Jaji Ahoji Wingi wa Kesi za Ponda:Nani Yuko Nyuma ya Kesi Zako?
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemtaka katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda aeleze sababu za kuwa na kesi nyingi, huku akihusishwa na matukio mbalimbali ya uhalifu...
View ArticleNuh Mziwanda wa Shilole alikopi kwa Nick Cannon na Mariah Carey Kuweka...
Mwimbaji wa Bongo Flava, Nuh Mziwanda aliwashitua wengi baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ‘Shilole’, tattoo ambayo haifutiki daima. Kitu ambacho kiliwashitua wengi.“Mimi nimefanya...
View ArticleTetesi Mpya Kuhusu Kajala Kutoka Kimapenzi na Mwanamuziki wa Bongo Flava
Hii ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika >>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleahKama zitakua ni stori za kweli inaweza ikawa ni uhusiano mwingine...
View ArticleMaskini Zitto Kabwe Azidi Kuchoreshwa na Diva Baada ya Zitto Kumakana...
Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina...
View ArticleUtafiti: Wanawake Wanene ni Mafundi Jikoni Kuliko Wembamba
Duniani kuna tafiti nyingi na mara nyingi wataalamu wa masuala mabalimbali huja na tafiti tofauti tofauti...Moja ya tafiti ambayo imenivutia kiasi cha kuja hapa jamvini ni utofauti wa ufundi wa jikoni...
View ArticleNajuta: Nilioa Mke Kwa Kuvutiwa Sura na Umbo Lake
Nilidhani nimepata kumbe nimepatikana! Mwaka jana mwezi wa tatu nilifunga ndoa na mke wangu. Tumejaaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume. Kitu kikubwa kilichosababisha nikamuoa ni sura yake ya kuvutia,...
View ArticleMbowe: Mimi ni Kisiki cha CHADEMA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana alikabidhiwa fomu na makada wa chama hicho na kumtaka awanie tena kiti hicho, ombi ambalo alilikubali na kufungua milango...
View ArticleMtuhumiwa Kinara wa Mauaji ya Wanawake jijiini Arusha Anaswa na jeshi la polisi
Mtu mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini Arusha ametiwa...
View ArticleYanga na Mchezaji Okwi Hapatoshi..Hivi Huyu Mchezaji ana Matatizo Gani ?
Klabu ya Young Africans imemshitaki mchezaji Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kuwasilisha nakala kwa shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) na shirikisho la soka duniani (FIFA)...
View ArticleSababu Inayosemekana ya Babu Tale kumsimamia Shilole kikazi kwa Sasa ni Hii.
Manager wa Tip Top Connection na Diamond Platnumz Babu Tale inasemekana anamsimamia kwa sasa Shilole kama msanii wake kwa kile ambacho kimeelezwa na Soudy Brown kuwa deni alilokua anadaiwa Shilole.Deni...
View ArticlePochi Yamsitiri Kajala Masanja Kukaa Nusu Utupu
Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.Tukio hilo...
View ArticlePenzi la Mainda Lagombewa na Wanaume Wenye Uchu
Staa wa Filamu za Kibongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema amekuwa akipata wakati mgumu kumjua mwanaume wa kweli ni yupi ambaye anaweza kumuoa na ndoa yake...
View ArticleUkweli Kuhusu Kifo cha Betty Ndejembi, Unyanyasaji Kwenye Mitandao ya Kijamii...
Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa watu wengine. Lakini siku zote ninaamini katika busara hii: kuuchukia ukweli hakuufanyi...
View ArticleModel Maarufu wa Rasta za Darling Afariki Dunia Kwa Ajali ya Gari, Alimwaga...
Former Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara la Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling (Inasemekana ndio rasta maarufu zaidi Tanzania), harusi yake ilikuwa njiani kwenye...
View ArticleLady Jay Dee Adaiwa Kuopoa Ka Serengeti Boy , Picha Zanaswa
Na Musa MatejaOHOOO! Siku chache baada ya ndoa ya Legendary wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na mtangazaji mahiri nchini, Gardner Gabriel Habash ‘G Habash’ kudaiwa kuvunjika, gumzo limeibuka...
View ArticleJe Wewe ni Mbaya? Jua Dalili za Mdada Mwenye Shepu na Sura Mbaya
1.Ukiona umejipiga ‘selfie’ au hata picha yoyote ukaiweka kwenye facebook nakutag watu mia ukapata ‘likes’ mbili tu ni dalili ya wazi kuwa we mbayaaa.2.Ukiona wakaka wanapenda sana kampani yako lakini...
View ArticleManji: Tutapigania haki ya kusaka chetu kwa Okwi mpaka kieleweke
Siku moja baada ya Wekundu wa Msimbazi Simba kutangaza kumsajili mshambuliaji kutoka nchini Uganda Emmanuel Arnold Okwi, hii leo uongozi wa Dar es salaam Young Africans ukiongozwa na mwenyekiti Yusuph...
View ArticleWasanii Kenya Wacharuka Waandamana Nusu Uchi Ili Nyimba zao Zipigwe Redioni
Siku hizi ishu ya kuvua nguo kuonyesha msisitizo au kulipigia kelele jambo flani imekua kawaida, yani wengi wameitumia hii njia kufikisha malalamiko yao na mfano mzuri ni hivi karibuni kwa Wanafunzi wa...
View ArticleDiva na Aunt Ezekiel Washikana Mashati kisa Ujauzito wa Aunt
Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva’ kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa...
View ArticleUchumba wa Agness Masogange Waingia Mdudu
SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume...
View Article