Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uwezi Amini Kuna Watu Wanakula Nyama ya Paka Kwa Kukosa Chakula cha Kupika

Hii Habari imeripotiwa Kutoka Kenya Mkoa wa Baringo na mtandao unaitwa Nairobi exposed , Inasemekana hali ya chakula huko katika Mkoa huo wa Baringo ni Mbaya Sana Kiasi kwamba wenyeji wa Mkoa huo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Ndio Maneno Aliyoyasema Diamond Kumtakia Siku ya Kuzaliwa Wema Sepetu

Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaji Warioba Azidi Kushambuliwa..Afanaishwa na Maiti Iliyokufa Ikafufuka

Mbunge wa Mbinga Kusini, Kapteni John Komba, kwa mara nyingine amemshambulia aliyekuwa Mweyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, kwa ‘kuwaingilia’ na amemuomba Rais Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masanja Mkandamizaji Amzidi Utajiri Diamond Platnums

Wadau,Hii kitu nimeisikia Clouds FM kwenye kipindi cha Gospel Trucks na Harris Kapiga!Naomba kufahamu zaidi huyu mpendwa uwekezaji wake unakua kiasi gani na anatumia mbinu zipi kukuza kipato chake ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya Wema Kuziponda Simu za Tecno na Huawei Sasa Zimekosa Soko Huko Madukani

Yaani jamani sio siri Wema ndio kila kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena.Nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Birthday ya Wema Jana: Diamond Amnunulia Gari Jipya Kama Zawadi ya Birthday

Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wiz Khalifa Azungumzia Kufumaniwa Na Amber Rose.

Rapper Wiz Khalifa amesema aliachana na mke wake Amber Rose kabla hajaomba talaka yake.Wiz Khalifa amezungumza haya baada ya Amber kusema kuwa Wiz alikuwa na wanawake wengine, Wiz amesema ni kweli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtuhumiwa Auawa kwa Kuchomwa Moto Baada ya Kushindwa Kujieleza

MTU mmoja mwenye umri kati ya miaka 25 na 30 ambaye jina lake halifahamiki, ameuawa baada ya kushindwa kujieleza juu ya pikipiki ambayo yeye na mwenzake walikuwa wanajaribu kuiuza Chalinze.Watu hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha: Samaki Mwingine Aina ya Nyangumi Aonekana Ufukweni Pemba, Wananchi...

Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi ya Kusign Out Kwenye Google Play Kwa Wale Wenye Simu za Android Kama...

Kumekuwa na Malalamishi Mengi Sana kwenye Hizi Simu za Anroid Pale Unapotaka Kumuuzia ama Kumpa Simu Mtu Mwingine Kwani kutumia hizo simu ni Lazima Uwe Umesign in kwenye Google Play  kwa kutumia e-mail...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gari Mpya Toyota Porte ya 2005 Inauzwa Kwa Bei Poa, Ndio Imefika Haijatumika...

Toyota Porte 20051290ccVvti engine88000kmMetallic blackJust arrived From JapanCall/whatsapp +255768570703

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rose Ndauka na Mchumba Wake Malick Waachana Baada ya Kuishi Kama Mume na Mke...

Stori: Imelda MtemaOoh…nooo! Wachumba wa muda mrefu, staa wa sinema za Kibongo, Rose Donatus Ndauka na Malick Bandawe ambao maisha yao ya kimapenzi yamekuwa yakitawaliwa na msuguano wa chini kwa chini,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Picha za Model Maarufu Bongo Calisa Akiwa na Miss Sinza Wakiwa Kitandani...

Stori: Gladness MallyaKABAANG! Miss Sinza 2001 na aliyekuwa pia mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amenaswa akiwa kimalovee laivu kitandani na modo maarufu Bongo aliyejulikana kwa jina moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C sasa Ataka Kuolewa na Mzee, Ataki Viserengeti Boys

Stori: Hamida Hassan na Gladness MallyaUtu uzima dawa! Staa wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amefunguka kuwa kwa sasa hana mpenzi wala hajapata mtu wa kumuoa ila anataka kuolewa na mzee...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gari Mpya Aina ya Toyota Passo 2005 Inauzwa Kwa Bei Nafuu, Haijatumika Bongo...

Toyota passo 2005990cc very economyVvti engineMetallic light blueJust arrivedCall/whatsapp +255768570703

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Skirt Fupi Maofisini Zinapunguza Ufanisi wa Kazi kwa Wanaume

Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo kwa sababu mnapofanya kazi na sisi halafu karibia mapaja yote yapo nje...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muuguzi Anusurika Kushambuliwa Chumba cha Operesheni Baada ya Kumzalisha...

Muuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga, Yasinta Thomas, amenusurika kushambuliwa na wananchi wakati akimhudumia binti wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), aliyekuwa mjamzito wa miezi sita na kisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tuzo aliyojipa H.Baba ‘Mtumbuizaji Bora’ ni diss kwa Diamond Platnumz?

Pamoja na H.Baba kuwahi kudai kuwa hana tena beef na Diamond Platnumz, kuna kila ishara kuwa mafahari hao wawili bado hawawezi kukaa kwenye zizi moja. Kama umesahau, wacha tukukumbushe; Wasanii hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBS: Wananchi Acheni Kununua Nguo za Mitumba

Shirika la Viwango (TBS) limewataka wananchi kutonunua nguo za ndani za mtumba ili kuua soko la bidhaa hizo zenye athari kiafya.Kaimu mkurugenzi anayehusika na udhibiti ubora wa TBS, Mary Meela alisema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tibaigana Aibuka na Kusema 'Wapinzani Wana Haki kuandamana'

Katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Buganguzi wilayani Muleba, Kamishna Tibaigana alisema suala la maandamano halikumsumbua kwa kuwa alielewa kuwa sheria inayaruhusu, hivyo...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>