KENYATTA APOZA HASIRA ZA JAKAYA KIKWETE
Baada ya malalamiko ya Rais Jakaya Kikwete, ushirikiano wa nchi tatu unaojulikana kama Umoja wa Walio Tayari, umeivuta Tanzania katika mradi wa reli.Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa mradi wa reli...
View ArticleMASOGANGE YUPO DAR..AJIFICHA KUKWEPA MAPAPARAZI
Stori: Gladness MallyaVIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye alipata soo la kukamatwa na malighafi haramu aina ya Ephedrine Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini amejaa tele...
View ArticleMWANAFUNZI ATEKWA HUKO MOSHI NA KUFANYISHWA NGONO KWA SIKU NNE..SOMA ZAIDI HAPA
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Marangu inayomilikiwa na kanisa Katoliki jimbo la Moshi, (jina limehifadhiwa) alitekwa na kukufungiwa kwenye hoteli moja ya kitalii mjini hapa...
View ArticleHIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUTOKUOLEWA NA KUISHIIA KUSAGANA TU
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
View ArticleDIRECTOR WA ENDLESS FAME AJIBU TUHUMU ZA KUKUTWA AKIFANYA UFUSKA NA GARI YA...
Baada ya juzi kati kuripotiwa habari ya aliyekuwa producer ama mtengenezaji wa vipindi vya Wema Sepetu Chidi Mohamed kufukuzwa kazi kutokana na kulitumia gari la kampuni kama sehemu yake ya kuvunjia...
View ArticleHATIMAYE MWANA FA, AY NA HERMY B WAMALIZA BIFU LEO LA MIAKA MINGI
‘Friends again’, ni maneno yaliyoandikwa na Amani Joachim (Chief Operations Officers wa B’Hits), kwenye ukurasa wake wa facebook na kupost link yenye picha inayowaonesha AY, Mwana FA, na Hermy B wakiwa...
View ArticleMWANAMKE MMOJA AISHI NA WANAUME WAWILI NDANI YA CHUMBA KIMOJA WOTE NI WAUME ZAKE
DUNIA ina kila kituko, kama hujawahi kukisikia omba Mungu akupe uzima! Mama mmoja, aitwae Elizabeth Selestine, mkazi wa Kigogo-Mburahati, Dar hivi karibuni alizua timbwili nyumbani kwake baada ya...
View ArticleSIKU HIZI UOVU HAUCHAGUI PA KUTUA-MCHUNGAJI GWAJIMA ALISHWA SUMU
Stori: Chande Abdallah na Jelard LucasSIKU hizi uovu hauchagui pa kutua, Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejikuta katika hali mbaya baada ya kulishwa sumu na mtu mwenye nia...
View ArticleWANANCHI WA JIMBO LA ARUSHA MJINI[CHADEMA] WAMPINGA HADHARANI KWA MABANGO...
Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai...
View ArticlePENNY MCHUMBA WA DIAMOND AZIDI KUKONDA
Stori: Imelda MtemaMTANGAZAJI wa Runinga ya DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameamua kujikondesha mwili ambapo amefanikiwa kupoteze uzito usiopungua kilo  18 mwilini.Akizungumza na Weekly Star Exclusive,...
View ArticleJACKLINE WOLPER 'FILAMU NILIYOTOA KUMUENZI STEVE KANUMBA ILINIPA HASARA YA...
NYOTA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa filamu yake aliyoitoa kumuenzi marehemu Steven Kanumba iitwayo After Death ilimlostisha kwa kuwa ilimpatia hasara kubwa.“Nilitengeneza ile...
View ArticleBAADA YA KUGOMA KUFUNGUA MADUKA WAKIGOMEA MASHINE ZA TRA..WAFANYABIASHARA WA...
Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walio katika maeneo ya Kariakoo wamegoma kushiriki semina ya  uelimishaji iliyokuwa itolewe na  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) katika kile walichokiita kupuuza...
View ArticleUSHAHIDI WA UMILIKI WA ZIWA NYASA WATOLEWA
Dar es Salaam. Malawi na Tanzania zimewasilisha ushahidi na majibu ya maswali kuhusu umiliki wa maeneo kwenye Ziwa Nyasa, kwa jopo la wasuluhishi linaloongozwa na Rais mstaafu wa Msumbiji Joachim...
View ArticleTANZANIA YAPANDA KIWANGO CHA SOKA KATIKA VIWANGO VYA FIFA
Tanzania imepanda nafasi tano zaidi katika viwango vya Fifa, hivyo sasa kuwa ya 124, huku Zimbabwe ambayo ilitoka sare tasa na Taifa Stars katika mechi ya kirafiki iliyopigwa Uwanja wa Taifa mwezi huu,...
View ArticleDIAMOND PLATINUMZ APIGWA MADONGO VIBAYA NA BABY MADAHA!
MSANII filamu na muziki wa kizazi kipya wa Tanzania Baby Joseph Madaha maarufu kwa jina la (Baby Madaha) amesema kwamba msanii mwenzake wa muziki nchini,Naseeb Abdul maarufu kwa jina la Diamond...
View ArticleJK AMUWEKA KITANZINI PROFESA KAPUYA
RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa...
View ArticleSABABU ZA KWANINI WABUNIFU WENGI WA KIUME WA MITINDO NI MASHOGA
Bila shaka umeshajiuliza sana kwanini wabunifu wengi wa nguo wa kiume duniani ni mashoga. Haya ndio majibu:Kwanza, tasnia ya mitindo (fashion industry) kiutamaduni imekuwa ikiwakubali zaidi mashoga...
View ArticleBREAKING NEWS:MSANII TID ATUPWA MAHABUSU KWA KOSA LA KUMPIGA DEMU WAKE
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana...
View ArticleALI KIBA "NI WAKATI WANGU WA KUAMKA KATIKA USINGIZII ULIYOJAA MAUMIVU NA DRAMA"
Hitmaker wa Cinderela na Dushelele, Ali Kiba ambaye leo anasherehekea birthday yake ya kutimiza umri wa miaka 27, amefunguka kwa kusema alikuwa kimya kutokana maisha ya muziki anayosema yamejaa drama,...
View ArticleMSHINDI WA EBSS ATAYETANGAZWA LEO..KAA TAYARI
Shindano la Epiq Bongo Star Search 2013 linafikia ukingoni leo usiku (November 30), ambapo mmoja kati ya washiriki watano walioingia fainali atatangazwa kuwa mshindi. Kila mshiriki ana sifa za pekee...
View Article