JUAN MATA AWAANDIKIA CHELSEA BARUA YA KUWAAGA MARA BAADA YA KUJIUNGA MAN...
On the completion of his transfer from Chelsea FC, Juan Mata took out time to write a letter to everyone associated with Chelsea. And yes, this is very emotional indeed. Get ready to board the feels...
View ArticleDK.KIGWANGALLA HATARINI KUVULIWA UANACHAMA CCM
Dar es Salaam. Mbunge wa Nzega (CCM), Dk Hamis Kigwangalla yuko hatarini kuvuliwa uanachama wa chama hicho, hatua ambayo endapo itachukuliwa itasababisha apoteze nafasi yake ya ubunge.Uongozi wa Chama...
View ArticleNAJ AFUNGUKA MENGI KUHUSU MR. BLUE ASEMA HAJUTII KUTOLEWA BIKRA NA KABAISA HUYO
Mwanamuziki Naj ambae kwa sasa anaishi Uingereza ameelezea story nzima ya mahusiano kati yake na mr. Blue yaliyodumu kwa muda kidogo kabla ya kuchana mwaka jana mwanzoni. Naj anasema Blue ndo alikua...
View ArticleBREAKING NEWS:MADERAVA WA MALORI TABORA WAFUNGA BARABARA KISA WENZAO WATATU...
Taarifa iliyotufikia asubuhi hii inasema malori zaidi ya 40 yamezuia njia kufuatia tukio la kutekwa kwa madereva wenzao watatu wa malori na majambazi kisha kukatwa mapanga,na inasemekana baada ya tukio...
View ArticlePROFESA BAREGU AFICHUA SIRI YA USALITI CHADEMA
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Profesa Mwesiga Baregu, amefichua siri ya madai ya usaliti ndani ya chama hicho.Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalumu...
View ArticleTOBA:ETI HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE MWILI WENYE THAMANI KUBWA KULIKO WANAWAKE...
Her name is Amanda Lepore, a transsexual who has been tagged as 'the most expensive body on earth'.The 46 years old blonde had a sex change operation from male to female when she was 19, and ever...
View ArticleSITTA"UWOGA NI ADUI MBAYA SANA WA MAENDELEO NA HAKI"
Waziri wa tanzania Samwel Sitta amewasihi vijana kutokuwa waoga, kwani "UWOGA NI ADUI MBAYA SANA WA MAENDELEO NA HAKI" hivyo kila mwananchi ana haki ya kufurahia rasilimali za nchi, ambazo kuna baadhi...
View ArticleZURII FASHION & BEAUT BOUTIQUE KUNA STOCK MPYA KWA AJILI YENU
Wale wateja wetu wa Plus Size tumesikia kilio chenu na sasa Zurii Fashion & Beauty Boutique kuna Stock Mpya kwa ajili yenu Plus Size ladies (wale mlio jaliwa neema hahaha). Size 14-20 sasa...
View ArticleUNAKUTANA NA PICHA HII YA MPENZI WAKO AMEIPOST INSTAGRAM, ..!!?? UTALIA,...
Kuna hatari sana siku hizi kwenye haya mapozi ya upigaji picha, haswa zile ambazo ni kwaajili ya kupost kwenye mitandao..huyu sijui alikuwa anafikiria nini na kupost hii picha Intagram
View ArticleNYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AKUTWA AMEKUFA NDANI YA BONETI YA GARI NDOGO....
Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za...
View ArticleKIGOGO WA WEMA NOMA SANA..AMNASA RAFIKI WA WEMA KULIPA KISASI
Tatoo ya Clement Mgongoni Mwa NaimaStori: Imelda MtemaNOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa...
View ArticleASKARI MAGEREZA WADAIWA KUUWA MFUNGWA
Msemaji wa Jeshi la Magereza, Kamishna Msaidizi Omary MtigaAskari Magereza wanane, wamefikishwa mahakamani wilayani Mafia mkoani Pwani kwa tuhuma za mauaji ya mfungwa.Mbele ya Hakimu Mwandamizi...
View ArticlePICHA MBALI MBALI ZA MAKAMANDA WA CHADEMA WAKIWA KATIKA HELKOPTA..
Makamanda wakiwa ndani ya Helkopta kuelekea katika Operesheni Pamoja Daima, Kilelema.
View ArticleMCHUMBA WA MTU AAGA ANAKWENDA KWA BIBI YAKE MGONJWA KUMBE ANAENDA KUUZA MWILI...
Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, MorogoroOPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza...
View ArticlePENNY: DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE!
Stori: Imelda Mtema na Erick EvaristMTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama chizichizi lakini kwa...
View ArticleBONGE LA NYAU AMEIKANA ACCOUNT YA INSTAGRAM INAYOCHONGANISHA BEEF KATI YA...
Jumapili ya jana ilikua jumapili mbaya sana kwa msanii Diamond kwani ni kama vile karibu watu wote waliojiunga instagram walimuona mtu mbaya kwake. Ishu ilianza ivi, kupitia akaunti moja huko Instagram...
View ArticleANGALIA PICHA NA VIDEO JINSI JAY Z NA BEYONCE WALIVYOPAWISHA TUZO ZA GRAMMY...
Jay Z and Beyonce put on a showstopping performance as they opened the 2014 Grammy Awards on Sunday night performing hit song, Drunk In Love. Beyonce wore a black thong, glittering bra and sheer...
View ArticlePROF LIPUMBA AKOSOA UTEUZI WA WAZIRI WA FEDHA SAADA SALUMU
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishushia tuhuma nzito Baraza la Mawaziri, baada ya kudai baadhi ya mawaziri walioteuliwa hawana elimu ya kutosha. Akizungumza na...
View ArticleUKWELI KUHUSU PICHA YA DAVIDO NA MSICHANA ANAYESEMEKANI NI MBONGO WAKIWA...
Wiki hii yote kumekuepo na picha iliyosambaa mtandaoni ikimwonyesha msanii Davido akiwa kitandani na msichana anayesemekana ni mbongo. Ki ukweli mimi kama admin wa Bongoclan nimeiona katika Blog nyingi...
View ArticleMCD WA TWANGA PEPETA AFARIKI DUNIA USIKU HUU MJINI MOSHI
Mpiga Tumba mahiri katika muziki wa dansi hapa nchini, Soud Mohamed, ambaye pia alifahamika sana kwa jina la MCD,amefariki Dunia usiku huu katika hospitali ya KCMC mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro...
View Article