HII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...CHEKI HAPA
Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi...
View ArticleMWAIGULU NCHEMBA ANENA MAZITO KUHUSU SAKATA LA ZITTO KUVULIWA MADARAKA
Jisomee Mwenyewe Hapo Juu ....Dahhh
View ArticleCANDY RECORDS WAMEONYESHA JEURI YA PESA TENA BAADA YA KUFUNGUA ONLINE RADIO...
CANDY N CANDY TENANI NOMAA……SANA!!!!,ILE CREW NZIMA KUTOKA JIJINI NAIROBI KENYA CANDY N CANDY MUSIC RECORD LABEL AMBAYO MAJUZI TU ILIMWAGIA MWANADAFADA TOKAPANDE HIZI BABY MADAHA MAMILIONI YA PESA KAMA...
View ArticleUTAMU WA MKE WA MTU BALAA..USIOMBE HILI LIKUKUTE ACHA KABISA MCHEZO HUU
Utamu wa Mke wa Mtu ni balaaUsiombe hili likukute ... acha kutembea na wake za watu......
View ArticleSERIKALI YA ANGOLA YAZUIA DINI YA KIISLAM NA KUVUNJA MISIKITI YOTE
Angola bans Islam and shuts down all mosques across the country because it 'clashes with state religion of Christianity'Minister of culture described Islam as a 'sect' which is banned as counter to...
View ArticleYALIYOJIRI:MKUTANO WA CHADEMA NA WAANDISHI WA HABARI
Mheshimuwa John Mnyika, Tundu Lissu na Benson Kigailla ndio wazungumzaji wakuu.Mnyika - amewaleeza waandishi kuwa sekritarieti ya chama ilikaa kikao chake jana kujadili mambo kadhaa ndani ya...
View ArticleJB: MLOKOLE MWENYE KICHAA CHA MUZIKI
AKISIKIA muziki unapigwa mahali fulani vinyweleo humsisimka, kichwa hutingishika na kama yuko mahali ambako anaweza kujiachia basi lazima aingie kati kuchangamsha mwili kwa kusakata rhumba.Haijalishi...
View ArticleBAADA YA ZITTO KUVULIWA UONGOZI VIJANA CHADEMA WACHAPANA MAKONDE NA KUCHANA...
Uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa kuwavua nafasi za uongozi vigogo wake watatu akiwamo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, umepokelewa vibaya na baadhi ya wafuasi wao ambao...
View ArticleKAMA KUNA WANAWAKE WANAO TAKA KUZAA NA MIMI WAJITOKEZE"BABA KANUMBA"
BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kusekwa amefunguka kuwa baada ya kutangaza kuwa wanawake wanaotaka uzao wake wajitokeze azae nao, wamejitokeza kumi lakini akawapa masharti,...
View ArticleWARAKA HALISI WA MKAKATI WA MADILIKO 2013 CHADEMA UTATA MTUPU
Utata mkubwa umeibuka kuhusu waraka halisi wa ‘Mkakati wa Mabadiliko 2013’ uliosababisha Zitto Kabwe kuvuliwa wadhifa wake wa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho...
View ArticleSIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA AMINI:USINIPE ROBO
Sikiliza na Download Wimbo huo Hapa chini :
View ArticleRAIS WA MALAWI JOYCE BANDA ASHITAKIWE UMOJA WA NCHI ZA AFRICA
Taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulikia mambo ya utawala bora na maendeleo nchini (The Center for Good Governance and Development in Tanzania -CEGODETA), imeitaka Serikali ya Tanzania kumshtaki...
View ArticleMWIGAMBA:SITOKI CHADEMA NA WALA SIOMBI RADHI -ATOA UFAFANUZI KUHUSU WARAKA WA...
TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013Jumatano, 27 Novemba 2013Jana katika taarifa kwa waandishi wa habari, Mhe. Tundu Lissu na Mhe. John Mnyika...
View ArticleUDAKU'Z PHOTO OF THE DAY-UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.....umoja wetu utatufanya tumuondoe our COMON ENEMY!
View ArticleCHIDI BENZ AMEVURUGWA KWELI..!! TAZAMA ALICHOKIONGEA KATIKA HII POST YAKE
Hakuna tena kitu kizuri kwa Chidi Benz siku hizi. Kwa muda mrefu rapper huyo ambaye hivi karibuni ametokea kukubalika sana nchini Kenya (thanks kwa mashavu anayopewa na Nonini) ameonekana kutoa yake ya...
View ArticleTANZANIA, CONGO NA BURUNDI WAUNDA MUUNGANO WAO BAADA YA KUTENGENGWA
Wakati Kenya, Rwanda na Uganda zimeunda umoja unaoitwa `Umoja wa Walio Tayari’ , Tanzania, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) nazo zimeanzisha ushirikiano baina yao. Katika siku za...
View ArticleDIAMOND "PICHA ZA ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW WALE WALIOTUMA MAOMBI YA KAZI"
Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa...
View ArticleRAY NA CHUCHU HANS SASA LIVE LIVE..WAOMBA WASIINGILIWE PENZI LAO
Stori: Gladness MallyaAMA kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Hatimaye uliokuwa uhusiano wa chini kwa chini wa nyota wawili wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans, siyo siri...
View ArticlePROFESA BAREGU AITAHADHARISHA CHADEMA KUHUSU ZITTO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu amewataka viongozi wa chama hicho kutafakari na kudhibiti madhara yanayoweza kukikumba hasa baada ya hatua yake ya hivi karibuni ya kumvua...
View Article