Diallo Afunguka Amlipua Lowassa, Jisomee Hapa
Tuhuma za Kundi la Makuwadi wa EL dhidi yangu hayana msingi wowote na kama ni kweli Edward amewapa waziseme kwangu na kuhusisha Mheshimiwa Rais ni mwendelezo wa EL kumdharau Rais ambaye alimpa madaraka...
View ArticleWema Sepetu:Wanaoniponda Wengi Wao Wanatumia Tecno na Huawei
Katika hali iliyoshangaza wengi,beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog...
View ArticleVideo: Marekani yatoa video inayoonesha mashambulizi ya anga dhidi ya ISIS...
Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotekeleza na kufanikisha mashambulizi ya kwanza nchini Syria dhidi ya kundi linalojiita Islamic State Of Syria...
View Article'Si Lazima Kujua Kingereza Kwani Mie Muingereza, Hata Messi Hajui' - Ray
Mkurugenzi wa Kampuni ya filamu Rj Company,Vicenti Kigosi amesema si lazima kujua Kingereza maana hata Messi hajui, Ray amesema hayo alipokuwa akichat Live na mashabiki zake kupitia ukurasa wa Facebook...
View ArticleRay Kigosi Amekana Kutoka kimapenzi na Msanii Blandina Chagula (Johari)
Ray amekana kutoka kimapenzi na msanii Blandina Chagula na kuwa mtaani kuna habari nyingi sana na nyingi hazina ukweli lakini kwa kuwa sisi ni kioo cha jamii hivyo jamii inakuwa inatuzungumzia kwa...
View ArticleMwigizaji Jack Wolper Afunguka Kuwa Sasa Yupo Tayari Kuwa Mke
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.Wolper alisema, katika maisha siku zote anaamini kuna kipindi kinapita cha...
View Article'Kamwe Sijawahi Kutoa Rushwa ya Ngono kwa ‘Dairekta’ na Wala Sifikirii...
MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala...
View ArticleTaarifa Mbaya Kutoka Simba Kuhusu Kuvunjika Kwa Ivo Mapunda
Wakati zikiwa zimebakia takribani wiki mbili kabla ya kukutana na mahasimu wao wa jadi, klabu ya Simba imepata pigo kubwa katika timu.Kipa namba moja wa timu hiyo, Ivo Philip Mapunda amevunjika kidole...
View ArticleMchongo Mpya Alioupata Diamond Platnumz, Huu Unahusu Application ya Simu.
Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo ‘Ningependa kukutaarifu shabiki wangu pendwa...
View ArticleMeninah Aongelea Issue ya Yeye Kufunga Ndoa na Mwanamuziki Diamond Platnumz
"Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashangaa, kwanza sijui chochote, nimekuwa nikiandikwa mara kwa mara lakini taarifa hizo...
View ArticleUkweli Kuhusu Tetesi za Mwanamuziki Tunda Man Kufukuzwa Kundi la Tip Top...
Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi...
View ArticleSimu za iphone 6 Kimenuka, Watumiaji wa Simu Hizo Walalamika Zinapinda
Watafiti wamechanganyikiwa kuhusu ikiwa kampuni ya Apple inapaswa kutoa kauli yake kuhusu ripoti kuwa simu yake mpya ya iPhone 6 inajipinda mtumiaji anapoishi kuiweka ndani ya mfuko wa suruale...
View ArticleAibu! Mrembo asababisha Steve Nyerere kuzomewa uwanjani
NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na...
View ArticleAfande Sele Anaswa na Demu Mpya..Mwenyewe Adai ni Maswala Yake Binafsi Asiulizwe
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya Seleman Msindi ‘Afande Sele’, juzikati alinaswa akiwa na demu mpya akiwa ni siku moja tu baada ya kufanyika kwa 40 ya aliyekuwa mzazi mwenzake, marehemu mama...
View ArticleTaarifa za Mchezaji Asamoah Gyan Kumuua Rafiki yake na Kumtoa Kafara Hizi Hapa
Nahodha na mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ghana, Asamoah Gyan, amekanusha madai kuwa alimtoa kafara yake ambaye pia alikuwa mwanamuziki mashuhuri nchini Ghana Castro.Gyan amesema tetesi hizo ni za...
View ArticleMwanzilishi wa Kampuni ya 'Apple' Aliwazuia Watoto wake Kutumia iPad, iPhone...
Bidhaa za kampuni ya Apple zina mashabiki na wateja wengi duniani, hii inathibitishwa na foleni kubwa ya watu waliojitokeza kwenye vituo mbalimbali duniani kununua toleo jipya la iPhone6.Tumesikia watu...
View ArticleHotel ya Blue Pearl Iliyoko Ubungo Yafungwa Kwa Aibu Kisa Kizima Hichi Hapa
Services at the Blue Pearl hotel in Dar es Salaam’s Ubungo suburb have been affected after the owner of the business allegedly failed to pay rent amounting to about Sh6 billion ($3,800,000).Yesterday...
View ArticleMahakama Yatoa Hukumu Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imetoa hukumu ya kesi ya namba 28 ya mwaka 2014 ambayo iliitaka mahakama hiyo kutoa tafsri sahihi ya mamlaka na mipaka ya Bunge maalum ya katiba iliyofunguliwa...
View ArticleNakala ya Rasimu ya Katiba Mpya iliyopendekezwa: Ibara 28 Zimefutwa, 42...
Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba jana ilikabidhi bungeni Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikiwa na ibara 289 kulinganisha na 271 za Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji...
View ArticleTCU Yakifungia Chuo cha IMTU Kudahiri Wanafunzi Wapya
Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika chuo kikuu cha IMTU kwa mwaka wa masomo 2014/15 na kukipa muda wa miezi 3 chuo hiko kurekebisha kasoro zinazojitokeza...
View Article