Je hiki Kipigo cha Katiba ni Uthibitisho UKAWA Sii Lolote Sii Chochote, 2015...
Kufutia hiki kipigo cha Katiba Mpya kwa kundi la Wana UKAWA, Tume ya Warioba na Watanzania wote wapenda demokrasia ya kweli!, jee kinaweza kuwa ndio kiashiria cha awali kuwa hawa Wa UKAWA sii lolo, sii...
View ArticleSteve Nyerere: “Bongo movie watanikumbuka
MSANII wa filamu Bongo aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema kuwa ana mengi ya kujivunia katika klabu hiyo ambayo anaamini yatawafanya wasanii wakumbuke...
View ArticleTanzania Yashuka Kiwango cha Uongozi Bora Katika Nchi za Afrika
Tanzania tumbles in governance indexDar es Salaam. Tanzania performance in the 2014 Mo Ibrahim Index of African Governance has tumbled—with the country dropping five places—from 10th position in 2012...
View ArticleNi rahisi sana Sana Kwa Mwanandoa Aliyeajiriwa Hapa Mjini Kuchepuka, Hivi...
Nina uzoefu kidogo na mambo ya kazi za ajira maofisini, nimefanya hivi kwa muda mrefu. Wakati flani nilifanya kazi katika ofisi zilizo katikati ya jiji, kule mitaa ya Posta jijini Dar es Salaam.Ofisi...
View ArticleTaarifa ya Balozi wa Tanzania China Kuwatishia Wafungu wa Madawa ya Kulevya...
Gazeti la South China Morning Post linadai kuwa Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Generali mstaafu Abdulrahman Shimbo amewatishia wafungwa wa Kitanzania walioko magerezani Hong Kong kwa kupatikana...
View ArticleKuvunjika Kwa Uchumba wa Rose Ndauka Wanawake Wawili Watajwa
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ameanika ukweli kuhusu uhusiano wake na aliyekuwa mchumba wake Malick Bandawe baada ya kuwagundua wanawake wawili aliozaa nao mbali na yeye.Kwa mujibu wa chanzo chetu,...
View ArticleUkawa Sasa Waja na Tuhuma Nzito Kuhusu kura za Bunge la Katiba
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeibua shutuma dhidi ya uongozi wa Bunge Maalumu la Katiba kwamba unawarubuni kwa fedha baadhi ya wajumbe wa umoja huo ili kuipigia kura Katiba...
View ArticleDada wa Diamond Esma Atoa Mipasho Kupitia Instagram Week Mbili tu Baada ya...
Dada wa Mwanamuziki Diamond Anayejiita Esma Plainum Ambae Ameolewa Hivi Karibuni na Petit Man Amepost Video Kwenye Instagram Page yake Huku Akitoa Mipasho ya Taarabu yenye Kuwananga Wanao Ona Wivu Juu...
View ArticleLemutuz Aanzisha Mission ya Kuwashughulikia Wanao Tukana Wengine Kupitia...
Kwa Kile Kinachoonekana ni Kukerwa na Watu wanao tumia Mitandao ya Kijamii Kama facebook na Instagram Kutukana Wengine Mzee Mzima Lemutuz Ameanzisha Misheni ya Kuwakomesha Wale wote Wenye Tabia Hizo...
View ArticleLaana! Kijana Adata na Penzi la Nguruwe Huko Sumbawanga….Aamua Kuacha Shule...
UNAWEZA kudhani ni Hekaya za Kusadikika! Lakini ni kisa cha kweli kwamba mama mzazi amemshitaki polisi mwanawe wa kiume, ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16, kwa kile...
View ArticleKweli Mwisho wa Dunia Umekaribia..Embu Ona Huyu Mchungaji Anavyomwombea Huyu...
Wanawake MUNGU awasaidie sana Mjue kujenga Mahusiano binafsi ya karibu na MUNGU mwenyewe kuliko kutegemea sana kuombewa hovyo hovyo,Kisa tu Umeambiwa na Rafiki yako kwamba yuko Apostle flani ana Upako...
View ArticleHii Ndio Zawadi Aliyopewa Diamond Jana Kwenye Birthday Yake, Kwa Taarifa yako...
Jana Ilikuwa Ni Siku ya Kuzaliwa ya Mwanamuziki Anaye Make Headlines Bongo na Nje ya Nchi Diamond Platnumz, Hakika wengi Walisubiri Kuona Mpenzi wake Wema Sepetu Atamzawadia Zawadi gani Kwa Vile Yeye...
View ArticleKiingereza cha Diamond,The Sporah Show na Kile Cha Shigongo, Straight Talk...
Well,inatia moyo kuona waswahili sasa tunaanza kuwa majasiri wa kufanya interview za kiingereza(JAPO BROKEN) na hasa ujasiri huo unapofikia hatua ya kufanya interview katika vipindi vya TV...
View ArticleKura mbili zapitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, Wabunge Waserebuka...
Licha ya upinzani kutoka makundi kadhaa ya wananchi, Bunge la Katiba jana lilihitimisha kazi yake kwa kupitisha Katiba inayopendekezwa baada ya kupata theluthi mbili za wajumbe wa kila upande wa...
View ArticleTazama picha zote za birthday ya Diamond ilivyokuwa jana. Apewa zawadi ya...
Tazama picha zote za birthday ya Diamond ilivyokuwa jana. Apewa zawadi ya gari aina ya BMW X6 na Team ya Uongozi Wake
View ArticleKweli Mapozi Kikohozi, Wazidiwa Nakuanza Kufanya Yao Ndani ya Dala Dala
Kale Ka Usemi kuwa Mapenzi ni Kikohozi Kamedhiirika Juzi Huko Kenya Baada ya Wapenzi Wawili Kuanza Kunyonyana Ndimi Ndani ya Matatu ama Dala Dala Bila Kuona Aibu Kuwa kuna Watu wanawaangalia , Abiria...
View ArticleMke Akosea na Kumtumia Mume Wake Picha ya Uchi Aliyokuwa Anamtumia Mchepuko Wake
Dada mmoja Mitaa ya Migomeni Dar es Salaam Amezua Kioja Baada ya Kumtumia Mume wake Picha ya uchi Kupitia Whats app, Inasemekana Mume alikuwa Kazini Akashangaa Message imeingia kwenye simu yake kucheki...
View ArticleKivazi cha Min Sketi Chazua Balaa Huko Arusha, Demu Atamani Ardhi Ipasuke
Kivazi cha Min Sketi Kidogo Kimtokee Puani Dada mmoja Huko Arusha Mitaa ya Soko kuu Katika ya Mji Baada ya Vijana Kuanza Kumzomea na Kumfuata nyuma Wakitaka Kumshika Makalio , lilikuwa ni tukio la aina...
View ArticleBelle 9: Sioni Chemistry kati yangu na Diamond Platnumz
Mwimbaji wa Bongo Flava kutoka Morogoro, Belle 9 hafikirii kufanya collabo na Diamond Platinumz hivi karibuni kwa kuwa bado haoni chemistry (muendano sawa) kati yao.Akiongea katika Exclusive Friday ya...
View ArticleBaada ya P Diddy kusema J Lo Anamfunika Kim Kardashian kwa 'Makalio', J Lo...
Rapper mkongwe mwenye mafanikio makubwa, P Diddy juzi alimwagia sifa aliyekuwa mpenzi wake enzi hizo Jennifer Lopez akieleza kuwa alikuwa mwenye bahati sana kuwa nae. Aliongeza kuwa hata hivi sasa ni...
View Article