MSAFARA WA MWENYEKITI UVCCM WAWEKEWA MAGOGO
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) taifa, Sadifa Juma Khamis (MB)Polisi mkoani Pwani inachunguza kundi la watu linalodaiwa kuweka magogo barabarani kuzuia msafara wa Mwenyekiti wa Umoja wa...
View ArticleIGP SAIDI MWEMA ATANGAZA MABADILIKO KATIKA JESHI LA POLISI TANZANIA
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Said Mwema amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera pamoja na baadhi ya Wakuu wa Upelelezi wa mikoa na wakuu wa Polisi wa Wilaya katika baadhi ya...
View ArticleANGALIA PICHA YA MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH ALIYE PATIKANA USIKU WA KUAMKIA...
Zawadi kwa mshindi wa mwaka huu ni Milion hamsini[50]ambayo kakabidhiwa jukwaani.Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika alfajiri hii kwenye...
View ArticleKAMPUNI 100 BORA TANZANIA ZATAJWA
Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amesema kuwa, Serikali itaendelea kutengeneza mazingira mazuri ya kufanya biashara ili wawekezaji wa nje na ndani waweze kutekeleza...
View ArticleZITTO: URAIS, MABILIONI YA USWISI VINANIMALIZA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amesema tuhuma alizosomewa na uongozi wa Chadema katika kikao cha Kamati Kuu sizo zilizoelezwa na chama hicho mbele ya waandishi wa habari na viongozi wa chama...
View ArticleMWIGIZAJI WA FAST & FURIOUS AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Marekani. Mwigizaji wa Fast & Furious, Paul Walker amefariki dunia hivi punde nchini Marekani baada ya dereva aliyekuwa akiendesha gari hiyo kukosa ‘control’ na kugonga moja ya nguzo za taa za...
View ArticleDIAMOND AULA ZIARA YA KOMBE LA DUNIA TANZANIA (PHOTOS)
Nchi yangu Tanzania imepata bahati nyingine tena ya kutembelewa na ,kombe la dunia atakalo pewa mbabe wa kabumbu Duniani ,ni kombe linaloheshimika sana duniani kote..Hafla ya kulipokeaimefanyika...
View ArticleBAADA YA ZITTO KUVULIWA UONGOZI KUNDI LA WATU LASAMBAZWA MIKOANI KUMCHAFU
Kundi la watu lasambazwa mikoani kumshughulikia *Mwenyewe akiri kupata taarifa, Chadema yasema ni ratiba ya kawaidaBAADA ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumvua madaraka aliyekuwa Naibu...
View ArticlePICHA ZA GARI AINA YA RANGE ROVER AMBALO NI REFU KULIKO YOTE AFRICA MASHARIKI
Mara nyingi tumezoea kuziona Limousine ndefu kwenye harusi tofautitofauti lakini Range hii ambayo ipo Kenya inaweza kuwa ndio ndefu zaidi kuliko Range zote ambazo zipo Afrika Mashariki ambapo unaweza...
View ArticleMTANZANIA WA KWANZA NDANI YA JARIDA LA PLAYBOY MAREKANI
Pichani juu ni Mtanzania wa kwanza kuwepo katika ukurasa wa mbele wa Jarida maarufu la Playboy la nchini Marekani ambapo amelipwa kitita kikubwa mno. Jarida hilo limewatoa mastaa kibao wakiwemo...
View ArticleMAJANGA:KATIBU WA WILAYA YA CHUNYA CHADEMA AJIUNGA CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akipiga makofi wakati Braison Mwasimba aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA wilaya ya Chunya aliporejesha kadi yake ya chama hicho na kujiunga na...
View ArticleP-UNIT WACHUKUA TUZO MBILI ZA CHANNEL O KWA WIMBO WAO ULIO WAHI KUPIGWA...
It was a great night in Soweto as Channel O awarded Africa’s best music videos. Kenya’s P-Unit who had been nominated twice were the only double category winners at the event. Here is the full list of...
View ArticleTANZANIA YAIBUKA MSHINDI LEO DHIDI YA SOMALIA KOMBE LA CHALLENGE
Baada ya timu ya soka ya Taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kukubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Ethiopia katika mechi ya michuano ya Kombe la Chalenji iliyochezwa kwenye Uwanja wa Nyayo,...
View ArticleKAULI YA BEN POL BAADA YA MSHINDI WA BSS WA MWAKA JANA NA MWAKA HUU KUIMBA...
Mwaka jana katika mahindano ya BSS mshindi Walter Chilambo alitumia wimbo wa nikikupata wa Ben Pol na kuibuka mshindi katika shindano hilo.. Mwaka huu tena mshiliki aliyeshinda kinyang'anyilo hicho...
View ArticleBIKIRA KWA WASICHANA YAGEUKA KITU ADIMU HUKO ZANZIBAR
DAKTARI mwenye dhamana ya kituo cha Mkono kwa Mkono ambacho kinachunguza wanawake waliodhalilishwa ikiwemo kubakwa, Dk Marijani Msafiri amesema asilimia 80 ya watoto wa kike wanaoletwa kituoni hapo na...
View ArticleKWA WADADA:DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA KWA DHATI
ANAVYOKUTAZAMAMwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni...
View ArticleETI BOY FRIEND WANGU ANAFIKIRI MIMI BADO NI BIKIRA
AdminMimi ni Msichana wa Miaka 21 , Nasoma chuo kimoja hapa dar ..nimetokea mkoa niko mwaka wa Pili sasa , huko nilipotokea nina Boyfriend ambae nimekuwa nae kwa muda mrefu toka secondary ila swala...
View ArticleMANGE KIMAMBI "DO YOU THINK ZITTO NA WENZIE WATAUNDA CHAMA CHAO AU WATAKUJA...
"So what do you think?Zitto na wenzie wataunda chama chao au wataingia kile chama kizuuuuuuuuuuuuuuriiiiiiiiiiiikinachoitwa CCM?Im guessing anakuja CCM ,,,,With Zitto ndani ya nyumba, CCM itazidi pata...
View ArticleSUMAYE ALITAKA BUNGE KUFUTA TAKRIMA SEREKALINI...WENGI WANATUMIA KAMA KICHAKA...
Alishauri Bunge kuibadili sheria `aliyoiasisi` Asema inatumika kama kichaka cha rushwa Asisitiza ilitungwa kwa wema, sasa inakiukwaWaziri Mkuu mstaafu, Frederick SumayeMsemo wa sheria ni msumeno,...
View ArticleKHADIJA KOPA AVAMIWA..APONZWA NA MWANAUME TATA
Stori: Hamida Hassan na Gladness MallyaMASKINI! Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omary Kopa amevamiwa na vijana wahuni wakitaka kumfanyia fujo kwa madai ya kukatiza mitaani akiwa...
View Article