake uliokuwa unasubiriwa na mashabiki wake. Ni wimbo wa Hip Hop ambao unamuwakilisha Profesa Jay Mpya, Jay Hustle ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira.Nigga J...
View ArticleJakaya Kikwete Apata Tuzo Nyingine ya Kimataifa, Ni ya Kuwa Nyota wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa mara nyingine ametunukiwa tuzo la kimataifa – zamu hii kwa kuwa mshindi waTuzo la Nyota wa Demokrasia Afrika 2014 – Icon...
View ArticleWema Sepetu Aanika Ugomvi wake na Mama Yake Mzazi, Kisa Kumbe ni Diamond
STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga...
View ArticleDiva Loveness Amwagia Sifa Mpenzi Wake GK 'You Are the most Romantic and...
Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa Clouds FM aliyewahi kumwagiwa jumbe za mahaba kuwazidi hata Prezzo na Mr Anonymous aka mwanasiasa! Katika muendelezo wake wa...
View ArticleShaa Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu Mapenzi yake na Master J..Asema...
Akiongea leo kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika kutoka Nairobi, Shaa amesema mpenzi wake huyo si mnyama kwenye upishi wa ngoma studio pekee, bali pia katika kurekebisha msosi jikoni. Alikuwa akijibu...
View Article