Msanii Bongo Movie"Rafiki Yangu Ndio Alinichomesha Nikafumaniwa na Boyfriend...
Na Sakina Sahabani Msanii chipukizi kwenye filamu za kibongo Amina Salum a.k.a Tity Baby amefunguka chanzo cha kufumaniwa ni shoga yake kumchoma kwa boy wake. Akizungumza na Xdeejayz wiki iliyopita...
View ArticleHuwezi Kuamini Huyu Ndio Penny Kabla Hajawa Maarufu....Mweee
Penny Enzi zake Kabla Hajawa Maarufu..Kweli Camera 360 kiboko ...Uwezi amini ni yeye
View ArticleHuyu Ndio Shosti Mpya wa Wema Sepetu Baada ya Kumtema Kajala
Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel...
View ArticleBREAKING: Taarifa ya Polisi kuhusu bomu lililolipuka Mwanza.
Usiku wa April 13 2014 lililipuka bomu kwenye baa moja Mianzini Arusha na kujeruhi zaidi ya watu 15 wengi wao wakiwa wanatazama mpira ambapo mpaka sasa haijajulikana ni nani alihusika.Usiku wa May 5...
View ArticleHoma ya Dengue Yatikisa Jiji La Dar, Kuwa Makini
Ugonjwa wa homa ya dengue umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na sasa umeathiri wilaya zake tatu na kuzua hofu kwa wananchi.Miongoni mwa walioathiriwa na homa hiyo ni mwanamuziki maarufu Rehema...
View ArticleMahabusu Wavua Nguo Kupinga Wenzao Kuachiwa
Mahabusu wa Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha, jana walizua tafrani katika viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini hapa, baada ya kuvua nguo na kugoma kushuka kwenye basi wakipinga kitendo cha...
View ArticleSasa Nimeanza Kuwa na Shaka na Batuli..Mwenendo Wake Watia Hofu
KWAKO,Msanii wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Pole na mihangaiko ya kujitafutia mkate wa kila siku. Naamini mishemishe zako zipo poa. Kwa upande wangu mimi naendelea vizuri. Naamini sijawahi...
View ArticleTuzo za Diamond Zazua Balaa..Zapelekwa Kwa Wema, Familia Yacharuka
Habari zilizosambaa leo kutoka Kwenye Gazeti Moja zinasema Familia ya Diamond Pamoja Na marafiki walishangazwa na Kitendo cha Diamond Kuzipeleka Tuzo Saba Alizoshinda kwa Wema Sepetu Badala ya...
View ArticleLinah Sanga "Jamani Nafunga Ndoa Soon na Mchuchu Wangu"
Baada ya Linah Sanga Siku hizi Kuonekana Kila kona Akiwa na Kijana Anayejulikana kwa jina la Nagari Kombo Amehabarisha na Kusema huyo ni mchumba yake kabisa na Nyumbani wameshajitambulisha kila kitu...
View ArticleMaajabu:Mto Wenye Maji ya Damu Waishangaza Dunia
The River Lotzwil (Bern, Switzerland) has suddenly turned blood red. Scientists say they have absolutely no explanation. Others point to The Book of Revelation, 16:4 in the Holy Bible. Picture of...
View ArticlePicha za Majeruhi wa Bomu Mwanza Akiwa Hospitalini Hoi Akipata Matibabu
Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana...
View ArticleAnti Lulu: "Najuta Kumvulia Nguo Amani, Sikujua Kama ana Wivu Mkubwa Kiasi Hiki"
MSANII wa filamu Bongo,Lulu Semagongo 'Aunty Lulu' anadai kuwa anajuta kumvulia nguo mwandani wake aliyemtaja kwa jina la Amani ambaye hivi karibuni alimshushia kipigo kikali...
View ArticleRay C Apata Nafuu, Aruhusiwa Kutoka Hospitali
Mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, ametoka katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.Mwanamuziki huyo ambaye amekuwa katika tiba ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya...
View ArticleRonaldo"Neymar Anaweza Kuwa Mchezaji Bora wa Dunia"
CRISTIANO Ronaldo anaamini kuwa nyota wa Barcelona, Mbrazil, Neymar atakuwa mchezaji bora wa dunia.Wakatalunya walimsajili kinda huyo mwenye miaka 22 kutoka klabu ya Santos ya Brazil kwa dau...
View ArticleMrema Ampasha Mbowe: Sitaki uwaziri kivuli
Niaibu aibu kwa Mbowe kusema hata niteua uwaziri kivuli Mbowe alishaa kuwa nani katika nchi hii mm sitaki kuwa kivuli nataka uwaziri kamili Nimewahi kuwa NAIBU waziri mkuu na waziri Wa mambo ya ndani...
View ArticleDk. Kitila Mkumbo Ajitambulisha Rasmi ACT
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.==============JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr....
View ArticleSirudii Tena Mautundu Haya Niliyomfanyia Huyu Demu
Huyu demu cjawah ku do naye,jana akakubali akaja kwangu mida kama ya saa mbili ucku!alipofka akaingia bafuni kuoga.Alipotoka tukapga stor kdog tukaanza mambo yetu!ishu ilikua hv alipo kaa tu ktandan...
View ArticleKujichua Ama Kupiga Punyeto kwa Mwanamke
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable”...
View ArticleNampenda Kwasababu Ananigusa Penyewe Kwenye Kipele..
Nimepatikana mwenzenu, nimekutana na kijana hana adabu hata kidogo, amechukua moyo wangu mzima mzima. Kijana anasura mbaya yani hana hata mvuto ila uwanjani usipime, mambo anayo ni fanyia naogopa hata...
View ArticleProfesa J na Jose Chameleon Waingia Studio Kufanya Wimbo Mpya
Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. Na...
View Article