PICHA ZIKIONESHA MCHUMBA WA NEY WA MITEGO SIWEMA AKIVALISHWA PETE NA JAMAA...
Akivishwa PeteAki wow baada ya Pete KuvikwaFull Ma Deep KissesAkionyesha Waaalikwa Insta Kuna Umbea kila siku yanaibuka mapya..Mweee....Hizo ni Picha Nilizozicapture kwenye Video ikionyesha Siwema...
View ArticleNEY WA MITEGO AMTETEA MCHUMBA WAKE NI BAADA YA MITANDAO KUDAI AMECHUMBIWA NA...
Kuna baadhi ya mitandao imepost na kuandika habari kuwa mchumba wake msanii wa kizazi kipya anetamba na kibao chake NASEMA NAO na MUZIKI GANI ame chumbiwa na mwanaume mwingie. Katika kukanusha uvumi...
View ArticleMAUAJI YA MZEE KARUME ..ACHA SASA TUHOJI YASIO HOJIKA
The stong man in the world is the one with the best information……..Hii ni kauli ya waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Benjamin Disarel ambaye aliwahi kutawala kipindi nchi hiyo wakati wa vuguvugu la...
View ArticlePENNY: MAPENZI YA SIRI SIYAWEZI
Stori: Imelda MtemaPREZENTA wa Runinga ya DTV, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa siku zote hawezi kudumu katika penzi la siri.Penny alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na paparazi wetu na...
View ArticleKIKWETE KUVUNJA TUME YA KATIBA LENGO SEREKALI KUUTEKA MCHAKATO WA KATIBA
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimestushwa na kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kuivunja mapema Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kusema haikustahili kuvunjwa wakati Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleHALIMA KIMWANA MBABE WA WEMA SEPETU
Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa halima kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond kuwa...
View ArticleMASKINI LULU MICHAEL "HICHI NDIO ALICHO ANDIKA LEO SIKU YA KUMKUMBUKA KANUMBA"
Leo ni siku ya kutimiza miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha Steven Kanumba aliyekuwa star mkubwa wa filamu na kufanikiwa kutoa njia kwa tasnia ya filamu nchini. Kupitia mtandao wa kijamii Elizabeth...
View ArticleTIMU YA WATOTO WA MITAANI YA TANZANIA YACHUKUA KUMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya Tanzania jana April 06 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Dunia wa Watoto wa Mitaani baada kuifunga Burundi mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa jijini Rio de...
View ArticleKIMENUKA:WALE WANAWAKE WANAO UZA NA KUWAFANYISHA WADADA UMALAYA CHINA WAKAMATWA
Baada ya kuweka audio clips za hao mabiniti wakilalamika na kuomba msaada ndipo nilipo amua kuanzisha campaign ili kuwasaidia mabinti hao walioko MACAU. Nilijaribu kwa hali na mali kutafuta mawasilano...
View ArticleHALIMA KIMWANA AFUNGUKA KUHUSU MASTAA KUMTONGOZA DIAMOND
Aliyejipachika kuwa dada wa hiyari wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye ni zao la Shindano la Kimwana Manywele, Halima Haruna ‘Kimwana’ amefungukia ishu ya mastaa kibao...
View ArticleBABA DIAMOND "MWANANGU SI RIDHIKI YANGU...HANISAIDII KITU"
Baba Mzazi wa Mwanamuziki Maarufu na Mwenye Pesa nyingi Kutokana na Mziki Kuliko Wanamuziki Wote Bongo Diamond Amefunguka na Kuliambia Gazeti Moja hapa Bongo Kuwa Mwanamuziki huyu Si Ridhiki Kwake...
View ArticleTAZAMA PICHA JINSI SHOW ROOM YA MAGARI KARIBU NA MLIMANI CITY ILIVYOUNGUA MOTO
Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa...
View ArticleWASANII/WATU MAARUFU BONGO AMBAO WAPENZI WAO HAWAJULIKANI
1. Martin KadindaNi mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga picha na warembo tofauti tofauti , ila haijawahi...
View ArticleREDIO MPYA DAR 93.7 YAWANYIMA WATU USINGIZI..JE NI KWELI NI YA LADY JAY DEE?
Miezi ikapita, mawiki yakasonga hatimae siku, masaa na dakika zake zikapotea na sasa EFM inayopatikana katika masafa ya 93.7 imesikika hewani kwa majaribio kwa mara ya kwanza.Redio hii iliobeba...
View ArticleMBINU MPYA YA KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA YANGUNDULIKA..WAJAWAZITO WATUMIKA
Baada ya Mambo kuwa magumu kwa wasafirishaji wa madawa ya kulevya ..sasa wamegundua njia mpya ya kusafirisha madawa ya kulevya kwa kuwatumia waja wazito kwa kuwa huwa hawakaguliwi kwenye x ray za...
View ArticleMKE WANGU HAJAWAHI NIAMBIA NIMECHOKA..JE NI MWAMINIFU?
Nimekuwa nikimpa dozi za uhakika,nimekuwa nikimpiga romance za nguvu. namfikisha hata mara nne lakini haniambii kama kachoka bado anaguna utamu tu mpaka mimi nichoke.Nimekuwa nikiwa na tabia ya kunywa...
View ArticleIZZO BUSINESS ALIGOMA KUMPIGIA KAMPENI RIDHIWANI JAPO ALIOMBWA KUFANYA HIVYO
Jumapili iliyopita (April 6), Ridhiwani Kikwete alitangazwa na tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kiti cha ubungo wa jimbo la Chalinze mkoani Pwani.Hii ilikuwa habari njema pia kwa Izzo Bizness...
View ArticleAY KUKIPELEKA KIPINDI CHA TV MKASI SHOW KENYA
Mkasi ni kipindi cha TV kilichoanzishwa na msanii na mfanyabiashara Ambwene Yessaya aka AY, kipindi kilichojipatia umaarufu mkubwa nchini Tanzania.AY yuko nchini Kenya ambako pamoja na mambo mengine...
View ArticleNJEMBA YAMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE
Stori: Haruni Sanchawa, Nyemo ChilonganiNI AIBU!Jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Iddi Mgosi anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Wazo jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa...
View ArticleMASTAA MATAJIRI WACHUNGUZWA KISA MADAWA YAKULEVYA
Stori: MAKONGORO OGING’KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mastaa’ Bongo ambao wameibuka na utajiri wa...
View Article