JOKATE NA GODZILLAH KITUGANI KINAENDELEA...?
Mlimbwende Jokate Mwengelo na King Zillah Msanii wa Bongo fleva wakifanya yao maeneo ya kujidai, sasa hii ni Clip ya Moja ya kazi zao hapo bado ni kizungu mkuti….Endelea Kuwa nasi tutakujuza..!!!
View ArticleSITTA:SAINI ZA NYERERE NA MSEKWA ZIMECHEZEWA KWENYE HATI YA MUUNGANO
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amekiri “kuchezewa” kwa saini ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na sehemu ya saini ya aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika, Pius Msekwa...
View ArticlePICHA ZIKIONESHA TUKIO LA WATU WATATU WALIO KUFA KWA KUFANIKWA NA KIFUSI BUNJU
Watu Watatu wamekutwa na tukio la kufukiwa na kifusi maeneo ya machimbo ya kifusi huko Bunju , watu hao walikuwa wakichimba kwa bahati mabaya udongo ukamong'onyoka na kuwafukia, wananchi mbali mbali...
View ArticleJUA VITU 5 AMBAVYO HUTAKIWI KUMSHIRIKISHA BOYFRIEND WAKO NI HIVI HAPA
Where to draw the line in a relationship is very important. Certain info should only be limited to you.Personal affairs call for careful attention. And when it comes to a relationship, it makes all the...
View ArticleVITU NANE VYA KIPUMBAVU AMBAVYO WADADA HUFANYA KWENYE MAPENZI
1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii inachoma lakini ndio ukweli wenyewe. Usiwe mjinga 2. Kukubali kuwa mke wa pili. Samahani sana nitakao gusa imani zao3. Kuvaa pete ya...
View ArticleNASH MC AWEKA WAZI HISIA ZAKE KWA MREMBO MENINAH
Unaweza kuichukulia kivyovyote lakini maandishi ya member wa Tamaduni Music, Nash MC yameeleza wazi kuwa anamzimia mrembo na mwimbaji wa kundi la Shosteez, Meninah la Diva. Comment ya Nash MC...
View ArticleKANISA KATOLIKI JIMBO KUU TABORA LADAIWA KUTAKA KULIPULIWA
Kanisa Katoliki Jimbo kuu la Tabora ambalo limedaiwa kutaka kulipuliwa majira ya saa nne asubuhi ya leo baada ya kubainika kuwa mtu mmoja ambaye alifika Kanisani hapo na kutaka kumrubuni mlinzi kwa...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE CHALINZE KUPITIA CHAMA CHA AFP AJERUHIWA KWA MAPANGA
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ramadhani Mgaya kupitia chama cha AFP amejeruhiwa kwa mapanga na watu wasio julikana.Mgaya amesema amevamiwa na kujeruhiwa na...
View ArticleUKAWA WAUMBUANA BUNGENI
TABIA ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa kutoka vyama vya upinzani waliounda kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutafuta kasoro ndogo ndogo za kutaka Bunge liahirishwe mara kwa...
View ArticleKIKWETE AWAPA WANANCHI SHAMBA LA EFATHA
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya Efatha Ministry inayoongozwa na Nabii Josephat Mwingira. Agizo hilo la Rais...
View ArticleSTAR WA 12 YEARS A SLAVE CHIEWETEL EJIOFOR KUWA KUBWA LA MAADUI KWENYE MOVIE...
Nyota wa filamu ya 12 Years A Slave, Chiewetel Ejiofor huenda akapata mchongo mkubwa zaidi kwa kushiriki katika filamu maarufu duniani ya James Bond.Watu wa karibu na watayarishaji wa filamu mpya ya...
View ArticleVIDEO MPYA:RICH MAVOKO-ROHO YANGU
Angalia Video Mpya ya wimbo wa Rich Mavoko ‘Roho Yangu’, moja kati ya hits za mwaka 2013/2014. VIDEO HII HAPA CHINI:
View ArticleHALIMA KIMWANA APEWA ZA USO BAADA YA KUKOSEA KINGEREZA INSTAGRAM
Watu hata hawana huruma ..Hawachelewishi kitu ..baada ya Mwanadada halima Kimwana Ndugu yake na Diamond Kupost Picha Akiwa na Penny Mpenzi wa Diamond wa zamani na kuandika Caption ya Kingereza Kibovo...
View ArticleMWACHENI KAJALA APUMUE-KWANI AKITAKA KUFANYA KITU LAZIMA AOMBE RUHUSA KWA WEMA?
Mambo ya Insta...Team Ukweli na Uwazi yaaamua kuwachamba live wale wote walioponda Kajala kupiga picha na Penny pamoja na Wolper:
View ArticleWADADA MIKOROGO NI NOMA...ONENI MWENZENU ALIVYO SASA
Mwee Hata siamini ...Nimekutana na hii Picha Mahali eti Wameandika ndio Maimatha Alivyo kwa sasa ...Weupe wote Ule wa Mkorogo umepotea...Kama ni Hivyo Basi Wadada Mjifunze mkorogo sio Deal ..utapendeza...
View ArticleMWANAUME ATAKAYE MNUNULIA MAMA YANGU NDEGE NDIO NITAMPA ATOE BIKIRA YANGU
Muimbaji wa kike wa Nigeria, Adokiye Kyrian amesema bado ni bikira na ataendelea kuwa hivyo hadi pale atakapopata mwanaume sahihi.Kwenye mahojiano na jarida la Vanguard, muimbaji huyo mrembo alisema:...
View ArticleMAFIKIZOLO WAUPA WIMBO WAO JINA LA KISWAHILI..VIDEO KUFANYIKA HAPA TANZANIA
Kundi la muziki la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ambalo lipo nchini kwajili ya show moja itakayofanyika leo Mlimani City, lina mpango wa kufanya video ya wimbo wao mpya ‘Nakupenda’ hapa Tanzania...
View ArticleSINA BUDI KUSEMA NAWAHESHIMU SANA WANAWAKE WOTE
Rai yangu kwenu wanaume wenzangu...Waheshimuni sana WANAWAKE. Nimegundua kwamba kumdharau mwanamke yoyote yule ni sawa na kumdharau mama yako mzazi kwasababu mama yako nae alikua binti wa kawaida tu...
View ArticleMSEKWA "SITTA ANA LAKE JAMBO"
Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samwel Sitta kukiri kuchezewa kwa saini ya aliyekuwa Katibu wa Bunge la Tanganyika, Pius Msekwa na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius...
View ArticleSKENDO YA USAGAJI MASTAA WA KIBONGO...LINAH AFUNGUKA
MWANADADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki.Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na...
View Article