WHY SECRET BALLOT IS NOW SITTA'S NIGHTMARE
The chairman of the Constituent Assembly, Mr Samuel Sitta, today embarks on what could be his baptism of fire since his election to the sensitive position over a week ago.Mr Sitta will attempt to solve...
View ArticleBUNGE LA KATIBA NA WANANCHI WAKO NJIA PANDA
Kwa neno moja unaweza kusema kwamba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na wananchi kwa ujumla wako “njiapanda”.Hii ni baada ya hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kuibua...
View ArticleWANASOKA WA AFRIKA WASAMBAA KILA KONA DUNIANI
Ni hali ambayo imekuwa kama kawaida kwa wachezaji wa Afrika kutafuta kwenye klabu mbalimbali barani Ulaya.Kutokana na hali ya uchumi iliyopo katika nchi za Afrika, kijana anayecheza soka kwenye viwanja...
View ArticleWOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO
Stori: Shakoor JongoKUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha...
View ArticleSANAA HAILIPI, WENGI WANAISHI MAISHA YA KUIGIZA!
SOKO la filamu limekua, maisha ya vijana wengi yamebadilika kutokana na sanaa hiyo. Hata hivyo bado kuna changamoto kadhaa; malipo ya wasanii na mikataba mibovu imeendelea kuwa kilio kwao.Hilo...
View ArticleKAZI NI KAZI BORA MKONO UENDE KINYWANI....NAIPENDA NCHI YANGU MAARUFU
Haijalishi wewe ni Mwanamke au Mwanaume...Tujenge nchi yetu..Naipenda Nchi yangu
View ArticleMPENZI WANGU ANAPENDA PICHA MPAKA ANAKERA..!! KILA SAA PICHA
Nimejaribu kumkanya sana bado tu haachi tabia hiyo ya kupiga piga picha, Bora basi hata picha zenyewe ziwe za maana, Picha zake ni shida tupu, yani za utata, unaweza hata ukafa kwa presha ukiziona, ni...
View ArticleKUVAA CHENI ZA MGUUNI (KI KUKU), INA MAANISHA NINI, NA JE NI SAWA
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile,...
View ArticleSONGSBIRD RAY C SHARES DISTURBING PICTURE OF HERSELF AS A DRUG ADDICT (PHOTO)
Songbird Ray C Shares Disturbing Picture Of Herself As a Drug Addict (PHOTO)Tanzanian songbird Rehema Chalamila aka Ray C is a lucky girl because she escaped death narrowlyand she owes her life to...
View ArticleTANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA
Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa Tangazo la Serikali Na.110 la Mwaka 2012.Tume ilikusanya maoni na...
View ArticleJINI KABULA: NAMSUBIRI BUSHOKE TUFUNGE NDOA
Stori: Gladness MallyaMSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta...
View ArticleDIAMOND ANYANG'ANYWA GARI NA CHIEF KIUMBE...LAWEKWA YADI KUUZWA
Stori: Mussa Mateja na Shakoor JongoLILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei.Gari hilo...
View ArticleSHILOLE AIBUKA NA ‘SERENGETI BOY’ MPYA
Stori: Hamida Hassan na Gladness MallyaKWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo...
View ArticleMASHABIKI WA MAN U WAELEKEZA HASIRA ZAO KWA MOYES NA ALEX FERGUSON
Shabiki akimtukana David MoyesKichapo cha bao 3-0 walichopata jana kutoka kwa Manchester City kimewakasirisha mashabiki wa Manchester United, na wameamua kuelekeza hasira zao kwa kocha Davidi Moyes na...
View ArticleSIJUTI KUZALIWA MWANAMKE, NAHONGWA SI HONGI, SI PIGI NAPIGIWA-MBONA RAHAA.
Hata Sikumbuki mara ya mwisho lini kununua Vocha...Nikiguna tu vidume vinanitumia vocha wala siombi .....Nahongwa mie Babu eeehh Mimi Sihongii....Sijutii Kuzaliwa Mwanamke..Raha tupu
View ArticleWANAO TEMBEA NJE YA NDOA NI MATAAHIRA NA WANA IQ NDOGO
Wengi wa watu wetu ni Mataahira, ni kwamba tu hatujakuwa na utaratibu wa kuwacheki watu wetu, lkn naamini idadi ni kubwa sana inaweza kuwa zaidi ya 30%!Ukiangalia kuanzia Magomvi Majumbani mpaka Ngono...
View ArticleMBOWE:NI KWELI UKAWA TULIFIKIRIA KUJITOA BUNGE LA KATIBA
Akihojiwa na Sauti ya Ujerumani Mbowe ambaye pia ni mwenyekiti wa UKAWA amekiri kwamba ni kweli mpango wa kujitoa upo na kwamba wamekubaliana kuvumilia kwa muda kuwapa Ccm muda wa kufikiria mara mbili...
View ArticleHAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA..ALI KIBA ATOA WIMBO MPYA-SIKILIZA HAPA
Baada ya Muda mrefu kukaa bila Single Mpya kutoka kwa mkali Ali Kiba sasa Mkali huyo ameamua kutoa Single hii hapa chini ..Embu Isikilize hapa alafu useme kama Itabamba:
View ArticleMAHABA NIUWE...DIAMOND AKIWA AMEVAA WIGI LA WEMA SEPETU..MAPENZI MATAMU
Mahaba nipige makonde...Mahaba nikaushe damu...Diamond akiwa amevaa Wigi la Wema....Mapenzi matamu sana.
View Article