Baby Madaha Anusurika Kubakwa Baada ya Kupanda Jukwaani Akiwa na Kivazi Cha...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Baby Joseph Madaha amenusurika kubakwa nchini Kenya baada ya kupanda jukwaani akiwa ametinga kivazi cha nusu utupu.Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika...
View ArticleIrene Uwoya Chizi , Asema Apendi Vazi Linaloitwa Chupi aka Kufuli
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya...
View ArticleDereva wa Basi la UDA Apewa Kibano Kizito na Trafiki
Devera wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta akipewa kibanokizito na askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ baada ya kuleta ubabe...
View ArticleMatokeo ya Manchester Utd vs Swansea City Haya Hapa
Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeanza rasmi leo hii kwa mchezo wa ufunguzi kati ya Manchester United dhidi ya Swansea City.Mchezo huo uliomalizika hivi punde katika dimba...
View ArticleSentensi 5 za Meninah Kuhusu stori za Uhusiano Wake na Diamond Platnumz.
Mwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo kupitia Leo Tena...
View ArticleMashabiki wa Diamond nao Waanza Kampeni Dhidi ya Wema, Wasema Aunt Ezekiel...
Baada ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema, mashabiki wa Diamond nao wameibuka na yao.Katika...
View ArticleMasanja Naye Apigilia Msumari ndoa ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu
Baada ya uhusiano wa Diamond na Wema kuingia katika misukosuko na Diamond kutoa ujumbe mzito kumhusu wema sepetu, mchekeshaj maarufu hapa bongo Masanja mkandami ameamua kufua ya moyoni kuhusiana na...
View ArticleYamoto Band Wamtaja Anaewaandikia Nyimbo Kwa Asilimia 90
Yamoto Band inayoundwa na wasanii wenye umri mdogo inazidi kufanya vizuri kila kukicha na hivi sasa wanatamba na ngoma tatu zikiwa ni pamoja na Nibemende/Nitajuta, Niseme.Akiongea kupitia kipindic ha...
View ArticleKarrueche Tran atoa tamko rasmi kuhusu penzi lake na Chris Brown
Karrueche Tran ambaye amekuwa na mapenzi ya kimulimuli na Chris Brown kwa muda mrefu, ametoa tamko ambalo linaongeza hisia kuwa huenda tetesi za ukaribu wa Rihanna na Chris Brown zikawa za...
View ArticleNapenda Kuwa Maarufu Kama Kina Wema Sepetu, Mwili Mzuri Ninao Nifanyaje?
Admin , Mimi ni Msichana na miaka 19 , Napenda sana kuwa Maarufu ila sijui pa Kuanzia , Naomba uniweka katika blog nami nijulikana ntakutumia picha zaidi kwenye e-mail...naitwa Fatuma nipo Dar...
View ArticleMeninah Azua Jambo Asema yeye na Diamond Hawaendani Kuwa Wapenzi
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yakeAkichonga na...
View ArticleNapenda Kupiga Chabo, Mpaka Mke Wangu Mwenyewe Huwa Namchungulia
Wadau Sijui haka Katabia ni Ugonjwa ama Kawaida, Nimekuwa Mtu wa Kupiga chabo sana yaani kabla sijaoa nilikuwa nakaa uswahilini sasa kule mabafu yapo nusu nusu na mengine ni mabafu ya magunia tu, sasa...
View ArticleDIASPORA Yupi Aliyefanikiwa Kiuchumi, Kisiasa na Kijamii Awe wa Kupigiwa Mfano?
Huwa najiuliza na Kucheka nikiona Mijadala ya Watanzania waishio nje ya nchi jinsi wanavyojigamba na kujiona wa maana kuliko Watanzania waishio Bongo , Mijadala ya kujionesha kuwa wanazo mingi huwa...
View ArticleUtabiri wa Askofu Kakobe Unaendelea Kutimia: Ikulu na Mwanasheria wa Serikali...
Ni mazingaombwe yanayoweza kupatikana tanzania pekee duniani.'ikulu inatoa tamko lao kuwa bunge litaendelea na katiba lazima ipatikakane bila hata ya kuwepo umoja wa katiba ya wananchi [ukawa].Na...
View ArticleNdoa Nyingi za Kizazi Hiki Zinavunjika Kwa Sababu za Kijinga, Nguvu ya...
POWER OF A WOMAN IN MAKING THE MARRIAGE WORK!1st Lesson SOMETIMES A WOMAN WINS BY LOOSING! Unaweza mwanamke ukajiona umepoteza kitu ila in reality umeshinda! Na unaweza kuona umeshinda ila in reality...
View ArticleAlikiba: Nawaomba watu Wasinikosanishe na Diamond, Sina Ugomvi Naye!
Alikiba anataka watu wafahamu kuwa hana na tatizo na Diamond Platnumz na amewataka watu waache kuwakosanisha.Akizungumza na Bongo5 leo, AliKiba amewataka watu kuachana na tabia ya kuwagombanisha...
View ArticleGari lililobeba Maiti Kumi za Mafunzo Laua Wawili Mikese
Gari la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), lililokuwa likisafirisha maiti 10 za watu kwenda katika Hospitali ya Mtakatifu Francis Ifakara, wilayani Kilombero, limewagonga watu wawili waliofariki...
View ArticleMuonekano Mpya wa Lulu Michael, Kwa Mwendo Huu Sasa Anafaa Kuwa Mke wa Mtu
Haka Kabinti Katamu Kweli Kweli ...Kumbe Kakivaa Kiheshima pia kanapendeza , Endelea hivyo hivyo basi mamito soon utakuwa Mke wa Mtu ...Hahaha
View ArticleDiamond Platnumz na Wema Sepetu Mwisho Umefika
Stori: Imelda Mtema na Gladness MallyaMwisho wa reli? Lile penzi lenye taito na mbwembwe nyingi Bongo kati ya sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na staa wa Ngoma ya...
View ArticleMwanaume Aliye Jifanya Mwanamke na Kupewa Kazi ya House Girl Akamatwa
Mwanaume mmoja huko nchini Uganda Amekamatwa baada ya Kujifanya ni Mwanamke ili apate kazi ya House Girl, Zoezi lake hilo lilifanikiwa na kuweza kupata hiyo kazi lakini siku zilivyozidi kwenda Boss...
View Article