Bilionea Ampangishia Lulu Michael Jumba la Kifahari, Ampa Jeuri ya Pesa...
Stori: Hamida Hassan, Gladness Mallya na Musa Mateja.Madai mazito ya kushtua mtaani yanasema kwamba staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, mambo yake kwa sasa yapo juu ya mstari baada ya...
View ArticleAmanda Azua Balaa Mtaani Baada ya Kuvaa Nguo Fupi , Masela Wamfuata Nyuma na...
Stori: Chande AbdallahMsanii wa filamu, Tamrina Posh ‘Amanda’ hivi karibuni alizua balaa la aina yake baada ya kukatiza mtaani akiwa amevaa kigauni kilichokaribia kuacha wazi makalio yake.Tukio hilo...
View ArticleShoga la Kiume Lafunguka Jinsi Linavyompagawisha Mwanaume Wake..'End of the...
Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la Saidi amenaswa na Kamera akielezea jinsi anavyompagawisha mpenzi wake wa kiume, alikuwa akipiga stori na Mashosti zake wa Kike..Angalia Video Hapa chini:
View ArticleAibu!Hii Ndio Video ya Mchungaji Aliyenaswa Akila Uroda na Muumini Wake
Wakaazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi walishuhudia kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa.Hata hivyo, mchungaji...
View ArticleWajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Watishiwa Maisha
Siku tatu kabla ya Bunge la Katiba kuanza kupigia kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, watu wasiojulikana wameanza kusambaza vitisho vya kuwatia hofu wajumbe wa Bunge hilo.Watu hao wamesambaza...
View ArticleDiamond 'Kusema Ukweli Sina Mahusiano na Meninah. Kila Mtu Anajua Mie Wangu...
Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah, Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha...
View ArticleBaby Madaha atamani penzi la Wema na Diamond, Natamani Ingekuwa Mimi
MWANAMUZIKI mwenye vituko kila kukicha Bongo, Baby Joseph Madaha, ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kuwa kila kukicha anayatamani mapenzi ya Wema Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond’ kama angekuwa...
View ArticleUKAWA Yaitaka Polisi Kuzuia Mikutano ya Kinana Nchini, Kama Ilivyozuia...
UMOJA wa Katiba ya Wananchi “Ukawa” wamemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, kuzuia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahaman Kinana, kama alivyozuia mikutano na maandamano...
View ArticleDkt. Slaa: Sitta ni Kielelezo cha Mfumo Uliooza, Mlinda Mafisadi na Ufisadi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshukia Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kikisema kiongozi huyo si mwadilifu, si mwaminifu na mnafiki, akiwa ni mwakilishi na...
View ArticleMahakama ya A. Mashariki Yatengua Ubunge wa wabunge wa EAC kutoka Tanzania
Ni muda mfupi uliopita jopo la majaji wa mahakama ya Afrika mashariki huko Arusha imetoa uamuzi wa Shauri ambalo ilifunguliwa na CHADEMA ( Antony Komu ) aliyekuwa mgombea wa Chadema katika Bunge la...
View ArticleKupata Wanawake Siku Hizi Husumbuki Kuwapata, Nawashangaa Wanaobaka Wanawake
Digitari imerahisisha sana maisha, hata mapenzi wakuu yapo ya kidigitari. Zile habari za analogia mwanamke unamtongoza leo kula issue mwakani hazipo tena.Leo ukijisikia una hamu ya kungonoko weka...
View ArticleFaida Ama Uzuri wa Kuoa Single Mothers na Wadada Over 35 years
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.*Hawa watu wana commitment...
View ArticleMambo ya Kishamba Ambayo Mwanaume wa Sasa Hutakiwi Kuyafanya
1. Kufuata mkumbo, kutokuwa na maamuzi yako mwenyewe.2. Kuongea lugha chafu, huwezi kumaliza sentensi bila matusi.3. Kuvaa mlegezo.4. Kunyoa panki, kiduku au kuacha afro.5. Kuvaa viatu vya four angles...
View ArticleMchinjaji wa Mateka wa Wanamgambo wa Kiislam IS Atambuliwa
Mkurugenzi mkuu wa FBI James Comey amesema kitengo chake kimemtambua mtu ambaye huficha sura yake ambaye ni muuaji,ambaye pia huoneshwa wakati akiwachinja mateka watatu kwenye video inayo nadi...
View ArticleHali si Swari Kwa Vera Sidika, Uso Waanza Poromoko Kwasababu ya Kujichubua
Habari zimeendea Kenya kuwa yule dada aliyezungumziwa sana kwa kujichubua ngozi na kuwa mweupe hali si swari kwani ngozi ya uso kwa sasa imeanza kuporomoka kama ilivyokuwa ya michael J, Inasemekana ili...
View ArticleMwanamke Apigwa Mawe Hadi Kufa Huko Somalia Baada ya Kufanya Mapenzi Nje ya Ndoa
Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa mawe nchini Somalia na kundi la wanamgambo wa Al Shabaab.Ripoti zinasema kuwa takriban watu 200 akiwemo gavana wa eneo hilo walishuhudia watu wakimpiga mawe mwanamke...
View ArticleAmber Rose avunja ukimya tuhuma za kuchepuka na mme wa Mariah Carey, aeleza...
Amber Rose aliwashtua mashabiki wake na Wiz Khalifa baada ya kuripotiwa kutengana na mumewe huyo huku akifanya taratibu za kupata talaka yake kisheria.Baada ya taarifa hizo kusambaa kwenye vyombo vya...
View ArticleKajala: Watu Wanaamini Sana Magazeti, Sina Utajiri Huo Wanaousema na Siwezi...
Kajala Masanja amedai kuwa maisha yake hayajabadilika sana kama ambavyo magazeti ya udaku yamekuwa yakiandika.Muigizaji huyo wa filamu alisema kuwa tetesi kuwa ana fedha nyingi kiasi cha kuwa na mpango...
View Article‘I Should Have Known’ – Wema Sepetu Apost Ujumbe Uliowafumba Wengi Instagram
Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja. Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza...
View ArticleKali:Mchungaji Awasugua Matiti Wadada Kuwaombea Waweze Kuwa na Uwezo wa...
Kila Siku zinavyoenda Vioja vinavyofanywa na Wachungaji wa Dini Vinaibuka , Baada ya hivi Karibuni mchungaji mmoja kuwalisha Nyasi Wafuasi wake Mwingine Ameibuka Nchini Kenya Akidai kuwaponya Wanawake...
View Article