Maisha ya Instagram ni Zaidi ya Maigizo..Watu Wanajua Kula Raha Asikwambie...
Instagram ni zaidi ya uionavyo, watu wanajua kula raha asikwambie Mtu jionee mwenyewe...maisha mazuri hadi unashawishika kutaka kujua zaidi wanafanya nini...ntajaribu kuwatafuta hawa watupe siri ya...
View ArticleUhaba wa Wanaume: Msichana Mrembo Aamua "Kujioa Yeye Mwenyewe" Baada ya...
Uvumilivu wa kusubiri mwanaume wa kuja kumpigia goti na kumuuliza ‘will you marry me?’, umemshinda mwanamke mmoja wa Uingereza, aliyeamua kuchukua uamuzi wa kujichumbia na kujioa mwenyewe!Grace Gelder...
View ArticleUkitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni Sio Sehemu Nzuri za Kuchagua Mchumba
Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika, kuna kipindi ndogo wangu...
View ArticleMkapa, Karume Wakacha Uzinduzi wa Katiba
Japokuwa jana niliangalia kwa muda mfupi Mchakato wa makabidhiano ya katiba ya CCM iliyooandaliwa na Sitta, Chenge,wabunge wengi wa CCM (ukiwaacha Lugola na Filikunjombe walioiasi) na mawakala wao,...
View ArticleLady Jay Dee na Mwanamuziki Ay Laivu Wanaswa
Stori: Andrew CarlosKABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa...
View ArticleUdaku:Johari na Chuchu Hans Nusura Wazichape Tena Laivu Laivu
Stori: Hamida Hassan na Imelda MtemaMastaa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans ambao wamekuwa katika bifu kwa muda mrefu kutokana na uhusiano wa kimapenzi na Vincent Kigosi...
View ArticleWema Akacha Kumpa Zawadi Diamond, Wengi Wasema Ameshindwa Kujibu Mapigo ya...
Na Mayasa MariwataSTAA wa filamu Bongo, Wema Isaack Sepetu ameshindwa kujibu mapigo ya mwandani wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutompa zawadi yoyote katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa...
View ArticleKajala yamkuta Baada ya Kuweka picha simu Ambayo Bado Haijatoka sokoni Akidai...
Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4 kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo...
View ArticleKama Haya Ninayosikia Ni Kweli Basi Wema Sepetu Atavunja Rekodi Tanzania
Kumekuwa na tetesi kuhusu muigizaji na mwanamitindo wema sepetu, kutaka kufunga ndoa na mwanamuziki nguli wa bongo fleva diamond, kwa mujibu wa mama yake wema amefunguka na kusema kama diamond atataka...
View ArticlePicha za Mtangazaji Gadner Akiwa Katika Mapozi Tata na Mrembo Coco Beach
LICHA ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Kepteini’ amenaswa na kabinti akiwa kwenye...
View ArticleMsanii Irene Uwoya Ajitokeza na Kuongelea Mahusiano Yake ya Kimapenzi na...
~By Rosary Robert-UdakuspeciallyHatimae Mwigizaji wa Bongo Movies Mrembo Irene Uwoya Amejitokeza na Kuongelea Mahusiano yake na Msanii Msami wa Soundtrack .Irene Uwoya Amesema kuwa Hana Mahusiano...
View ArticleWolper Amlipua Pedeshee Mkongo 'Kwangu Huyo Mkongo Siyo Hadhi Yangu, ni...
~Stori: Erick EvaristMTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Massawe Wolper, amemtolea uvimu pedeshee maarufu, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu na kumwambia aache...
View ArticleJanuary Makamba 'Ili Tanzania Ipige Hatua Kimaendeleo Inahitaji Kiongozi...
Dar es Salaam. Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Mbunge wa Bumbuli...
View ArticleKuwa Makini na Matapeli, Ona huyu Anavyotaka Kujipatia Hela ya Bure Kwa...
Kale kautapeli ka Kutumia Watu message na kuahidi kukutafutia Kazi kwa malipo kidogo kameanza Tena Safari hii wameamia Kwenye Whats app ..Ona hii Message Katumiwa Jamaa yangu Hapa ..Jisomee Hapo Kwenye...
View ArticleKivuli Chamuumbua Mdada aliyefanyia Photoshop Picha ili Awe na Mahispi Makubwa
Mbio za Kuwa na makalio Makubwa na Mahips kwa wadada siku hizi zimeshika kasi kubwa kiasi wengine wakipiga picha basi lazima waongeze makalio yao ama mahipsi kwa kutumia photoshop kisha kuzipost kwenye...
View ArticleLemutuz Atangaza Ajira ,HouseGirl na Personal Assinstant ..Changamkia Fursa
Mzee Mzima William Malecella a.k.a Mzee wa Bebies Hapa Mjini Ametangaza Ajira ..Jisomee Mwenyewe na Kama Upo Intrested Basi Changamkia fursaaa,
View ArticleBIG BROTHER AFRICA: Mshiriki wa Kiume (Idris) Toka Tanzania Anakera
Kwa wale ambao wamekuwa wafwatiliaji wa BBA 2014 mtakubaliana na mimi kwamba kijana wetu toka Arusha na anayeiwakilisha Tanzania ndani ya jumba hilo ANABOA. Kijana kawa mzururaji tu na kukaa na wadada...
View ArticleMwanafunzi wa Chuo Cha Uhasibu Dar (TIA) Ajichoma Kisu Baada ya Kusalitiwa na...
Mwanafunzi wa chuo cha uhasibu dar (TIA) ajichoma kisu baada ya kusalitiwa na boyfriend wake...nyie wanaume kuwenu na roho ya huruma mnapendwa lkn hampendeki had ajiue hivi ndo uamini??...sio sirii...
View Article'Sina Uhusiano Wa Kimapenzi Na Master Jay'– Shaa
Shaa ambaye ni mwimbaji maarufu wa vibao vya Sugua Gaga na Subira amekana kuwa na uhusuiano na producer maarufu wa muziki wa kizazi kipya Master J.Akizungumza na jarida moja linalotoka kila mwezi Shaa...
View ArticleTCRA Yaipiga Faini ya Milioni 1 Kituo cha Redio cha Times Fm Radio kwa...
KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetoa onyo kali kwa kituo cha Redio cha Times Fm, pamoja na faini ya kulipa kiasi cha Sh milioni 1, kutokana na kukiuka vifungu vya maadili...
View Article