Shule kwangu ni Shida Imeshanishinda Kwasasa Nataka Kuwa Maarufu Kama Lulu...
Huyu Nae Akili Hakuna kabisa eti Kapelekwa Shule na Wazazi wake yeye Kazi Kupiga Picha za Ajabu Ajabu , Nimekuta katuma Picha kwenye mtandao fulani eti anataka kuwa maarufu kama Lulu Michael Shule...
View ArticleWengine Wanaswa na Kamera ya Udaku Special Wakifanya yao Coco Beach Live...
Wengine Wanaswa na Kamera ya Udaku Special Wakifanya yao Coco Beach Live Mchana Kweupe, Hii Imekaaje Watu Hatuna Hata Aibu Jamani Mambo ya Chumbani Kufanya Hadharani?
View ArticleNina Mimba ya Mbasha sio Gwajima Kama Watu Wanavyosema-Flora Mbasha
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat...
View ArticlePanya Wamla Mtoto wa Mwezi mmoja Vidole na Pua, Asubiria Upasuaji Kutengeneza...
Taarifa kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini zinasema - kuwa panya walimng'ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua Mtoto huyo anasubiri kufanyia upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya...
View ArticleAY na Diamond Waahidi Kumsaidia Chid Benz Kurudi Katika Hali ya Kawaida na...
AY amedai kuwa kuwa yeye na Diamond watahakikisha Chidi Benz anasimama vizuri baada ya kuyumba hapo awali.AY ameiambia Bongo5 kuwa kama ilivyo kawaida yake kumsaidia msanii mmoja kila mwaka, mwaka huu...
View ArticleUKATILI! Msicha wa Kazi Achomwa Moto Sehemu Zake za Siri Kisa Kakojoa Kitandani
Habari  kutoka  mkoani  Arusha  zinaarufu  kuwa  msichana  mmoja  wa  kazi ( hausigeli)  ameungua  na  kuharibika  vibaya  sehemu  zake  za  siri  baada  ya  kuchomwa  moto  na  bosi  wake…Kwa  mujibu...
View ArticleZitto Kabwe Kwa Mara ya Kwanza Aongelea Uhusiano Wake na Diva Loveness,...
KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa...
View ArticleMashosti Wawili wa Wema Sepetu Wanaomsaidia Kula Ujana Watifuana Kwa Matusi,...
Nice Chande, Wema na AuntSTAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na shostito wake Nice Chande, juzikati walijikuta walitifuana kwa matusi makali ya nguoni nyumbani kwa rafiki yao Wema Sepetu ‘Madam’...
View ArticleNey wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Soma Kilichotokea Mpaka sasa...
Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Tatizo kati yao lilikuwa ubabe...
View ArticleBunge la Katiba Kufuru, Wateketeza Mamilion Kwenye Kikombe cha Chai na...
Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali zinazotumiwa na Wajumbe.Wameandika bunge la katiba lateketeza...
View ArticleWanawake Wengi Wanaoolewa ni Darasa la Saba na Form 4 Wenye Degree Hamfai na...
Wenye degree hamfai na degree zenu.Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya...
View ArticleBaba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce,...
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya...
View ArticleHili Jimama Litaniua, Kila Akitaka Mambo Anamtoroka Mume Wake na Kuniita...
Admin Udaku Specially Huyu Mama Hapo kwenye Picha Anataka kuniua tu mimi kijana bado mdogo, Nilikutana naye Mlimani City Pale Game alikuwa akifanya shopping na watoto wake wadogo sasa vitu alivyonunua...
View ArticleEmmanuel Okwi atua Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili, Asema Yanga Wamemuacha
Emmanuel Okwi kusaini mkataba usiku huu mkataba wa miaka miwili Simba.“Yanga wameniacha, nikachukua uamuzi wa kurudi Simba na kuomba kuichezea nao wamenikublia.“Najua Yanga wamenishitaki TFF au Fifa,...
View ArticleShahidi Aelezea jinsi Alivyofanyishwa Mapenzi na Mganga wa Jadi
Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga...
View ArticleKondom za MALAYA wa Morogoro Zawaathiri Watoto Wanaoziokota na Kuzifanya...
Biashara ya ngono iliyokithiri katika mji wa Morogoro imegeuka kuwa kero kwa wakaazi wa eneo hilo na familia zao hali inayowaweka hatarini zaidi watoto wadogo wasio na hatia wanaokutana na kondom...
View ArticleJohari Afunguka:Ray na Ostaz Juma si wapenzi wan na Wala Siwapendi Watu wa...
Mwanadada anayefahamika kama Blandina Chagula (Johari) amefunguka na kuweka wazi kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Muigizaji mwenzake Ray wala Ostaz Juma kama ambavyo imekuwa ikizushwa...
View ArticleMessage za Usagaji za Anti Lulu Zanaswa, Alikuwa Anachat Na Mwanafunzi wa...
Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias...
View ArticleVideo Mpya ya Nay wa Mitego ya Wimbo Mr Nay iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu...
Video Mpya ya Nay wa Mitego iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka na Picha za Ajabu zilizotoka wakati wa uchukuaji wa Video hiyo, Itazame hapa Chini alafu uniambie Kama umeikubali ama Laa!
View ArticleMkurugenzi TBS Jela Mwaka Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Kwa Matumizi Mabaya ya Cheo chake na Kusababishia...
View Article