Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Gari Inauzwa Kwa Bei Nafuu Piga Simu Kujua Bei na Kwa Maelewano

CAR TYPE: Daihatsu Atrai 7 AGE: SINCE AUGUST 2002, PLATE NO. T 793 BYK ENGINE CAPACITY: 1298CC WEIGHT: 2 TONES CAR STATE: VERY GOOD DOCUMENTATION: VERY VERY UP TO DATE MILEAGE: 175,000 FUEL...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ndoa ya Flora Mbasha Chali..Flora Ahamia kwa Gwajima, Prado Ladaiwa Kuwa ni...

BAADA ya kudumu kwa zaidi ya miaka 10, imebainika kuwa ndoa ya mwanamuziki mahiri wa muziki wa Injili Bongo, Flora na mumewe Emmanuel Mbasha ipo chali kwa maana ya kuanguka huku ikidaiwa kuwa, kusimama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aunt Lulu Alia Kukosa Bwana wa Kizungu kutoka Thailand

Na Hamida HassanMKALI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa anasikitika kukosa bwana aliyeahidiwa na marehemu Amina Ngaluma.Akizungumza na paparazi wetu, Aunt Lulu alisema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chaz Baba:Simwelewi Sajent Amegoma Kunipa Mwanangu Niliye zaa Naye

Na Musa MatejaPREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hii Kali:Kila Mtanzania Sasa Anadaiwa Sh 600,000

Wakati Serikali ikibanwa na wabunge kwa kushindwa kutekeleza Bajeti ya mwaka 2013/14 kutokana na kutegemea fedha za wahisani, Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara imesema deni la taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kiwango cha Ujinga wa Watanzania Kitaliangamiza Taifa

Mwaka 1961-1964 tangu taifa la Tanganyika litoke kupata uhuru lilikuwa na watu milioni 10+, na 88% walikuwa ni wajinga sana, 10% walikuwa ni wajinga wastani wakati 1% walikuwa ni werevu, na 1% walikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera Mheshimiwa James Mbatia kwa kuwafundisha CHADEMA jinsi ya Kuandika...

Wadau, Natumai kuwa wengi wetu tumemsikiliza Mheshimiwa James Mbatia, Mwenyekiti wa NCCR MAGEUZI na Waziri Kivuli wa Wizara ya Fedha wakati akitoa maoni ya Kambi ya Upinzani kuhusu Hotuba ya Makadirio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huyu ndiye binti anayedai kubakwa na mume wa Flora Mbasha

Huyu Ndio Msichana Ambaye Anahusika na Sakata linaloongelewa sana la Mume wa Flora Mbasha Kumbaka Shemeji yake...Basi huyu Ndio Shemeji Mwenyewe WajameniAngalia muonekano wake utapata maswali mengi.Any...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fashion Police:Maimatha wa Jesse Punguza Kidogo Kope Hizo Too Much Artificial

Jamani kwenye Urembo Sikatai Kuna Kuweka Kope Bandia ili uzidi kuonekana mrembo zaidi , na Kuna Wataalamu wakikuwekea Kope Unapendeza na Wala mtu wa Kawaida Hawezi Jua kuwa Umeongezea Kope ...Kamera...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu Ndio Mshahara Ambao Maximo Anataka Ili Kuja Kuifundisha Yanga

YANGA chini ya Mwenyekiti wake, Yusuf Manji inataka kuonyesha kwamba ina nguvu na jeuri ya kufanya chochote kile inachotaka kwa vitendo ndani na nje ya ardhi ya Tanzania.Mbrazil Marcio Maximo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kila Anayenitongoza Namwona Hafai

Naamini wote mu wazima wa afya.kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.Mimi huwa nina tabia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Namsubiri Kwa Hamu Maximo Yanga Afufue Vipaji Vilivyopotea

Na Baraka MbolemboleMARCIO MAXIMO alikuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa muda wa miaka minne. Kuanzia, juni, 2006 hadi juni, 2010 kocha huyo raia wa Brazil alifanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maskini Penny Yupo Hoi Kitandani Apumulia Mashine

Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma  na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.Kwasasa penny...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BET Watajuta Kumtaja Diamond Kwenye Tuzo..Wabongo Wazishambulia Kurasa zao za...

Hii sasa ni shida!!! Huenda wafanyakazi wa kituo cha BET, kama hawatakuwa wanajichekea tu kwa jinsi wabongo walivyo na fujo kwenye ukurasa wao wa Facebook na Instagram, basi watakuwa wanajuta kumtaja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanzilishi wa Instagram Ngangari, Awashushia Rungu Wanaoweka Picha za Utupu

Mtandao wa kijamii wa Instagram umezidi kuwa maarufu kutokana na jinsi ambavyo unampa nafasi mtumiaji kuionesha dunia taswira yake binafsi au hata kuhusu hisia zake.Hata hivyo watu mbalimbali wamekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchumba wa Kwanza wa Flora Mbasha Afunguka, Kumbe Nae Alibambikiziwa Skendo

Flora Mbasha alikuwa na mchumba anaitwa Imma Lushanga Ambae Baba yake ni Mmiliki wa Mabasi ya Lushanga huko Mwanza kabla hajaja Dar akiwa amechumbiwa tayari Wiki mbili kabla ya kufunga ndoa Flora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huta Msikia Tena Dinna Marios wa Clouds FM Kwenye Kipindi cha Leo Tena,...

Wapenzi wangu najua kila kitu kilianzia kwenye leo tena hadi wewe kuamua kufatilia kazi zangu na kila kitu ninachofanya.Ila wanasema safari moja huanzisha nyingine ndivyo ilivyo kwangu.Baada ya muda wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA za Capt. Komba zenye Utata Zasambazwa Kwenye Mitandao ya Kijamii!

Picha zinazomwonyesha mh. Captain John Komba zenye mapozi tofauti na mabinti tofauti zimeanza kusambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hapa Tanzania. Kuna picha nyingine nyingi lakini kutokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sura Mpya ya Sakata la Uda, Kuna Mchezo Mchafu Kila Kona

Sakata la nani mmiliki halali wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), limeendelea kuchukua sura mpya. Wakati Mbunge wa Temeke (CCM), Abbas Mtemvu akitoa tuhuma kwamba limeuzwa kinyemela, Mwenyekiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Daktari wa Watoto Pacha kwenda Mbeya Baada ya Utumbo wa Mmoja Kutoka Nje

Daktari aliyewapokea watoto pacha waliokuwa wameungana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kuwapeleka India kufanyiwa upasuaji, Zaituni Bokhary anatarajia kuwasili nchini leo akitokea masomoni...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live